ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

ASKOFU AMBONGO NI KIBARAKA CHA MAREKANI INCHINI CONGO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 พ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 17

  • @appolinairekulimushi4374
    @appolinairekulimushi4374 3 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana wahariri wetu Iyamba lyetu Tv. Muda mrefu hatuwapate hewani. Tuna shukuru kuwa sakiliza tena. Mungu awalinde salama.

  • @mbarukuconstantin9563
    @mbarukuconstantin9563 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo jama ashugurikiwe kisheria

  • @JeanBaraka-pu5xo
    @JeanBaraka-pu5xo 3 หลายเดือนก่อน

    mufunge ambongo serikali iko wapi bamufunge ambongo pumba

  • @mwajumasakina9599
    @mwajumasakina9599 3 หลายเดือนก่อน

    Tchilombo mwenyewe ni kibaraka number 1

  • @dariusmazambi4666
    @dariusmazambi4666 3 หลายเดือนก่อน

    FÉLIX CHILOMBO usifate mambo ya ma beberu

  • @user-ig4kt8uh6z
    @user-ig4kt8uh6z 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli kweli askofu ata kufa

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 3 หลายเดือนก่อน

    Watu kama hawa ndo wakufunga kabisaaaa.

  • @user-zx3xm3xz3h
    @user-zx3xm3xz3h 3 หลายเดือนก่อน

    Mulipoteleya wapi ?

  • @user-jp6yp5sj5g
    @user-jp6yp5sj5g 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu mjinga kama mimi ningekuwa kiongozi mmojawapo wawa zaledo huyu ninge muiba usiku tu apigwe miti alafu ashiike adabu

  • @user-wn5tl7nt6u
    @user-wn5tl7nt6u 3 หลายเดือนก่อน

    Nyuma ya maneno ya Askofu kina Mambo ambayo inafichama lakini wajuwe Kama Wazalendo Ni wakongomani si wanyarwanda Tena wako inchini mwawo Sasa m23 Ayo niwatu gani? Kwanini wasinyanganye m23 siraha najapo wanajuwa Kama m23ndiyo imevamiya Congo Askofu Ahojiwe vizuri Sana Tena nakuchunguzwa Ni Fredy nikiwa kampala

  • @InnocentMyanzi-ev1wk
    @InnocentMyanzi-ev1wk 3 หลายเดือนก่อน

    Shiwazale tunawomba ule mipongo afungwe

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 3 หลายเดือนก่อน

    Felix akisubutu kuwapokonya silaa wazalendo atakuja kujuta.

  • @dariusmazambi4666
    @dariusmazambi4666 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa tunagunduwa kuwa wenye ku uwa watu pale goma juu wazalendo watukaniwe inaonekana kama uyu Fridolin njoo mwenye kutumiaya Wale watuili wazalendo wa pokonywe silaaha Fridolin afike mahakama kabisa aulizwe

  • @RugabangaDavid
    @RugabangaDavid 3 หลายเดือนก่อน

    Kibaraka ni chilombo mali yake yako wapi ao watoto wake

  • @ThomasMmoka
    @ThomasMmoka 3 หลายเดือนก่อน

    Uraia wa Ambongo si mcongomani,katoka jamhuri ya Afrika ya Kati.Hivyo haishangazi kumsikia akiwachukia Wazalendo wenye itikadi za kikongomani akiwaita ni wabaguzi!

  • @dariusmazambi4666
    @dariusmazambi4666 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa uyu Fridolin sababu wazungu wamekosa watafanya Nini kuusu vita vya kongo kuona wazalendo wana feli mission Yao njoo wanaona watumiye silaaha kubwa yao njoo dhini ya kikatholiqua lishutumu jeshi letu kuwa limetiya wazalendo njoo wapi mbele ya jeshi la yataifa