Hawo wote waliyo kamatwa wapewe sumu ndani yagereza . E RaÃŊs kwanini kuwarudisha tena wasaliti yaonekana nibyashara kwako? Msaliti azabu yake nikifukuzwa.
Congo msipigane vita kama mnacheza march vita ni umoja na vita ni kuipenda nchi yako kama utapenda mambo mengine utaiuza nchi na vita mkishindwa mtakua watumwa wa kulima mashamba
Nami na shukuru iyambal kwasababu inatowa habari mbichi sana.ivi kwa sasa nasi uku minova localitÃĐ ya mulala kumeanguka mabombe tatu mucana yaleo passa saba zamucana bombe moja imeangukia mÃŧ s/village y'a nyangoma imebomola nyumba moja.ingine imeangukia mÃŧ avenu y'a vahe.na ingine muavenu y'a nyarubuye kumasomo ime kata mama moja migulu kwa sa sa iko kuoputale y'a minova.kwasasa village y'a mulala inakuwa muwasiwasi.usiku yaleo.
DAMU za wakongomani zinaliya mbele ya Mungu zisizo nahatiyaðĒ hazitakufa bureðŪ nakila anayehusika nilazima kunayo laana kwa kizazi chake yasipomupata yatapata familia yakeðĒðĒðĒ
Ninyi wapasha sio wa mkongomani, ni wale labda mnapewa pesa, udhaifu wa jeshi letu munautangaza ili maadui wapate nguvu, mwakongo kila mtu anakuwa fundi wa vita. serikari ingechukuwa mpangu wa kufunga wapasha habari wengi, sababu munaona vita kama mchezo wa mpira, kutangaza kila tukio. Kama wasio wanainchi.
Nakufwata vizuri saaana Niko hapa NC USA
Bwenge kutoka Kolwezi shahuri ikopowa
Tuko pamoya hapa kalemie
Niatari baba nikuvumilia tu
Hawo wote waliyo kamatwa wapewe sumu ndani yagereza . E RaÃŊs kwanini kuwarudisha tena wasaliti yaonekana nibyashara kwako? Msaliti azabu yake nikifukuzwa.
Congo msipigane vita kama mnacheza march vita ni umoja na vita ni kuipenda nchi yako kama utapenda mambo mengine utaiuza nchi na vita mkishindwa mtakua watumwa wa kulima mashamba
Tulia wewe Rwanda watoto wadogo tu amna lolote tunawaacha waingie tu alafu arudi mtu Rwanda tunawageuza wote mbolea
Nakupata tanokwatano
Tupo pamoja pa butembo
Tupo pamoja hapa kenya
Asante sana
Nami na shukuru iyambal kwasababu inatowa habari mbichi sana.ivi kwa sasa nasi uku minova localitÃĐ ya mulala kumeanguka mabombe tatu mucana yaleo passa saba zamucana bombe moja imeangukia mÃŧ s/village y'a nyangoma imebomola nyumba moja.ingine imeangukia mÃŧ avenu y'a vahe.na ingine muavenu y'a nyarubuye kumasomo ime kata mama moja migulu kwa sa sa iko kuoputale y'a minova.kwasasa village y'a mulala inakuwa muwasiwasi.usiku yaleo.
Asante sana
Sauti APA ni 5/5 kutoka Bukavu
Chirumwami msaliti namba moja
Jambo bwana journaliste naminakufata tanojuyata onyoyangu nihi wazalendo baungane baache ubaguzi njo atashinda.
Jambo mutanga zaji miminiflori kutokakinga li
Kisekedi anajua byenye IKO nafanya chiko n'a kabundi chiko ana mapatanl n'a cornel nanga
Mukuwe muna atcha kutufanganya
DAMU za wakongomani zinaliya mbele ya Mungu zisizo nahatiyaðĒ hazitakufa bureðŪ nakila anayehusika nilazima kunayo laana kwa kizazi chake yasipomupata yatapata familia yakeðĒðĒðĒ
Ninyi wapasha sio wa mkongomani, ni wale labda mnapewa pesa, udhaifu wa jeshi letu munautangaza ili maadui wapate nguvu, mwakongo kila mtu anakuwa fundi wa vita. serikari ingechukuwa mpangu wa kufunga wapasha habari wengi, sababu munaona vita kama mchezo wa mpira, kutangaza kila tukio. Kama wasio wanainchi.
Mimi ni RV Daniele bkv
Tunakufwata kutoka Goma
Fek news