ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

DEDESI MITIMA : 🚨 HALI YA UKOSEFU WA USALAMA NDANI YA KEMBI SITA 6 NDANI YA GOMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 มิ.ย. 2024
  • *HABARI MBICHI KUTOKA JOMBONI KIVU YA KASKAZINI, MIMI NI MOSES MUMBERE HAPA MJINI GOMA*,
    KWA LEO TUNAONGELEA HALI YA UKOSEFU YA USALAMA NDANI YA KEMBI SITA ZENYI KUPATIKANA NDANI YA KATA LA LAC VERT AMBAMO SIRAHA ZA ZURURA NDANI YA KEMBI HIZO. HUMO NI RAHA KULEWA, KUVUTA BANGI NA IKIUKAJI MWINGI WA HAKI ZA BINADAMU, AOMBA KWA VIONGOZI KUKAMATA MIKAKATI YA KU TOSHA ILI WAHAMI WAISHI NDANI YA USALAMA NA PIA KURAISISHA AMANI KWA WALE WALIO WA POKEYA.
    HABARI ZAKUJIA NAYE MOSES MUMBERE JOMBONI KIVU YA KASKAZINI HAPA MJINI GOMA.
    KARIBU.
    MOSES MUMBERE
    SAMBAZA NDANI YA KUNDI ZENGINE

ความคิดเห็น • 11

  • @AnnifaMwayuma
    @AnnifaMwayuma หลายเดือนก่อน +1

    Bonjour

  • @user-wv5mj6zf9n
    @user-wv5mj6zf9n หลายเดือนก่อน +2

    Nawafata vizuri nikiwa kalemie

  • @leonintabazanabizana
    @leonintabazanabizana หลายเดือนก่อน +1

    Inabidi kuwe sécurité aufissielles par l'armée congolaise.

  • @AKUNDAJunior
    @AKUNDAJunior หลายเดือนก่อน

    Ok

  • @user-yz2jt6jf1u
    @user-yz2jt6jf1u หลายเดือนก่อน +2

    Amisso sauti inasikiliziika vizuri

  • @JanvierLubala
    @JanvierLubala หลายเดือนก่อน +1

    Juya nini mulishaka tutosha ku heur yetu ya 18h na mzeewa mbichi

  • @user-mq1jx5ll4m
    @user-mq1jx5ll4m หลายเดือนก่อน +2

    Jambo dungu mutangazad sisi atongope maneno ya m23tutabapika jambo wazalendo FARDC pole ote Mimi mumba evans uku zambian

  • @BagambeNelsonT
    @BagambeNelsonT หลายเดือนก่อน +1

    Mzee wa abari mbichi tupatie mbichi. Ni kathembo Kasese Uganda