URGENT : 17 04 GOMA: USALAMA UNAZIDI KUDHORORA KATIKA MUJI WA GOMA MASHARIKI MWA DRC.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 เม.ย. 2024

ความคิดเห็น • 17

  • @jeandedieubashimbe7187
    @jeandedieubashimbe7187 3 หลายเดือนก่อน

    Pole kwetu WA congomani 9:28

  • @jeandedieubashimbe7187
    @jeandedieubashimbe7187 3 หลายเดือนก่อน

    Pole kwetu WA congomani

  • @mwajumasakina9599
    @mwajumasakina9599 3 หลายเดือนก่อน

    Congo iko mu shida kubwa sana,inchi iko saa yenye haina viongozi jameni, kwani tunafichwa nini juu ya inchi yetu?

  • @zainangoma3631
    @zainangoma3631 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa nini. Hawa. Funge frontier

  • @user-hk7rb8eq3f
    @user-hk7rb8eq3f 3 หลายเดือนก่อน

    Kutoka Vancouver Canada. Naomba serekali iwachunguze watu wa kitengo cha upelelezi, maana awafanyi chochote Goma

  • @user-fl2ws8po2j
    @user-fl2ws8po2j 3 หลายเดือนก่อน

    Watanzania tunasema ,C.chiwewe oyeeeeeè

  • @londonmaisara2286
    @londonmaisara2286 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi Maisara london nakufata kutoka hapa bruxelles,nakufata 5/5

  • @user-be8qv6cy6z
    @user-be8qv6cy6z 3 หลายเดือนก่อน

    Ni Atari saana kwetu

  • @venasmatenga
    @venasmatenga 3 หลายเดือนก่อน

    Wafanye uchumguzi katika police ya goma bat
    Wasaliti niwengi wafanye uchumguzi ndani ya nymba za goma wataona usalama utarudi kuwa safi

  • @ThomasSankara-bj4lk
    @ThomasSankara-bj4lk 3 หลายเดือนก่อน

    Leta mbichi hizo ndugu mtangazaji, naitwa Thomas Sankara kutoka hapa Charlotte North Carolina USA

  • @CcC-lf7on
    @CcC-lf7on 3 หลายเดือนก่อน

    kwani congo amuna Raisa jamani

  • @anniemapendo6103
    @anniemapendo6103 3 หลายเดือนก่อน

    Gouvernement inajipanga je ili kurudisha usalama jamani? Goma inakuwa uwanja wamapambano kwa ajili Wapelelezi hawafanye kazi yao.

  • @user-yx4zf3zh2z
    @user-yx4zf3zh2z 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi kasimu APA salamabila kwa kupata Amani kwetu tuwe wazalendo bila kusubiri ruhusa ya serkali n'a tujipiganie

  • @MuthamoMoise-of1cu
    @MuthamoMoise-of1cu 3 หลายเดือนก่อน

    Apa ni kakule muthamo kutoka beni territoire précisément kasindi lubiriha Sisi sote imeomba tukamate silaha.jutumeisha baii ero miye kuakyiya Léo ninakuya muzalendo naenda pambana

  • @mapiganokarubankia9847
    @mapiganokarubankia9847 3 หลายเดือนก่อน

    Nakfwata ndugu nikiwa hapa u.s,acha usalama uzorote kwa sababu wasaliti katika jiji la Goma niwengi na wakuu wa muji wenyewe ni wasaliti,wanyarwanda niwengi ndani ya Goma ,wakuu wote ni wajinga.

  • @londonmaisara2286
    @londonmaisara2286 3 หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji tunapo sikiya kazi ya m'ze Chirimwami bila shaka yule ni msaliti,aondoshwe jamani