NIMEJIKITA KWENYE UJASILIAMALI | WAZUNGU HAWAELEWI MAMBO ZA KUSAIDIA NDUGU
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 17 ก.พ. 2024
- Laurensia ambae ni mjasiliamali mtanzania anaeishi Marekani, amefunguka mengi kuhusu maisha ya kuishi Ughaibuni, mahusiano, utamaduni, ubaguzi, na mambo kadha wa kadha.
Enjoy and Learn
Thank you Laurensia for allowing this to be online
www.oda.international
Hi Laurensia,
Since I first met you, I can tell you have a unique ability to make a difference. Very friendly, patient, and helpful in helping us find what we were looking for. You are a person who wouldn’t give up until you found a solution. You go above and beyond expectations. I can still remember the great customer services skills you demonstrated that made you the best performer always in our branch. Please keep up the ability to actively listen to customers and understand their needs, the ability to provide clear and concise information and the ability to remain calm and professional under pressure.
Yaan huyu dada amenishangaza sana,Nimekuwa nikiskiliza interview nyingi za Wadada wa ki Tanzania wanaoshi marekani,kwakweli wamekuwa wakinishangaza kwa kujifanya wamesahau Kiswahili kabisaa wanaongea Kama ndio wanajifunza ila kwako dada umeongea kiswahili fasaha kabisaa hujajifanya Kama umesahau,umenifurahisha sana.Uko sooo true,natural and original,Nadhani Hii ndio interview ya kwanza ambayo haina mbamba nyingi zaidi ya ukweli big up Dada.Tunaomba more interview kwa uyu dada anaongea ukweli sana na atasaidia watu wengi sana.
Nmeipenda hii interview ya Laurencia ni dada ambae anaongea uhalisia ❤
I love you laurencia umeongea vizuri Sanaa mdogo wangu tokea ukiwa mtoto unajutambua..Am proud of you ❤
I like how you speak genuinely from the heart. My beautiful melanin friend
You are a very strong woman . Umeshinda challenges nyingi sana.hii inaonyesha kuwa unamtanguliza Mungu.
Congrats for your business.
Jamani Arusha girl na umenikumbusha Zahoro apumzike kwa amani you are the best and you will go far and higher
Laurencia she is very intelligent and humble
Asante dada nimepata kitu,mimi nipo uarabuni,kuna baazi ya ndugu wanachosha,mtu anataka umpatie pesa za Ada ya mtoto,badala mtu aombe mtaji nimekuelewa sana mpenzi Mungu akubariki sana 🙏 ❤
This beautiful Nubian Queen katema madini mengi sana. Naomba tupate part 2 na yeye maana there is a lot more we could learn from her. Cheers to the host too 😇.
Dada mwenyezi mungu aendelee kukufanyia wepesi ktk shughuli zako,na pia akujalie riziki ndogondogo na kubwa unajitambua sana tena sana I really appreciate
Dada tafadhali unaweza mrudisha dada tena anamadini sana
Tena ya hali ya juu sana penda yeye sana
Nimekupenden bile tupen namba yake
Tunashukuru sana Kwa kipindi kizuri na muda wenu pia, tunajifunza mengi kupitia ninyi Mungu awabariki.
Asante mdada
Laurensia asante sana kwa maelezo yako! Pia Mwenye kipindi asante kutuletea habari mbali mbali za watu wanaoishi ughaibuni
Hongera sana kwa ujasiri, kazi na ushauri mzuri Laurencia
Wow good to hear from you mrembo wetu Laurensia
Asante sana Mungu akubariki sana Dada mzuri
Big up Laurencia Nmekupenda ni kioo kwa wengine 👍
Hongera sana Dada.
Umetoa maelezo mazuri sana. Umejieleza kisomi sana. Asante sana.
Mashallah wallah umenipa moyo wa kupambana wewe dada Allah azid azid kukupa moyo uwo uwo wa kutupatia darasa na tunajifunza mengi aswaaa kupitia Hawa ndugu zetu wa uko ughaibu
Hongera sana best, uzidi kuwa juu zaidii Laurensia
Dah huyu Dada mbaka nimempenda congrats black beauty all the best I'm watching East London south Africa 🙏
Nakupenda Sana umetupa somo Zurii.. Yaani mwenyewee nilikuwa mteja wa dstv nilikujua huko... Aise safi
Dada Yupo vizuri sana , Hongera sana
Wahaya oyeeeee,girl you're beautiful wish you the best ❤
Kazi nzuri sana. Nimeipenda hii interview imenifahamisha mengi
She's very beautiful Mashaalah ❤
Asante dada, ni kwl huku Tz baadhi ya maboss kuapologise hamna ,yaani kujishusha wao hamna, na wanajiona wao ndo perfect
Hongera sana. Nice interview
Napenda kipindi chako ...na najifunza vitu Ving...nakufatilia sana...all in All...hongera sana..
Huyu dada ana akili sana na anajua kujielezea sana; and most of all she is so pretty! Asante sana kwa kumleta! Tumejifunza mengi! Mlete tena siku nyingi.
I really love this lorenser very intelligent...out spoken..confidence wish i could meet her in person somedy
She is amazing 🔥
Ubarikiwe sana mdogo wangu, nimekupenda buleee,
She is super cute and and speaking attractively nice.. ❤
Big up dada Laurensia. Hakika umetumia wote watanzania kwa kipaji chako. Tena umeonyesha wazi kuwa dada zetu popote walipo kwao ni fursa kufanya kitu . Hata x ya pili tunatamani kusikia hazina alizonazo kwetu watanzania na Afrika kwa ujumla.
Once again I say thank you and carry on your duty.❤
Safi hiyo ndo nafasi ya mama ,malezi kwa watt sio kujifanya uzungu mwingi unasahau mpk misingi ya imani
Big up
Waooo mhaya mwenzangu
yaani saloon uliyokuwa nayo angekuwa mtu mwingine uko insta tungekoma all in all hongera sana❤
Hongera sana tena sana
Nimependa mawazo yako Laurencia,mungu awe nawe.❤❤❤
Interview nzuri sana, ongereni warembo
Yuko humble, nice interview
Wow Lurencia I really love your skin ❤️ so so beautiful . Your intelligence is on point.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Asante sana nimekulewa
Very well explained!!! Thank you for sharing your beautiful story, very inspiring ❤❤❤
Glad you enjoyed it!
Safi sana. Upo mkweli sana sababu unajitambua.
❤❤❤nimpenda huyu Dada ameongea vizuri.
Hongera na asante tunajifunza kila siku
Maswali mazuri sana na majibu vivyo hivyo. Keep it up.
Umeongea vzr sasa dada,kwa upande wa mahusiano up bigup
YES👍 AGREED WITH YR WORDS ALL U SAID👌 BEC. I WAS IN USA IN DIFFERENTS STATES N I ENDING IN FLORIDA ALSO FOR SOO MANY YEARS! N I KNOW ALL ABOUT IT👍" BUT IM BACK HOME IN ARABIA"
Yuko vizuri kwa mara ya kwanza leo nimeelewa sana.
Nimekuona Nahomile keep growing
I have learnt a lot
Nice interview elim elim elim safi sana
Warembo wote hongeren sana kwa kaz zenu Nzur 🎉
Wewe ni mzuri na umependeza na unajipenda
Very, very constructive lesson
Dadangu uko mrembo sana I love ur skin sana nice black beauty
Big up saana dada unajua kujieleza nimeipenda interview.
Nice story my Niece Laura
Nimependa kudili na mambo ya family yako ww mwenyewe ❤
Nice interview 😍
GOD BLESS YOU SISTER
Blessed Laurencia
So beautiful, black beauty ❤
Lau yule yule wa chuganiani, wakuvaa viatu virefu toka zamani ❤... Kuringa ndio kitu hujuagi 😂😂😂 sema nawe mzuri hadi unakera, kujieleza sasa 🔥cjui mara ya ngp hii nairudia interview 🤗🤗🤗 nakaa kdg narudi tena kuangalia 🚶♀️🚶♀️🚶♀️
Ki ukweli huyu dada nimempenda sana mungu azidi kumbariki❤
Amazing interview
Nice interview ❤❤❤❤
congrats black beauty
Ubarikiwe dada
Love it,❤ Launrencia.at least umejaribu kuusimamia u tz wako na pia ku adopt culture zao
Nice one
Congrats
Kujikubari ni jambo moja zuri sana
Nimependa sana
Jamani mimi rangi yako tu 👌🥰
Very intelligent girl
Ooh! Mna tafuta Mzungu! Sasa Mzungu si huyu! She is very smart white girl yet! Huyu sio Mtanzania is white professional woman! 😊
She is pure smart girl! God bless you for tell people a real thing!
How many people can apologize for kids interfering with her interview, seriously! Huyu Mtanzania from where? Maybe Florida! 😂
Nice interview
Nimejifunza zaidi
Nimekupenda bure lorencia. Kwanza kwa kusema tuje marekani kufanya kazi. Wewe siyo mchoyo wa furusa. Natamani kuja.
That's my beautiful Niece
Yaani napenda sana unavyofundisha watoto wako culture yetu,hongera sana lorencia your so humble,
🔥🔥🔥🔥
Interview ni nzuri sana, Shena hongera kwa kazi nzuri. Trust me, utafika mbali.
Amen 🙏
Shukran
For sure Culture kwa sisi tulio Ughaibuni inahitaji uvumilivu Sanaa yaani 🙈, ni Somoo na kuomba Mungu Pia
Opportunity za kazi zipo na tatizo la homeless linatokana na mambo mengi na mengi ya hayo sio kutokuwepo kwa kazi au uvivu. Wengi wa homeless people wana matatizo ya akili ambayo hayajatibiwa kwa hiyo hata maauzi yao huwa hayako rational hawana uwezo wa kufanya maamuzi ya busara na wanaishia kuwa homeless na homeless ni watu wazima kuanzia miaka 18 kwenda juju. Wengine wana watoto na ndio maana unakuta watoto mtaani. Homeless wengine ni wala unga, kwa maana ya kwamba wazazi au ndugu wameshindwa kuishi nao na hawana kazi kwa hiyo wanakuwa tegemezi na kuanza kuiba ili kupata hela za kununulia madawa ya kulevya. Kwa job opportunities zipo au hazipo depending na profession yako. Nategemea hili pia linatoa mwanga.
50:24 50:24 😅😊
Ooh kumbe una madini hivi 👌mbona tulivyoonana hukunipa live jamani uko vizuri na hongera sana itabidi nifanye tour ya huko
Kipindi kizuri sana kwa sababu umempata mtu anaye elezea mambo vizuri sana. 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🧡❤️
❤❤
Yaani hii interview tangu mwanzo hadi mwisho mimi na smile tu😅😅hongera sana kwa interview nzuri
🔥🔥
True say dear❤❤❤❤huu mfano watu wanaomtukuza mange kimambi maana huku full credit tu mikopo ya bongo na huku ulaya ni nomaaaa
Safi sana,
❤❤❤❤
Zuri sana dada
Nimekumiss Sana kipenzi. Mteja wangu wa nguo stand ndogo
Naomba number yako ya WhatsApp laur
Nimekupenda dada unaelezea vizuri sana mungu akubaliki sana
Mungu akusaidie namna ya kulea watoto wako
❤bi mzur