MIAKA 12 UJERUMANI| NILIKUJA KAMA DADA WA KAZI | UZAZI NA ULEZI ULAYA UNAWEZA KUKUPA SHIDA YA AKILI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 มี.ค. 2024
- Grace ametuelezea experience yake ya kuishi Ujerumani miaka 12, aliingia Ujerumani kwa njia ya AuPair
Ameeleza maana ya AuPair pia.
Changamoto ya uzazi na ulezi Ujerumani, kupata Mzungu sio kufanikiwa na kufika Ulaya sio kua tajiri.
Unaweza mfollow kwa Instagram yake @gracious.wibabara
Thank you Grace for allowing this to be online
www.oda.international
URAKOZE CAANE GRACE WACU ....................Tunakupenda sana.
Hongera sana Dada P. Uko vizuri sana kwenye kujieleza.
Nimempenda da G Jaman anajua kuelezea
Dada G. Hongera sana.
Kumbe ndomana kama mkenya...huyu binti anafana be a na mdogo angu mmoja ivi anaitwa linda..ila yeye anaasili ya kenya and she's very sweet and beautiful
Ameeleza vizuri sana nimetamani ingelikuwa ndefu. Hilo swala la chakula baada yakujifungua hata mimi nililia. Mkate na chai ya rangi kha. Iliuma mpaka leo inauma.
Hahah😂😂 acha mie nilipata mkate ule wa tost Dada weee nilichokaa, kufika nyumbani mume anaingia kazini usiku , nilikuwa Mimi na mtoto tuuu jamaniiii , mtoto analia ,
Jamani uzazi huku Ulaya ni Kijedaaa
@@upendogreutert199why mume wako hakuchuwa likizo.
@@upendogreutert199 Aki nilifika nyumbani nikapikiwa chips
🤣🤣 jaman am experiencing this now!kuna mda choz linakutoka constipation haikuachi unabakia kuslim tu jaman jaman nyumban ni nyumban mtt usiku ndo kama kawekwa betri analiaaaaaaa woiiii🤣🤣🤣
Grace Mrembo sana
Eti miaka 15 halafu useme ulaya kubaya😊😊😊Mhn suala ushaondoka kurudi unaanzia wapiii😢ndio inabidi ukiona🙏🙏🙏
Shena umependeza ALLAAH BARIK 💖💖💖🌹🌹🌹
from Rwanda tupo apa , tunafurahia kipindi cako mrembo asante kwakutufundisha zaidi
Ahsante sana
Nipo makin ctaki kupoteza point
Grace hongera sana nimependa jinsi ulivyokuwa muazi mwenye kusikia na amesikia.
Hellow my ndugu Shena pendeza ❤
So nice to hear her, dada ana point nyeti sana
Dada kama ungeweza ungetengeneza group la wenzetu na utu add ili kutengeneza mahusiano mazuri tu
yupo vizuri sana ameongea kiswahili vizuri sana kilicho nyooka.
Hata UK ni mpaka 67. And I am 60 sasa, but the good thing the older you get the better . Free bus pass, Free prescription.
Hongera sana, Karibu kwenye kipindi.. Naamini kuna mengi tutaweza jifunza kupitia wewe +4367764790884
Nice interview 👌
❤️❤️❤️
Urakoze nshuti
Gisabo kiiza
Huyu ni mtanzania... kama alihamia TZ akiwa mdogo na utamaduni na lugha ni nzuri ni mtanzania kwa kukulia hapa. Pale sikumbuki kama ameongea kinyarwanda hata chembe.
❤
Blueband nyinyi na vimikate vigumu
she is smart
Clever girl
Amazing lady
Kuhusu chakula hospitali za ulaya muwe munaimba kuchagua chakula omba supu ya kuku na viazi omba viazi vya kusaga omba samaki grill utaletewa, vinapatikana tena unaomba double share unaletewa cha kutosha njaa yote ya uzazi inaisha, usipoongea wanakuletea cha kwenye ratiba yao, msijiumize wala kulia muwe wepesi kuongea na kuuliza hata kama lugha hujui wanakua na Menu yenye picha za chakula onyesha picha
Hapo kwenye kupewa mkate na chai, nakumbuka nilimpigia sim mumewangu nalia namwambia niletee chakula wataniua
😁
Sawasawa
Mimi nakujatu😂😂😂😂
Nakishyimiye pee
Wazungu watatuuwa wanasakwa ka pesa😂
Katoto karembo
Swali langu majibu nmepata samahani nmekosea
Dada shena habari samahani naomba kuuliza mana now days au pair wanasema mpaka uwe na A1 Certificate je kama host family kakubali kukulipia shule ukiwa ujerumani wanakubali embassy naomba msaada kwailo
A1 ni lazima utoke nayo huko
@@OfficialDatingAssistance okay so they can't allow me till I have A1 certificate 😞
Subutuuuu Shena hakuna kukandwa my dear , Mimi nilijikanda mwenyewe, 😂😅 , hatari Shena , but health care wako Vizuri, but upande wa kulelewa uzazi like nyumbani sahau lah ualike mtu awe tayari kukusaidia ukijifungua
Hatari sana
Grace ni mtanzania au mnyarwanda?
Munyarwanda au Mtanzania ,Ndugu Yako tu no matter what
Kwenye kukandwa na huko mnakandwa
Wapi😂
Unaweza Shangaaa unakua mlemavu usipofanya mazoezi
Dada jitahidi kuongea vzr
Kuongea vizuri kwako kukoje ?
Watu wengine jamani mbona anaelewekaa tuu
Sauti jaman hakuna dada au ni kwangu tu?
Ni kwako tu kipenzi
Asante nimereflesh now nawasikia vzr sana