UADUI WA FAMILIA KISA MZUNGU | NILIKUA NABANDUKA NGOZI | NIMEBAKI NALEA MTOTO MWENYEWE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ก.ค. 2023
  • Chendwa ameeleza Safari yake ilipoanza kuingia mahusiano na Mzungu, changamoto alizokutana nazo kwenye Safari hii, Uadui kutoka kwa ndugu na kuingia kwa nguvu za giza.
    Changamoto za uzazi na kuvunjika kwa safari yake ya kwenda Ulaya baada ya Mzungu wake ambae ndio baba wa mtoto wake kupata kiharusi cha ghafla.

ความคิดเห็น • 481

  • @Alice_Josh
    @Alice_Josh 16 วันที่ผ่านมา +5

    Katika Haya maisha nimejifunza kitu, kabla mambo yako hayajafanikiwa sio vema kumshirikisha kila mtu. Huwezi kujua Nani mwema kwako na Nani mbaya kwako. Mara nyingi watu hawapendi kuona unafanikikiwa/ kupiga hatua/ kuwazidi. Binadamu hawana huruma, anayeweza kukuonea huruma ya kweli au kufurahia mafanikio yako kwa moyo mkunjufu ni wazazi wako.
    Mimi watu ni bora wanichukie kwa kutowashirikisha mambo yangu lakini nifanye kimya kimya, Mimi maranyingi sishirikishi progress zangu ila nita share Success tuu. Hapo hata kama kuna anaetaka kupinga hawawezi ila watakubali tuu.

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  15 วันที่ผ่านมา +1

      Karibu sana kwa kipindi +4367764790884

    • @Alice_Josh
      @Alice_Josh 12 วันที่ผ่านมา

      @@OfficialDatingAssistance asante

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 13 วันที่ผ่านมา +1

    Ndugu wamemfelisha Sana maskin nayeye Kwasababu alikuwa mdogo akashindwa kujisimamia vyema na akawaamin ndugu zake lakin wakamfanyia husda na roho mbaya na wakamroga yeye na mzungu wake ... kiukwer waswahili wanaroho mbaya Sana..mungu atakulipia kipenzi..pole sana

  • @joycelaizer4600
    @joycelaizer4600 11 หลายเดือนก่อน +8

    Naanza kuamini kweli uchawi upo. Ashukuriwe MUNGU atupaye kushinda Asante dada Shena kwa hili

  • @dorothysamwel2648
    @dorothysamwel2648 11 หลายเดือนก่อน +10

    Nimejifunza kitu, adui yako ni yule unayekula naye sahani moja, familia wamemharibia kabisa huyu binti na mtoto wake. Na nafikiri hata huo ugonjwa wa mjerumani ni bomu lililorushwa na babu na sio kazi ya mungu. Tuzidi kumuombea baba ya mtoto mungu akatende muujiza hatimaye siku moja skaweze tena kuongea kwa kinywa chake na kuikuta familia yake.

  • @johnriwa2854
    @johnriwa2854 3 หลายเดือนก่อน +1

    Very moving story ina mafundisho mengi. Dada shana you are exceptional 👏 umebarikiwa bring people together. Let be short
    1> pole sana kwa yote been through a lot.
    2> katika maisha Kuna watu huletwa na Mungu. This guy ndio alikuwa ame amekuwa your story yako.
    3. Katika maisha kila mtu ana bahati yake. Uswahili kwamba ni lazima na sisi tutokee hapo hapo ni ujinga na kubebeshana mizigo. Ndugu yako hawezi kukusahau mwache aendee na maisha yake mwombe mema. Kama sio mtu wa kusaidia sio mtu wa kusaidia.
    Sasa maisha yake yamechelewa kisa ndugu ambao wamekucha nganyia madawa 😮 at times tunashikana sana too much na sio maisha ni kurudishana nyuma. What a topic ya kujifunza uswahili tupa kule

  • @SheilaMaregesi
    @SheilaMaregesi 4 หลายเดือนก่อน +6

    Usipozaliwa familia ya kichawi ni baraka. Pole Chendwa

  • @AminaRajabu-rv8ef
    @AminaRajabu-rv8ef 11 หลายเดือนก่อน +7

    Hizi familia zinatutesa sana wakiona mtu na watu weupe tu basi mtu atakufanya chochote kile anachojisikia,pole sana dada angu

  • @paulinemakame9178
    @paulinemakame9178 ปีที่แล้ว +6

    Nimeumia sana
    Yaani mnoooo
    Huyu dada Mungu amlinde kama mboni ya jicho,Binadamu nimekosa maneno ya kuongea juu yao hao ndugu yani hata sielewi nyie 🙌🙌🙌

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 11 หลายเดือนก่อน +22

    Tabia ya wazungu wakipenda wanapenda ila yote aliokuwa anafanya tz alikuwa anawaambia familia na inaonekana katumia pesa nyingi sana uyo mzungu alikuwa namawazo yaliopitiliza ndugu zako wamechangia sehemu kubwa sana, mimi nilipata mzungu nikamtambulisha kwa mama kaka yangu alivyosikia ninamzungu akaja eti nisiondoke na mzungu mpaka atowe mali nilitowa maamuzi kuwa hakuna mali wala nini nikaondoka.

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 11 หลายเดือนก่อน +3

      Kuna family nyingine wanakuwa na tamaa nyingi sana

    • @edithamajura5566
      @edithamajura5566 11 หลายเดือนก่อน

      Inasiikitisha sn hii jamani. Familia nyingi zina watu wanateswa na ndugu zao wenye tabia za kichawi ila hawajulikani. Kusali na kupata watu wa Mungu wa kweli, inasaidia sana kuwabaini wanga ndani ya familia ila inatakiwa kuwa na kifua maana unaweza kuzimia maana unakuwa hauwezi kutarajia.
      Mungu awalaani, ila tulishaambiwa katika kitabu cha Kutoka 22:18 Usiache mwanamke mchawi kuishi... Ni kuwaua kwa kutumia neno la Mungu tu shenzi kabisa.

    • @nanguniMtaita-hz4zt
      @nanguniMtaita-hz4zt 3 หลายเดือนก่อน

      Dada wewe Mungu awabariki na huyo mzee wako apone mufurahie maisha yaliyobaki. Mume bila shaks alichezwa na hawo jamaa zake, Wabongo.

  • @blessabbykyando2496
    @blessabbykyando2496 8 หลายเดือนก่อน +2

    Jaman haya mambo yapo sana kwenye familia nyingi hata mm yalinikuta baada ya kuonekana nimeolewa na familia yenye uwezo. Ila baada ya kuokoka Mungu alinisaidia sana maana walifunga tumbo nisizae na pia ndoa yangu ivunjike. Ndoa yangu ilivunjika ila Mungu alinisaidia kabla sijaachana na mume wangu nikapata mtoto. Mungu mwema dada usimwache Mungu

  • @minabelle353
    @minabelle353 ปีที่แล้ว +6

    Pole sana dear this should be a lesson kwake and others usiseme mazuri yako hata kwa ndugu yako ni bora lawama kuliko shari
    Mdogo mzungu wako akija au kufanya mipango ya kwenda kaa kimya paka ukishafika ndo useme..
    Maskini mtoto anapata shida na wewe pia na huyo babu yako hana anachofaidika

  • @dorothysamwel2648
    @dorothysamwel2648 11 หลายเดือนก่อน +8

    Shendwa usithubutu tena kuwashirikisha hao ndugu zako hata hali inavyoendelea ya baba mtoto wako usiwafahamishe, tena uwaeleze kuwa huna mawasiliano nao tena. Na akipona ikibidi kwenda sepa kimya kimya achana nao hso wanga hata huyo kaka yako usimfahamishe cho chote.

  • @annamussa185
    @annamussa185 ปีที่แล้ว +5

    Pole sana Mungu wako Yuko hai atakutetea,ila jifunze usiwape ndugu nafasi kubwa kwenye maisha yako

  • @user-gj7de4xt6z
    @user-gj7de4xt6z 11 วันที่ผ่านมา

    Pole sana ndungu.Hzi family sa nyingine sio za kuamini sana.pengine ni family yako ndo chanzo ca yte hayo.Mungu awe nawe. na ukifanya mambo yko usiwashirikishe. Yamenikuta na mm nimelia hadi nishajinyamazia zangu tu.

  • @sadakimwaki9791
    @sadakimwaki9791 11 หลายเดือนก่อน +4

    Uchawi upo maisha bila kua na imani ya mungu ni changamoto pole sana binaadam hatuaminiki

  • @Serenawilson11
    @Serenawilson11 7 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani niwambie watanzania unapotaka kusafiri usiwambie ndugu wala marafiki uchawi upo

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 ปีที่แล้ว +7

    Adui mkubwa ni wale wa nyumbani kwako. What's a sad story. Walimfanya kitega uchumi. Mungu amtetee. Ikiwezekana ahame tu kwenye hiyo familia hao sio ndugu kabisa.

  • @gfydfdf8869
    @gfydfdf8869 2 หลายเดือนก่อน +1

    dada wafrica wivu ,uchawi upo sana kwa hawa ndugu zetu,ukiondoka tena usiage mutu,wenzako hata hatuagagi mtu ,mshike huyu Mungu dada..ndio mtetezi wako,dada ndugu wabaya mdogo wangu ,yametukuta hayo ,ila Mungu arituvusha , Mungu akutetee dada na baba watoto wako, mdumu sana kwa maombi, damu ya Yesu wanazareti iwafunike ,

  • @tatumhogo5742
    @tatumhogo5742 11 หลายเดือนก่อน +3

    Tatizo letu sisi watu weusi hatuna upendo ukizingatia wazazi wote wametangulia mbele ya haki waliobaki ni shida sana kujaliana kwa dunia hii ya sasa mungu ampe roho ya subra na uvumilivu katika mapitio apitayo mungu ni mwema mwenyewe Rehema

  • @eunicepaul2435
    @eunicepaul2435 10 หลายเดือนก่อน +3

    Huyo Dada Anachosema Ni ukweliii kabisa Africans family’s ni shida Aisee 😢😢😢😢😢😢

  • @veronicathomas89
    @veronicathomas89 13 วันที่ผ่านมา

    Wangapi wapo hapa Leo baada ya ushuhuda wa Chendwa kweli MUNGU mkuu🙏

  • @carolmuchiri9921
    @carolmuchiri9921 11 หลายเดือนก่อน +3

    Whuue Ogopa Binadamu kwa kweli ,He Will be Well in the Mighty Name Of Jesus Christ 🙏🏿🙏🏿😢😢😢❤️❤️🇰🇪

  • @margarethshirima5654
    @margarethshirima5654 ปีที่แล้ว +3

    Endelea kuomba, pia nenda ubalozi wa Austria na mtoto. Waombe mtoto akamwone baba yake. Tumwamini Mungu, ukiwaelezea watawapa nafasi ya kwenda kumwona. Tuachane na haki nyingine kwanza. Ni muhimu wakaonane kwanza. Pole sana binti yetu

    • @ashaidei5680
      @ashaidei5680 6 หลายเดือนก่อน

      Yes vile mtoto ni wao watafanya DNA kila kitu kitakua sawa.

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 11 หลายเดือนก่อน +1

    My dya pole sana. Ndg zetu ni mashetani sana. Ila tumuombe sana Mungu roho mbaya za kichawi ziitoke familia

  • @berthatz
    @berthatz 11 หลายเดือนก่อน +5

    Dah!Familia hizi ni shida..Adui huwa hatoki mbali kwakweli..Mungu awafanyie wepesi kwa dada yetu huyu..😨

  • @judithawadhi3510
    @judithawadhi3510 11 หลายเดือนก่อน +3

    Pole sana mdogo wetu
    Ndo mana siku hizi watu kusaidia ndugu hakuna tena

  • @SophiaAlice-xe3xi
    @SophiaAlice-xe3xi ปีที่แล้ว +6

    God is the great physician and the miracle worker. God has the final answer! Receive restoration with compensation 🙏

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 11 หลายเดือนก่อน +4

    Nawe mjinga Sana unheondoka Kunaa mambo ya kuhusisha familia Ila sio hayo mie dada angu alitilia sumu kbs eti mdogo wangu mie Niko kivyangu na watu ukiwaeleza watakuona mswahili nyokoo hayajakuta mie dada yangu kabisa tumbo moja

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk 8 หลายเดือนก่อน +1

      Poleee

    • @farhannahomary5505
      @farhannahomary5505 8 หลายเดือนก่อน

      @@LucyKapinga-fg4dk Asante mwaya hii dunia hii we acha kabisa Kuna watu tunapitia maisha ambayo watu Wala wasikuchukie .haya kikuta wewe shukuru Ila hkn kitu kinachooumiza km kutendwa na ndugu huwezi kueleweka Ila daah

  • @MissKaliz
    @MissKaliz ปีที่แล้ว +4

    Baba wa Mbinguni aka tende jambo kwa binti huyu na mtoto wake MAANA Yeye ni Baba asiye shindwa 🙏🏾 , PIA aka mrudishie furaha na kutimiza yale maombi yake makuu🙏🏾.
    Praying for you Chendwa, hugs ❤️❤️

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  ปีที่แล้ว

      Amen 🙏

    • @Eve200Allawi-hg6of
      @Eve200Allawi-hg6of ปีที่แล้ว

      Mpaka nimelia Sanaa namuombea kwa Mungu akae sawa

    • @leonardmary83
      @leonardmary83 11 หลายเดือนก่อน +1

      Inasikitisha sana ,binadamu kutokuwa na Hutu ,Mungu ni mweza Wa yote furaha itarudi maradufu.Yeremia 33:-3 niite nami nitakuitikia nitakuonesha mambo makubwa magumu usiyoyajua.Ameen

  • @jeniphersemagongo8328
    @jeniphersemagongo8328 ปีที่แล้ว +18

    Don't share your plans to anyone Don't trust people people are evil

  • @Jessy-f9w
    @Jessy-f9w 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu atakufanyia wepesi,kila jaribu Lina mlango wa kutokea,Kuna siku usiyotegemea atakufanikisha maana Mungu yeye hachelewi Wala hawai na tena hana choyo adui zako atawaaibisha

  • @sophiarwehumbiza209
    @sophiarwehumbiza209 11 หลายเดือนก่อน +1

    pole dada Shedwa aende kwa padre RIMISHO yupo chuo kikuu mliman amesaidia watu wengi aende aombewe mambo yatakaa saw

  • @user-oc7ur4ob1e
    @user-oc7ur4ob1e 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana shendwa . Endelea na maombi kumuombea ķuti atakaa sawa. Pengine akiona mtito wake na wewe atapona

  • @sophiakassim6784
    @sophiakassim6784 ปีที่แล้ว +2

    Nimeamua ku like hii post hata kabla sijaiskiliza coz I'm sure itakua nzuri sanaaa big up Shena

  • @agnesslema8087
    @agnesslema8087 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana shendwa anaekuchoma ni wakaribu yako mungu akupganie.

  • @hellenyyusuph
    @hellenyyusuph ปีที่แล้ว +2

    Mungu aponye tu jamani mungu yupo nimelia Kwa ajili Yako Amen na hakika utamuona tu mungu aponye huyu baba

  • @maissaranahigombeye6562
    @maissaranahigombeye6562 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu amjalie maisha marefu dada huyo amuondoleye mitihani iyi ni Kama storie yangu mimi, nilijikuta nabakia mjane na mtoto wa miezi 9 ,ila alicho andika mwenyezi mungu akuna wakuki badilisha watachelewesha tu ila Allah atakamilisha ,Leo hi nipo Norwey na mzazi wangu ndugu zangu ,walio yafanya Leo mimi nakuwa msada kwao.Allah akupe maisha marefu.vita utaishinda❤❤

  • @rithersospeterkati3355
    @rithersospeterkati3355 11 หลายเดือนก่อน +1

    Pole tunakuombea. Mungu hatakuondolea yote. Amen. ❤❤❤❤

  • @deograsiamgeni5716
    @deograsiamgeni5716 7 หลายเดือนก่อน

    Pole sana Dada!Shida ya watu wetu ni wivu. badala ya kutumia mafanikio ya mmoja kwenda mbele.

  • @zeinababdi4757
    @zeinababdi4757 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani, mama yako na baba yako wakiondoka duniani, huna familia. Baba yako akiondoka kwenye maisha ya mama yako , pia sio baba yako tena. Usingewashirikisha hao familia, ungeondoka kimyakimya.
    Pole sana.

  • @WinfridaNdege
    @WinfridaNdege ปีที่แล้ว +2

    Mbona Kama vitiligo jmn, sio kila kitu kurogwa, pole sana Chendwa, familia yako ni mfano wa familia nyingi sana Tanzania

    • @anastaziamathias8861
      @anastaziamathias8861 ปีที่แล้ว

      Kuna watu. Wanarogezewa magonjwa ili mjue hii vitgo kumbe sio

    • @WinfridaNdege
      @WinfridaNdege ปีที่แล้ว

      @@anastaziamathias8861 kama unaamini uchawi hata magonjwa ya kawaida utachelewa kutibiwa, hayo ni maoni yangu I’ll not go back and forth with this

  • @sekikigosi8265
    @sekikigosi8265 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana Chendwa pole asante sana Shena kwa kwa hii story atafutiwe namna aende kwa mume wake.

  • @zainabkazige7388
    @zainabkazige7388 ปีที่แล้ว +6

    Aisee jamani, pole sana dada kwa uliyoyapitia ni mengi na mazito sana, story inahuzunisha mno...nimeumia dah😢 Mungu aendelee kukutia nguvu mpendwa. Lakini ulikosea kuwashirikisha watu wa familia yako ilihali ulishawajua ni wachawi😢

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  ปีที่แล้ว +1

      Mtihani
      Tumuombe mwenzetu

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 ปีที่แล้ว

      ​@@OfficialDatingAssistanceHabari Shena!! naomba na cm yako binafsi ya whatsapp. Asante

    • @zainabkazige7388
      @zainabkazige7388 ปีที่แล้ว

      @@OfficialDatingAssistance kabisa jamani🙏

  • @rayasalum5392
    @rayasalum5392 11 หลายเดือนก่อน

    Doooh ndugu wachawi kweli wameweza kukufanyia hivo pole sana.😊

  • @esthertimbo
    @esthertimbo 11 หลายเดือนก่อน

    Pole sana,Kazana na maombi, Mungu atakushindia

  • @muka7354
    @muka7354 ปีที่แล้ว +2

    Jamani pole sana. Kama inawezekana arudi part 2 kama Hani 🙏🏾😕

  • @Witnessvlog
    @Witnessvlog ปีที่แล้ว +2

    Omg😢😢. Mungu akupiganie dada yangu. Mungu akapigane vita yako yote.
    Shetani mbaya sana. Ndugu zako wana roho mbaya na ni wachawi. They had something to do with it. Vitu vizuri kama hiv you keep it to yourself. Adui akijua your next move ana jua pa kukuattack.

  • @user-fd4gq2sj6f
    @user-fd4gq2sj6f ปีที่แล้ว +3

    Pole sana dada angu mungu akutie nguvu hata hili litapita ucjl uso wa mungu ukatembee pamoja na ww na mwanao mzungu wako❤

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  ปีที่แล้ว

      Amen kwake
      Tumuombee mwenzetu

    • @kisalaTV
      @kisalaTV 11 หลายเดือนก่อน

      Pole sana dada hivyo familia yako inaroho ya kimskini sana , yani wanaona wivu mpaka wana kupa magojwa , khaaaa
      Pole sana dada omba mungu sana

  • @helentelemla5623
    @helentelemla5623 9 หลายเดือนก่อน

    Pole sana sada Mungu akuondokee ukiwa wote akupe furaha AMINA

  • @hawahawa4288
    @hawahawa4288 11 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mdongo wangu mungu akupe subira yaani nimeumia sana njamani

  • @joasitz9559
    @joasitz9559 ปีที่แล้ว +3

    🤔 very sad story, huyo kaka yake alikuwa tapeli tu. Mungu ampiganie huyo mme wake. Kama ni ischemic stroke Mungu atamsaidia kwake yote yawezekana.

  • @rithersospeterkati3355
    @rithersospeterkati3355 11 หลายเดือนก่อน

    Pole sana. Uchawawi upo.

  • @fatumawario9281
    @fatumawario9281 11 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dada mwenyezimungu akufanyie mambo rahisi.

  • @user-rr4vt6vd6i
    @user-rr4vt6vd6i 3 หลายเดือนก่อน

    Inshaallah mola atamnyanyuwa mumeo na mtaanza maisha mapya na mtoto wenu. Mola hamtupi kiumbe chake.

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana sana inabidi haende ubalozi wa austra apste msaada wajua pia mtu haki yake wasimzulumu

  • @tatumzelela5515
    @tatumzelela5515 2 หลายเดือนก่อน

    Daaah nimeumia sana hizi familia zetu pamoja na ndugu zetu mungu atusaidie tunapokuwa tunapambana sio wote wanapenda imenigusa sana hii story pia nimejifunza kitu unapokuwa unataka kufanya maamuzi juu ya jambo furani jiangalie wewe kwanza ndugu watafuata pia huenda alishindwa kufanya maamuzi kwasababu alishakuwa amelogwa hakujua nini chakufanya alikuwa anapelekwa kama upepo daaah 😢

  • @annastaziacostance8188
    @annastaziacostance8188 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu ni mwema na mwaminifu atatenda tena kwa wakati🙏🙏🙏🙏

  • @Angelina35789
    @Angelina35789 3 หลายเดือนก่อน +1

    Dunia shikamoooo …. Ndugu mtatuua jamani tunapitia mateso kutafuta hao wazungu bado mnaturoga 🙌🙌🙌🙌🙌🥲🥲🥲 MUNGU tusaidie peke yetu hatuwezi

  • @ameeranassor1619
    @ameeranassor1619 14 วันที่ผ่านมา

    Dada umefanyiwa uswahili, kaka zako kaa nao vizuri, wamekutumia kama kitega uchumi

  • @wilbatnyato4679
    @wilbatnyato4679 ปีที่แล้ว +2

    Duhhh pole sanaaa
    Hapo ndio umuhimu wa kuwa na maamuzi binafsi kuliko kutegemea ndugu

    • @nellyrukundo8718
      @nellyrukundo8718 3 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli atamimi yalinikuta mambo kamaayo sikuwa namaamuzi binafsi😌.

  • @olympiamtenga8761
    @olympiamtenga8761 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana dear, hakuna lisilowezekana kwa Mungu dear, Mungu azidi kukuimarisha

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu ATAKUSAIDIA atamnyanyuwa na atakuwa Kama zamani mtaishi pamoja. Amin🎉 kweli huyo kijana ni MUUGWANA SANA na nimzungu huyo.

  • @missbena9452
    @missbena9452 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana shendwa sad sad ndugu shikamooni🙌 mungu akutie nguvu

  • @jeniphersemagongo8328
    @jeniphersemagongo8328 ปีที่แล้ว +2

    Keep on praying God is going to make a name for himself to your situation

  • @lovely10emoji49
    @lovely10emoji49 3 หลายเดือนก่อน

    Very sad story wallah😢 Mungu ampe nguvu na amsimamie yeye na mtoto wake pole sana beautiful

  • @saysophyfarm1780
    @saysophyfarm1780 11 หลายเดือนก่อน +1

    Shena napenda nywele zako, it's so beautiful ❤️

  • @suzanalucasemanuel7006
    @suzanalucasemanuel7006 ปีที่แล้ว +4

    Dada nenda kwenye maombi na picha ya mumeo usikate tamaa mungu yupo mumeo atapona

  • @faridafakir4310
    @faridafakir4310 2 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mdogo wangu Allah akupe nguvu na subra kwa sababu ya Mtoto wako Aamee 😢

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 13 วันที่ผ่านมา

    Jamani ndugu, ndugu ndugu, hapana aiseee ndugu wanaumiza mnooo

  • @scolasticadamian327
    @scolasticadamian327 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi siagi siku yakuja wala kuondoka, msiseme mambo yenu kwa ndugu iwe mama wala dada wote , usiamini mtu kirahisi.
    Pia kuzungukwa na ndugu na marafiki wengi nayo tatizo wakikuona wewe ni mtu wakutoboa watakubock.

  • @arafaseifallykilongo7802
    @arafaseifallykilongo7802 11 หลายเดือนก่อน

    Allah akufanyie wepesi dear pole

  • @user-sq7pz9ex5g
    @user-sq7pz9ex5g ปีที่แล้ว +2

    😢😢nimelia jamani uwii....haya mambo yapo jamani🙌nilipata mchumba sweden tulikuwa tunawasiliana poa tu ma mwanangu alimpenda ni mtanzania anaishi huko eeh ghaflaa 😢tuu yaani ananitxt "sorry endelea na maisha yako" nyie wanadam 🙌

  • @salmamsoma-wp2kr
    @salmamsoma-wp2kr 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nina choamini Yesu hajawahi kushindwa jitoe Kwa Yesu kikamilifu.Damu ya Yesu Ina nguvu ita damu ya Yesu atafunguliwa TU atapona.majibu ya daktari silo majibu ya Mungu..Mungu wetu ni Mungu wa yasiyowezekana.

  • @joycehagman3086
    @joycehagman3086 9 หลายเดือนก่อน

    Good blessings, mungu atakusaida mama

  • @aysherkitoi5507
    @aysherkitoi5507 11 หลายเดือนก่อน +3

    Ndugu zake wamemloga mzungu wa watu sema ulikuwa mtoto kazana kusali sana watamuua baba mtoto wako

    • @upendogreutert199
      @upendogreutert199 11 หลายเดือนก่อน +1

      Jamani Afrika tuna Wivuuu mbayaaaa haaaa dada simama na maombi sana, na ujitambue sana mana ndugu zako waweza wakukua na mwanao.

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu ATAKUSAIDIA atamnyanyuwa na atakuwa Kama zamani mtaishi pamoja. Amin🎉

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 11 หลายเดือนก่อน +1

    Naitamanu no yk nikuombee kiopiga hio roho iliyotuma kuharibu maisha yk Kwa jina la Yesu

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 10 หลายเดือนก่อน +1

    kuna story zinaumiza sana so sad Mungu atafanya jambo kubwa sana kwenye maisha yake

  • @user-pq4sx5ue5m
    @user-pq4sx5ue5m ปีที่แล้ว +1

    Aiseeeee saiz naona maana halisibya kufanya vitu kimyakimya khaaa🙌🙌🙌🙌🙌 ila watu wa karibu sometimessss 😂🙌🙌🙌🙌

  • @SuzanneMyles
    @SuzanneMyles 5 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢so sweet and lovely story❤❤❤

  • @reginamanyangu7258
    @reginamanyangu7258 ปีที่แล้ว +1

    Pole shendwa wabaya ni ndug zako na hao ndo wanakuchezea wewe pamoja na huyo baba inauma sana jmn

  • @sarahmsando660
    @sarahmsando660 11 หลายเดือนก่อน

    Daahh pole saana jamani!.story inaumiza hii

  • @MwalimuLikunguni-xz9oz
    @MwalimuLikunguni-xz9oz ปีที่แล้ว +3

    Mimi sijaolewa na mzungu Ila nilishawahi kupitia Hali hiyo Tena ndugu tumeshea tumbo moja tumezaliwa siku moja kisa tu nilikuwa nasikilizwa Sana na wazazi wangu

  • @josephmilandononi1096
    @josephmilandononi1096 11 หลายเดือนก่อน +1

    Pole Sana Mungu,anakwenda kufànya maajabu ya uponyaji juu ya mzazi mwenzako Kwa mamlaka aliyotupa Mungu uponyaji upo juu Yako na juu y mzazi mwenzako.sema Amina.

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  11 หลายเดือนก่อน

      Amen 🙏

    • @josephmilandononi1096
      @josephmilandononi1096 11 หลายเดือนก่อน

      Hongera sana Kwa kuweza kuwaibua Hawa watu wanaoitaji msaada unanfanya kazi ya utumishi wa aliyetuumba.

    • @josephmilandononi1096
      @josephmilandononi1096 11 หลายเดือนก่อน

      Ubarikiwe Sana shughuli zote hizi njema unazifanyia Tanzania au nje ya nchi yetu ya Tanzania?

  • @jeankamukara4386
    @jeankamukara4386 11 หลายเดือนก่อน

    Pole sana.

  • @jumaiddy-jm5wo
    @jumaiddy-jm5wo 9 หลายเดือนก่อน

    Pole sana Chendwa.

  • @lindamassawe2137
    @lindamassawe2137 15 วันที่ผ่านมา

    Damu ya Yesu ikafanye uponyaji kwa baba mtoto wa Shendwa. Amen

  • @maribasimon6993
    @maribasimon6993 11 หลายเดือนก่อน

    Pole sana Shendwa

  • @husnakaka8949
    @husnakaka8949 9 หลายเดือนก่อน

    What a sad story aki nimelia sana mungu akusaidie mdogo wangu

  • @olivianiwagila3109
    @olivianiwagila3109 ปีที่แล้ว +3

    Tutamuombea shendwa..Mungu atamvusha hapo

  • @pamelaouma6400
    @pamelaouma6400 ปีที่แล้ว +5

    Dada acha kulia Anza kuamini fuatilia TH-cam arise and shine kila saa tatu usiku shida zako hizo zimeisha tena Ni ndogo Sana,hatujamaliza live imekatika cjui mume wako anaendeleaje atapona haraka tu utakuja kunishukuru hapa.

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  ปีที่แล้ว +2

      🙏🙏

    • @user-rr7rr2nh6i
      @user-rr7rr2nh6i 11 หลายเดือนก่อน +1

      Exactly Haya mauzauza, dada chendwa nenda Kwa mwamposa tena omba appointment Nae ..Mungu atawafungua hivyo vifungo...hayo Ni mazingaombwe

    • @upendogreutert199
      @upendogreutert199 11 หลายเดือนก่อน

      Kwa kweli asimame na maombi atafanikiwa

    • @ChikoMathias
      @ChikoMathias 10 หลายเดือนก่อน

      Pole binti hizi familia za kiafrica. Acha mungu akutetea

    • @ChikoMathias
      @ChikoMathias 10 หลายเดือนก่อน

      Nipe namb ya whatsap nikupigie notake ushauri kwako

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 11 หลายเดือนก่อน

    Kuna lakujifunza hapa , chendwa ulivyongundua ndugu zako ni wapigaji juu ya mzaz mwenzio, usingewaambia kitu kuhusu kwenda huko wala taarifa zako zozote na angekuja huyo mzungu wako kwania kukuchukua ungeondokea mwanza kwa yule bimkubwa na hata wangefunga ndoa yake ya simple sana akasepea hukohuko mwanza na angefika huko akaendelea na maisha yake kimyaaa

  • @annamussa185
    @annamussa185 ปีที่แล้ว +4

    Mpaka nimelia jamani lakini Mungu atafanya Nina Imani Mungu atafanya lakini Kaa mbali na family yako si watu wazuri watakumaliza na Kinga yako na siraha yako ni maombi tu Mungu hajawahi kushindwa jambo kama amefanya kwa wengine na kwako atafanya kwa Imani yote yanawezekana,Tulio olewa na wazungu tunaelewa vzr anachoongea huyu Dada📖❤️🙏

  • @spaice995
    @spaice995 11 หลายเดือนก่อน +4

    anajikaza Sana asilie 😢tuishi na ndugu kwa maarifa Sana

    • @fettyrashid9042
      @fettyrashid9042 11 หลายเดือนก่อน

      🤝

    • @joycemlewa3734
      @joycemlewa3734 4 หลายเดือนก่อน

      Anaonekana Ana uchungu sana, Yesu akufungue

  • @Haleema-xz7oz
    @Haleema-xz7oz 11 หลายเดือนก่อน

    Jamn napenda sana kusikia Mambo mazur

  • @user-iz9ci4rs3d
    @user-iz9ci4rs3d 10 หลายเดือนก่อน

    Inasikitisha sana 😢😢😢pole sana my Mungu yupo pamoja nawe

  • @doreenjohn611
    @doreenjohn611 11 หลายเดือนก่อน

    Jamani machozi yamenitoka !! Mungu amtie nguvu

  • @marylibaba2589
    @marylibaba2589 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana shendwa

  • @rithersospeterkati3355
    @rithersospeterkati3355 11 หลายเดือนก่อน

    Tunawasubili. ❤❤❤❤

  • @getrudahiasint3198
    @getrudahiasint3198 ปีที่แล้ว +1

    Mpe pole sana, nasisimuka sana