MTANZANIA MWENZANGU ALIVYOSABABISHA NIFUNGWE JELA ULAYA | SAFARI YA UKIMBIZI WENGI WALIFIA NJIANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 มี.ค. 2024
  • Safari ya maisha ya Jasmin kutoka Tanzania na kuhitaji kuingia Ulaya kutafuta maisha
    Alipata mchongo wa safari ili akifika Ulaya aweze kujilipua lakini mambo yalienda ndivyo sivyo na kuishia kua Deported akiwa ametua tu Ufaransa hata nje ya airport hajatoka.
    Na alipoingia Ulaya mara ya pili basi aliishia kuingia Jela nchini Ugiriki ambako alikaa huko kwa muda wa miezi sita.
    Mtanzania mwenzie alimuingiza mkenge na kumsababishia matatizo makubwa kwa kumuibia passport yake.
    Lakini hakukata tamaa aliamua kutafuta mbinu za kumtoa Ugiriki ili afike Ujerumani na hivyo alianza michakato ya safari za ukumbizi ambayo haikua rahisi na ilikua na changamoto nyingi na kuishia kukaa jela tena katika nchi ya Albania na Macedonia
    Kwasasa anaishi Ujerumani na anafanya kazi huko.
    Thank you Jasmin for allowing this to be online
    www.oda.international

ความคิดเห็น • 892

  • @MadinaMalk-yd6kp
    @MadinaMalk-yd6kp 4 หลายเดือนก่อน +65

    Nimepitia comment zote za hii interview ya dada jasmine huyu dada simjui ila mambo aliyo pitia yamenipa funzo kubwa mnoo💐 mimi nimpenzi Sana wa hizi content za dada shena na anafanya kazi nzuri Sana Nampa 💐nikagundua Kuna mtu hayupo Sawa kiakili mana Ana comment matusi mnoo anaitaji msaada wa daktari na mungu, jomn sisi tupo humu kujifunza na kuenjoy nasio kuleta chuki humu kama unachuki zako malizaneni huko huko dada wawatu anaweka mda wake na nguvu zake kuakikisha tunajifunza mambo mazuri so tuliheshimu hilo wapendwa📌

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 4 หลายเดือนก่อน

      Ql

    • @nanguniMtaita-hz4zt
      @nanguniMtaita-hz4zt 4 หลายเดือนก่อน +2

      Nikweli kama kuna mtu anatukana coments hizi, ni mpumbavu yeye mwenyewe. Nami nafurahia dada huyu anapowapata na wanatuelimisha mengi.

    • @MadinaMalk-yd6kp
      @MadinaMalk-yd6kp 4 หลายเดือนก่อน +1

      Sana dear

    • @chunaabdullah1333
      @chunaabdullah1333 4 หลายเดือนก่อน

      Imergin, yani yanasemwa na roho mbaya zao na bado waona comments mbovu bado

    • @ginahilary5689
      @ginahilary5689 3 หลายเดือนก่อน

      😢

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 4 หลายเดือนก่อน +24

    Weeeee waafrika kwa ujumla,ogopa,ukiwa nje bora ujitegemee otherwise utaambulia patupu..
    Watanzania weeee, roho mbaya ajabu,na inaskitisha sana

  • @MrSmile255
    @MrSmile255 4 หลายเดือนก่อน +18

    Nime fatilia kwanzia mwanzo pole sana Dada Jasmine ila ni kwel nime jifunza kitu
    Asanteh sana Mungu akubariki

  • @bintibaibe1958
    @bintibaibe1958 4 หลายเดือนก่อน +36

    This is the best interview I have ever listened from you,, km hujajifunza basi huna lakujifunza ni safari ngumu sn

    • @dkmhamilawa
      @dkmhamilawa 4 หลายเดือนก่อน

      Pole saana

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 4 หลายเดือนก่อน +69

    Asilimia 99.9 ya WATANZANIA wa Ughaibuni ni wa kuogopa kama ugonjwa wa UKOMA.Mwenye masikio na asikie..Pole sana Jasmine.

    • @upendogreutert199
      @upendogreutert199 4 หลายเดือนก่อน +2

      Ni kuwa makini sana kwa kweli

    • @dorahisinika7576
      @dorahisinika7576 4 หลายเดือนก่อน +8

      Yaani wana roho mbaya kuliko hata shetani mwenyewe😢 wivu sasaaa

    • @dayana5513story
      @dayana5513story 4 หลายเดือนก่อน +1

      Sanaaaaaa

    • @homeandaway2811
      @homeandaway2811 4 หลายเดือนก่อน

      ​​@upendogreutert199Nilionywa sikusikia,yakanikuta makubwa, NIMEKOMA KABISA, nami nikaonya wengine hawakunisikia yamewakuta mazito.

    • @mariamkibindo1741
      @mariamkibindo1741 4 หลายเดือนก่อน +7

      Umeongea ukweli kabisa, Huwa Mimi nawaona na mwisho salamu TU ,sitaki mazoez Wala namba zao ,ni kutafuta shida TU, MUNGU atusaidie

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 4 หลายเดือนก่อน +26

    Asanteni kwa kushea stori zenu, sauti yako imefanana na Saida Karoli😂.

  • @sophiarwehumbiza209
    @sophiarwehumbiza209 4 หลายเดือนก่อน +23

    pole sana Dada Jasmin nimejifunza ila hata mimi namuogopa mwanadamu

  • @lucaslyaruu8244
    @lucaslyaruu8244 4 หลายเดือนก่อน +9

    Nampa pole nyingi sana binti Yasmin kwa yote aliyopitia. Pia nampongeza kwa ujasiri wake wa kutokata tamaa. *Amewashinda hata wanaume wengi waliojaribu kwenda nje bila mafanikio.❤❤🎉*

  • @abasshajj2727
    @abasshajj2727 4 หลายเดือนก่อน +7

    Pole sana dada Jasmin, kwa mitihani ulopitia na hongera sana kwa kutimiza ndoto zako za kufika ulaya much love ❤️.
    Na hongera sana dada Shena, kwa kazi nzuri unayoifanya kwa kutuletea wageni wetu ili tupate madini ya kutosha.
    Much love❤.
    Asante sana 🙏

  • @graceandrew3988
    @graceandrew3988 4 หลายเดือนก่อน +7

    Hii ya look like nayo kali ndo naisikia leo,Pole sana my dada..ila una Mungu wako aisee,umenifundisha kitu,kwenye maisha hakuna kukata tamaa.Big up kipenzi.

  • @blessedaggie9159
    @blessedaggie9159 4 หลายเดือนก่อน +12

    Mimi nasemaga siku zote, hakuna sehemu kama nyumbani Africa. Africa kuna maisha mazuri mno, chakula, social life. Mi nitarudi tu nyumbani siku moja. Wanaotaka kuja waje tu wajionee, lakini kabla hujaja make sure una kitu cha kufanya, kama ni shule au kazi.

    • @naumikabila5880
      @naumikabila5880 4 หลายเดือนก่อน +2

      Mimi nikimuambua mtu narudi nyumbani anashangaa sema watu wanaamini maisha ya ulaya ndo mazuri

    • @blessedaggie9159
      @blessedaggie9159 4 หลายเดือนก่อน

      @@naumikabila5880 hawaamini kabisa wanaona kama unawabania

    • @subrynerysegerow1323
      @subrynerysegerow1323 3 หลายเดือนก่อน +3

      Watanzania wengi wanajua ulaya ndo maisha yapo lkn yanaweza kuwa yapo ila sio rahisi kama unavyofikiria

    • @mediization
      @mediization 3 หลายเดือนก่อน

      Hongera jasmine ni mpambanaji mzuri sana

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 4 หลายเดือนก่อน +20

    Harafu ukipendeza watu wanaumia Hawajui umetokea wapi pole mnoooo na hongera umehasoo na umependeza sana na rangi yako ❤❤❤❤❤❤

    • @AshaKaijage
      @AshaKaijage 2 หลายเดือนก่อน

      Nimeipenda

  • @annatemu4488
    @annatemu4488 4 หลายเดือนก่อน +13

    Kiukweli huyo mpenzi wake alikua ni Destiny helper wake kabisa

  • @ednaJF1028
    @ednaJF1028 4 หลายเดือนก่อน +14

    Da Shana muache amtage ndo asiendelee kuwalangai wengine please

  • @user-st4rb5oj2c
    @user-st4rb5oj2c 4 หลายเดือนก่อน +4

    Jamani nimewahi pitia mahojiano lakini hii ya Mwanakaragwe mwenzangu,imeniuma muno but imenipa mengi ya kujifunza. Ahsante Shena kwa hizi interview.

  • @barakamazigo4840
    @barakamazigo4840 4 หลายเดือนก่อน +7

    Duuu pole Xn dada yangu kwer unahaki y ku enjoy maixha yako
    Hii interview ndo namba 1

  • @alicealen3495
    @alicealen3495 4 หลายเดือนก่อน +12

    Huyo kaka aliyekuibia passport na fedha ungemtaja jina ili usaidie watu wengine waepuke utapeli wake, sababu inaonekana anaumiza watu wengi 😢😢 aisee inasikitisha

    • @tedysimon5400
      @tedysimon5400 4 หลายเดือนก่อน

      Hakuna kukataa tamaaa

  • @Winstonfying
    @Winstonfying 3 หลายเดือนก่อน +3

    Pole sana Ma’ sista yaani story imeniumiza sana, kuna watanzania wenye Roho za kutu, mapito yako hayakuwa mepesi, umepambana sana 👏mawasiliano kama hutojali!

  • @pricemlay
    @pricemlay 4 หลายเดือนก่อน +10

    Funzo kubwa sana .Hakuna kukata tamaa🎉Una nguvu kubwa ya uvumilivu

  • @deboramsuya2940
    @deboramsuya2940 4 หลายเดือนก่อน +6

    Jamaniiii pole sanaa dada Jasmine
    Story yako imenigusa lkn wewe ni mwanamke shujaaa.
    Hongera sanaa

  • @MwalimuShauri
    @MwalimuShauri 4 หลายเดือนก่อน +5

    Pole sana dada Jasmin. Asante kwa kutuelimisha kupitia maisha yako, kwakweli dunia ina mambo.

  • @superwomanmwenyeheri.1367
    @superwomanmwenyeheri.1367 4 หลายเดือนก่อน +9

    Mwenyenzi Mungu nisaidie na mimi,nisiaibikie bidii zangu na ujasiri wangu ktk kujituma haijalishi napitia mangap,uso wako Mungu uwe na mimi niweze kufikia hatma ya ndoto zangu.
    Mungu bariki wanawake wote! Wapambanaji.

  • @anniafredrick8925
    @anniafredrick8925 4 หลายเดือนก่อน +15

    Kila siku naangalia vipindi vyako lakini hiki kimeniumiza sana, aaah pole sana dada Jasmine

    • @Jassmin-media-official
      @Jassmin-media-official 4 หลายเดือนก่อน +5

      Shukrani

    • @hamidajay776
      @hamidajay776 4 หลายเดือนก่อน

      Shukran ya nini wewe Malaya muunza tigo tigo

    • @marrypius576
      @marrypius576 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@hamidajay776wew mbon matusi tena 😂😂

    • @yeslord2276
      @yeslord2276 4 หลายเดือนก่อน +5

      @hamidajay776 mbona unamtukana dada wa watu? au we n moja wa watu uliomtapeli dada wa watu, acha ujinga

    • @hamidajay776
      @hamidajay776 4 หลายเดือนก่อน

      Huyo dada muongo sana haseme ukweli

  • @LavinaJoseph-ei2tv
    @LavinaJoseph-ei2tv 4 หลายเดือนก่อน +6

    Pole Yasmin binadamu mbaya hata hapa nyumbani ni wengi na wengine ni ndugu tuwe makini sana

  • @CuteDon-ek9rb
    @CuteDon-ek9rb 4 หลายเดือนก่อน +7

    Woow shena Leo ndo umependeza kuliko siku zooooote ❤mwah mwah mwah 💋❤️💋❤️

    • @Urembomilele_
      @Urembomilele_ 4 หลายเดือนก่อน

      Uongo😅😅

    • @user-mr7gl5ox6u
      @user-mr7gl5ox6u 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@Urembomilele_😂😂😂😂😂😅😅 jaman kapendeza bhn

    • @Urembomilele_
      @Urembomilele_ 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂kasitirika

  • @MiriamCheche
    @MiriamCheche 2 หลายเดือนก่อน +2

    Asante dada Jasmine Mungu akuongoze ktk maisha yako,Mungu akutunze na uzidi kumuomba zaidi na zaidi,mpende sana Mungu na ukatoe sadaka kila unapoona inafaa na atakujazi zaidi,wasaidie wengine wafanikiwe

  • @azaransari7307
    @azaransari7307 4 หลายเดือนก่อน +2

    Best interview ever! Big up Shena

  • @hildajoel5
    @hildajoel5 4 หลายเดือนก่อน +10

    Kuna mtu US aliniambia hayo mambo ya nursing au security ila namshukuru huyu dada nimeelewa vizuri. Ila wabongo nyoko🙌🙌🙌

    • @chalemofaraji8797
      @chalemofaraji8797 4 หลายเดือนก่อน

      Huyo dada NI kahaba alikuwa anajiuza patision usiku hapa Athens NI anafanya jamii uwezi kupata boarding pass bila ya passport NI muongo sana

    • @homeandaway2811
      @homeandaway2811 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@chalemofaraji8797 Kajiuze nawewe kama unaona donge, wivu tu unakusumbua

    • @brendajulius2995
      @brendajulius2995 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@chalemofaraji8797mlikuwa mwajiuza wote??? Hebu dadavua

    • @sekikigosi8265
      @sekikigosi8265 4 หลายเดือนก่อน +9

      Kwahiyo unataka kusemaje acha roho mbaya km alijiuza ni yy wewe inakuuma nini hakuna mtu anapenda kujiuza ni shida ilimpata labda akafikia huko sasa ulitaka atuambie alijiuza acha ujinga ww kiroboto.

    • @chalemofaraji8797
      @chalemofaraji8797 4 หลายเดือนก่อน

      @@sekikigosi8265 si Malaya mwenzio ndio maana unamuunga mkono huyo NI Malaya kama wewe

  • @atuamohamed9664
    @atuamohamed9664 3 หลายเดือนก่อน +4

    Ni kweli maisha hata katika nchi zetu za Africa nimazuri kuliko ulaya mtoto wangu unasema ukweli

  • @neemafyumagwa7913
    @neemafyumagwa7913 4 หลายเดือนก่อน +5

    Ogopa sana kukutana na Mtanzania ulaya afu ukawa unashida unataka akusidie. Hutopata msaada na wanaroho mbaya Sana .

  • @sadiqfixer
    @sadiqfixer 4 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana da Shena na da Yasmin, nimesoma mengi sana hapa ktk hii interview

  • @Jeff_Tz
    @Jeff_Tz 4 หลายเดือนก่อน +3

    Dada Shenah, Mgeni wetu wa leo Dada Jasmine story yake ni BAAABKUBWA na inasikitisha sana na ina mafunzo mengi mnooo.
    Much ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉

  • @kenty101
    @kenty101 4 หลายเดือนก่อน +4

    This was so refreshing to watch.. sad.. but very informative..as well.. something cute about how she talks.. she is so funny...😂😂I love love her.. pole Sana m so happy you are okay now.. thank you for sharing your story with us..

  • @NananaCoolCool
    @NananaCoolCool 4 หลายเดือนก่อน +16

    Hii TH-cam channel is the best!! Just discovered it but I can't stop watching!

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  4 หลายเดือนก่อน +3

      Thank you dear, share to other people wa enjoy na kujifunza pia
      Karibu sana 🥰

    • @flavianakanga4726
      @flavianakanga4726 4 หลายเดือนก่อน

      Dada pole sana kwa yaliyokupata.There is light at the end of the tunnel and i believe you light.

    • @MwajumaIddy-nk1gn
      @MwajumaIddy-nk1gn 4 หลายเดือนก่อน

      Jmn dada maomba no ya uyo dada please

    • @armstrong_007
      @armstrong_007 4 หลายเดือนก่อน

      @@OfficialDatingAssistance
      YOU ARE VERY BEAUTIFUL GORGEOUS LADY OF EAST AFRICA AND CENTRAL AFRICA

    • @MsMasola
      @MsMasola 3 หลายเดือนก่อน

      For sure hata mimi nimeipenda sana hii channel kuna mengi ya kujifunza. Watu wanapitia sana mambo magumu. Pole na hongera kwa dada kwa yote uliyoyapitia hata dhahabu lazima ipite kwenye moto ili iwe safi. Mungu azidi kukupigania na usiache kumshukuru kila wakati.

  • @user-dl1ju4ge3x
    @user-dl1ju4ge3x 4 หลายเดือนก่อน +4

    Kati ya interview nilizowahi kuzisikiliza hii imenipa funzo kubwa, hongera Shena kwa kutuletea watu hawa

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 3 หลายเดือนก่อน +12

    Poleyake dadayetu ameteseka sana mungu amlimde zaidi na ampe maisha marefu.

  • @BibianTz
    @BibianTz 4 หลายเดือนก่อน +3

    Leo nimekaa chini kwakutulia nikasikiliza mwanzo mwisho na 😢 sana hii story inamengi yakujifunza shukuran sana Sheina kwa haya madarasa. Pole sana kwa Dada etu.

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 4 หลายเดือนก่อน +5

    WanaKarangwe sis umetuwakilisha vyema pole kwayote uliyopitia ilikua ni daraja ili sisi tupate experience,hongera sana kwakweli umepambana,God bless you ❤❤

  • @agnesndemanyisho5291
    @agnesndemanyisho5291 4 หลายเดือนก่อน +5

    The best interview I have listen from this channel

  • @salehkhamis3000
    @salehkhamis3000 4 หลายเดือนก่อน +5

    Mie nawashauri ndugu zangu Watz mnaosafiri kuweni makin na Watz mnaokutana nao nje ya inchi wengi wao Wana tamaa mtu badala ya kukusaidia anakuzidishia matatizo kw tamaa ya pesa ndogo tu na kukuharibia maish yako yote.

  • @josephifanda5626
    @josephifanda5626 3 หลายเดือนก่อน +2

    Dada shena,katika interview ulizowahi kufanya this is the best

  • @user-mw5xs2wx8n
    @user-mw5xs2wx8n 3 หลายเดือนก่อน +13

    Nipo Uturuk kitu nilichojifunza maisha sio rahisi popote duniani ila popote pazur km Mungu akikuchagua uish vizuri

  • @user-hg9xh8es1o
    @user-hg9xh8es1o 4 หลายเดือนก่อน +2

    Duh pole sana Jasmine, hongera kwa ujasiri.

  • @marylibaba2589
    @marylibaba2589 4 หลายเดือนก่อน +10

    USIJALI MAMBO MAZURI MAJARIBU NIMAKUBWA SANA.

  • @RebecaRebby
    @RebecaRebby 3 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU wa mbinguni nimehuzunika na kujifunza pia pole sana Dada Jasmine, ahsante Shena kwa hii interview hii

  • @INMYKITCHENJIKONIMWANGU
    @INMYKITCHENJIKONIMWANGU 4 หลายเดือนก่อน +5

    Nimekupeeeendaaaa bure. Unaongea kiswahili vizuri hata hujifanyifanyi umesahau lugha. Nimefall in love na lafudhi yako

  • @wariobamussa2462
    @wariobamussa2462 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera kwa Dada Jasmine umevipiga vita na umeshinda.. huyo aliyekuibia hela na passport. Mungu atakulipia.....BIG up Shena what a beautiful, educational and emotional interview

  • @zainabkazige7388
    @zainabkazige7388 4 หลายเดือนก่อน +2

    Very nice story ina mafunzo mengi sana.. pole sana kwa changamoto ulizozipitia

  • @praxedaandrewkato7472
    @praxedaandrewkato7472 4 หลายเดือนก่อน +4

    Official your interview always good may god bless you 🙏

  • @Winifridainturkey
    @Winifridainturkey 4 หลายเดือนก่อน +5

    UGIRIKI NI UTURUKI ILIYOCHANGAMKA CHANGAMOTO, NATURE YA KAZI NA MALIPO, UPATIKANAJI WA MAKAZI YAANI WALE WATU NI WATURUKI TYPICALLY 😢 POLE NDUGU YETU KWA CHANGAMOTO NA HONGERA KWA UZIMA BAADA YA CHANGAMOTO ZOTE

  • @masekebabere3282
    @masekebabere3282 4 หลายเดือนก่อน +1

    Best interview ever dear Shena

  • @gracekakwezi8941
    @gracekakwezi8941 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana 🎉🎉🎉🎉🎉
    Sheina ubarikiwa Sana
    Jasimie hongera sana kipenzi kwa kupambana Mimi nakupa .🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @rahmajaffar7007
    @rahmajaffar7007 4 หลายเดือนก่อน +6

    story yako ni nzuri tumeenjoy kusikiliza inafanana na movie itaitwa the swimmers pole sanaaa kwa changamotoo ulizopitiaaa lakini Mungu ni mwema kakuvusha koteee

    • @franklinbernard4367
      @franklinbernard4367 4 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli😢 tena hiyo movie nimeiangalia wiki iliyopita tu

    • @rahmajaffar7007
      @rahmajaffar7007 4 หลายเดือนก่อน

      yaani kujilipua ni kujitoa muhanga haswaaa @@franklinbernard4367

    • @jovovichmedia9424
      @jovovichmedia9424 4 หลายเดือนก่อน

      Wabongo bana

  • @Urembomilele_
    @Urembomilele_ 4 หลายเดือนก่อน +9

    Wakenya wengi wanajidaia wanatujua watanzania sana wakati si kweli

    • @annamussa185
      @annamussa185 4 หลายเดือนก่อน +5

      Yani wanakiherehere Cha Hali ya juu 4G kiherehere siwapendi jamani wanajifanya wanarujuwa wakati hawajawahi hata kukanyaga Tz wanaisikia tu nyau hao

    • @naturelle1097
      @naturelle1097 4 หลายเดือนก่อน

      Mtu mmoja anaweza wachafulia nchi nzima jina.

    • @janetmwikali5477
      @janetmwikali5477 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@annamussa185yaani umeongea kama mjinga kweli

  • @Ashreystar8465
    @Ashreystar8465 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana dada jasmin,kwa hatua uliyofikia nimejifunza kitu kikunwa kwako ❤❤❤❤

  • @femidayahaya4882
    @femidayahaya4882 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana Jasmine! Allah akuhifadhi muda wote.

  • @mohamedsembe5368
    @mohamedsembe5368 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nimemkubali sana huyo sister, kanikumbusha safari yng ya Australia mapito yalikuwa mengi, but kwasasa nimerudi home maisha safi

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  3 หลายเดือนก่อน

      Karibu sana kwenye kipindi
      +4367764790884

    • @mohamedsembe5368
      @mohamedsembe5368 17 วันที่ผ่านมา

      @OfficialDatingAssistance okay sister thanks, kwasasa nipo road naelekea Uganda 🇺🇬 but nikitulia nitakuchek

  • @gracecolyvas392
    @gracecolyvas392 4 หลายเดือนก่อน +2

    Dada kwa kweli, Mungu akubariki sana,kweli mpambanaji sana unatupa shule asante,dada asante sana kwa kutuletea hawa wa dada

  • @brigitajohn8102
    @brigitajohn8102 4 หลายเดือนก่อน +2

    Dada jasmin hongera sana 🎉 wewe ni mwanamke jasiri love from italy

  • @user-wf2np4ch6l
    @user-wf2np4ch6l 4 หลายเดือนก่อน +4

    Story tamu chungu jamn mdadakapambana kiumee kafanya utalii mgumu bila kupenda. Daaaaah mungu asimame naye kwa kweli.

  • @OlyUpowerfuljesus
    @OlyUpowerfuljesus 4 หลายเดือนก่อน +3

    Busy enjoying to listen to my Nyambo accent ❤ weza mpola bhambe😢

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 4 หลายเดือนก่อน +9

    😂😂😂😂 natamn tungejua mpemba yuko wap Sasa 😂😂😂ni Singapore au Thailand 😂😂

    • @Lodrickmwambene
      @Lodrickmwambene 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂

  • @fatumakalunga2852
    @fatumakalunga2852 4 หลายเดือนก่อน +3

    Pole sana dada jasmin kwamatatizo uliyo yapata, ila Mungu amekuwa msada mkubwa kwako.

  • @vanessamshana4144
    @vanessamshana4144 4 หลายเดือนก่อน +1

    God is great .hongera dada jasmine

  • @wizardmobile5493
    @wizardmobile5493 4 หลายเดือนก่อน +4

    Maashaallah sheina umependezaje hijab inakupendezesha Ramadan Kareem

  • @sindiswanombulelomvene7951
    @sindiswanombulelomvene7951 4 หลายเดือนก่อน +1

    Oh Jasmine dada yangu so proud of you. You are a strong, beautiful person .

    • @Jassmin-media-official
      @Jassmin-media-official 4 หลายเดือนก่อน +1

      My sister from day one look where we are now 😍

  • @dollymogosi6899
    @dollymogosi6899 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dada Jasmin kwa safari ngumu sana ya maisha. Nafurahi Mungu alikuwa nawe kukuongoza katika mapito haya. Ni kweli kuna wanadamu ni wabaya sana inabidi uwe makini sana kuchagua mtu wa kumweleza undani wako. Wengine ni watu wema kbs sio Watanzania wote ni wabaya ila uwe makini sana.

  • @mamaabduly
    @mamaabduly 4 หลายเดือนก่อน +6

    DADA JASMIN ZAIDI YA MWANAJESHI.... MUNGU AENDELEEE KUKUPIGANIA

  • @user-ig1ds2eq4d
    @user-ig1ds2eq4d 3 หลายเดือนก่อน +1

    All in All never give up in Life❤❤❤
    Thank you for sharing Dear😊

  • @mwanaharabu82
    @mwanaharabu82 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana Jasmine kwa uliyopitia, Mungu yu mwema sana. Alhamdulillah 🤲🏽

  • @user-fh7wu8vx1y
    @user-fh7wu8vx1y 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ma shaallah shena
    endelea kujistri hivohivo

  • @asiamohamedy2643
    @asiamohamedy2643 4 หลายเดือนก่อน +2

    Dada assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh umependeza wallah VAZI la stara watu hupendeza

  • @elizabethmakaranga218
    @elizabethmakaranga218 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana mungu ktk ya changamoto huwa anatwalia utukufu ,maana kwake mungu hakuna linaloshindikana yote yanawezekana aminaaaa

  • @Abusabri254
    @Abusabri254 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaica munapo karibisha mgeni yeyote mtanzania jaribuni kutoka manzoni wa stories yake ajaribu kufupisha story yake,amazing sivyo tutajikuta tumepoteza mda mwingi kwa baadhi ya story zengine ambazo sio muhimu sana kuzisikiza.

    • @user-bq7rh3wm3f
      @user-bq7rh3wm3f 3 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli unachokisema. Wajaribu kupunguza Story

  • @joelirunde2823
    @joelirunde2823 4 หลายเดือนก่อน +2

    Umenipa experience nzuri sana ya Greece naenda mwezi 5 Athens.
    Lakini kwa mkutano wa kidini.
    Lakini kutakua na tour za Thessaloniki na Macedonia

  • @husnakaka8949
    @husnakaka8949 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wooow...what a nice story

  • @samiramilky7946
    @samiramilky7946 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana safari ilikua ngumu lakini tu akuombea maisha ya furaha na afya mzuri. Mungu akupe shifa yaraab 🤲pole dada itawafunza wengi sana!

  • @mabulamasunga7378
    @mabulamasunga7378 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana dada umepambana sana. Mwanamke wa shoka.

  • @user-iz9ci4rs3d
    @user-iz9ci4rs3d 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana pia pole sana

  • @peninamisungwi1564
    @peninamisungwi1564 3 หลายเดือนก่อน

    Duniani kuna mapito kweli kweli, hongera sana da Jasmin umesimamia malengo yako na Mungu kakuwezesha; thumbs up Shena.

  • @SophiaAthumani-ri4lu
    @SophiaAthumani-ri4lu 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana ndugu story yako ni ushuhuda wa kutosha natamani uandike kitabu cha kusimulia historia yako na wengine tujifunze zaidi

  • @mitawilliam264
    @mitawilliam264 4 หลายเดือนก่อน +2

    An awesome and touching jasmine story.

  • @EstellaSebastiaoAntonioJ-fh2qg
    @EstellaSebastiaoAntonioJ-fh2qg 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ooooh!. Pole Dada Jasmin. History yako imenifundisha kitujamani daaah!.

  • @arsenenkurunziza8962
    @arsenenkurunziza8962 4 หลายเดือนก่อน +3

    Yaani sister umeongea ukweli saaana.pole saana kwa ugumu wa Safari Ila Ni funzo saana kwa ndugu zetu waliopo nyumbani.wanafikiri ulaya ni paradis.kumbe sio

  • @mariamsouleymane2121
    @mariamsouleymane2121 3 หลายเดือนก่อน

    Pole sanaa Dada Jasmim kwa yote iliyo pitia dhu Allah azidi kukuhifadh.na ongera sana Da shenah kwa kazi nzuri Allah akuhifadh na akubariki

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 4 หลายเดือนก่อน +4

    Hii masikitiko sana na chakujifunza kuwa mbali watu wa nchi yako ni wivu sana ukiona mtu anamaendeleo na ndoa bado hipo hangaiki nacwatanzania so sad.

  • @kevinmary7129
    @kevinmary7129 4 หลายเดือนก่อน +13

    Wakenya by nature wana roho mbaya

    • @naturelle1097
      @naturelle1097 4 หลายเดือนก่อน +2

      Sio kweli mimi nimeishi nao hawapendi mazoea illa ni watu wazuri usipowaelewa utawaona wabaya

    • @joejoshua7791
      @joejoshua7791 4 หลายเดือนก่อน +2

      Wanajionaga wazungu

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 4 หลายเดือนก่อน +2

      Awajioni Wazungu ulaya bali wanababaikia wazungu,,wapo wengine smart tu inategemea na kabila lake

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 3 หลายเดือนก่อน

      ​Ah mi sitaki hata kuwasikia nilochuna uso nikamtafutia kazi mkenya 😢dah fedheha aliokuja kunitia wallahi sitamani ata kumsaidia mkenya yeyote kwa kweli nimekoma kujifanya mwema..saivi nikimuona mkenya simwambii hasa km mi ni mtamzania ah we acha tuila anajuta huko aliko..maana nilimpatia sehem ya maana..akajichetua... nakuja kupewa taarifa zake nilijisikia vibaya mnoo..sina hamu nao. @@naturelle1097

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@naturelle1097hawana mazoea akiwa hana shida tu lkn akiwa ana shida anajuwa kukuzoea tena atakuganda km mmetoka tumbo moja ...ila km hana shida wanajifanya hawana mazoea

  • @user-kr8ye8cj7b
    @user-kr8ye8cj7b 4 หลายเดือนก่อน +2

    Dah really painful my sister pole sana jamani nawapata kutoka south Africa 🙏

  • @nicedavid8536
    @nicedavid8536 4 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sanaa dadake huyo kaka anaroho mbaya sana, bora angeiba pesa peke, kama alivunjika mguuni ndio malipo yake.
    Karibu niko jirani yako.sina mambo mengi mengi.

  • @shanaharuna217
    @shanaharuna217 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani ndiyo maaana naona sura sio ngeni"Magomeni mikumi unakozungumzia karibu na soko huu mtaa unaitwa Shokka ndiyo home❤

  • @SalumSadallah
    @SalumSadallah 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana Jasmin mungu akuongoze Kwa Kila jambo jema mbele Yako .

  • @ashikfidahusein8189
    @ashikfidahusein8189 4 หลายเดือนก่อน +3

    Pole sana tena Sana bibi jasmin baada ya dhiki ni faraja

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 4 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana dada binadamu kazi sana

  • @user-gy6xz5xh3f
    @user-gy6xz5xh3f 3 หลายเดือนก่อน

    Pole Sana Dadangu Yasmin Nimejifunza Mengi Sana Kwa Story Zko Nakutakia Good Live Maisha Yko

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 4 หลายเดือนก่อน +4

    Pole Dada Jasmin mimi niliingia kwakuolewa

  • @sweetbertalbogust7112
    @sweetbertalbogust7112 3 หลายเดือนก่อน +1

    Unajua kitu kilicho kubeba, wewe ni mtu mwemma, kwa kuwa Mungu anajua ya rohoni ndiye aliye kuokoa ktk harakati zote. Hongera sana

  • @restyrose1574
    @restyrose1574 4 หลายเดือนก่อน +7

    Nimempenda Sana huyu dada jamani

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 3 หลายเดือนก่อน

    Pole Sana mkabila mwenzangu kwa changamoto uliyo pitia hakika mungu amtupi mja wake 🙏🙏🙏

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 3 หลายเดือนก่อน +1

    mashaAllah huyu Dada Jasmin ni kichwa sana Mungu ni mwema sana.

  • @user-rq9yg7sp3z
    @user-rq9yg7sp3z 4 หลายเดือนก่อน +3

    I love your channel queen ❤❤❤❤