BARAKA ZANGU ZILIVYOFUNGUKA BAADA YA INTERVIEW HAPA|MUNGU KAMLETA MAMA YANGU KWENYE MAISHA YANGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ค. 2024

ความคิดเห็น • 174

  • @OfficialDatingAssistance
    @OfficialDatingAssistance  15 วันที่ผ่านมา +3

    th-cam.com/users/liveeAK_nhSHqQA?si=67dyP2OiC9zWp2Nf
    Link ya video ya kwanza
    th-cam.com/users/liveMkjaVOyGynA?si=avHGUZlDYy8kzjx8
    Link ya video ya pili

  • @vivianmahoo8611
    @vivianmahoo8611 16 วันที่ผ่านมา +23

    Huyo mama angemfanyia mpango huyu dada na mtoto waende, huyu baba baada ya mwaka angekua vizuri sana,

    • @faustinaurio3703
      @faustinaurio3703 15 วันที่ผ่านมา +3

      Huyo ajuza hataki family ya kijana yake😮

    • @Byme6434
      @Byme6434 13 วันที่ผ่านมา

      Nahisi Shida Ipo Kwa Mama

  • @brendajulius2995
    @brendajulius2995 16 วันที่ผ่านมา +17

    Weeee hatimaye kuti kapatikana jamani nimefurahi sana mana alijua kutusikitisha😢😢

  • @user-xl5mq5ug2j
    @user-xl5mq5ug2j 16 วันที่ผ่านมา +13

    God is always good aisee part 1 nililia lkn jmn kweli mungu hamsahau aliye mlilia hajawai kachwa ❤❤❤..Glory to God

  • @winfridahaule4364
    @winfridahaule4364 16 วันที่ผ่านมา +10

    Nimekupenda dada Mungu akupigania huyo kaka ni wako ni swala la muda tu

  • @Lucy_ikupa
    @Lucy_ikupa 15 วันที่ผ่านมา +8

    Shena hongera mwaya kwa kuwa sehemu ya maisha ya huyu dada

  • @user-wu1bl6kl6t
    @user-wu1bl6kl6t 16 วันที่ผ่านมา +9

    Mbona nalia machozi ya furaha nikikumbuka huyu dada alivyokuwa 1st interview wacha Mungu abaki kuwa Mungu

  • @jacqueisaac8155
    @jacqueisaac8155 16 วันที่ผ่านมา +7

    Jamani jamani. Aise Mungu yupo jaman and true love never dies. Am happy for her

  • @HelenaEdward-qm9wx
    @HelenaEdward-qm9wx 16 วันที่ผ่านมา +13

    MUNGU Akutunze Zaidi Dear Shena Interview zako zina Mafundisho mazuri Sana ❤❤

  • @candidadilemile5882
    @candidadilemile5882 13 วันที่ผ่านมา +3

    Wow ! Maombi yaendelee ili aimalike zaidi huyo ana mapenzi na upendo wa dhati ipo siku mtaishi pamoja mmlee mtoto wenu don't give up Mungu yupo na anatenda

  • @mariamahmad8261
    @mariamahmad8261 15 วันที่ผ่านมา +8

    Mashaa Allah nimefurahi kumuona tena jaameni nilikuwa na muwazia Sana na kumuombea duwaa na shukuru Allah ameirejesha furaha yake Allah Kareem

    • @doriskiwale9309
      @doriskiwale9309 12 วันที่ผ่านมา

      Natafuta intaview yake ya kwanza siiyoni jaman .Hakika Mungu ni mwema

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 16 วันที่ผ่านมา +7

    Dada uko vzr mwenyezi mungu akutie nguvu subira na uvumilivu

  • @esthermachangu4970
    @esthermachangu4970 15 วันที่ผ่านมา +6

    yaani huyu mama angeataka maisha ya mwanae yabadilike angeruhusu huyu dada akaenda kumuhudumia kutti yaani angeacha ubishi tu

  • @mariambakari8065
    @mariambakari8065 13 วันที่ผ่านมา +3

    Jamani huyu dada mungu kasikia maombi yako hakika usiahe kuiomba

  • @debbiethomas9825
    @debbiethomas9825 14 วันที่ผ่านมา +4

    Mlioko huku Ulaya mnajua huyu Baba anapitia hali gani... Angekaa na mkewe miezi 6 tuu angebadilika sana... Mama yake anazidi kumtia ugonjwa... Kila saa ni kelele na hamsaidii kwa mazoezi wala nn.... Wamama wa huku ni wachache sana wenye upendo wakuwapigania watoto wao.... Wengi ni kelele na kukuona huna faida tena... But huyu Angekaa na Mama mtoto wake angepona mapema sana..... 😢

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 16 วันที่ผ่านมา +6

    But what I’ve learned from this story Fridge zetu zisiwedondoshe Barafu to everyone and Pia kumtegemea Mungu mana katika kila jaribu kuna Mlango Mwingine wa Kutokea

  • @SuzanneMyles
    @SuzanneMyles 15 วันที่ผ่านมา +3

    aww for really nimelia machozi ya furaha 😢🙌😒😭😭KWELI MUNGU YUPO GUYS😢❤sis shena your more than a shoulder to cry and learn on 😢❤always proud to know you May God keep you for us ❤❤❤

  • @AsiaAsia-sv6ok
    @AsiaAsia-sv6ok 14 วันที่ผ่านมา +2

    Ooh Chendwa Wang nimefurai sana kukuona adi machozi yamenitoka MUNGU ni mwema sana ipo siku utaenda kuishi na baba mtoto wako in Sha Allah

  • @Upendo6405
    @Upendo6405 16 วันที่ผ่านมา +13

    Mungu ashukuliwe chendwa usiache maombi mungu yupo

  • @nataliaemanuely4046
    @nataliaemanuely4046 16 วันที่ผ่านมา +5

    Glory to God , Mungu amutupi mja wake…

  • @mayatione6
    @mayatione6 13 วันที่ผ่านมา +1

    mwenyezi mungu mkwabwa uyu dada nlikua nafatilia historia yake
    am happy naamini kwa uwezo wa Allah ataungana na mumewake na mtoto wao na wataishinkwa pamoja .kikibwa usiwahi kukata tamaa kwa umtu unaempenda hata itokee changamoto gani muamini mwenyezi mungu na amini kua mda sahihi u akuja zidi kusali na kuomba mungu

  • @user-iv4zj7ii4t
    @user-iv4zj7ii4t 15 วันที่ผ่านมา +3

    Shena mungu akubariki kwa ushauri wako kwa watu wengi hasa huyo dada alikutana na watu kutia wewe, mungu azidi kukuinua maana unamsaada kwa watu wengi

  • @happynesskampando9425
    @happynesskampando9425 15 วันที่ผ่านมา +3

    Pole Kendwa usichoke kuomba .Mungu atazidi kukusimamia .

  • @Upendo6405
    @Upendo6405 15 วันที่ผ่านมา +7

    Kwasasa amani ipo mungu ashukuliwe and dada yetu shena ubalikiwe sana unatusaidia umeletwa duniani na mungu kwamakusudi usituchoke amen

  • @SADEE._
    @SADEE._ 15 วันที่ผ่านมา +3

    Dada shena tunaomba utuletee mwana dada anaitwa @Amina kupila anatumia hivyo kote hapa TH-cam TikTok interesting kote yeye yupo finland naye pia hua anatoa mafunzo mbali mbali ya ki maisha kwa ujumla

  • @elizabethhonere2931
    @elizabethhonere2931 13 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu amfanyie wepesi waungane kama familia jamani

  • @sarafinasangajenga1378
    @sarafinasangajenga1378 12 วันที่ผ่านมา +1

    Harafu mtt wake angeishi maisha malefu kuishi na huyu Dada da hongera sana mrembo

  • @cleopatrahenry7541
    @cleopatrahenry7541 16 วันที่ผ่านมา +4

    Jamaanina mkumbuka huyu dada hatimaye Mungu ni mwema

  • @rachelmgema6930
    @rachelmgema6930 14 วันที่ผ่านมา +2

    Kweli Mungu ni mwaminifu sana. Naamini shendwa siku moja mtaishi wote na baba wa mtoto wako.

  • @anetkileo2461
    @anetkileo2461 13 วันที่ผ่านมา +2

    Jaman nimefurahi kumuona Tena huyu dada Mungu ni mwema

  • @ShemsaKiobya
    @ShemsaKiobya 14 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu nimwema Kwa kuwa mumeo anaendelea vizuri

  • @fridamollel1568
    @fridamollel1568 13 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akubariki sana wewe dada, unampenda Mungu na yeye amekuonyesha upendo mkubwa sana.

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 13 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu Nimwema kwakweli na huyo Binti mvumilivu

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 10 วันที่ผ่านมา +1

    Jamani mungu ni mwema kwakweli huyo baba kama angekaa na mke wake angepona, kwa sababu ulaya kuna stress upweke ni mwingi mno na kuumwa anatakiwa watu wakumsemesha, mama mkwe ndio anazidisha ugonjwa wa mwanae.

  • @DM.2200
    @DM.2200 16 วันที่ผ่านมา +5

    shena naomba ulete tena ya mary mswidesh yule mama wa mapacha

  • @user-wc6wq7rm7x
    @user-wc6wq7rm7x 11 วันที่ผ่านมา

    Dah'!! Mungu alijionesha.mpk nimelia,nimemuona,namsifu sana huyo Binti,pia mamake kushikamana,naye Kwa Kila hatua.dah.Mungu atasimama juu yenu Hongera sana

  • @lovely10emoji49
    @lovely10emoji49 12 วันที่ผ่านมา +1

    Masha Allah ame change sana nimefurahi sana kumuona tena Mungu azidi kumsimamia Inshaa Allah

  • @fridamollel1568
    @fridamollel1568 13 วันที่ผ่านมา +1

    Ooh Hallelujah endelea na maombi mpendwa usiache Mungu anaishi.😊

  • @zainabkazige7388
    @zainabkazige7388 14 วันที่ผ่านมา +3

    Yani huyo mama wa Kuti angejali furaha ya mtoto wake kama kweli anampenda, angewachukua Chendwa na mtoto wake ili wakaishi huko Austria pamoja. I hope one day Chendwa ataungana na mpendwa wake

  • @maryswaibu2218
    @maryswaibu2218 12 วันที่ผ่านมา +1

    Mama huyu kuting anachangia kumuua mwanae mapema raiti angemruhusu huyu dada kuwa pamoja na mmewe angepona na maisha yangeebdelea

  • @nashnene6326
    @nashnene6326 12 วันที่ผ่านมา +1

    Unafanya vizuri sana Shena. Pia naomba link ya interview ya yule kijana alienda US kwa kupitia Brazil

  • @Its_Goodluck
    @Its_Goodluck 15 วันที่ผ่านมา +4

    aisee pole sana Shendwa na mungu akufanyie wepesi katika mambo yako licha ya changamoto kubwa zinazokukabili

  • @happinessmisanga4944
    @happinessmisanga4944 10 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu Ni mwema sana shena ubarikiwe sana unawagusa watu

  • @Juke995
    @Juke995 15 วันที่ผ่านมา +2

    Hongera pia pole maana bado ni safari ndefu sana ila kikubwa mtoto kakutana na baba ake na kingine Next time nenda ubalozi wa ujerumani hapo ndani kuna ubalozi wao na ni haraka zaidi haina haja ya kupiga simu sijui nchi jirani na ni rahisi hata kuelewana lugha ya mzazi wa mumeo na watu wa ubalozi wa ujeruman and maybe unaweza pata visa ya ujeruman then unaingia Austria wanaweza fanya hivyo pia kama unabahati mtoto anapatiwa sponsor kutoka Krankenkasse ya baba ake kwa 90 days na lawyer bure

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 16 วันที่ผ่านมา +5

    Mama mkwe hapo kalenga mali. Shindwe kabisa

  • @beatricemashauri5649
    @beatricemashauri5649 16 วันที่ผ่านมา +4

    Hasikiki!lakini all in all God is good always!

  • @aminakawawa5800
    @aminakawawa5800 15 วันที่ผ่านมา +1

    Hörgerät sasa shena hongera pia dada mungu ni mwema mashallah ❤❤❤❤

  • @maimukanabora8751
    @maimukanabora8751 15 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu awatunze Sanaa na mtoto

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 13 วันที่ผ่านมา +1

    Da shena ulivyonitumia link ya part one mnimeangalia zote na nimeelewa..stor nzur japokuwa yakusikitisha..mungu atamsaidia

  • @joslinchuwa1298
    @joslinchuwa1298 12 วันที่ผ่านมา

    Shena ubarikiwe sana kipenzi umekuwa baraka sana kwa maisha ya wengi. Mungu akutunze dear

  • @elizamushi-yv4iz
    @elizamushi-yv4iz 11 วันที่ผ่านมา

    Mungu wa upendo,Amina mno fanikiwa sana sijui niseme nini usirudi nyuma,songambele Chendwa.Mungu atakuona ndugu wengi wa upendo

  • @verynicemoshi9959
    @verynicemoshi9959 15 วันที่ผ่านมา +1

    Jamani uyu dada ongera kwa kumrudisha Shena na Mungu akujalie kipenzi

  • @betricemainoya4176
    @betricemainoya4176 15 วันที่ผ่านมา +2

    Yaani mungu siwezi mtafakari mgonjwa kapewa visa na akafika Tz na akakutana na familia yake waaa ashukuriwe mungu yote yatakuwa mazuri shetani Hana ushindi wataishi pamoja, hayo ndio maombi yangu

    • @anastaziamathias8861
      @anastaziamathias8861 7 วันที่ผ่านมา

      Mtu yoyote WA ulaya hapewi visa kusafiri kokote duniani visa wanakata wakishafika nchi husika

  • @allthingsafrican
    @allthingsafrican 10 วันที่ผ่านมา +1

    Mwenyezi Mungu ni Mwema wakati wote

  • @ilakozasembumende1975
    @ilakozasembumende1975 12 วันที่ผ่านมา +1

    Chendwa wetuu😢😢😢😢😢❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ameeranassor1619
    @ameeranassor1619 14 วันที่ผ่านมา +1

    POLE sana dada, Mwenyezi Mungu akusimamie

  • @joycehagman3086
    @joycehagman3086 15 วันที่ผ่านมา +2

    Pole dada yo have to get Urania wa mtoto wa kwa baba yake ,Naya Tanzania , dual citizenship, German, and Tanzania, you son to learn Germany Swahili in English is going to help me future when she decide to go to school in Europe do that tomorrow thank you

    • @momforone7946
      @momforone7946 15 วันที่ผ่านมา

      Sio nchi zote zina duo citizen dear.

  • @user-rc9qm2tw2o
    @user-rc9qm2tw2o 5 วันที่ผ่านมา

    Pole sana chendwa mungu akupiganie ❤ l love love you my dear friend

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 15 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera sana dada na Mungu akubariki dada Shena

  • @user-eb1kd4ko5x
    @user-eb1kd4ko5x 15 วันที่ผ่านมา +1

    Shena mungu akubariki sana mungu akufungulie milango mikubwa zaidi

  • @hajramahumba7133
    @hajramahumba7133 16 วันที่ผ่านมา +3

    Am happy for this sure ❤❤

  • @fatemamahmood5440
    @fatemamahmood5440 12 วันที่ผ่านมา +1

    Daaaah part 1 sijaiona

  • @jacklinenaftal7985
    @jacklinenaftal7985 15 วันที่ผ่านมา +3

    Kabla sijaanza ata kutizama... Nimefurahi jmn maana nilitizama sehem ya kwanza 😊❤

    • @user-dn6wx7dv3l
      @user-dn6wx7dv3l 15 วันที่ผ่านมา

      Mungu ni mwema sana

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  15 วันที่ผ่านมา

      ❤️

    • @olivernyange2349
      @olivernyange2349 14 วันที่ผ่านมา

      ​@@OfficialDatingAssistanceshena hongera sana kichwa cha Habari story yake ya kwanza uliandikaje

    • @annamallya8756
      @annamallya8756 13 วันที่ผ่านมา

      Utukufu kwa Mungu🙌🙌🙌

  • @gloriamwanjali9371
    @gloriamwanjali9371 16 วันที่ผ่านมา +2

    Sad story but God is faithful

  • @lucymtui8680
    @lucymtui8680 16 วันที่ผ่านมา +2

    Àmina
    Mungu yu mwema ❤

  • @beatricejohnkomba3076
    @beatricejohnkomba3076 14 วันที่ผ่านมา +1

    Nilianza kufatilia kipindi chako kupitia huyu dada

  • @JulianaJackson-lz6vq
    @JulianaJackson-lz6vq 15 วันที่ผ่านมา +1

    Chendwa nina furaha ss kusikia ulionana na kuty..mnapendana japo changamoto ni nyingi.Mungu akusaidie

  • @Urembomileleofficial
    @Urembomileleofficial 15 วันที่ผ่านมา +2

    Praise lord❤❤❤❤❤❤

  • @user-go5wb2pi2i
    @user-go5wb2pi2i 8 วันที่ผ่านมา

    ❤shena mungu akubariki

  • @gloriamwanjali9371
    @gloriamwanjali9371 16 วันที่ผ่านมา +3

    True love

  • @nanguniMtaita-hz4zt
    @nanguniMtaita-hz4zt 15 วันที่ผ่านมา +1

    Shena, huyu.dada hadithi yake ina funzo kiroho na kimwili. Mimi ninahaja ya kumuunganisha bint yangu ni mwalimu awe na mazoea na hili zoezi lako. How will I get you your phone number etc.

  • @clararight
    @clararight 16 วันที่ผ่านมา +2

    Dah!❤

  • @ladymacollection
    @ladymacollection 4 วันที่ผ่านมา +1

    Ongera saana shena inasaidia saana mpenzi

  • @user-qs8pd7xm9j
    @user-qs8pd7xm9j 15 วันที่ผ่านมา

    Mungu wa mbinguni akubariki sana shena ila tuletee felista wa china jamani msukuma mwenzangu

  • @jaberrabora4757
    @jaberrabora4757 16 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤

  • @victoriasarwat4736
    @victoriasarwat4736 13 วันที่ผ่านมา

    Mungu aendelee kumpa afya njema

  • @user-zo3bb7gj2o
    @user-zo3bb7gj2o 15 วันที่ผ่านมา

    Shena ubarikiwe saaaaaaaaaana❤

  • @gloriamwanjali9371
    @gloriamwanjali9371 16 วันที่ผ่านมา +1

    Naanza na huyu bibi hwazi kuwa yeye bibi akifa nani atamuugiza kuti! Maana uzeeni hatoweza. High level of selfishness kwa bibi. Hii inamuumiz sana Kuti maana ana uhitajibambao mamake hawezi mpa. Pia mamake kuona utupu wake.ni bora mkewe. Atakuwa anaumia sana. Nimelia sana wakati ninaangalia. Ninamba Mungu akamtendee muujiza ambao watu hawataamini.

  • @Zahara-or3cf
    @Zahara-or3cf 13 วันที่ผ่านมา

    Mungu anaweza kila kitu

  • @claratemba44
    @claratemba44 15 วันที่ผ่านมา

  • @Byme6434
    @Byme6434 13 วันที่ผ่านมา

    Yaaaani Maisha haya Kama Move 🥹

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 7 วันที่ผ่านมา +2

    Daah ila vibibi vya kizungu na vya kiarabu sijui hua vipoje jmniiiiiiiiii 😅😅😅🙌🙌ila Chendwa ana moyo wa pekee sana Mungu akubariki kwakweli Yan una mapenzi ya dhati ww dada sijapata kuona nakupenda dada Mungu awe nawe ktk kila hatua upigayo ❤❤❤

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 16 วันที่ผ่านมา +2

    Zidi kumkabidhi mungu klaktu

  • @marrysamwel596
    @marrysamwel596 16 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu ni Mwema sana 🙏🏼

    • @hajramahumba7133
      @hajramahumba7133 16 วันที่ผ่านมา

      Sana sana ❤️😘 tusichoke kumuomba yeye 🙏

    • @hajramahumba7133
      @hajramahumba7133 16 วันที่ผ่านมา

      Nasubilia interview zako nianze kuwatch me apa 😊

  • @rosestigeneriksson8387
    @rosestigeneriksson8387 15 วันที่ผ่านมา

    Dahh alipatashida

  • @brendajulius2995
    @brendajulius2995 16 วันที่ผ่านมา +4

    Shena nimekupenda bure, unatoa msaada kwa wageni wako mwingine hapo ni contents tu apate kusaidia aah. Keep it up darling utafika mbali sana

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 13 วันที่ผ่านมา

    Da shena uwo ndo upendo wakwel ..uwo ndo kupendana kwenye shida na raha...ila ndugu ndo wamemsababishia matatizo..ila yataisha

  • @AshaMohamed-ib4le
    @AshaMohamed-ib4le 15 วันที่ผ่านมา +1

    Nimefurahi kimpata huyu dada jamni

  • @user-iz9ci4rs3d
    @user-iz9ci4rs3d 14 วันที่ผ่านมา

    Mungu ni mwema sana

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 13 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤

  • @GubraCity-dm5sx
    @GubraCity-dm5sx 16 วันที่ผ่านมา +1

    Dada umerud tena😊

  • @Mfundo272
    @Mfundo272 15 วันที่ผ่านมา +2

    Dada Naomba unitafute

  • @user-jh4hg2ev9s
    @user-jh4hg2ev9s 15 วันที่ผ่านมา +1

    Anatakiwa specialist wa language awe anafanya mazoezi ya kuongea na kuandika..chendwa utafute kazi huko uende na visa ya kazi ukaishi peke yako na mume wako. Ata improve.

  • @dorothysamwel2648
    @dorothysamwel2648 15 วันที่ผ่านมา +1

    Endelea na maombi usiache,

  • @AgathaMpemba
    @AgathaMpemba 11 วันที่ผ่านมา

    🙏🙏

  • @annamussa185
    @annamussa185 15 วันที่ผ่านมา

    Nimefurahi sana

  • @aprilrosaliapanda4895
    @aprilrosaliapanda4895 15 วันที่ผ่านมา +1

    Naomba kichwa cha habari cha interview ya kwanza ya chedwa

  • @user-iz2dw8rp2i
    @user-iz2dw8rp2i 8 วันที่ผ่านมา

    Wajeruman sina hamu nao...nilipitia mengi +vituko vya ndugu...+watu tuliowaajiri kunivuruga kiakil mpaka nikazika mume wangu aliyenithamin mfano wa malkia sisi waswahil baadh ni shida

  • @misstumah8053
    @misstumah8053 15 วันที่ผ่านมา +1

    Dear tuekee link ya video yake ya kwanza please 🙏

  • @peterkaale6977
    @peterkaale6977 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amen Amen amen