VITIMBWI VYA MAMA MKWE VILINIRUDISHA BONGO | NILIMPELEKA MKE WANGU UMASAINI ALING’ATWA NA KUNGUNI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 พ.ค. 2024
  • Jacobo ameeleza Safari ya maisha yake kutoka Tanzania mpaka Italy
    Alikua akifanya kazi ya Ulinzi Zanzibar, alikutana na mke wake huko na kuhamia Italy.
    Kwasasa ni mume na Baba.
    Kutoka kua mlinzi mpaka sasa ni muuguzi.
    Safari yake ya Italy haikua nyepesi na maisha ya Italy hayakua ya lele mama.
    Vitimbwi vya mama mkwe wake alivyokutana navyo vilitaka kuvunja ndoa yake
    Thank you Jacobo for allowing this to be online
    www.oda.international

ความคิดเห็น • 333

  • @OfficialDatingAssistance
    @OfficialDatingAssistance  2 หลายเดือนก่อน +18

    TikTok: jacobo.matema

    • @rahmaidd8818
      @rahmaidd8818 2 หลายเดือนก่อน +2

      Mother in law from hell 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂heeee nimecheka mpaka nimeanguka

    • @nasrachimamy
      @nasrachimamy 2 หลายเดือนก่อน

      Dada sorry ninaswali hivi ata waturuki wanawez kuwapenda waswahili

    • @hasinaslim3056
      @hasinaslim3056 2 หลายเดือนก่อน

      kwahiyo humbebishi mzungu wako jamani

    • @mirabelfulani-wk5dd
      @mirabelfulani-wk5dd 2 หลายเดือนก่อน +1

      Meno 😅😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @user-pl6cl6um4l
      @user-pl6cl6um4l 23 วันที่ผ่านมา

      Hongera Jacob Hongera Dada Mwenye kipindi chako

  • @zainabsibuma-omary7061
    @zainabsibuma-omary7061 2 หลายเดือนก่อน +16

    Kaka leo umetuweza ni mcheshi sana utaishi na watu vizuri namna hio, story nzuri inachekesha na kufurahisha sana. Mwenyezi mungu aendelee kuwasimamia ktk ndoa yenu. Asante Shena kutuletea elimu kwa ujumla.

  • @user-ed3sh6ml6t
    @user-ed3sh6ml6t 2 หลายเดือนก่อน +37

    Yaani weeeh dada shena Leo umefanya mahojiano n mtu mzuri sana n mcheshi mno

    • @tinalukos3589
      @tinalukos3589 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂nimecheka sana

    • @Samwelianaseti
      @Samwelianaseti หลายเดือนก่อน

      😂

  • @angelmashauri6961
    @angelmashauri6961 2 หลายเดือนก่อน +5

    Kwakweli leo Jacob umenichekesha sana hasa bibi alipomwaga ugoro dah! story tamu sana….Ahsante Shena kwa kazi nzuri👏

  • @TichaSabah
    @TichaSabah หลายเดือนก่อน +5

    Na mara nyingi history hizi lazima ziambatane na zanzibar.alhamdulillah kumbe zanzibar kuna mchango mkubwa napo katika kufanikisha maisha.wenyeji hatujui tupo tupi tu wavivu hattari

  • @Tanesco-yi9xl
    @Tanesco-yi9xl 2 หลายเดือนก่อน +11

    Dada shena leo umekuja vzr sanaa aiseee nimecheka sana😂😂😂😂

  • @tausimbulumi503
    @tausimbulumi503 2 หลายเดือนก่อน +13

    🎉❤ uyu jamaa ana ucomemedy ndani ykee😂😂😂😂😂😂😂

  • @Bifa_2024
    @Bifa_2024 2 หลายเดือนก่อน +14

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣aise Yakobo unatuvunja mbavu sana 😅

  • @fatmaalbeity9097
    @fatmaalbeity9097 2 หลายเดือนก่อน +12

    Ahhh mahojiano haya ni vichekesho tuu hivyo visaa vya bibi vyaaina yakee 😂😂😂

  • @user-zl3yf9pp3l
    @user-zl3yf9pp3l 2 หลายเดือนก่อน +12

    Shena leo umetuweza😂😂

  • @MJM52
    @MJM52 2 หลายเดือนก่อน +10

    Shena,,, great content! Mzee wa ugoro noma sana😂😂😂

  • @PureSoul-rf4xd
    @PureSoul-rf4xd 2 หลายเดือนก่อน +24

    Unajua kuna kitu nimejifunza hapa,kwa hawa wenzetu, hawa wenzetu wanawake wa kizungu kweli wanajua kujitoa kwa kitu wanachotaka haijalishi mazingira.

  • @irenesisamo2184
    @irenesisamo2184 2 หลายเดือนก่อน +7

    Ila wifi alipanga na mama kukuachisha ugoro big up kwao 😅 mimi nimeolewa na mmasai hawatakagi kuambiwa wala kupangiwa

  • @user-hw7md3xe4b
    @user-hw7md3xe4b 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nmefurahia sana leo Jacob amenichekesha.huyo kk ni mvumilivi sana mungu amwinuwe zaidi❤❤

  • @BarakaBitariho
    @BarakaBitariho 2 หลายเดือนก่อน +7

    Napenda hii interview. Ningependa nikutane na wazungu wanaopenda hii adventure. Demu akajitia ngangari, eti unapolala nipo tayari kulala.... unachokula nipo tayari kukila. At simamiatv, we love adventures, pengine tuwe ja wanaume/wake wa kupangisha ili tuine yupi atakimbia wa kwanza kama huyu dada wa kiitali😂 I love it for sure

    • @user-jw6uc1wq2z
      @user-jw6uc1wq2z หลายเดือนก่อน

      Jacob ww ni mwana ume wa kiafrica kweli congratulations uko xawaa man

  • @vivianfortunatus5518
    @vivianfortunatus5518 2 หลายเดือนก่อน +7

    Jamani Leo nimecheka sana, sijawahi kucheka hivi

  • @annamariajackson4842
    @annamariajackson4842 2 หลายเดือนก่อน +9

    Shena leo umenivunja mbavu zangu.Ndugu Jacob umetisha uko vizuri.Hongera sana kwa kuwa Shujaa. Na Pole kwa changamoto ambazo ni mapito tu na Mungu aendelee kukutunza.

  • @salminasalim5630
    @salminasalim5630 2 หลายเดือนก่อน +6

    Ni kweli Shena ugolo ni kitu kibaya sana halafu una kuwa addicted na one of the complications of Ugoro unaweza kupata epilepsy na kadhalika na kuuwacha huwa ni kazi waliouzoea kuuvuta ugolo ila i mbaya sana tena sana. Mtu kama anajipenda ni lzima ajilazimishe kuacha n ugoro.

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hii story ya huyu kijana nimeipenda sana,yaani ni hodari wa kujieleza ,alikuwa akinyanyasika na ma mkwe, ila anavyoongea na ucheshi ,yaani utapenda umsikikilize tuu ,humchoki. alafu huyu kaka sura yake tuu inaonesha ni mtu mzuri. 20.5.24.

  • @RosemaryKidiro-wz3ux
    @RosemaryKidiro-wz3ux 2 หลายเดือนก่อน +10

    Mmasai alie changamka😂😂😂

  • @valentinemulokozi510
    @valentinemulokozi510 2 หลายเดือนก่อน +7

    Hii kali ya mwaka. Salute kwako Shena.

  • @mohamedmwavuguto8276
    @mohamedmwavuguto8276 2 หลายเดือนก่อน +3

    Akhsante sana Shena . Akhsante sana Jacob, wote kwa pmj Mungu awabariki , Amin .

  • @Mapishinatibatv
    @Mapishinatibatv 2 หลายเดือนก่อน +6

    Jamani Shena
    leo mm nimecheka kwakweli umetufirahisha sana natumejifunza sana ,kweli Jakob amekuwa muwazi kabisa.

  • @foumad6161
    @foumad6161 2 หลายเดือนก่อน +8

    Hii kiboko inahitjika ifanyike Movie 😊

  • @tufikemnyone3182
    @tufikemnyone3182 2 หลายเดือนก่อน +6

    Cultural diversity hongera Sana mmasai mwenzangu mimi nipo USA ninauzoefu mkubwa juu ya maisha ughaibuni

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 2 หลายเดือนก่อน +6

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wallah ktk interview nmechekaaa basi hiii 🙌🙌🙌

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kweli unstarabu ndio maana ndoa iko mpaka sasa hongera sana mbarikiwe sana

  • @njokimwaniki364
    @njokimwaniki364 2 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂😅Hilarious, so funny. Jacob, you have made my day..Asante . All the best .

  • @anociatafungameza
    @anociatafungameza หลายเดือนก่อน +3

    Nimepata fundisho kubwa sana, kumbe kuna wazungu wavumilivu ktk mahusiano.!!!

  • @neemasalema1546
    @neemasalema1546 2 หลายเดือนก่อน +6

    Mbona kumwaga ugoro🤣🤣

  • @graceyates3500
    @graceyates3500 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani nimecheka mpaka nimelia. The most Honest Humble human being ever. Yaani kaka Jacobameuaaaaaa

  • @Shalom2018
    @Shalom2018 2 หลายเดือนก่อน +5

    Yaani kaka angu leo umenichekesha sanaaa mpaka machozi yamenitoka.

  • @reginajohnmaghisa322
    @reginajohnmaghisa322 2 หลายเดือนก่อน +4

    Da story ya Masai imenichekesha sana, sijacheka siku nyingi!😂😂

  • @user-kt3bb7mr4e
    @user-kt3bb7mr4e 2 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂 jamani kuna watu nafurahisha Hadi raha,asante Kwa story nzuri

  • @asyakhatib7942
    @asyakhatib7942 2 หลายเดือนก่อน +5

    Nmefurahi leo😂 hebu fanya part 2 yake ya bibi tu 😂

  • @gasparlubaga5866
    @gasparlubaga5866 2 หลายเดือนก่อน +6

    Hii story tamu sana aisee

  • @samniza1763
    @samniza1763 2 หลายเดือนก่อน +4

    The best interview ever!

  • @ashakassanga1
    @ashakassanga1 2 หลายเดือนก่อน +5

    Leo nimejuwa kucheka khas🤣🤣🤣🤣🤣🤣 shena huyu masai kazibukaaa

  • @giboncebarnabas9667
    @giboncebarnabas9667 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hahaha daah nimecheka sana hii story. Guys tulike jamani hii stori iko poa sana

  • @rosestigeneriksson8387
    @rosestigeneriksson8387 2 หลายเดือนก่อน +8

    Huyu kakayangu mcheshi sana

  • @user-bo9vv9wl6e
    @user-bo9vv9wl6e หลายเดือนก่อน +1

    Hahahaha yani Jakob wewe ni nomaa sema roma kuzur mashallah nishapita hapo nilikuanaenda napol

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 2 หลายเดือนก่อน +8

    So mice story hii movie kwa kweli au kitabu kuandika

  • @MadinaMalk-yd6kp
    @MadinaMalk-yd6kp 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nice interview da shena na kaka Jacobo🥰🌹💐

  • @PaulinaPatrick-rm5lz
    @PaulinaPatrick-rm5lz 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante,Sheira nimeheka sana kaka ni muwazi kbs Asili ya ke atakikuiacha big up

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 2 หลายเดือนก่อน +5

    Nimecheka sana kha.😂😂😂

  • @blendembesimba
    @blendembesimba 12 วันที่ผ่านมา

    Ragazzo ti piace molto ugoro 😂👌🇹🇿🇹🇿🇹🇿weuwe Jacobs wacha ugoro.nafatilia kutoka Frosinone Italy 🇮🇹🇮🇹🇮🇹

  • @SheilaMaregesi
    @SheilaMaregesi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Leo nimecheka sana. Jacob anafurahisha. Yupo kihalisia sana.

  • @lilian-jq2fi
    @lilian-jq2fi หลายเดือนก่อน +3

    yaani nakufuatilianga ila leo nimecheka sana hadi kazini wananishangaa

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  หลายเดือนก่อน

      Enjoy and share with others wafurahie na kunifunza pia 😁🥰🥰

  • @anisiamchembe6552
    @anisiamchembe6552 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani leo mmenivunja mbavu yaani nimecheka mpaka mwisho 😁😁😁😁😁😁

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hakika hii interview imenifurahisha ubarikiwe kijana mwenzetu

  • @helinahenry2363
    @helinahenry2363 2 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂 yaan anazimia unampita tu, Hadi anaznduka🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌

  • @rebeccamakenzi9019
    @rebeccamakenzi9019 2 หลายเดือนก่อน

    Congratulations kaka.. Auguriii tantooo... Binti ya wenyewe amepatana na kuguniii.. Hakii weee.. Upendo una garama.... Roma ni Roma hongera.. Kudos kwa bibi yako💕. Unafurahisha sanaaa.. Ni mapitooo... Keep going kaka...

  • @annamussa185
    @annamussa185 2 หลายเดือนก่อน +4

    Ila wamasai nyie kumbe mko na mambo nzito hivyo😂

  • @Janeth_Saukiwa
    @Janeth_Saukiwa 2 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂😂😂😂😂 I wish ningekua live jamani nacheka mwenyewe kama mwehuuu 😂😂😂

  • @jackiefredrick586
    @jackiefredrick586 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kwahiyo kaka zetu wa kimasai wanadanga Zanzibar siku hizi

    • @Rhobimdenish
      @Rhobimdenish 2 หลายเดือนก่อน

      Na nenda kama rahis

  • @nicekweba9920
    @nicekweba9920 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ni mcheshi na anaelimisha pia,aliamua kucompromise na Maisha yakaendelea hongera sana

  • @ahmedmwinyi8025
    @ahmedmwinyi8025 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sister kwa kipindi chako. Jacob naye ameongea kwa uwazi vizuri sana. Mungu awabariki.

  • @salwamohammed4787
    @salwamohammed4787 2 หลายเดือนก่อน +6

    Yaleo Kali imezid😂😂😂😂

    • @salwamohammed4787
      @salwamohammed4787 2 หลายเดือนก่อน +1

      Nilikuwa nna stress hapa waarabu wamenizingua zimesha toka😂😂😂😂

  • @tinarose7922
    @tinarose7922 2 หลายเดือนก่อน +2

    Katika interview nlizoziona za Shena..Leo nmecheka sanaa😂😂😂..eti meno umepeleka wap😂

  • @Ericzdeking24
    @Ericzdeking24 2 หลายเดือนก่อน +3

    hata mimi ningeumwaga tena ningekwambia nchini kwetu hairuhusiwi😊😊😊😊😅😅

  • @rehemaissa2363
    @rehemaissa2363 2 หลายเดือนก่อน +5

    Hii irudiwe tena😂😂😂😂

  • @negwamwaipopo6467
    @negwamwaipopo6467 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu azidi kukubariki kaka uko very charming

  • @tunkuh661
    @tunkuh661 หลายเดือนก่อน

    Jacob umenifurahisha sana na una kiswahili kizuri.
    Congratulazion, che Dio protegga te e la tua famiglia.

  • @nurumwangoka5924
    @nurumwangoka5924 2 หลายเดือนก่อน +3

    Shena huyu jamaa hachoshi hana part 2😅😅😅😅

  • @makwegarashid-ui1oe
    @makwegarashid-ui1oe 19 วันที่ผ่านมา

    Hii bonge la movie wazee wa scripts ni story nzuri na inamafunzo ndani yake

  • @asyakhatib7942
    @asyakhatib7942 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nmecheka leo kumbe wamasai wacheshi nawaona serious tu😂asante 😂

  • @user-rt8df5ce4s
    @user-rt8df5ce4s 2 หลายเดือนก่อน +4

    Asante kwa darasa.

  • @PureSoul-rf4xd
    @PureSoul-rf4xd 2 หลายเดือนก่อน +4

    😅😅😅😅😅 mwanaume anameno yaani usinivunje mbavu masaai.

  • @annamussa185
    @annamussa185 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wamasai nilikuwa nawaogopa kumbe wana story hv😂😂😂haki leo nimecheka

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 หลายเดือนก่อน

    Cividiamo dopo, nimeipata hio tutaonana baadae. Asanteni kwa stori za maisha na heka heka zake😂. Kupambana ni lazima na uongo kama utaokoa maisha ni mzuri vinginevyo ni kinyume na haufai tufahamiane. Kunguni 🙈😂Leo Shena umechangamsha baraza asante Mmasai ametufurahisha sana 🤝

  • @mariakibwana3700
    @mariakibwana3700 หลายเดือนก่อน +5

    Jacob unaongea vizuri sana. Ungekuwa lecturer watu wangekuwa wanafurahi na kuelewa sana.

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 หลายเดือนก่อน

    Mashaa Allah tumepata kucheka 😂 tumepata kujifunza piya miaka 7 ya motooooohhhhh😂 bro barikiwa sana Shena God bless you aisee haya madarasa ni zaidi ya chuo kikuu

  • @user-iz9ci4rs3d
    @user-iz9ci4rs3d 2 หลายเดือนก่อน +4

    Leo full upako haki 😂😂😂😂

  • @samirasalim4203
    @samirasalim4203 2 หลายเดือนก่อน +6

    Lovely story 😂😂😂❤

  • @evajustine1532
    @evajustine1532 2 หลายเดือนก่อน +5

    Ooh Masai mwenzangu

  • @user-xn8jh1yw1h
    @user-xn8jh1yw1h หลายเดือนก่อน

    Wishing you a Happy Family. Congrats sana.

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nimecheka sana eti ugoro. Wangu nitaupata wapi Hata huko upo

  • @kirakaabeid1824
    @kirakaabeid1824 หลายเดือนก่อน +2

    Nimeangalia/Sikiliza nyingi lakini hii is best

  • @benswai8099
    @benswai8099 หลายเดือนก่อน +1

    Mahali Jacob amenichekesha kwa sauti ni pale alipotandikwa kiboko na bibi yake mbele ya mkewe

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bibi Yuko.sahihi chafya kila wakati no halafu ya kujitakia Bora sigara hupigi chafya unaumia.mwenywe

  • @veronicareuben4227
    @veronicareuben4227 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeipenda sana hii story bg up

  • @WandishaNatianota
    @WandishaNatianota 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka kanichekesha jamani... lol
    Angekuwa na pesa angerudi kufata ugolo... hakika mazoea Yana tabu sana

  • @piomgeni8750
    @piomgeni8750 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu Giacobbo ana IQ kubwa sana bravooo

  • @MaryMary-kq3nh
    @MaryMary-kq3nh หลายเดือนก่อน

    Asante sana dd❤❤❤

  • @OlyUpowerfuljesus
    @OlyUpowerfuljesus 29 วันที่ผ่านมา

    Safi kabisa Jacob,nesi unatakiwa uwe na macho ya kuona

  • @salomemkilima5732
    @salomemkilima5732 19 วันที่ผ่านมา

    nimempenda bure sana huyu kaka yupo vizuri sana ushauri huyo mama mkwe msamehe na ikiwezekana mchukulie kawaida tu msamehe cha msingi muheshimu muonyeshe heshima zetu za kiafrika basi kwani mtu ukimjua hakupi shida.

  • @sund2553
    @sund2553 2 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂dieta….diet😂😂😂ila jackob ugoro nimecheka sana

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwakweli huku tunajifunza mengi, pengine hakupenda alivyokuwa anamuita bibi, wakati ni mama wa mke wake, na vile hawapendi kuzeeshwa. Msiite wakwe zenu bibi au babu jamani.

  • @user-xn8jh1yw1h
    @user-xn8jh1yw1h หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kupata Mtoto MuItalysai!

  • @deuskusaga8156
    @deuskusaga8156 หลายเดือนก่อน +1

    Nimecheka sana😅😅daah!! Maisha haya

  • @ChrispinBahizireATUOKOWE
    @ChrispinBahizireATUOKOWE 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kaka

  • @bhokejoseph4745
    @bhokejoseph4745 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hatariiii sana leo

  • @rahelngonyani8015
    @rahelngonyani8015 หลายเดือนก่อน

    Safii sanaaa endelea kubarikiwa

  • @butondodavid2105
    @butondodavid2105 2 หลายเดือนก่อน +2

    😅😅😅 Shena Leo nimecheka sana Masai mjanja ila na bibi yake waki roman

  • @Rhobimdenish
    @Rhobimdenish 2 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂 uyu kanichekesha na ugoro wake

  • @eunicenangole5740
    @eunicenangole5740 2 หลายเดือนก่อน +3

    Sidai taa lalahe. Umejua kutuchekesha taa

  • @jeremiahkileo6641
    @jeremiahkileo6641 หลายเดือนก่อน

    Nice presentation

  • @scolasticamayanda9048
    @scolasticamayanda9048 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂nimecheka sana mungu hatutie nguvu kwakweli kwenye nchi za watu dah nimefurahi kaka Jacob kwa ucheshi wako

  • @kasembomasele5918
    @kasembomasele5918 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ipo vizuri

  • @user-go5wb2pi2i
    @user-go5wb2pi2i 2 หลายเดือนก่อน

    Yakubu bravo big up da Napoli 😘