WAMAREKANI WAISLAM WANAOA AFRIKA WANAFICHA WAKE ZAO WA USA | TULIKUTANA ONLINE | WENGI HAWANA UTU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 มี.ค. 2024
  • ‪@aromaofzanzibar‬ ameeleza Safari yake kutoka Tanzania mpaka India halafu Dubai na kupata mume wa kimarekani mpaka kuishi Marekani.
    Ameeleza Safari yake ya kuingia kwenye biashara ya chakula, changamoto alizokutana nazo Marekani kutoka kwa ndugu jamaa na watoto, changamoto ya kujifungua na malezi.
    Ametoa darasa kubwa kuhusu wamarekani wa kikslam namna wanavyoongeza wake Africa na wake hao wanakua hawana haki yoyote ile kwenye sheria Marekani.
    Subscribe to her TH-cam channel ‪@aromaofzanzibar‬ ili kujifunza mapishi mbalimbali
    Thank you Fathiya for allowing this to be online
    www.oda.international

ความคิดเห็น • 460

  • @muniraahmed8208
    @muniraahmed8208 3 หลายเดือนก่อน +16

    Finally tumemuona, she is so humble n she replies to all questions. Mashallah.

  • @aromaofzanzibar
    @aromaofzanzibar 3 หลายเดือนก่อน +57

    Ahsante sana Shena kwa kunipa fursa kwenye platform yako. Ubarikiwe sana❤

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  3 หลายเดือนก่อน +2

      Shukran sana Sister, nimefurahi sana kukaribia na kutoa darasa zuri 🥰

    • @dynesdaud564
      @dynesdaud564 3 หลายเดือนก่อน +1

      Aroma of za Zanzibar

    • @mayatione6
      @mayatione6 3 หลายเดือนก่อน +3

      Thanks so much dada fatya nimejifunza pakubwa sana umeongea kwa wazo sana barikiwa mno na mwenyezi mungu akupe heri wewe na familia yako .ameen

    • @mayatione6
      @mayatione6 3 หลายเดือนก่อน +3

      Dada shena thank sana unaleta watu wenye hekima barikiwa

    • @mapishiyetumazuri2312
      @mapishiyetumazuri2312 3 หลายเดือนก่อน +2

      Mm pia nilikufalia sana

  • @gra8098
    @gra8098 13 วันที่ผ่านมา +1

    Aaaaaaawwwww, Leo nimemuona.... okay.... in her voice. Aki I love da Fathiya... yani Saudi yake ile ile..... love you a lot

  • @rahmamussa6787
    @rahmamussa6787 3 หลายเดือนก่อน +11

    Nimeipenda interview na nimejifunza mengi. Asante dada mhoji na mhojiwa, mungu awabariki sana

  • @nacreahali9670
    @nacreahali9670 3 หลายเดือนก่อน +14

    Mashaallah shena unapendeza sana uvae hivyo siku zote hata ikiisha Ramadhan,kwani nikiskiliza interviews zako namskiliza mhojiwa ila nakuangalia ww kwa ulivyopendeza😊

  • @user-fw3zv4bf6o
    @user-fw3zv4bf6o 3 หลายเดือนก่อน +10

    Maa Shaa Allah nimefurahiii saaaana maana ndio mdau wa kwanza kumpenda katika kufuatilia mapishi online na yy ndo alinivutia ila dada Shena umependezaaa saana na mtandio

  • @sakinavora7830
    @sakinavora7830 2 หลายเดือนก่อน +2

    What a wonderful story mashaAllah. I'm one of your fans and subscribers of aroma of zanzibar for many years. Maisha ya Marekani inafanana tu kama ya Nairobi maoni yangu. This is a good platform.

  • @fatmaallyabdul1732
    @fatmaallyabdul1732 2 หลายเดือนก่อน +3

    MashaaAllah, mimi ni mmoja wapo wa subscribers wa aroma of Zanzibar,napenda mafundisho yake huyu dada Fathiyah najisikia raha na sichoki kumsikiliza...Allah akujaalie heri nyingi zaidi @aroma of zanzibar🎉❤

  • @tausilifestyle795
    @tausilifestyle795 3 หลายเดือนก่อน +12

    Wawoo mie naonaga mapishi na leo nimemuona mpishi ❤❤❤ masha Allah ❤❤❤ Asante sana shena.

  • @nafisamohammed9064
    @nafisamohammed9064 3 หลายเดือนก่อน +6

    She is a lovely kind hearted woman.. Mash Allah. Am subscribed to her channel.. Thank you for being honest about your life experiences...

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar 3 หลายเดือนก่อน

      Shukran ❤

    • @isman9385
      @isman9385 2 หลายเดือนก่อน

      ❤​@@aromaofzanzibar

  • @dinakipingo1905
    @dinakipingo1905 3 หลายเดือนก่อน +6

    Masha Allah sauti Tu nimekujua ❤ kipenz changu nimejua mapishi kupitia wewe,Allah akuhifadhi Madam Fathia

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar 3 หลายเดือนก่อน

      Ahsante sana nashkuru❤

  • @cynthiaAndrew-ww5rh
    @cynthiaAndrew-ww5rh 3 หลายเดือนก่อน +8

    Mgeni huyu ni wa shoka mpambanaji haswa maana hii story ya maisha mapya unakuta mume gerezani na unatakiwa maisha yaendelee😢

  • @dollymogosi6899
    @dollymogosi6899 หลายเดือนก่อน +1

    Wow wow thank you so much Shena kwa kuniletea my childhood sister and am loving your channel so much! Keep up the good job. This channel is so informative!

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar หลายเดือนก่อน

      Thanks dear nani kakuleta huku😂

  • @samiasalim8322
    @samiasalim8322 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mashalla tabaraka rahman tumejifunza dadaetu shuuukraaaan mungu akujaze yarabbb

  • @KarimaJuma-wy6vi
    @KarimaJuma-wy6vi 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mashallah dada nimekupenda bure kwa subra yako na upambanaji wako

  • @suleimanabdillah7490
    @suleimanabdillah7490 3 หลายเดือนก่อน +4

    Atakaeoa mwanaye aweza kuwa kapata mke mwema kulingana na uvumilivu wa mama yake.nimempenda sana.

  • @firdausmukhtar5684
    @firdausmukhtar5684 2 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah tabarakallah fathiya nakupenda sana ndugu yng

  • @bintalmasi2393
    @bintalmasi2393 3 หลายเดือนก่อน +8

    Your interviewing skills are superb, journalism in your veins, Congrats Shena.
    Thanks to your guests also

  • @Mayuwe27
    @Mayuwe27 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mashallah...dada umeelimisha wengi kwa hii interview ❤

  • @ndinzeissa4778
    @ndinzeissa4778 3 หลายเดือนก่อน +4

    Aroma nimependa historia yako upo vizuri kwani wewe haswa nimwanamke shupavu hongera sana kwa majalibu yaliyo kukuta nahiyo ndio maisha na hiyo ilikuwa ni shule kwako nimependa sana kwa dababu umeweza kuji simamia hongera mimi niko mwanza tanzania endelea kupambana nandowa inayo dum ni ile yenye mikwa luzo kwani hupata kuelekezana asante

  • @fredykaiza2416
    @fredykaiza2416 3 หลายเดือนก่อน +4

    Dada kwa kweli umetufungilia mengi tusiyoyajua. Asante sana kwa ushauri. Mwenye masikio na asikie.

  • @iddmdanku2306
    @iddmdanku2306 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ndugu na dada yetu umeonesha ukarimu na utu usiomithilika. Hongera sana kwa kuishi kama wewe na utanzania wako!

  • @lucyabraham2995
    @lucyabraham2995 2 หลายเดือนก่อน +4

    Sauti tuu nimemjua Aroma Zanzibar. Nimejifunza Sana from her videos.

    • @jawaheerjamal2112
      @jawaheerjamal2112 2 หลายเดือนก่อน

      Me too nilikua kwa group ya WhatsApp 😊

  • @sheillamwinyi7349
    @sheillamwinyi7349 3 หลายเดือนก่อน +5

    So beautiful and funny story awwww Aunty Fathiya😅❤

  • @nasmasaiid8472
    @nasmasaiid8472 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mashalah aroma zanziber allah akuhifadhi nakupenda sana kwa ajili ya allah na pia napenda mapishi yako nimejifunza mengi sana

  • @NassoroSipemba
    @NassoroSipemba 3 หลายเดือนก่อน +4

    Safi dada nimeipenda hiyo ya kuupeleka uswahili ndani ya USA.

  • @halimahalima1488
    @halimahalima1488 3 หลายเดือนก่อน +10

    MashaaAllah aroma Zanzibar nimekuona leo❤❤❤❤

  • @ImaniNcheve
    @ImaniNcheve 3 หลายเดือนก่อน +6

    Mashaallah Dada aroma zanzibar nilijua kupika kupitia ww haswa birian Allah akupe umri mrefu ❤

  • @emmyjimmyK
    @emmyjimmyK 3 หลายเดือนก่อน +4

    Nakupenda sana Fathiya, ua the best dia

  • @bilalomar1185
    @bilalomar1185 2 หลายเดือนก่อน +2

    MashaAllah. madada zangu. Nafurahi Sana kuona Umoja wenu🎉🎉🎉.

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 3 หลายเดือนก่อน +9

    Interview nzuri, napenda umekuwa muwazi, kazi kwetu kujifunza.

  • @yasminjuma9146
    @yasminjuma9146 2 หลายเดือนก่อน +3

    Pole oroma of zanzibar . Una moyo mzr ma sha Allah. Lkn kwa kweli tumejifunza.. kama mimi nadhani ningerudi nyumbani kwetu Dubai .nisingeweza kustahamili..mhh

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar 2 หลายเดือนก่อน

      Sikufikiria kurudi lakinj sio nyumbani nilikua nakaa kwa viza ya kazi ambayo nilikua nimesha cancel

    • @halbusaid
      @halbusaid หลายเดือนก่อน +1

      Tumejifunza sana shukran sana Abla @aromaof zanzibar God bless you

  • @NassoroMohammed-nv3dj
    @NassoroMohammed-nv3dj 2 หลายเดือนก่อน +1

    aroma of Zanzibar ni mama hazina katika maisha ALLAH amzidishie umri na afya njema na amuhifadhie kizazi chake inshaaa ALLAH...

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar 2 หลายเดือนก่อน

      Amin kwetu sote 🙏

  • @pillyseleman8090
    @pillyseleman8090 3 หลายเดือนก่อน +3

    Masha Allah tabaraq Rahman

  • @hamidasaid2544
    @hamidasaid2544 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ma Shaa Allah nimependa Vedeo yako na it's 1st time, Subhana Allah I really enjoyed to listen to you

  • @user-cz1pb6zn3h
    @user-cz1pb6zn3h 3 หลายเดือนก่อน +5

    Baraka Llah ...FAT-HIA

  • @salmafaraj6544
    @salmafaraj6544 3 หลายเดือนก่อน +4

    Subhanallah maskini fathiya ulipata tabu mpk nimeona huruma lkn kitu kikubwa kimekusaidia Allah alikujaalia ulisoma mashallah unamaarifa na kikubwa zaidi una dini na utu pia ndio mana umefika ulipofika Hamdilah Allah azidi kukustiri na sote inshallah

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar 3 หลายเดือนก่อน

      Alhamdulilah❤

    • @salmafaraj6544
      @salmafaraj6544 3 หลายเดือนก่อน

      Wallahi yani ingekua mtu hana mbele wala nyuma angepata tabu sana kwanza tu pale airport km kakako hakuja na ndo hujui kitu pengine hata lugha huijui lkn alhamdilah mungu alikuletea kakako

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar 3 หลายเดือนก่อน

      @@salmafaraj6544alhamulilah laugha najua ningepsnda taxi lakini Mungu mwenyewe alipanga

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 2 หลายเดือนก่อน +1

    Waoo MashaAllah wajina majina ya Fathiyah ni wachesh na wakarimu sana nakupenda sana wajina❤

  • @user-zs4vo7hs1h
    @user-zs4vo7hs1h 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jazzak llahu khayra ❤❤❤❤

  • @user-fh7wu8vx1y
    @user-fh7wu8vx1y 3 หลายเดือนก่อน +5

    Ma shaallah shena
    Umependeza

  • @rizikially9535
    @rizikially9535 3 หลายเดือนก่อน +5

    Hii story nzur sana mashaallh twaomba nyingine

  • @khatrarage4445
    @khatrarage4445 3 หลายเดือนก่อน +5

    Manshallah tunakufatiliaga miaka mingi

  • @hanifaally4694
    @hanifaally4694 2 หลายเดือนก่อน +1

    Story yangu unajifungua unapambana nchi za watu hizi ahsante kwa interview nzuri sana

  • @fatmahussein1238
    @fatmahussein1238 2 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah sauti yake nimeijua tu alipoanza kuzungumza,Allah kamjaalia ucheshi na tabasamu na pia ufasaha wa kuzungumza habani maneno yake... Hongera sana Aroma of Zanzibar ooooh Fathiyyah❤

  • @imanmohamed2215
    @imanmohamed2215 2 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah TabarakkahAllah

  • @kashindesalha8107
    @kashindesalha8107 3 หลายเดือนก่อน +5

    Shukurani sana mmy kasimulizi zuri

  • @user-ir5ec5jn3w
    @user-ir5ec5jn3w 2 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah Shena wallah endelea kuvaa Hijab unapendeza MashaAllah Watching from UAE

  • @rahmasuleiman9334
    @rahmasuleiman9334 3 หลายเดือนก่อน +2

    Woooooow aroma of Zanzibar nimefurahi saaana kukuona sauti yako haiba yako MashaAllah ❤❤❤❤🎉🎉

  • @user-wq2xy5mw1z
    @user-wq2xy5mw1z 3 หลายเดือนก่อน +6

    MaashaAllah. Ninashukuru kukufahamu dada aroma of Zanzibar. Pia Ninashukuru kwa uzofu wako pia historia ya maisha yako mungu akubariki sana dada Insha'Allah Aamiin yaa rabbi 💯🤝🙏​@aromaofzanzibar

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar 3 หลายเดือนก่อน +1

      Shukran Amin kwetu sote 🎉

    • @hajjisanga789
      @hajjisanga789 3 หลายเดือนก่อน +1

      Allah akupe maisha marefu utujuze mambo mazuri ktk maisha yetu

  • @sekikigosi8265
    @sekikigosi8265 3 หลายเดือนก่อน +5

    Waooo nafatiliaga mapishi na sauti yako ya kipekee hongera leo nimekuona live asante Shena big up.😊

  • @aidaalmaskry2728
    @aidaalmaskry2728 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaa llah habibty

  • @KinanaZagar-pv6qc
    @KinanaZagar-pv6qc 3 หลายเดือนก่อน +4

    Nimekupenda sana

  • @MadinaMalk-yd6kp
    @MadinaMalk-yd6kp 3 หลายเดือนก่อน +4

    Nice interview 💐

  • @faizunmohd9839
    @faizunmohd9839 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mashaallah tabarakallah

  • @mchaguwenjaffer9432
    @mchaguwenjaffer9432 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nimependa sana interview yenu Hadi Raha nimependa ulivyoishi katika uvumilivu.Npo Tanzania Cost region,Rufiji

  • @salimsaidi5535
    @salimsaidi5535 3 หลายเดือนก่อน +2

    Manshaa Allah ❤

  • @amneally4135
    @amneally4135 2 หลายเดือนก่อน +1

    MaashaaAllah nakupenda sana dada aroma au dada mapishi❤

  • @user-mw5xs2wx8n
    @user-mw5xs2wx8n 3 หลายเดือนก่อน +9

    Ndomana mm nasema kilasiku akikupenda mume shukuru hawa wengine ni mtihani tu jua jinsi yakudili nao

    • @cdeleo9336
      @cdeleo9336 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kabisa kudeal na wakwe na familia ya mume ni kutumia busara na akili

  • @imakulatabakarysumaye9235
    @imakulatabakarysumaye9235 3 หลายเดือนก่อน +6

    Hawa ndiyo wetu wakualika

  • @Monika-cp2gk
    @Monika-cp2gk 3 หลายเดือนก่อน +7

    Lots of love from Kenya 🇰🇪.... aroma zanzibar

  • @aminahamad3428
    @aminahamad3428 3 หลายเดือนก่อน +7

    Masha allah aroma mama wa mapishi

  • @DeoAmos
    @DeoAmos 3 หลายเดือนก่อน +4

    We mdada mungu akujalie niipenda story yako Kuna SoMo nimejifunza

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 3 หลายเดือนก่อน +7

    Kila siku najifunza vitu vipya God bless you shena ❤

  • @rahmasalim1989
    @rahmasalim1989 3 หลายเดือนก่อน +7

    Yaani kila mara nakusikia lakini ndiyo mara ya kwanza kukuona❤❤❤

  • @nasrasheikh1020
    @nasrasheikh1020 3 หลายเดือนก่อน +6

    Nimefurahi kumuona Fat hiya Aroma of Zanzibar

  • @twahasuleiman-lo9vl
    @twahasuleiman-lo9vl 3 หลายเดือนก่อน +2

    MashaAllah story nzur sana ❤❤❤🎉

  • @shillamwinyi1630
    @shillamwinyi1630 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nice to meet you aroma of zanzibar. Iam one of your subscribers from mombasa

  • @user-sr7bq5po6h
    @user-sr7bq5po6h 3 หลายเดือนก่อน +7

    Mashaallah may allah akujaze kheri mama zanzibar oroma

  • @pearl3696
    @pearl3696 3 หลายเดือนก่อน +6

    Arudi tena..she is very wise

  • @abunanna4004
    @abunanna4004 3 หลายเดือนก่อน +4

    That's good

  • @clevermngao7565
    @clevermngao7565 3 หลายเดือนก่อน +6

    Interview nzuri sana na ina mengi ya kujifunza!

  • @user-tt7cu2et1x
    @user-tt7cu2et1x 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nawapendaa❤

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 3 หลายเดือนก่อน +6

    Mashaa Allah mmependeza dada zangu
    lugha yake inavutia sana
    iz elim wanazotowa watu hapa ni kubwa sana Mungu awabariki maana wengi ni wakweli na wawazi sana

  • @salyali7807
    @salyali7807 2 หลายเดือนก่อน +2

    Aroma very brave girl .... 👍

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 3 หลายเดือนก่อน +4

    Asante sana

  • @user-wb6tj2us8s
    @user-wb6tj2us8s 3 หลายเดือนก่อน +3

    Aroma of Zanzibar jamanu leo nimekuon ❤nilikua nafatilia mapishi yako tu leo nimekuona

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar 3 หลายเดือนก่อน

      Ahsante sana kwa support

  • @Sisterjemi1
    @Sisterjemi1 3 หลายเดือนก่อน +9

    Nayapenda mapishi yake huyu dada

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar 3 หลายเดือนก่อน

      Ahsante sana kwa support

  • @zahirallyzorro3940
    @zahirallyzorro3940 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ahsante Dada naitwa Zahir Ally ibn Zorro. Nimeihifadhi Aroma of Zanzibar. Ahsante Pole misuko suko ya Ndia

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar 2 หลายเดือนก่อน

      Shukran tushapoa

    • @husseincabubaker
      @husseincabubaker 2 หลายเดือนก่อน

      Nimeipenda, u kweli na uwazi wako

  • @mariamkikula1614
    @mariamkikula1614 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dada Aroma nimejifunza na nimekupenda Sana.

  • @user-np6lh8eg1q
    @user-np6lh8eg1q 3 หลายเดือนก่อน +5

    Jamani nimemfollow anajua kupika sana sana,nilivyokuwa namsikiliza nilidhani ni mtu mzimaaa sana kumbe ni mdada manshallah mzuri sana sana ❤

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar 3 หลายเดือนก่อน +1

      Shukran kwa support,

    • @user-dx6dm6lh1i
      @user-dx6dm6lh1i 3 หลายเดือนก่อน +1

      Yaani mm mapishi yko napenda hauna mambo mengi unapika mwenyeo vzr .

  • @maryanomar119
    @maryanomar119 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mashallah aroma mrembo sana mungu akupe maisha marefu inshallah

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar 3 หลายเดือนก่อน

      Amin kwetu sote ❤🙏🏽

  • @user-im6dl1ie9i
    @user-im6dl1ie9i 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah hongera sana Roma

  • @florakadee5082
    @florakadee5082 3 หลายเดือนก่อน +4

    Interview nzuri sana.mafunzo mazuri.

  • @DavidDanken-uf7kp
    @DavidDanken-uf7kp 3 หลายเดือนก่อน +7

    Yaan huyu dada ana inspire ❤❤

  • @aidaanatory9330
    @aidaanatory9330 หลายเดือนก่อน +2

    Hadi rahaa jamanii hongera sanaa

  • @user-ng5xe7ze3j
    @user-ng5xe7ze3j 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nimefurahi kukuona nimejifunza upishi aina nyingi ya vyakula kutokana na aroma zanzibaa

  • @namsihussein6511
    @namsihussein6511 2 หลายเดือนก่อน +1

    Very rich interview, experience. Hakika nimewapenda both. Aroma of znz kitambo nilikua nafuatilia nimekufurahia sana historia yako.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar 2 หลายเดือนก่อน

      Ahsante sana kwa support ❤

  • @AshaMohamed-ib4le
    @AshaMohamed-ib4le 3 หลายเดือนก่อน +6

    Shena umependeza sana ukivaa ushungi unakuw vizuri Zaid mashallah

    • @ezekieljacob5795
      @ezekieljacob5795 3 หลายเดือนก่อน +1

      Acha udini

    • @SalmaBinyaga
      @SalmaBinyaga 2 หลายเดือนก่อน

      Ss udini gani kapendeza kweli Kwan nyie mmeambiwa msijistiri tutokee hapa

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mashallah mam aroma ukiona kimegara ujuwe kimegaramikiwa umetufunza

  • @josianemavukiro4386
    @josianemavukiro4386 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi na mwana mama kutoka Burundi napenda kufatiliya sana mpishi yako na nimejifunza mengi kupitiya wewe na ni nakupenda Sana

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar 3 หลายเดือนก่อน

      Ahsante sana nadhkuru kwa support ❤

  • @rahmasalim1989
    @rahmasalim1989 3 หลายเดือนก่อน +3

    Masha'allah Tabarakallah, mpishi wetu wa mwezi wa ramadhani huyo.

  • @cdeleo9336
    @cdeleo9336 3 หลายเดือนก่อน +11

    Ukipata mume muislamu yupo marekani hakikisha hana mke. Huku hakuna ndoa mbili inshort utapotezewa muda tu dada fatiya kaelezea vizuri. Akili kichwani 😊

    • @bradleykhanei4092
      @bradleykhanei4092 3 หลายเดือนก่อน

      Ikiwa unamaanisha ndoa mbili halali, ndiyo; huwezi kufanya hivyo. Ni “ndoa” moja tu Lakini unaweza kukuta Mwislamu ambaye angefunga ndoa moja inayojulikana kisheria pamoja na ndoa nyingine isiyo rasmi (lakini inakubalika kisheria katika sharia kwani Waislamu wameruhusiwa kuoa hadi 4!). Wa pili anaweza kuwa kama rafiki wa kike “Girlfriend “ 😅).
      Disclaimer : usianguke katika kitengo hiki kwa sababu mke wako wa kwanza anaweza kuwasilisha kesi dhidi yako.

  • @mohamedmwavuguto8276
    @mohamedmwavuguto8276 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤ hakika nimejifunza mengi ya kutosha .

  • @makasaenterprises8996
    @makasaenterprises8996 3 หลายเดือนก่อน +4

    Elimu yako ni ya maana sana katika maisha pokea maua yako mama unastahili

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob 3 หลายเดือนก่อน +10

    Huyu mdada mzuri kweli

  • @user-ce7dl4qc2t
    @user-ce7dl4qc2t 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah dada

  • @abudyhahan7376
    @abudyhahan7376 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤ mungu akupe Subra zaidi na zaidi mjasiria Mali mungu akueke

  • @aishawardasuleiman5047
    @aishawardasuleiman5047 3 หลายเดือนก่อน +7

    Nampenda aromaofzanzibar na mfuatilia muda mrefu

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar 3 หลายเดือนก่อน

      Nashkuru kwa support

  • @bas2823
    @bas2823 3 หลายเดือนก่อน +2

    THANKS FOR SHARING🙏GOD BLESS U TO 2 N BLESS ALL OF US THE CREATIONS OF GOD" IN THE WORLD AMEEN🤲 I LOVE U ALL❤"

  • @user-fp4if1pg2j
    @user-fp4if1pg2j 2 หลายเดือนก่อน +1

    nimekupenda sana yaani unajielewa sana ❤