WANATAKA WANINYANG’ANYE MTOTO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • Mpaka sasa hakuna dalili ya Chendwa kuonana na mzazi mwenzie wala mtoto kuonana na Baba yake.
    Chendwa amekua ndio mama na pia ndio baba kwa mtoto wake.
    Anahitaji kuonana na mzazi mwenzie kwa hali na mali ili aweze kumuuguza.
    Thank you Chendwa for allowing this to be online
    www.Oda.international

ความคิดเห็น • 238

  • @ladymacollection
    @ladymacollection 11 หลายเดือนก่อน +7

    Part 2 😭😢😢😢😢😢😭😭😭😭😭 uyu msichana mdogo Ila familia wamemzeesha 😭😭😭😭uchawiiiii mbaya mno ..Mungu Amsaidie uyu mtoto dunianiii buana Yaani ata dah

  • @sarahhassan1323
    @sarahhassan1323 4 หลายเดือนก่อน +4

    Familia ya huyu dada imemdhulumu maisha yake ila Mungu atamfungulia mambo yake huyu dada ila hope amejifunza asije akawashirikisha ndugu zake tena

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 ปีที่แล้ว +7

    Huyo dada azidi kuomba Sana na pia asiwe akuwahusiwa watu vile mume wake anavyo endelea watu wengi niwanafki na Wana wivu Sana na pia hata huyu mzungu ametumiwa majini wamtenganishe na huyo binti sio ugonjwa wakawaida ni majini Mungu ampigania kabisa Amen

  • @shalibrutsch-vlog
    @shalibrutsch-vlog ปีที่แล้ว +16

    Hii stori inasikitisha. Tumsaidie huyu Dada aende akamtembelee tu. Ijapo ni mengi anaweza pitia akiwa huko (ubaguzi na kumnyanyapaa) anaweza kwenda akasalimia na kurudi. Tumchangieni hata Nauli tu na sehemu ya kufikia. 🙏🏾

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 ปีที่แล้ว +6

    Chendwa wewe ni mwanamke Shujaa. Utavuka salama unayopitia...kwangu mimi usiende Austria kwa mwaliko wa familia ya baba moto..maana watakufanyia vurugu ili wamchukue mtoto

  • @mountaincrystal1630
    @mountaincrystal1630 ปีที่แล้ว +6

    Dada mwisho wako utakuwa mzuri sana, hayo ni majaribu tu ya dunia bila majaribu huwezi kutoka, ndiyo maombo ya dunia,

  • @anitasita6299
    @anitasita6299 ปีที่แล้ว +4

    Ndugu za huyu dada walipoacha kumroga huyu walianza kumroga mwanaume ile mission yao ya uchawi iliendelea chamsingi huyu alitakiwa arudi kwa
    Mama
    Maombi aliemponya ili aendelee kumwombea na huyo mzungu /Namaanisha uchawi wa ndugu za huyu dada ulihamia kwa mzungu hivo yaani

  • @annamussa185
    @annamussa185 ปีที่แล้ว +9

    Kama Kuna mtu anaelewa jinsi ya kumsaidia huyu dada aende msaidieni,lakini usikubali mtoto aende mpaka ajitambue vinginevyo hutompata mtoto

    • @angelalyimo2862
      @angelalyimo2862 ปีที่แล้ว

      Yaani mtoto akienda kwa baba ndio mtondogoo Yaani ulaya kuna sheria

  • @vom84
    @vom84 ปีที่แล้ว +3

    Huyo dada atakuja kunyookewa sana na maisha, naamin hivo

  • @emmatryphone6921
    @emmatryphone6921 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo dada apambambe na MAOMBI TU. PAMBANA SANA DEAR USIMWACHE YESU

  • @hellenelias8854
    @hellenelias8854 2 หลายเดือนก่อน

    pole sana dada, Mungu atakuvusha hapo unapopitia. Kuna vingi vya kujifunza kwa huyu dada. Kwa wale tulioolewa na wazungu ukipata familia inayokupenda usiichukulie poa.

  • @lissamugondo3369
    @lissamugondo3369 ปีที่แล้ว +4

    Pole dada, ila kwa mtazamo wangu, huyu dada asiende huko na mtoto, watampokonya mtoto na atapata ubaguzi wa hali ya juu, watamtengenezea mazingira ili aonekane ni mgonjwa wa akili ili wampokonye mtoto wake.
    Pia asichoke kusali sababu ana ndugu wabaya sana, na hao watoto wa mumewe sio wazuri pia.
    Mungu amponye baba mtoto wake na aiunganishe familya yake tena

  • @josephinejustice4746
    @josephinejustice4746 ปีที่แล้ว +7

    Chendwa nenda na picha ya mume wako na mtoto arise and shine kwa mwamposa hizo ni nguvu za Giza zitakoma utafurahia maisha ya family yako

  • @mariamahmad8261
    @mariamahmad8261 ปีที่แล้ว +4

    Shenn weka km mchango km watu wanaweza kumsaidia chendwa na mtoto wake wapate safari aendere kumuuguza mume wake lakini sasa shida inakuja kwa family ya kut km watampokea vizuri au afike huku ateseke tena jaaamen huu ni mtihani masiki😭😭 chendwa ila usikate tamaa Allah yupo pamoja na wanao subr😭

  • @NeemRamadhani-j8h
    @NeemRamadhani-j8h 7 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana mpendwa,yote yanawezekana kwa mungu

  • @annamussa185
    @annamussa185 ปีที่แล้ว +6

    Kwa mtazamo wangu iko hivi huyu Dada ni mzazi hawezi kukubali kuwapa mtoto akiwa na umri huo coz yeye anajuwa uchungu wa mtoto ndivyo ilivyo kwa Mama wa mzungu na yeye hawezi kukubali kijana wake aje Tz ili wewe umuuguze na yeye yupo hai hata jamii haitomuelewa na tayari anaumwa kama vile yeye pia tumbo la uzazi linauma mtoto kwa Mama hakui na wakiangalia wewe si mke wake wa ndoa,sasa hapo ni hekima na maalifa yatumike kungekuwa na njia ya wewe kwenda na mwanao ingependeza sana huwezi juwa anaweza akawaona ikawa tiba kwake kikubwa hapo ni wewe kupambana kufika alipo baba mtoto wako lakini usiwape mtoto mpaka atakapo jitambua

  • @evelynedeelmann1841
    @evelynedeelmann1841 ปีที่แล้ว +3

    Is there anyway she can contact the doctor or hospital that treat the father in Austria. If she can not get the invitation letter from the the grandmum or other family members, the doctor should write a letter noting the health situation of the guy and why it is important for shenda and boy to come and see him. Apart from that, since the child has the right of a German citizenship ( dad is German, need to prove this either through Birth certificate or DNA, the mother can at long last be allowed to travel with the kid to German or in this case to Austria. This might take long before all documents are certified, but its worth a trial. She should seek help at the Embassy or even write them an email.
    Shenda, be strong mum❤. God is going to work things out for you.

  • @HomeWork-s6t
    @HomeWork-s6t 11 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana dadangu mungu yuko naana weza yote

  • @maimukanabora8751
    @maimukanabora8751 5 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana dear tafathali sana zidi kumwombea sana hiyo baba

  • @kimcash3079
    @kimcash3079 ปีที่แล้ว +3

    Tunjifunza hii hadithi inasikitisha sana.dont expose you are self again 😢😢😢dunia mbaya

  • @bmxlii
    @bmxlii ปีที่แล้ว +2

    Umaskini wa familia zetu nyingi za kiafrika kuamini kila mzungu ana pesa ndo sababu ya yote hayo, familia yake imempa stress sana mzungu, vikwazo kibao.

  • @RebecaIsdory
    @RebecaIsdory หลายเดือนก่อน

    Mungu amponye baba wa mtoto wako na mrudi kuwa kama mwazo

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 9 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani Chendwa ukienda huko atapona kwa kweli!!Mungu amfanyie wepesi!

  • @cathypeter
    @cathypeter ปีที่แล้ว +1

    Mungu akusimamie Chendwa siku moja uje ufurahie maisha na mumeo

  • @spaice995
    @spaice995 ปีที่แล้ว +1

    Nazan aongee na rafiki wa baba mtoto wake ampatie invitation iandikwe kuhsu hali ya baba mtoto wake Austria watatoa passport kwa haraka sana naimani hawezi nyanganywa mtoto Austria na Germany wako na sheria na atapatiwa mwanasheria bure na atapata haki zake hata akikosa haki kutoka kwa baba mtoto serkal inauwezo wakumpatia karatasi anaishi huko

  • @neemasalema1546
    @neemasalema1546 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ni mwaminifu mwamini na usikate tamaa

  • @agathaphamis3430
    @agathaphamis3430 ปีที่แล้ว +4

    Hao kaka zako sio watu wazuri ni Majambazi kweli kunakaka anaweza kukataa Dada kuolewa? Sijuwi wanaushamba gani? Washamba kupituliza

  • @RonaMussa-ge5im
    @RonaMussa-ge5im ปีที่แล้ว +5

    Sijui ni Mimi tyu ambaye simwamini ndugu wala rafiki 😭

    • @Witness-z8p
      @Witness-z8p ปีที่แล้ว +2

      Yn na mm nawaogopa hatari

    • @ablashaffy2860
      @ablashaffy2860 ปีที่แล้ว +2

      Tupo wengi

    • @RonaMussa-ge5im
      @RonaMussa-ge5im ปีที่แล้ว

      @@ablashaffy2860 vichefuchef kwa kwl yn wamewek uchawi mbel kuliko vitu vy msingi

    • @RonaMussa-ge5im
      @RonaMussa-ge5im ปีที่แล้ว

      @@Witness-z8p me ndo kabixa ctk shobo nao... Bora wanione Nina roho mbaya Yani ndugu hawabebeki kama zigo la mavi

    • @NiceWatson-y7e
      @NiceWatson-y7e 7 หลายเดือนก่อน +1

      Tupo wengi

  • @ghelimafilemon9653
    @ghelimafilemon9653 ปีที่แล้ว +1

    Uchawi ni hatari pole sana, muombe Mungu. Tafuta hela somesha mtoto wako, kuna biracial wengi Tanzania wamefanikiwa maisha. Ushauri mwingine anaweza jiunga dating site apate mzungu ambaye atamkubali huyo mtoto na mama yake. Asiache kumsalimia na kumuombea Kurt

  • @marrypius576
    @marrypius576 ปีที่แล้ว +3

    Mungu atapitisha uponyaji kwa huy baba tumwamini yeye

  • @user-zc1bd4jf6m
    @user-zc1bd4jf6m 9 หลายเดือนก่อน +1

    Pole Sana mdada.

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 ปีที่แล้ว +1

    Jamani yupo karibu na kwangu sema mimi niko itali jamani pole sana mungu halali amesikia kiliochako

  • @janethmanene1446
    @janethmanene1446 ปีที่แล้ว +1

    Jamani Leo ndo nimesikiliza interview yote 😭 nimelia kwakweli nimemuona huruma sana jamani

  • @neemakingdom4816
    @neemakingdom4816 11 หลายเดือนก่อน +1

    OMBI LANGI SHENDW AENDE MSHIRIKISHE YULE MAMA WA MAOMBI HUYO MDOGO WAKE NDIO NI KUKAZANA NA AMEMLOGA NI KUKAZANA NA MAOMBI TU

  • @franciskajessy4468
    @franciskajessy4468 ปีที่แล้ว +2

    Inawezaka Huyu mzuri familia ya huyu ndo walimfanyizia masikini kama walivyo mfanya dada mwenyewe watu wakatili sana,Mwenyezi Mungu akupe wepesi 🙏❤️🇺🇸

  • @rosemery3017
    @rosemery3017 ปีที่แล้ว +1

    Nimefurahi leo kuona tabasamu la chendwa jana hadi Nuru usoni ilipotea kabisa ila tunamuombea naamini mume wake atakaa sawa na atakuja kuwachukua familia yake mungu yupo na hashindwi na jambo lolote kikubwa tu subra namaombi yakutosha🙏

  • @user-zc1bd4jf6m
    @user-zc1bd4jf6m 9 หลายเดือนก่อน

    Izo ndo familia zetu ndugu zangu.Adi nejikuta nalia Kwa sauti.Mwenezi Mungu atampatia itaji la moyo wake.

  • @Jessy-f9w
    @Jessy-f9w ปีที่แล้ว +2

    Daaah inaumiza sana ila nakuombea kwa Mungu akufanyie wepesi my dear,Mungu anafanya njia pasipo na njia

  • @wamburaneema-w7r
    @wamburaneema-w7r 6 หลายเดือนก่อน

    pole sana dada mungu ni mwema yatapita

  • @MissKaliz
    @MissKaliz ปีที่แล้ว

    Ooh Shendwa! Pole kwa mtihani huu unao pitia, Mungu wetu ni mwingi wa rehema. Ni maombi yangu aka vunje* protocal zote na hitaji / ombi la uvungu wa moyo wako likatimie🙏🏾.

  • @salomemukoi4689
    @salomemukoi4689 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mwema dear! litapita na hili

  • @CarolineSimon-zz5ed
    @CarolineSimon-zz5ed ปีที่แล้ว +1

    God never sleep....he is not from anybody's village ipo siku isiyo na jina Kurt ataamka na atakua sawa na mtapata furaha daima keep praying....be strong siku yako inakuja chendrwa....I myself nakuombea sana

  • @ibbyikh1788
    @ibbyikh1788 ปีที่แล้ว

    Pole sana dada kwa wakati mgumu, mungu atafungua njia zake Amen

  • @MarySimoni
    @MarySimoni 3 หลายเดือนก่อน

    Natamani huyu dada akutane na mzazi mwenzie waishi pamoja ,tamthilia nzuri sana hii yani kama move

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 ปีที่แล้ว +1

    Mpendwa dada yetu.Ninakuomba uende ubalozi WA Australia haraka iwezekanavyo wakusaidie kupata viza ya kwenda Australia.Unamtoto wao .Una haki ya kupata viza kwenda huko . Mtoto no underage Hawezi kwenda peke yake.Huyo bibi Hawezi kukuwekea kizuizi.
    Zaidi ya hapo Inabidi huyo mtoto apate maintenance allowance hadi kufikia miaka 18.
    Ubalozi utakusaidia . Lazima upambane sana

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  ปีที่แล้ว

      Ni Austria 🇦🇹 sio Australia 🇦🇺

    • @Witnessvlog
      @Witnessvlog ปีที่แล้ว

      Grace . Uliniuliza kwanini nimekublock siku ile kwenye live yangu youtube?
      Wewe ni Kabwela nimekugundua . You have been insulting us so many times here on youtube. Kama unaona watu wanafaidi fungua yako na wewe uje utwambie uliyonayo. That is why you hide on fake name. You need help

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 ปีที่แล้ว

    Tena ibada ni jumapili asb saa 3
    Juma3 jioni saa 10
    Ijumaa jioni saa 10
    Mungu hachelewi uponyaji wako ni huo iko cku utashuhudia matendo makuu ya Yesu kuwa na Imani🙏🏼🙏🏼

  • @ashamayuwe2891
    @ashamayuwe2891 ปีที่แล้ว +1

    Mi naona hapo Kuna some sort of racism kwa huyo bi mkubwa wa kizungu. Ni kwa vile mwanaume wako anakupenda ndio anazidiwa nguvu na kujitoa saingine kukutunia pesa. Ukienda uwe na akiba ya pesa na pa kufikia.

  • @hajramahumba7133
    @hajramahumba7133 6 หลายเดือนก่อน

    Duh 😢😢 hatari ila me ningeomba ungeenda ubalozini ingekuwa helpful zaid 😢

  • @Aselitha84
    @Aselitha84 ปีที่แล้ว

    MImi ningemshauri hasiende Austria, ikiwezekana huyo baba aje Tanzania. Naona kua huyu dada atajuta kwenda huko kwasababu huyo mtoto atachukuliwa, baba mtu hatokua na power kumsaidia wakati na yeye ni mgonjwa hivyo afikirie kwa umakini na kupanga mipango na huyo rafiki yake Ken angemleta Tanzania. Mimi ndio naona itakua vyema kwa huyu dada yetu ama atachanganyikiwa wakija kumnyan`ganya mtoto mbeleni

  • @istvantoth3682
    @istvantoth3682 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akusaidie mdogo wangu na mungu amponye baba mtoto wako🙏

  • @pamelaouma6400
    @pamelaouma6400 ปีที่แล้ว +1

    Dada nenda kawe kwa mwamposa mumeo atapona na mtaungana kama familia tena kirahisi tu.huo ni ushirikina umefanyiwa.

    • @upendogreutert199
      @upendogreutert199 ปีที่แล้ว

      Yaanii wamemtenda vibayaaa lakini Mungu hashindwii na kitu chochote

  • @mamertarweyemamu3438
    @mamertarweyemamu3438 ปีที่แล้ว +1

    Amka usiku wa manane omba mungu. Muda wa mwezi mmoja. Utapata majibu na mme wako atapona

  • @kilimanjaroflavour
    @kilimanjaroflavour 6 หลายเดือนก่อน

    Baadhi ya hawa wazungu ni washenzi sana, usi mwamini huyo bibi aki kuchekea, hataki uende ku muudumia baba mtoto wako kwasababu anaogopa mwanae ata kwandikia urudhi kwasababu ana mtoto nae. Chendwa, mungu ata kusaidia tuu endelea kumwomba haya majaribu yatapita.

  • @ZuwenaSinde-hj9qg
    @ZuwenaSinde-hj9qg 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akusimamiye zaidi iri uweze kuwa sawa na kira waliyo fanya ubaya juu yako ubaya ukawarudiye wenyewe

  • @florahngonyani9514
    @florahngonyani9514 ปีที่แล้ว

    Pole Sana Mwenyezi Mungu Akusaidie

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 ปีที่แล้ว +2

    Shendwa pole sana mwanamke mwenzetu,Mungu akupiganie na mtoto. Please hemu mwambie baba mtoto akusaidie kupitia mama yake upate document zote muhimu haraka mtoto apate passport ya AUSTRIA au ya GERMANY. Mwambie hiyo ndio zawadi kubwa atampa mwanae kwa maisha yake ya baadae.Mungu akusimamie InshaAllah

    • @nicedavid8536
      @nicedavid8536 ปีที่แล้ว

      Hawezi pata passport ya Austria, Germany akiwa tz.
      Chamsingi apate njia ya yeye kwenda uko

    • @spaice995
      @spaice995 ปีที่แล้ว

      ​@@nicedavid8536anaweza akapata sababu ni mtoto Austria wanatoa pale ubalozi wa Germany kama baba atasaini documents zote na kuzituma tanzania zikiwa na muhuri wa uhakiki kutoka kwa ofisi za foreigner nchini kwake

  • @annamussa185
    @annamussa185 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atakutetea mamy

  • @mariamsaidi1681
    @mariamsaidi1681 ปีที่แล้ว +1

    Daah inasikitisha sana dah ila dada usichoke kumuomba Mungu atakufanyia wepesi inshallah 🙏Na mumewako atapona inshallah kila kitu kitakaa Sawa Mungu ashindwi na jambo

  • @ZuwenaSinde-hj9qg
    @ZuwenaSinde-hj9qg 9 หลายเดือนก่อน

    NI huzuni kwa kweli nina imani mwenyezi Mungu atakusimamia na hatakurinda utakuwa salama tuu kila kitu kitakuja kuwa sawa kwa uwezo wa Mungu

  • @minabelle353
    @minabelle353 ปีที่แล้ว +1

    Kuna Sheridan inaitwa zambrano ni law kama una relate na Europe member kama huyu anatakiwa kutafutia passport ya Austria

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 11 หลายเดือนก่อน

    Ipo siku utafurai mungu wetu nimwema na na takufungulia milango❤❤❤

  • @ReginaErnest-cf6ji
    @ReginaErnest-cf6ji ปีที่แล้ว

    Pole Sana itakuwa wamewachezea wewe na mumeo Yan kuna roho za Giza za magonjwa chasingi piga magoti omba mungu Sana mambo yatakuwa sawa tu omba Sana

  • @rithersospeterkati3355
    @rithersospeterkati3355 ปีที่แล้ว

    Asante, na pole.

  • @salinababe6894
    @salinababe6894 ปีที่แล้ว +1

    pole sana dada mueke mungu mbele inahuzunisha sana

  • @DorikaKipala-ds5vl
    @DorikaKipala-ds5vl หลายเดือนก่อน

    Da shen m part one sjaion plz nioneshe😮 maan sielew k2

  • @timejames5099
    @timejames5099 11 หลายเดือนก่อน

    So sad storry god bless you chendwa

  • @subiratembo3033
    @subiratembo3033 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi mungu atakusaidia tuu endelea kuomba mungu.

  • @ednaednamillanzinia2826
    @ednaednamillanzinia2826 ปีที่แล้ว +1

    Usichoke kuomba Chendwa na Mungu atakufungulia milango,

  • @minabelle353
    @minabelle353 ปีที่แล้ว +1

    Kurt aende ubalozi wa tanzania huko Austria to claim he has child in tanzania and he wants his child and the mother of his child, instead ya kutaka kuja bora to go to the embassy

  • @carolinejimmy1781
    @carolinejimmy1781 ปีที่แล้ว

    We are together mpe pole dada chendwa

  • @ladymacollection
    @ladymacollection 11 หลายเดือนก่อน

    Uzito ule uchawi jamani uyu msichana kuna viza zinatolewa dola 2500 tunaweza kumsaidia akaondoka jaman

  • @saidatowainda525
    @saidatowainda525 4 หลายเดือนก่อน

    Natamani Chendwa aende kuuguza mume wake,lakini vipi kuhusu familia ya Kut jamani.?cjui ni hisia zangu ila naona kama inaweza ikamletea ugumu kidogo labda kamaataenda awe na nauli ya kurudia kama kutakua na shida.

  • @betricemainoya4176
    @betricemainoya4176 ปีที่แล้ว +1

    Mmmmhh mimi naona hapo ni maombi tuu itasaidia waluposhindwa yeye na mtoto ndio wakaamua watume jini kwa mzungu, jambo linguine awe careful kwa kwenda huko labda aende kwa mtu mwingine sii kwa hiyo familia cz nahisi ataenda kunyanyaswa eachukue mtoto, wazingu hata kuua kwao sii kitu nor wafanikiwe wanalotaka

  • @theafricaiknow6615
    @theafricaiknow6615 ปีที่แล้ว +1

    INATAKIWA APEWE MWALIKO NA MTANZANIA YOYOTE ALIYEOKO HUKO. APATE VIZA YA KWENDA KUTEMBEA TU ILA AFIKIE KWA ATAKAYEMWALIKA KISHA AKAMTEMBELEE TU BABA MTOTO WAKE

  • @Randm-
    @Randm- ปีที่แล้ว

    Pole.sana..ila.kama.ukifanikiwa kuenda usikae kwa huyo.Bibi. Austria ni wabaguzi sio wote ila wabaguzii mnoo
    .

  • @glorymasy7687
    @glorymasy7687 ปีที่แล้ว +1

    Yaaan inasikitisha jmn
    Mungu atamsaidia tuu

  • @aishakamikazi9310
    @aishakamikazi9310 ปีที่แล้ว

    Uyu rafiki yake atafuye lawyer anaesimamia droit familial ampe ushauri ajuwi jinsi gani wanaweza kumsaidia. Mtoto ni australien

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 ปีที่แล้ว

    Jamn Mungu amewatebdea wengi kupitia jina la YESU KRISTO,nakuomba binti njooni madhabahuni mpate uzima Kwa jina la YESU,naomba SMS zangu zipate kibali machoni Pako

  • @SabinaVicent-l2u
    @SabinaVicent-l2u ปีที่แล้ว

    Mungu akafanye njia pale pasipo na njia milango yake ikafungunke amkute baba wa mtoto wake amuuguze abone pia atapata faraja na kupona endapo watafika kule jamani

  • @rezikomer9552
    @rezikomer9552 ปีที่แล้ว

    Zungumza na rafiki yako aku invite ili atlist uwe kule umuone kwamda kisha uwe na uu siyano na watoto wa kambo

  • @mariamahmad8261
    @mariamahmad8261 ปีที่แล้ว

    Alla akufanyie wepesi utaipata furaha na mumeo atarudi kawaida mtakuna furah tena

  • @joslinchuwa1298
    @joslinchuwa1298 ปีที่แล้ว

    Mungu akutie nguvu kipenzi uckate tamaa nakuombea Mungu akufungulie milango uweze kuvuka hili.

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 ปีที่แล้ว

    Nampenda YESU cm inasumbua,hayo ni majiniyametumwa kuwafarakanisha naomba niwaombee

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 ปีที่แล้ว

    Mungu anafanya njia mahali pasipokuwa na njia

  • @elizabethhonere2931
    @elizabethhonere2931 ปีที่แล้ว +4

    Dada shida sio huyo bibi, Bali shida ni uchawi wa kwenu so please Endelea kupiga goti funga omba na pia huyo mama wa maombi aliyekuombea mshirikishe uendelee kuomba ukiombea mama mkwe uchawi waliomtumia utoke na baba watoto wako amelogwa so Endelea kumuombea ongea na Mungu maana huu ni ushuhida wa nguvu za Mungu kupitia wewe. Mungu anakutumia kuwa mtu mkuu kupitia jina lake. Endelea kuomba kwa ajili ya Kuti mama mkwe na familia yake yote na wewe jiombee kibali kwa watu wa upande wa Kuti. Yani kwa Sasa unatakiwa kufanya zaidi maombi kisha kazi uweze kwenda mwenyewe

    • @brendajulius2995
      @brendajulius2995 ปีที่แล้ว

      😅😅😅😅 Yani ww bwana eti kuti kama sio Kurt mweee waswahili tunajua kuharibu majina ya watu

    • @rd-worldtv1500
      @rd-worldtv1500 ปีที่แล้ว +1

      Huo ndio ukweli huyo mdogo wake mchawi ndo kafanya hilo tukio

    • @muka7354
      @muka7354 ปีที่แล้ว

      @@brendajulius2995nimechekaa eti kuti 😂😂😂

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 10 หลายเดือนก่อน

    Maskin huyu mdada namuonea huruma sana napia anaonekana anamoyo mzur sana Mungu amsaidie anatia huruma wallah🙏🙏🙏😪😪

  • @mwanasitidettwiler9254
    @mwanasitidettwiler9254 ปีที่แล้ว

    Pole dada mungu yupo nawe

  • @aishakamikazi9310
    @aishakamikazi9310 ปีที่แล้ว

    Reconnaissance familiale inaweza kumsaidia uyu mama. Wapime damu ya baba na mtoto

  • @verynicemoshi9959
    @verynicemoshi9959 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akujalie mkutane Tena jamani daa

  • @fatmaalbeity9097
    @fatmaalbeity9097 ปีที่แล้ว

    Sasa kama huyo mzee yuko desperate kuwa na family yake siwamruhusu huyu dada na mwanawe waende huko Austria 🇦🇹 kwa kumtumia nauli aende akamfariji mumewe .

  • @GraceMona-v5b
    @GraceMona-v5b ปีที่แล้ว

    Naomba no ya chendwa

  • @mafrikanws
    @mafrikanws ปีที่แล้ว

    Sasa mimi wazo langu Lilikuwa ivi Dada yangu kama wewe uko Austria ama mwengine ambaye anaweza kumsaidia uyu dd aende Austria Mwenyewe Vila mtoto ili kama Ana adress ya mume wake afike amuone najuwa akiona mume wake at arudi naye ama atamukuza iyo ndio mchango wangu

  • @Mku-wa-waku1
    @Mku-wa-waku1 ปีที่แล้ว

    Mungu atakusaidiya wewe na mtoto wako❤

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 ปีที่แล้ว

    Kuna Wazungu matapeli wamejaa mitandaoni muwe makini wadada mnapigwa matukio ya uongo muambiwe anaumwa kichaa anaumwa stroke kumbe utapeli mtupu

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 ปีที่แล้ว

    Chedwa mwanangu kama uko Mbezi beach kuna Nabii SS Rolinga yuko Omega Church ni Mbezi Beach njia ya panda ya kwenda Africana unateremka hapo na ukichukua boda boda ni elf 1 mpaka kanisani hao vijana wa boda boda wanajua kanisa lilipo
    Au fungua Azam
    Haleluya TV
    Hata You Tube utapata direction wapi kanisa lilipo
    Kuwa na imani Yesu anatenda nenda please

  • @shufwaaofficialtv1306
    @shufwaaofficialtv1306 ปีที่แล้ว +1

    Kabra hajaenda aende kwanza kwa kuhani Musa kimara temboni akaombewe na pia anunue vifaa vya kiroho aende navyo vitamsaidia, au anunue vitamsaidia yeye

  • @suzanetilito8194
    @suzanetilito8194 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda kumpa ushauri shendwa kwanza kabisa anatakiwa kuwa strong cha pili akipata chance ya kuongea na baba wa mtoto wake ajitahidi sana kumpa ushauri kama mchumba anampenda yeye pamoja mtoto inabidi amwambie mtu kama kweli unatupenda itabidii ufate utaratibu aliopewa na doctor atumie dawa ili apone haraka aungane na familia yake lakin hiyo ya kusema mtu anataka kuondoka bila matatibu anawatesa mama na mtoto kama anampenda amsisite sana mtu atumie dawa ili apone kwa wakati then aje kuungana nao mungu amsaidie apone kwa haraka aungane na familia yake tena mana mwanaume anaonekana anawapenda sana

  • @trinahahans3737
    @trinahahans3737 ปีที่แล้ว

    Mimi kwa mtazamo wangu ugonjwa wa huyo baba wanahusika ndugu zako wewe na mama wa huyo mtoto wa cameroun maana anaonekana sio watu wazuri na huo wivu mpaka kumnunua baba yake anafundishwa na mama yake mimi nakushauri ukienda uwe makini wasikutilie sumu

  • @elizabethmkude9452
    @elizabethmkude9452 ปีที่แล้ว

    Pole sana jitaidi tu uende atapona mume qako

  • @willjames1332
    @willjames1332 ปีที่แล้ว +1

    Naomba voda pesa yake au tigo pesa...

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  ปีที่แล้ว

      +4367764790884
      Naomba uniandikie WhatsApp kama hutojali ili niweze kushare mawasiliano ya binti