😂😂😂,my story of my life,mi niliangukia pilot,weee,alikuwa womaniser na reality hakuwa pilot,I found out that,he hard a mental illness and alikuwa obsessed with being a pilot,Hadi alikuwa anavaa nguo za pilot,keja imejaa Tu vitu za ndege,he drove a nice car,one day wazimu ilimshika akaanza kufight na ukuta, boxing Hadi vidole zinavunjika,hio story ya fetish is true,watu kama hao unawaondokea,am happily married to a Kenyan now,madem wa Africa uvumilua sana hawa walami,yet hawako happy,Bora uonekane na mzungu
@@lynlassiter5033 🤗, imagine alikuwa akinikol kunisho ako mara Amsterdam airport,Canada,etc,beste Saa hizo alisahau kumeza dawa za wazimu,infact alikuwa anatembea a GPS tracking Kwa mguu,so that he can be monitored his whereabouts 🤣mi mlami zii
Hey Ruth... Your the best content creator have seen. Your stories relate to what happens in society. Your very real no faking and that's we expect to hear from you . Very inspiring stories and the naked truth. I love all your videos.i do relate to the stories you talk about. Keep up the good job . Keep shinning.
😂😂😂I was there before moving. to the US that country ah ah 😂😂😂hiyo maneno ya makaratsi ilinishinda went to 2 different dates nikakuta tumzungu tumashtuka karibu nitapike🤮 nikasema nop! nop!
Uliduu poa Ruth kumarika na mkenya mwenzako. Mapenzi ya wazungu iko preserved kwa fridge na mnakatsiana haraka. Mapenzi ya waafrika iko hot kwa thermos 🔥🔥🔥
Mimi tu ndio sipendi wazungu....mwalimu wangu wa german alikuwa mjerumani alifanya nikaweka wazunye wote kwa whatsapp group moja ya never ever...alirudi akakuwa mkubwa wa deutche shule-nairobi.
Wee Ruth nakupenda bure hausugarcoat kitu❤wewe ni mtrue❤pia mimi niko Australia na niliacha wazungu nikarudi kenya nikaoa nyeuthi🤣🤣tuko 9yrs in marriage na 3kids..wazungu ni x cjawai ata date mzungu yaani ndingehota mjulus nyeupe😂😂😂
😂😂😂😂😂😂kushuta lol they are a special kind of crazy I was there in frankfurt, vile nilijionea na tu date kadhaa😂😂 nikashindwa na hiyo makaratasi I left that country.
Eh si you are hilarious 😂. Dating majuu is not for the faint hearted 😅its funny how a good number of girls back home ask me to get them someone. Wololo its tricky here (UK) . These men dont just come and talk to you. They might smile at you but that's about it. They arent as bold as our men. Or i think they're scared of being accused of something. Its very hard for someone to understand unless you live abroad. And then hapo pa fetishes. One has to be clear at the start you see if these are things one can handle coz weeee white people have some kinks wololo
My daughter is 17yrs living in Germany with the dad since she was 12yrs,na yee ananiambia hawezi date mjerumani.."she first introduced me to the bf and I was like,"wanjiku mûafrica🤣🤣"shes dating an African guy..and she was like.."mum hujui hawa watu"..with this channel,naelewa sasa
New subscriber here! Walai been in Denmark for 4 years and it's exactly the same thing you are saying about white men! They look at you but want you to approach them🙄🙄
That was back in the days, things have changed one can go to school and do vocational training or university. Kitambo pia wao they marrying German girls or kuwapea ball. But we still have people who seek that route upto date
Aki umeniuwa na kicheko.. 🤣🤣🤣🤣. Ati kuna mwenye anataka umtandike, na kuna wa kutandikana, na wa kushuta. Ruth, I love your stories. Mimi Tinder ilinionyesha mambo, but I met some good people on Bumble.

😂😂😂hiii ni tricky sorry tho
@amani9823
What?
Pole sana.
You're so lucky to have come out of it.
Thanks for sharing.
Pole that you had to go through all that but happy for your happy ending
@@soniaroyals thanks🤗
@@lynlassiter5033 🤗, imagine alikuwa akinikol kunisho ako mara Amsterdam airport,Canada,etc,beste Saa hizo alisahau kumeza dawa za wazimu,infact alikuwa anatembea a GPS tracking Kwa mguu,so that he can be monitored his whereabouts 🤣mi mlami zii
I hope that message reaches many young ladies in Kenya caz most of them huona kama wazungu ni heaven,
@reginanwai , ... i hope so too
You're one heck of a storyteller Ruth, I could listen to your hekayas all day long 😅
As a person who resided in Deutschland and now in US I really love this show
Nice to be here❤ I love your humor gal. Wimwega fiu. Love is sweet ukipata true love💕💞🥰😘🙏
Awww thengio muno 😊
Ruuuuuuth 😂😂😂,toboa yoote
The main problem with you Ruth is that you put everything as it is. You are surely an inspiration to many and am addicted to your videos.
😂 sifichi white 😂
I love your energy and aunthenticity..keep on keeping it real
Thank thanks for watching, i really appreciate your support
Asante kwa kushiriki maelezo mazuri. Nikukutazama moja kwa moja kutoka Ujerumani
Gal hii ulihit the Hammer vile inafaa...thank you to you coz most pple dont talk open bout it...👏👏👏👏
Thank you too for watching
Iyo ya kutandikwa....me niliwahi pata mmoja😂😂😂 weuh earth is hard....i love it you are telling the truth Ruth.
😂 mimi nilitandikana sijui kama naweza vumilia kutandikwa
Hey Ruth... Your the best content creator have seen. Your stories relate to what happens in society. Your very real no faking and that's we expect to hear from you . Very inspiring stories and the naked truth. I love all your videos.i do relate to the stories you talk about. Keep up the good job . Keep shinning.
Awww thank you so much 🤗 this one made my night
😂😂😂I was there before moving. to the US that country ah ah 😂😂😂hiyo maneno ya makaratsi ilinishinda went to 2 different dates nikakuta tumzungu tumashtuka karibu nitapike🤮 nikasema nop! nop!
Uliduu poa Ruth kumarika na mkenya mwenzako. Mapenzi ya wazungu iko preserved kwa fridge na mnakatsiana haraka. Mapenzi ya waafrika iko hot kwa thermos 🔥🔥🔥
I don’t regret at all thank you so much for watching
😂😂😂😂😂😂😂my ribs. Raw as it is, unabahati hukupata wale wakufunga mtu na nyororo kwa kitanda😂😂 ungeona siku mrefu. Tell our girls the truth
😂 mimi and the way I enjoy my freedom aki
I don’t think I can trust someone to such an extent
Mimi tu ndio sipendi wazungu....mwalimu wangu wa german alikuwa mjerumani alifanya nikaweka wazunye wote kwa whatsapp group moja ya never ever...alirudi akakuwa mkubwa wa deutche shule-nairobi.
Umeongea ukweli sana...tunahype mzungu too much! Ni watu ordinary kama sisi tuu!
Exactly kwanza Mimi after my terrible experiences wacha tu
Ruth Niko soo addictive na channel keep it on😊😊
Thank you for watching aki
😂😂😂😂😂you’ve made my day Ruth
😂 I’m glad you liked it
🤣🤣🤣🤣yaani you made my day. Leo umenivunja mbavu but true wafunge wengine wanakutana na fetish weird sana
Weee noma sana
Wee Ruth nakupenda bure hausugarcoat kitu❤wewe ni mtrue❤pia mimi niko Australia na niliacha wazungu nikarudi kenya nikaoa nyeuthi🤣🤣tuko 9yrs in marriage na 3kids..wazungu ni x cjawai ata date mzungu yaani ndingehota mjulus nyeupe😂😂😂
😂 I love you too you are such a vibe I can tell from your comment 😆 pia mimi ni eyes ndimonagira 18 😂
Hey salimia kevo😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Next week ako locked hapa vibaya sana
Love your content 🎉.
Glad you enjoy it!
Am here for mhondooo
We Need Details Bana Kuna Place Umakatisha🤣🤣🤣We Love them stories hizo unahepa bana😂😂😂
😂 Wewe wacha kuchoma
your energy is captivating
Aww thank you
Love you Ruth , Road to 10k subscribers 💪👏❤🎊
Amen 🙏🏿
Germany is my dream country siku 1 nitafika tuu anyway I love you
Learning something new
😂 kuna mweye anatafuta mzungu na mungu amesema wake ni kamau wa makara 😂
Am addicted 😂u makes my day mummy❤❤
Thank you so much for watching
😂😂😂 nimekua addicted huku...good vibes ruth.
Thank you so much for watching
I have subscribed.
Thanks for sharing the REALITY!
Thanks for the sub!
Hi ruth ..nimetoka kwa truth....very nice advise
Hi Shiro Karibu sana and thank you for watching
Better mkenya mwenzangu..
Aki nimekujua juzi na i think i have gone through all your videos. Wewe ni mfunny na unajua kupiga story. Asante sana!💕💕
thanks for sharing your story looking foward kuskia side ya kevo yani tuko on toes
😂😂😂😂😂😂kushuta lol they are a special kind of crazy I was there in frankfurt, vile nilijionea na tu date kadhaa😂😂 nikashindwa na hiyo makaratasi I left that country.
Hi Ruth...turehere kevoo.naye tusikie kutoka kwake.l love u my sister
Yes on it kabisa
Hey Ruth nice story....so tuchapie how to own a house in Germany and rent range plz ... I always watch your content ..
Good idea 👍🏾 will definitely do that
Vibes nazo, keep up
You are a vibe girl i love you...
Ebu imagine ni kanisa Ruth amefungua 🤣🤣🤣
😂 kwanza hapo kwa sadaka
Mmm tunangoja😂😂tinashaangaa sana sana
Wee imagine watu wengi hudhani we dated in high school and we didn’t
Any who's uko aje Ruth?❤😁
😂 hapa hauna maoni 😂
@@ruthKim-dt4lt 😂Apa sitaongea sana
Aki you're such a great story teller. MayaGhai dathie kwira andu masubscribe..kiweedo❤❤
💜💜💜 you Ruth
💜 ♥️
Eh si you are hilarious 😂. Dating majuu is not for the faint hearted 😅its funny how a good number of girls back home ask me to get them someone. Wololo its tricky here (UK) . These men dont just come and talk to you. They might smile at you but that's about it. They arent as bold as our men. Or i think they're scared of being accused of something. Its very hard for someone to understand unless you live abroad. And then hapo pa fetishes. One has to be clear at the start you see if these are things one can handle coz weeee white people have some kinks wololo
Watching from South Sudan juba 🙏🥰
Thanks for watching, i really appreciate your support hugs
Nakupenda sana Ruth.
Niko na mjerumani tulimeet online na anakam October 😉
How did it go?
My daughter is 17yrs living in Germany with the dad since she was 12yrs,na yee ananiambia hawezi date mjerumani.."she first introduced me to the bf and I was like,"wanjiku mûafrica🤣🤣"shes dating an African guy..and she was like.."mum hujui hawa watu"..with this channel,naelewa sasa
It can also be said the other way round ! She never was probably meeting the wrong people which is not a reason to generalize a group of people 😏
Most African kids who are born here don’t date the whites, I don’t know why but the whites think we are hot too.
I agree but most mixed kids think they are more black and you know black is handsome, beautiful and hot 🔥
Or like you’ve said May be she is like me attracting the wrong people
@@nimonimo602 am not sure🤔..ndio ameanza kidate,sijui yee huona Nini.
Your content is 🔥
Thank you for watching 💕
I’ve no idea how I landed on your channel but nimecheka nikaisha
Ate wauga 50 shades ni wewe 😂😂😂😂😂
😂 thanks God you landed here wee kama Mimi ndio nachapana sawa but Mimi sichapwi
Hiiiiii, ❤❤❤❤❤
😂
@Ruth Kim, nakupenda tu bureee...😇🥰😆
Awww 😊
Good content
Wazungu watakukula huko nyuma ushangae
ebu waambie ukweli
Yu are very interesting 😂😂😂
😂 thank you so much for watching
❤❤❤❤❤❤
Thank you 😊
New subscriber here! Walai been in Denmark for 4 years and it's exactly the same thing you are saying about white men! They look at you but want you to approach them🙄🙄
I guess ni kila place aki
I can't imagin i almost missed this nmekua naingoja i love stories 😃😃
Hahaha😂😂😂5k watu wa kanisa,plus watu wa central na biashara .....anyway ogopa....
How did you manage to get papers na your one year was coming to an end.All over sudden nimeskia ukiwa kenya.anyway......❤❤
Aki leo nimecheka yangu yote 😂😂😂😂😂😂😂😂
😂 nicheke tu
Nakupenda bure
Awww ♥️ 💐
I knew your hubby he was entertainment prefect in Gituru😂😂 hata wewe
😂 he was deputy head boy in 2005
Oooh yeah na wewe ulikua basketball mlikua besty na Carol mwari oru kabisa😂🤣🤣🤣
Nimecheka sana 😂
😊😊😊you are funny.
😂
Nice one
Thanks for watching
You're very funny 😂😂😂
😂
❤
Uweh!!!!😂
Uko na content poa, Kuna venye una weza Kublock vitu ka namba plates za ma Gari zingine or uso za watu
Hapo kwa kuchapa highway sijashikanisha
😂
U have nyce stories...zinaninyce
😂 thank you 😊
Hehehe, upendo
😂 thank you
Inaitwa destiny..
Kabisaa I was busy looking for wazungu and God knew wangu ako Thika lol
Aki vile mm huchukia hao wazungu atasijuwi kama anaweza nitwa suruwari mm aki🤮
How come you drive a right-hand drive car?
It’s left
Weuh ati...ushute akuje afanye nini😂😂😂
Anuse 😂 ikafika mahali nikajiuliza hii ni maisha gani
😂😂😂😂🤔
😂😂after how long ulinotice simu ilizima😂😂baada yakujipigia story 😅😅
But nipoa ilipoa nilikuwa nimego deep sana wee
Bwana ni bwana jameni
For sure
So what do the guys do when their visas expires? they also marry German women ama huwa kunaenda aje?
That was back in the days, things have changed one can go to school and do vocational training or university. Kitambo pia wao they marrying German girls or kuwapea ball. But we still have people who seek that route upto date
Kabisa
Aki umeniuwa na kicheko.. 🤣🤣🤣🤣. Ati kuna mwenye anataka umtandike, na kuna wa kutandikana, na wa kushuta. Ruth, I love your stories. Mimi Tinder ilinionyesha mambo, but I met some good people on Bumble.
Mimi nilikuwa na attract the bad ones
Yaaani kirikuraba.....
Kabisaaaa
yeah wazungu fetish is very weird, mimi nilichagua filipino
😂 I didn’t get a chance to try them 😜
Ati nani phillipino resist hafungangi mapua
Filipino anakaa aje bila nguo ??😂😂😅
Mapenzi badala ya karatasi😜
😂 Mungu alikuwa amepanga ni Kelvin wa Thika na mimi nangangana na wazungu Huku
Your videos are so addictive
Thank you so much for watching
Specil nini mzungu .ni ngozi. Tu
There are normal humans
😂😂😂😂😂😂😂😂
😂
Tell us agent
Wa kweda wapi ?
@@ruthKim-dt4lt Canada
🤣🤣🤣🤣🤣Aki wewe fungua hio church basi
Mutatoa sadaka 😂
😂😂😂😂😂😂
Theka tu Ni huwaonea white
@@ruthKim-dt4lt Nacheka juu home watu hudhani wazungu are super human while we see them as normal people
@@johnte8317 😂 mimi nilipewa character development
🥴
😂
😂😂😂....wewe ni cartoon sana.
😂😂😂😂❤❤❤❤𝒍𝒐𝒗𝒆 𝒚𝒐𝒖𝒓 𝒄𝒐𝒏𝒕𝒆𝒏𝒕 ❤❤
Thengio muno mydea
😂😂😂😂
Weee cheka tu
😂😂
😂😂😂😂😂😂
Glad you enjoyed