Wizara ya Afya Tanzania
Wizara ya Afya Tanzania
  • 308
  • 101 846

วีดีโอ

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA AFYA KWA MWAKA WA FEDHA 2024/25
มุมมอง 6712 หลายเดือนก่อน
WAZIRI WA AFYA MHE. UMMY MWALIMU AKIWASILISHA HOTUBA YA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA YA WIZARA YA AFYA KWA MWAKA WA FEDHA 2024/25
MAMBO MAKUBWA 10 YALIYOFANYWA NA SERIKALI YA AWAMU YA SITA KWA SEKTA YA AFYA NDANI YA MIAKA MITATU
มุมมอง 923 หลายเดือนก่อน
MAMBO MAKUBWA 10 YALIYOFANYWA NA SERIKALI YA AWAMU YA SITA KWA SEKTA YA AFYA NDANI YA MIAKA MITATU
RAIS SAMIA AMEBORESHA HUDUMA ZA TIBA NA KINGA NCHINI.
มุมมอง 654 หลายเดือนก่อน
Mkurugenzi wa Huduma za Tiba kitoka Wizara ya Afya Prof. Pascal Ruggajo akiwa pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za kinga Dkt. Tumaini Haonga wakizungumzia mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uboreshaji huduma za Tiba na Kinga nchini.
HOSPITALI ZA RUFAA MIKOA ZIMEPUNGUZA RUFAA ZA WAGONJWA KWENDA NGAZI ZA JUU ZAIDI KWA MATIBABU
มุมมอง 1114 หลายเดือนก่อน
Mganga Mfawidhi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa (Amana) Dkt. Bryceson Kiwelu akizungumza kuhusu maboresho makubwa yaliyofanywa na Serikali na jinsi yalivyochagiza katika kupunguza rufaa za wagonjwa kwenda Hospitali za Kanda/Maalum/kanda kwa ajili ya Matibabu. Amesema kuwa uwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais Dkt. Samia ndani ya kipindi cha miaka mitatu umechangia katika maendeleo na mageuzi makubwa n...
MJADALA WA WATAALAM KUTOKA SEKTA YA AFYA (PANEL DISCUSSION) KUHUSU MAENDELEO YA SEKTA YA AFYA NCHINI
มุมมอง 1694 หลายเดือนก่อน
Wataalam kutoka Wizara ya Afya na Taasisi zake wakielezea mafanikio ya Sekta ya Afya katika kipindi cha miaka mitatu ya Uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Mjadala huu umefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City ukiongozwa na Mtangazaji mahiri kutoka Clouds TV Bi. Kija Yunus. M#Miaka3yaRaisSamia
DAKIKA 27 ZA DKT MOLLEL AKIELEZEA MAFANIKIO YA SEKTA YA AFYA NDANI YA MIAKA 3 SERIKALI YA AWAMU 6
มุมมอง 1024 หลายเดือนก่อน
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel akielezea mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita ndani ya kipindi cha miaka mitatu ya Uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
WAZIRI UMMY AINGILIA KATI SAKATA LA NHIF NA APHFTA/ ATOA MAELEKEZO VITUO VYA UMMA KUFANYA KAZI
มุมมอง 11K4 หลายเดือนก่อน
WAZIRI UMMY AINGILIA KATI SAKATA LA NHIF NA APHFTA/ ATOA MAELEKEZO VITUO VYA UMMA KUFANYA KAZI
WILAYA YA SONGWE KUPATIWA MAGARI MATATU YA KUBEBEA WAGONJWA
มุมมอง 6110 หลายเดือนก่อน
WILAYA YA SONGWE KUPATIWA MAGARI MATATU YA KUBEBEA WAGONJWA
WATOTO ZAIDI YA LAKI 4 KUPATA CHANJO YA POLIO MKOA WA SONGWE
มุมมอง 7710 หลายเดือนก่อน
WATOTO ZAIDI YA LAKI 4 KUPATA CHANJO YA POLIO MKOA WA SONGWE
ZIARA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA AFYA NA MASUALA YA UKIMWI TMDA JIJINI DSM
มุมมอง 5510 หลายเดือนก่อน
ZIARA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA AFYA NA MASUALA YA UKIMWI TMDA JIJINI DSM
ZIARA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA AFYA NA MASUALA YA UKIMWI TMDA
มุมมอง 4810 หลายเดือนก่อน
ZIARA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA AFYA NA MASUALA YA UKIMWI TMDA
MASWALI NA MAJIBU BUNGENI MKUTANO WA 12 KIKAO CHA NANE
มุมมอง 2010 หลายเดือนก่อน
MASWALI NA MAJIBU BUNGENI MKUTANO WA 12 KIKAO CHA NANE
MASWALI NA MAJIBU BUNGENI MKUTANO WA 12 KIKAO CHA SABA
มุมมอง 5610 หลายเดือนก่อน
MASWALI NA MAJIBU BUNGENI MKUTANO WA 12 KIKAO CHA SABA
MASWALI NA MAJIBU BUNGENI MKUTANO WA 12 KIKAO CHA SABA
มุมมอง 2210 หลายเดือนก่อน
MASWALI NA MAJIBU BUNGENI MKUTANO WA 12 KIKAO CHA SABA
MASWALI NA MAJIBU BUNGENI MKUTANO WA 12 KIKAO CHA SABA
มุมมอง 1810 หลายเดือนก่อน
MASWALI NA MAJIBU BUNGENI MKUTANO WA 12 KIKAO CHA SABA
KAMPENI YA MADAKTARI WA MAMA, KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA YA UZAZI MAMA NA MTOTO NGAZI YA JAMII
มุมมอง 99ปีที่แล้ว
KAMPENI YA MADAKTARI WA MAMA, KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA YA UZAZI MAMA NA MTOTO NGAZI YA JAMII
UBORESHAJI WA HUDUMA ZA AFYA KATIKA MKOA WA MBEYA.
มุมมอง 289ปีที่แล้ว
UBORESHAJI WA HUDUMA ZA AFYA KATIKA MKOA WA MBEYA.
HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA AFYA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24
มุมมอง 398ปีที่แล้ว
HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA AFYA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24
WATUMISHI SEKTA YA AFYA KUNUFAIKA NA MAPITIO YA MUUNDO WA KADA ZAO
มุมมอง 273ปีที่แล้ว
WATUMISHI SEKTA YA AFYA KUNUFAIKA NA MAPITIO YA MUUNDO WA KADA ZAO
🔴Dkt. Mollel akieleza maboresho katika Sekta ya Afya yaliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita.
มุมมอง 40ปีที่แล้ว
🔴Dkt. Mollel akieleza maboresho katika Sekta ya Afya yaliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita.
Mkazi wa kijiji cha Muungano aishukuru Serikali kwa kuwapatia huduma ya upasuaji wa mtoto wa Jicho
มุมมอง 27ปีที่แล้ว
Mkazi wa kijiji cha Muungano aishukuru Serikali kwa kuwapatia huduma ya upasuaji wa mtoto wa Jicho
Ulemavu wa kutokuona haukubaliki - Greater Mande
มุมมอง 32ปีที่แล้ว
Ulemavu wa kutokuona haukubaliki - Greater Mande
WATU 400 KUFANYIWA UPASUAJI WA MTOTO WA JICHO-MBALALI
มุมมอง 63ปีที่แล้ว
WATU 400 KUFANYIWA UPASUAJI WA MTOTO WA JICHO-MBALALI
DKT.MOLLEL AWABANA WAFAMASIA LINDI KUHUSU HUDUMA ZA DAWA.
มุมมอง 92ปีที่แล้ว
DKT.MOLLEL AWABANA WAFAMASIA LINDI KUHUSU HUDUMA ZA DAWA.
SALAMU ZA WAZIRI WA AFYA MHE. UMMY A. MWALIMU ZA SIKUKUU YA KRISMASI NA MWAKA MPYA 2023
มุมมอง 920ปีที่แล้ว
SALAMU ZA WAZIRI WA AFYA MHE. UMMY A. MWALIMU ZA SIKUKUU YA KRISMASI NA MWAKA MPYA 2023
24 November 2022
มุมมอง 104ปีที่แล้ว
24 November 2022
JUNSI YA KUTUMIA MFUMO WA AFYA MSAFIRI
มุมมอง 387ปีที่แล้ว
JUNSI YA KUTUMIA MFUMO WA AFYA MSAFIRI
CUSTOMER SERVICES TRAINING TESTIMONIAL
มุมมอง 98ปีที่แล้ว
CUSTOMER SERVICES TRAINING TESTIMONIAL
MFUKO WA BIMA YA AFYA UKO HAI UNAENDLEA KUTOA HUDUMA KWA WANACHAMA
มุมมอง 61ปีที่แล้ว
MFUKO WA BIMA YA AFYA UKO HAI UNAENDLEA KUTOA HUDUMA KWA WANACHAMA

ความคิดเห็น

  • @allybakari28
    @allybakari28 หลายเดือนก่อน

    Hotuba nzuri

  • @bakarijuma-fw3cd
    @bakarijuma-fw3cd 2 หลายเดือนก่อน

    Bajeti nzur

  • @Mr-Equilibrium2405
    @Mr-Equilibrium2405 2 หลายเดือนก่อน

    Vizuri sana

  • @hamidamussa-sy4fm
    @hamidamussa-sy4fm 2 หลายเดือนก่อน

    Sawa

  • @temuemanuel4671
    @temuemanuel4671 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu mtu aliye-edit hii video alikuwa mlevi? Aliisikiliza kabla ya kuipost kweli? Yaani video inakaruka ruka na haina mtiririko wa matukio

  • @salomekitomary3129
    @salomekitomary3129 3 หลายเดือนก่อน

    Hii video yenu inaruka ruka hakuna mtiririko wa ujumbe, liangalieni hilo

  • @user-dj1vm7xu6k
    @user-dj1vm7xu6k 4 หลายเดือนก่อน

    Mh. Waziri, naomba ukumbuke kuwa kazi ya Wizara au Serikali Kwa ujumla ni kuandaa Sera za sekta husika. Kwa kuzingatia hayo kazi ya msingi ya Wizara ya Afya ni kuandaa na kusimamia Sera za afya za nchi hii. Utejelezaji wa Sera hizo sio kazi ya msingi za Wizara yako. Ukweli ni kwamba huwezi kuendesha Wizara ya afya bila kubaini ukubwa wa sekta ya Afya. Upende usipende Wizara hii haiwezi kuendeshwa Kwa mtindo wa kizamani. Lazima kubuni nanna mpya ya kusimamia sekta hii muhimu. Wacha mashairi. Inaelekea uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho. Achia ngazi.

  • @azgarjaffer4486
    @azgarjaffer4486 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe kama waziri umeshindwa jiyzulu mweenyewe

  • @azgarjaffer4486
    @azgarjaffer4486 4 หลายเดือนก่อน

    Moyo hawatohi huduma kwa wanachama wa nhif

  • @azgarjaffer4486
    @azgarjaffer4486 4 หลายเดือนก่อน

    Mini nataka kurudishiwa pesa nikizo lipa niachane na bima

  • @azgarjaffer4486
    @azgarjaffer4486 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi ni muasirika nnhif nimenyimwa huduma na moyo hospital Arusha kuto lipwa na bima ya nhif nimenyimwa huduma kwani mie nalipa bima kubwa na ni mwasirika WA sukari nanyimwa insolin na dawa za preha wanadai serekali imekaataa kuwa lipa naamini bima ni kweli wamegawana pesa bi 41 walizo jikopesha kama cag alivyo sema

    • @azgarjaffer4486
      @azgarjaffer4486 4 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba huduma hii iwe hospitali ya serekali niweze kutibiwa tunaomba weledi wako

    • @azgarjaffer4486
      @azgarjaffer4486 4 หลายเดือนก่อน

      Napenda unitumie namba zako za sim nikueleze mambo mengi unavyo sabotegiwa waziri umi

  • @user-dj1vm7xu6k
    @user-dj1vm7xu6k 4 หลายเดือนก่อน

    Mh. Waziri, tatizo hili lina historia inayotokana na Wizara unayoiongoza wewe. Utakumbuka miaka ya 2000 reform program iliyoendeshwa na Utumishi ilipendekezai iundwe taasisi itakayosimamia na kuratibu watoa huduma za afya nchini. Mapendekezo hayo yalizingatia kwamba Huduma za afya zinatolewa na Serikali, taasisi za umma, watu binafsi, mashirika ya dini nk. Kwa sababu hiyo ilionekana ni busara iwepo taasisi huru kusimamia na kuratibu watoa huduma za afya. Wizara ya Afya wakati huo walikataa mapendekezo hayo bila sababu za msingi. Matokeo ya maamuzi ya Wizara yako ndio yaliyoifikisha Wizara ya Afya hapo ilipo. Wizara ya Afya haiwezi kuwa msimamizi na mratibu wa watoa huduma za afya kama wao pia ni watoa huduma za afya. Huo ndio utawala Bora. Utakuwaje refa na mchezaji wakati huo huo. Kazi inayofanywa na TIRA pamoja na NHIF Kwa sasa sio kazi zao. Hizo ndio kazi za msimamizi na mratibu wa watoa huduma za afya. Waziri, ukumbuke watu wanakufa na wewe unatuletea ngonjera na usanii kwenye mitandao ya jamii. Wizara yako inahitaji reforms ili mtoe Huduma Bora zaidi.

  • @ullujaffariyohani1186
    @ullujaffariyohani1186 4 หลายเดือนก่อน

    Mm haya mambo ya Matibabu ya hospital za bongo hawa sielewi kabisaa wanapoweka haya mambo ya Bima ya afya kwa watu masikini inakawaje half mgonjwa anapolazwa vipimo kama Exray anatafuta alipe Kitana alive dada alipe kwanini asiwe anahudumiwe mpk atoke siyo kila mtu ana uwezo

  • @AbrahamSekuza
    @AbrahamSekuza 4 หลายเดือนก่อน

    Umy unababaisha swala la NHIF lakini sikulaumu huo ni mpango wa serikali kutufanya wananchi ni shamba la bb

  • @merygodfrey3709
    @merygodfrey3709 4 หลายเดือนก่อน

    Mh. UMIMI Mbona mmeondoa dawa zote kwa Wagonjwa wanaosafisha figo?Kwa kweli!!!!!!

  • @veronicarugambwa6360
    @veronicarugambwa6360 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba kuuliza swali Madam waziri. Inakuwaje Kwa mfano unaondoa vifaa vya kupima sukari kwa kitita Cha wekeza?? Huyu mgonjwa anatumia dawa lkn hawezi kujua anaendeleaje. Maana hawezi kupima sukari. Naomba mtusaidie huu ni ugonjwa wa kudumu

  • @daslamonline4665
    @daslamonline4665 4 หลายเดือนก่อน

    Hamlipi kwa wakati wanasema wanashindwa kujiendesha,

  • @senyagwadickson9084
    @senyagwadickson9084 4 หลายเดือนก่อน

    Hakuna lolote wizi tu mafisadi wakubwa

  • @user-dy5fn6qj1q
    @user-dy5fn6qj1q 4 หลายเดือนก่อน

    Anajitahidi mwacheni mnaingilia mpaka mavazi jama,,nii

  • @dismasbayi8465
    @dismasbayi8465 4 หลายเดือนก่อน

    Wazirri hongera sana kwa kuwajali Watanzania hiyo pia ni matamanio ya Mhe. Rais wetu hongera sana

  • @godlovemrosso5973
    @godlovemrosso5973 4 หลายเดือนก่อน

    Mm nikijiunga ila sina namna nishajitoa uwezo wa kulipia kifurushi cha laki 8 hakina msada haya nikakata kwa watoto wanne mara mmekikataa cha watoto kwenda ku renew mnakataa basi acha tufe tuu hakuna namna

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 4 หลายเดือนก่อน

    Watanzania ni wengi tunaomba pia tozo simu hela kidogo mafuta vinywaji nk ziongezwe kuupa mfuko nguvu mfuko Afya ni uchumi jamani

  • @user-cz7bd9tc5k
    @user-cz7bd9tc5k 4 หลายเดือนก่อน

    Waache Wa katae uki lazimisha Tuta uwawa sisi

  • @AmaniMuhomi-uz2lk
    @AmaniMuhomi-uz2lk 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa nini mnahangaika na hospitali binafsi wakati serikali mna hospitali kila sehemu mjiulize kwa nini wagonjwa wanakimbilia haspitali binafsi

  • @JohnMalengua-jh6ps
    @JohnMalengua-jh6ps 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa utitiri wa kodi mliowarundikia wananchi na rasilimali zilizopo Tanzania ,nadhani huduma za afya zingekuwa chini sana,acheni utani na maisha ya watu

  • @ramadhanibahati2829
    @ramadhanibahati2829 4 หลายเดือนก่อน

    Good message waziri

  • @Tatianusi-zr6pz
    @Tatianusi-zr6pz 4 หลายเดือนก่อน

    Mama ludi ukajipange ukwer nikwamba tatizo lipo Hila tunashaangaaa unaleta mapambo na vihistolia visivyokua na maana kwetu

  • @Tatianusi-zr6pz
    @Tatianusi-zr6pz 4 หลายเดือนก่อน

    Hiyo dk vep

  • @allykondo8406
    @allykondo8406 4 หลายเดือนก่อน

    Mh

  • @emmanueljoseph1496
    @emmanueljoseph1496 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera mama Hon Dr.Ummy Mwalimu.Naamini Mungu atawabadilisha watoa huduma wawe na moyo wa huruma.

  • @user-dj1vm7xu6k
    @user-dj1vm7xu6k 4 หลายเดือนก่อน

    Ni vizuri pia kuangalia sheria zilizoanzisha NHIF, kazi yao ni nini? Ni bima ya afya au nini haswa? NHIF wanajisahau kutekeleza majukumu yao wanaishia kujikomba kwa waziri. Go back to basics. Mtakapoona kuna gap fikirieni cha kufanya na sio kutesa mwananchi ambaye amechangia kitita chake. Be serious

  • @user-dj1vm7xu6k
    @user-dj1vm7xu6k 4 หลายเดือนก่อน

    Mheshiwa waziri, lipo tatizo la msingi. Sio sahihi NHIF pamoja na Wizara kupoteza muda wao wa kuendeleza mifumo ya Kutoa Huduma za afya. Kinachotakiwa ni Wizara kukubali kuanzisha medical services regulatory authority ili kuratibu watoa huduma wote wa Huduma afya. Authority hiyo ndio ikae na wadau wote ili kubaini yote. NHIF hawapaswi kunegotiate na wadau binafsi. NHIF iendelee na kazi yao ya msingi.

  • @JuniorLema-vk8me
    @JuniorLema-vk8me 4 หลายเดือนก่อน

    Usimwiite fisadi anajithidi lakini wako mafisadi wasioonekana serikali idili nao

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu Mama ni genge la mafisadi, ni ufisadi tu wizara yake, RIP JPM

  • @hurumaseba2782
    @hurumaseba2782 4 หลายเดือนก่อน

    Rudini mmalize kwa amani , mtasababisha kupungua kwa huduma bora . watawapokea halafu wakatoa huduma mbovu .mtakuwa mmefanya nini

  • @hurumaseba2782
    @hurumaseba2782 4 หลายเดือนก่อน

    Mheshiwa tunaomba hili jambo limalizeni haraka ,maana atakaye umia ni mwanachama . usitumie ubabe kulimali mtaumiza watu wa chini

  • @tman181
    @tman181 4 หลายเดือนก่อน

    Logical, forceful and compelling. Mhe Waziri, kudos 👍👏🏻

  • @CharlesMasanja
    @CharlesMasanja 4 หลายเดือนก่อน

    Serikali isiliache suala la bima kuwa hiari ya mtu. Bima ya afya iwe lazima, lakini kwa kuzingatia kikokotoo cha uwezo wa kiuchumi wa mtu mmoja mmoja. Mbona magari hayana flat rate Insurance? Tunafeli wapi kuhusu uhai wa binadamu? Kuugua hakuna hiari! Kwa nini matibabu yawe hiari? The government should think loudly about Health Insurance for every Tanzanian.

  • @CharlesMasanja
    @CharlesMasanja 4 หลายเดือนก่อน

    SULUHISHO LA BIMA YA AFYA TANZANIA: Nina maoni yafuatayo nje ya taaluma. 1. Serikali ipige hesabu, gharama za matibabu kwa watanzania wote kwa mwaka ni kiasi gani. 2. Gharama hiyo igawanywe kwa idadi ya watanzania wote. 3. Kila mtanzania alipe bima ya afya kila mwaka, kama ilivyo kwa magari, mitambo nk. 4. Kiwango cha bima kizingatie uwezo wa kiuchumi wa kila mtanzania. 5. Naamini kuna baadhi ya watanzania watatakiwa kulipa bima ya sh. 1,000 kwa mwaka. Lakini baadhi ya watanzania watatakiwa kulipa bima ya sh. 10,000,000 kwa mwaka. Hapo kila mtanzania atatibiwa bila shaka yoyote.

  • @wilhelmibaganisa5493
    @wilhelmibaganisa5493 4 หลายเดือนก่อน

    NHIF ni wahuni tu , RIPOTI YA CAG 2023/4 kuwa bil 41 wafanyakazi wa huo mfuko walijikopesha bila liba !!

  • @mwalimumstaafu8529
    @mwalimumstaafu8529 4 หลายเดือนก่อน

    Maoni yangu, mama Samia weka mtu mwingine. Ummy umekaa na wizara kwa muda mrefu na matatizo bado mengi. Mheshimiwa una maneno mengi, utekelezaji wako ni mdogo.

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 4 หลายเดือนก่อน

      Hivi tangu Mwaka gani?

    • @mwalimumstaafu8529
      @mwalimumstaafu8529 4 หลายเดือนก่อน

      @@adkajisi4536 sikumbuki lakini ni mida sasa na huduma bado ni mbovu. Ameshindwa kuthibiti matumizi mabaya na huduma kwa wagonjwa. Kila akisimama ni hotuba tu. Mama weka mtu mchapakazi sio porojo.

  • @-TECHNICIAN
    @-TECHNICIAN 4 หลายเดือนก่อน

    MAWASILIANO NI TABU KILA NIKIWAPIGIA NHIF HAIPATIKANI 199 JE NITUMIE NKIA NGANI KUWASILIANA NAO ?

  • @JamesChrizestome
    @JamesChrizestome 4 หลายเดือนก่อน

    Hali ni mbaya sana Mheshimiwa Waziri hospital karibu zote zimesimamisha huduma za Nhif zimesimamishwa tunapata shida sana tunaomba Serikali itoe tamko wananchi tupate huduma

  • @mohamedzambo1511
    @mohamedzambo1511 4 หลายเดือนก่อน

    Mahospitali ni ujambazi kwenda mbele, HATA kama unalipa taslim utanunua dawa MPAKA u hoke. Tumeni WATU wachunguze HILI. Fuatilieni watendaji wenu!!!!

  • @kelvinmhanga3052
    @kelvinmhanga3052 4 หลายเดือนก่อน

    Hayo mambo yenu ya nhif mm siyajui ila ninachoona huyu mama ni mke mwema.natamani awe mama mkwe wangu nauhakika mwanaye atakuwa ndio yule nimeombaye mungu anipe

    • @tato8979
      @tato8979 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @TumainiShao
    @TumainiShao 4 หลายเดือนก่อน

    Jamani nasema ivii ,,tumeshakataliwa,,wametupa masaa 48 tuondoke,,heri nusu shari kuliko shari kamili,,hapa sasa jichanganye na nhif yako uende kairuki ,,hawatakufukuza ila cha moto utakiona,,utasugua benchi balaaa,,,ila tufike pahali tujikubali na hospitali zetu za serikali kuna ambazo zinajitajidi kihuduma wako vizuri,,,labda changamoto tu ni vifaa ,,serikali ituboreshee vifaa na pia watuongezee wahudumu,,

  • @eliamtani2840
    @eliamtani2840 4 หลายเดือนก่อน

    shida ni kwamba, serikali ni kama haioni kazi kubwa inayofanywa na watu binafsi walioanzisha hospital zao especially kwenye kupunguza mzigo kwa serikali katika swala la ajira za vijana na matibabu kwa watanzania. Lakini hata kutambua hilo unakuta halionekani jamani, malipo yao yanacheleweshwa sana hata kama mtu kawasilisha madai kwa wakati ambapo hayo malipo yao ndio wanakuja kulipa mishahara kwa wafanyakazi wao ambao ni watanzania kama nyie, lla watu wanakosa mishahara mda mrefu na watu wana familia zao huko lkn kama vile watu hawaoni yaani. inaniuma sana.

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 4 หลายเดือนก่อน

    Nhif mie wanaonekana kwako wazuri ila kukatwa pesa na kufungiwa huduma hovyohovyo kuchunguzwe walisha vimba kichwa sana

  • @barakaedward9453
    @barakaedward9453 4 หลายเดือนก่อน

    Hebu tafuten suluhu ,hao kinasakwale wamebobea kitu gan maana hiyo ndo shida yetu watanzania kamati zinaundwa na watu walionje ya professional, pia angalien na mishahara ya hao watu wa NHIF maana na wao wanatoa huduma kwa watu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe siyo mfuatiliaji kwenye sekta hiì ya afya wanawake wengi sana wajawazito wanakufa kwa kukosa pesa huendi kwenye mahospitali ya vijijini kwa ufuatiliaji wa makini unaishia mijini na hata huko mijini siyo sanaaaa Gwajima ndiyo alikuwa mchapa kazi wewe Fani sijui ni Daktari au vipi