WILAYA YA SONGWE KUPATIWA MAGARI MATATU YA KUBEBEA WAGONJWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema Halmashauri ya Wilaya ya Songwe itapatiwa magari Matatu ya kubebea wagonjwa (Ambulance) ili kusaidia kutoa huduma za dharura na rufaa za matibabu na kupunguza madhara makubwa yanayoweza sababisha vifo kwa wagonjwa wanaohitaji huduma kwa haraka.

ความคิดเห็น •