MASWALI NA MAJIBU BUNGENI MKUTANO WA 12 KIKAO CHA SABA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • Tanzania ina jumla ya Madaktari Bingwa Wazalendo 2,469 ambao wamesajiliwa na Baraza la Madaktari Tanganyika wa fani mbalimbali za Udaktari Bingwa.
    Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel wakati akijibu swali namba 103 kwa niaba ya Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu, swali lililoulizwa na Mhe. Angelina Adamu Malembeka (VITI MAALUM) aliyetaka kujua Tanzania ina Madaktari Bingwa Wazalendo wa magonjwa ya Binadamu wangapi.

ความคิดเห็น •