MASWALI NA MAJIBU BUNGENI MKUTANO WA 12 KIKAO CHA NANE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema, Bima ya afya kwa wote itakuwa suluhu ya kudumu kwa wananchi wote ikiwemo watoto wasio na wazazi na wasiojiweza ambao awali walikuwa wakilipiwa na wahisani kupitia "Toto Afya Kadi".
    Dkt. Molel amebainisha hayo leo Septemba 8, 2023 wakati akijibu swali la Mhe. Abdul-Haffar Idrissa Juma Mbunge wa Mtoni katika Bunge la 12, kikao cha tisa, Jijini Dodoma.

ความคิดเห็น •