KAMPENI YA MADAKTARI WA MAMA, KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA YA UZAZI MAMA NA MTOTO NGAZI YA JAMII

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 มิ.ย. 2023
  • Kampeni ya "Madaktari wa Mama" inalenga kutekeleza azma ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kupunguza na kuondoka vifo vitokanavyo na afya ya uzazi mama na mtoto. Kampeni hii inayoratibiwa na Wizara ya Afya imejumuisha Wataalam zaidi ya 100 wenye ubingwa wa Magonjwa ya Wanawake Afya ya Uzazi Mama na Mtoto, Usingizi na Ganzi, Madaktari wa Watoto Wachanga na Wauguzi wabobezi pamoja na Wafamasia ambao wamesambazwa katika Mikoa 12 nchini kwa ajili ya kutoa mafunzo na kuwajengea uwezo wataalam katika Vituo vya Afya ngazi ya msingi ili waweze kutoa huduma bora za katika maeneo yao.
    #TunaboreshaAfya #MtuniAfya #AfyaniMtaji

ความคิดเห็น •