HOSPITALI ZA RUFAA MIKOA ZIMEPUNGUZA RUFAA ZA WAGONJWA KWENDA NGAZI ZA JUU ZAIDI KWA MATIBABU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • Mganga Mfawidhi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa (Amana) Dkt. Bryceson Kiwelu akizungumza kuhusu maboresho makubwa yaliyofanywa na Serikali na jinsi yalivyochagiza katika kupunguza rufaa za wagonjwa kwenda Hospitali za Kanda/Maalum/kanda kwa ajili ya Matibabu. Amesema kuwa uwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais Dkt. Samia ndani ya kipindi cha miaka mitatu umechangia katika maendeleo na mageuzi makubwa ndani ya Sekta ya Afya na hivi sasa Hospitali za Rufaa za Mikoa zinatoa huduma bora za matibabu ikiwemo yale ya kibingwa ambayo hapo zamani huduma hizo zilikuwa zikitolewa katika Hospitali ya Taifa/Kanda au Maalum pekee. #Miaka3yaRaisSamia
  • บันเทิง

ความคิดเห็น •