ZIARA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA AFYA NA MASUALA YA UKIMWI TMDA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Afya na masuala ya UKIMWI Mhe. Stanslaus Nyongo ametoa wito kwa mamlaka ya dawa na vifaa tiba nchini (TMDA) kuendeleza ufanisi walionao katika kuangalia ubora na usalama wa dawa na vifaa tiba ili kuzilinda afya za Watanzania.

ความคิดเห็น •