WAZIRI UMMY AINGILIA KATI SAKATA LA NHIF NA APHFTA/ ATOA MAELEKEZO VITUO VYA UMMA KUFANYA KAZI

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 63

  • @user-tg7vq3ty8p
    @user-tg7vq3ty8p 4 หลายเดือนก่อน +4

    Pole Sana Odo Ummy. Lakini mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Kule nyumbani kwetu Mwahako Msikiti wa Vioo walisema samaki umkunje angali m bichi akikauka hakunjiki.

  • @tman181
    @tman181 4 หลายเดือนก่อน +1

    Logical, forceful and compelling. Mhe Waziri, kudos 👍👏🏻

  • @user-tg7vq3ty8p
    @user-tg7vq3ty8p 4 หลายเดือนก่อน +1

    As for this presentation, very many congratulations Honourable Madame Minister. It is my expectation that APHTA will listen and comprehend what has been said in the presentation.

  • @emmanueljoseph1496
    @emmanueljoseph1496 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera mama Hon Dr.Ummy Mwalimu.Naamini Mungu atawabadilisha watoa huduma wawe na moyo wa huruma.

  • @AmaniMuhomi-uz2lk
    @AmaniMuhomi-uz2lk 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa nini mnahangaika na hospitali binafsi wakati serikali mna hospitali kila sehemu mjiulize kwa nini wagonjwa wanakimbilia haspitali binafsi

  • @kelvinmhanga3052
    @kelvinmhanga3052 4 หลายเดือนก่อน +3

    Hayo mambo yenu ya nhif mm siyajui ila ninachoona huyu mama ni mke mwema.natamani awe mama mkwe wangu nauhakika mwanaye atakuwa ndio yule nimeombaye mungu anipe

    • @tato8979
      @tato8979 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @godlovemrosso5973
    @godlovemrosso5973 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mm nikijiunga ila sina namna nishajitoa uwezo wa kulipia kifurushi cha laki 8 hakina msada haya nikakata kwa watoto wanne mara mmekikataa cha watoto kwenda ku renew mnakataa basi acha tufe tuu hakuna namna

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 4 หลายเดือนก่อน +4

    Nadhani serikali inge-top up gharama za matibabu kwa kuweka tozo maalum ya afya kwenye simu au mafuta. Kwa hili la afya Wala Wananchi hawatalalamika. Wananchi wanathamini Sana afya na hii ingekuwa ndio kuchangiana. Mfuko wa afya ni muhimu kama ilivyo mfuko wa barabara, maji na umeme vijijni. Hebu jaribuni au iwekeni vizuri muilete kwa Wananchi muone itakavyopokelewa. Viwango viweze kuwa stahimilivu kwa wote kwa kuchangiana, ndio spirit ya ujamaa.

  • @dismasbayi8465
    @dismasbayi8465 4 หลายเดือนก่อน

    Wazirri hongera sana kwa kuwajali Watanzania hiyo pia ni matamanio ya Mhe. Rais wetu hongera sana

  • @ramadhanibahati2829
    @ramadhanibahati2829 4 หลายเดือนก่อน

    Good message waziri

  • @merygodfrey3709
    @merygodfrey3709 3 หลายเดือนก่อน

    Mh. UMIMI Mbona mmeondoa dawa zote kwa Wagonjwa wanaosafisha figo?Kwa kweli!!!!!!

  • @veronicarugambwa6360
    @veronicarugambwa6360 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba kuuliza swali Madam waziri. Inakuwaje Kwa mfano unaondoa vifaa vya kupima sukari kwa kitita Cha wekeza?? Huyu mgonjwa anatumia dawa lkn hawezi kujua anaendeleaje. Maana hawezi kupima sukari. Naomba mtusaidie huu ni ugonjwa wa kudumu

  • @daslamonline4665
    @daslamonline4665 4 หลายเดือนก่อน

    Hamlipi kwa wakati wanasema wanashindwa kujiendesha,

  • @AbrahamSekuza
    @AbrahamSekuza 3 หลายเดือนก่อน

    Umy unababaisha swala la NHIF lakini sikulaumu huo ni mpango wa serikali kutufanya wananchi ni shamba la bb

  • @JohnMalengua-jh6ps
    @JohnMalengua-jh6ps 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa utitiri wa kodi mliowarundikia wananchi na rasilimali zilizopo Tanzania ,nadhani huduma za afya zingekuwa chini sana,acheni utani na maisha ya watu

  • @azgarjaffer4486
    @azgarjaffer4486 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe kama waziri umeshindwa jiyzulu mweenyewe

  • @user-dj1vm7xu6k
    @user-dj1vm7xu6k 4 หลายเดือนก่อน

    Mheshiwa waziri, lipo tatizo la msingi. Sio sahihi NHIF pamoja na Wizara kupoteza muda wao wa kuendeleza mifumo ya Kutoa Huduma za afya. Kinachotakiwa ni Wizara kukubali kuanzisha medical services regulatory authority ili kuratibu watoa huduma wote wa Huduma afya. Authority hiyo ndio ikae na wadau wote ili kubaini yote. NHIF hawapaswi kunegotiate na wadau binafsi. NHIF iendelee na kazi yao ya msingi.

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu Mama ni genge la mafisadi, ni ufisadi tu wizara yake, RIP JPM

  • @Tatianusi-zr6pz
    @Tatianusi-zr6pz 4 หลายเดือนก่อน

    Mama ludi ukajipange ukwer nikwamba tatizo lipo Hila tunashaangaaa unaleta mapambo na vihistolia visivyokua na maana kwetu

  • @JamesChrizestome
    @JamesChrizestome 4 หลายเดือนก่อน

    Hali ni mbaya sana Mheshimiwa Waziri hospital karibu zote zimesimamisha huduma za Nhif zimesimamishwa tunapata shida sana tunaomba Serikali itoe tamko wananchi tupate huduma

  • @CharlesMasanja
    @CharlesMasanja 4 หลายเดือนก่อน

    Serikali isiliache suala la bima kuwa hiari ya mtu. Bima ya afya iwe lazima, lakini kwa kuzingatia kikokotoo cha uwezo wa kiuchumi wa mtu mmoja mmoja. Mbona magari hayana flat rate Insurance? Tunafeli wapi kuhusu uhai wa binadamu? Kuugua hakuna hiari! Kwa nini matibabu yawe hiari? The government should think loudly about Health Insurance for every Tanzanian.

  • @azgarjaffer4486
    @azgarjaffer4486 3 หลายเดือนก่อน

    Mini nataka kurudishiwa pesa nikizo lipa niachane na bima

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe siyo mfuatiliaji kwenye sekta hiì ya afya wanawake wengi sana wajawazito wanakufa kwa kukosa pesa huendi kwenye mahospitali ya vijijini kwa ufuatiliaji wa makini unaishia mijini na hata huko mijini siyo sanaaaa Gwajima ndiyo alikuwa mchapa kazi wewe Fani sijui ni Daktari au vipi

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 4 หลายเดือนก่อน

    Watanzania ni wengi tunaomba pia tozo simu hela kidogo mafuta vinywaji nk ziongezwe kuupa mfuko nguvu mfuko Afya ni uchumi jamani

  • @mwalimumstaafu8529
    @mwalimumstaafu8529 4 หลายเดือนก่อน +1

    Maoni yangu, mama Samia weka mtu mwingine. Ummy umekaa na wizara kwa muda mrefu na matatizo bado mengi. Mheshimiwa una maneno mengi, utekelezaji wako ni mdogo.

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 4 หลายเดือนก่อน

      Hivi tangu Mwaka gani?

    • @mwalimumstaafu8529
      @mwalimumstaafu8529 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@adkajisi4536 sikumbuki lakini ni mida sasa na huduma bado ni mbovu. Ameshindwa kuthibiti matumizi mabaya na huduma kwa wagonjwa. Kila akisimama ni hotuba tu. Mama weka mtu mchapakazi sio porojo.

  • @azgarjaffer4486
    @azgarjaffer4486 3 หลายเดือนก่อน

    Moyo hawatohi huduma kwa wanachama wa nhif

  • @hurumaseba2782
    @hurumaseba2782 4 หลายเดือนก่อน

    Mheshiwa tunaomba hili jambo limalizeni haraka ,maana atakaye umia ni mwanachama . usitumie ubabe kulimali mtaumiza watu wa chini

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 4 หลายเดือนก่อน

    Nhif mie wanaonekana kwako wazuri ila kukatwa pesa na kufungiwa huduma hovyohovyo kuchunguzwe walisha vimba kichwa sana

  • @hurumaseba2782
    @hurumaseba2782 4 หลายเดือนก่อน

    Rudini mmalize kwa amani , mtasababisha kupungua kwa huduma bora . watawapokea halafu wakatoa huduma mbovu .mtakuwa mmefanya nini

  • @BabaFarzan-ml4er
    @BabaFarzan-ml4er 4 หลายเดือนก่อน +1

    Acheni porojo Kenge nyie ...
    Mnaleta siasa hadi maisha ya watu ...
    Wee hapo huna card ya NHIF
    BIMA zenu zinafanya kazi hadi nje ya nchi na bara la Africa

  • @wilhelmibaganisa5493
    @wilhelmibaganisa5493 4 หลายเดือนก่อน

    NHIF ni wahuni tu , RIPOTI YA CAG 2023/4 kuwa bil 41 wafanyakazi wa huo mfuko walijikopesha bila liba !!

  • @user-dj1vm7xu6k
    @user-dj1vm7xu6k 3 หลายเดือนก่อน

    Mh. Waziri, tatizo hili lina historia inayotokana na Wizara unayoiongoza wewe. Utakumbuka miaka ya 2000 reform program iliyoendeshwa na Utumishi ilipendekezai iundwe taasisi itakayosimamia na kuratibu watoa huduma za afya nchini. Mapendekezo hayo yalizingatia kwamba Huduma za afya zinatolewa na Serikali, taasisi za umma, watu binafsi, mashirika ya dini nk. Kwa sababu hiyo ilionekana ni busara iwepo taasisi huru kusimamia na kuratibu watoa huduma za afya. Wizara ya Afya wakati huo walikataa mapendekezo hayo bila sababu za msingi. Matokeo ya maamuzi ya Wizara yako ndio yaliyoifikisha Wizara ya Afya hapo ilipo. Wizara ya Afya haiwezi kuwa msimamizi na mratibu wa watoa huduma za afya kama wao pia ni watoa huduma za afya. Huo ndio utawala Bora. Utakuwaje refa na mchezaji wakati huo huo. Kazi inayofanywa na TIRA pamoja na NHIF Kwa sasa sio kazi zao. Hizo ndio kazi za msimamizi na mratibu wa watoa huduma za afya. Waziri, ukumbuke watu wanakufa na wewe unatuletea ngonjera na usanii kwenye mitandao ya jamii. Wizara yako inahitaji reforms ili mtoe Huduma Bora zaidi.

  • @barakaedward9453
    @barakaedward9453 4 หลายเดือนก่อน

    Hebu tafuten suluhu ,hao kinasakwale wamebobea kitu gan maana hiyo ndo shida yetu watanzania kamati zinaundwa na watu walionje ya professional, pia angalien na mishahara ya hao watu wa NHIF maana na wao wanatoa huduma kwa watu

  • @user-dy5fn6qj1q
    @user-dy5fn6qj1q 4 หลายเดือนก่อน

    Anajitahidi mwacheni mnaingilia mpaka mavazi jama,,nii

  • @senyagwadickson9084
    @senyagwadickson9084 4 หลายเดือนก่อน

    Hakuna lolote wizi tu mafisadi wakubwa

  • @Tatianusi-zr6pz
    @Tatianusi-zr6pz 4 หลายเดือนก่อน

    Hiyo dk vep

  • @azgarjaffer4486
    @azgarjaffer4486 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi ni muasirika nnhif nimenyimwa huduma na moyo hospital Arusha kuto lipwa na bima ya nhif nimenyimwa huduma kwani mie nalipa bima kubwa na ni mwasirika WA sukari nanyimwa insolin na dawa za preha wanadai serekali imekaataa kuwa lipa naamini bima ni kweli wamegawana pesa bi 41 walizo jikopesha kama cag alivyo sema

    • @azgarjaffer4486
      @azgarjaffer4486 3 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba huduma hii iwe hospitali ya serekali niweze kutibiwa tunaomba weledi wako

    • @azgarjaffer4486
      @azgarjaffer4486 3 หลายเดือนก่อน

      Napenda unitumie namba zako za sim nikueleze mambo mengi unavyo sabotegiwa waziri umi

  • @mohamedzambo1511
    @mohamedzambo1511 4 หลายเดือนก่อน

    Mahospitali ni ujambazi kwenda mbele, HATA kama unalipa taslim utanunua dawa MPAKA u hoke. Tumeni WATU wachunguze HILI. Fuatilieni watendaji wenu!!!!

  • @-TECHNICIAN
    @-TECHNICIAN 4 หลายเดือนก่อน

    MAWASILIANO NI TABU KILA NIKIWAPIGIA NHIF HAIPATIKANI 199 JE NITUMIE NKIA NGANI KUWASILIANA NAO ?

  • @JuniorLema-vk8me
    @JuniorLema-vk8me 4 หลายเดือนก่อน

    Usimwiite fisadi anajithidi lakini wako mafisadi wasioonekana serikali idili nao

  • @user-cz7bd9tc5k
    @user-cz7bd9tc5k 4 หลายเดือนก่อน

    Waache Wa katae uki lazimisha Tuta uwawa sisi

  • @ydl6500
    @ydl6500 4 หลายเดือนก่อน

    Waziri anaongea na wananchi ama serikali? Naoma sifa zote zinalenga kusifia NHIF. Kwanini basi wafungiwe huduma? Au hawalipi madeni ya wadau??? Na hilo lizungumzwe pia. Muache kutaka huduma za bure.

  • @CharlesMasanja
    @CharlesMasanja 4 หลายเดือนก่อน

    SULUHISHO LA BIMA YA AFYA TANZANIA:
    Nina maoni yafuatayo nje ya taaluma.
    1. Serikali ipige hesabu, gharama za matibabu kwa watanzania wote kwa mwaka ni kiasi gani.
    2. Gharama hiyo igawanywe kwa idadi ya watanzania wote.
    3. Kila mtanzania alipe bima ya afya kila mwaka, kama ilivyo kwa magari, mitambo nk.
    4. Kiwango cha bima kizingatie uwezo wa kiuchumi wa kila mtanzania.
    5. Naamini kuna baadhi ya watanzania watatakiwa kulipa bima ya sh. 1,000 kwa mwaka. Lakini baadhi ya watanzania watatakiwa kulipa bima ya sh. 10,000,000 kwa mwaka.
    Hapo kila mtanzania atatibiwa bila shaka yoyote.

  • @consolatablasi6212
    @consolatablasi6212 4 หลายเดือนก่อน

    Nimetoka Bochi hospital na wenyewe watoa huduma wamepoaaaaaa...

  • @user-dj1vm7xu6k
    @user-dj1vm7xu6k 4 หลายเดือนก่อน

    Ni vizuri pia kuangalia sheria zilizoanzisha NHIF, kazi yao ni nini? Ni bima ya afya au nini haswa? NHIF wanajisahau kutekeleza majukumu yao wanaishia kujikomba kwa waziri. Go back to basics. Mtakapoona kuna gap fikirieni cha kufanya na sio kutesa mwananchi ambaye amechangia kitita chake. Be serious

  • @allykondo8406
    @allykondo8406 4 หลายเดือนก่อน

    Mh

  • @user-bp4vy6ui4p
    @user-bp4vy6ui4p 4 หลายเดือนก่อน +2

    Subhana Allah Yani huyu aficha Nywele lakini mabega yako waza na ulimwengu mzima unaona,, Kweli Shetani na iblis wanafanya kazi😢

    • @mohamedmbalazi748
      @mohamedmbalazi748 4 หลายเดือนก่อน +2

      Kusikiliza kote yaliyosemwa umeona nywele, tu hizi akili mgando sijui zinatoka wap, angeficha mabega bei zingebadilika? Mental masturbation

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 4 หลายเดือนก่อน

      @@mohamedmbalazi748 Tatizooo

  • @hanspop6961
    @hanspop6961 4 หลายเดือนก่อน +1

    Uko Sahihi Waziri Hongera sana kwa Kujali Maisha ya watu wa Hali ya Chini
    Baadhi Wapo Kibiashara Zaidi bila kujali Maisha ya watu

    • @Tatianusi-zr6pz
      @Tatianusi-zr6pz 4 หลายเดือนก่อน

      Jitafakar vzr maana watu wenye mawazo mgando kama ww ndo mnaikwamisha hii nchi maana haiwezekani C.A.G aseme fedha imepigwa wao wanaokuja na vitaalifa vizivyo kua na majibu hualisia kulingana na hualisia wa walalamikaji ambao niwadau wao(waTanzania)