RAIS SAMIA AMEBORESHA HUDUMA ZA TIBA NA KINGA NCHINI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • Mkurugenzi wa Huduma za Tiba kitoka Wizara ya Afya Prof. Pascal Ruggajo akiwa pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za kinga Dkt. Tumaini Haonga wakizungumzia mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uboreshaji huduma za Tiba na Kinga nchini.

ความคิดเห็น •