UBORESHAJI WA HUDUMA ZA AFYA KATIKA MKOA WA MBEYA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na uboreshaji wa huduma za afya nchini na kusogeza karibu huduma za kibingwa karibu na wananchi. Makala hii maalum inaangazia uboreshaji wa huduma za afya katika Mkoa wa Mbeya. #KaziIendelee

ความคิดเห็น • 1