MASWALI NA MAJIBU BUNGENI MKUTANO WA 12 KIKAO CHA SABA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • Waziri Ummy Mwalimu amesema kipaumbele cha kwanza cha Rais Samia Suluhu Hassan ni kupambana na magonjwa hatarishi kwa kuwalinda watumishi wa afya.
    Waziri Ummy amesema hayo akiongozea majibu ya swali la nyongeza lililoulizwa na Mheshimiwa Jackline Ngonyani Msongozi (Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma) bungeni kuhusu kuwalinda watumishi wa afya katika kutoa huduma kwa wagonjwa wa magonjwa ya mlipuko.

ความคิดเห็น •