MFUKO WA BIMA YA AFYA UKO HAI UNAENDLEA KUTOA HUDUMA KWA WANACHAMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • Serikali imewatoa hofu Watanzania kuhusu hali ya Mfuko wa Bima ya Taifa kwa kuuthibitishia Umma kuwa Mfuko huo upo hai na unaendelea kuchukua hatua ya kuulinda ili kutoa huduma iliyokusudiwa.
    Akizungumza katika kipindi cha Twende Pamoja kinachorushwa na Channelten Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema hatua hizo ni pamoja na kupeleka mswada wa sheria ya Bima ya afya kwa wote na kudhibiti wizi na aina zote za ubadhirifu.Serikali imewatoa hofu Watanzania kuhusu hali ya Mfuko wa Bima ya Taifa kwa kuuthibitishia Umma kuwa Mfuko huo upo hai na unaendelea kuchukua hatua ya kuulinda ili kutoa huduma iliyokusudiwa.
  • บันเทิง

ความคิดเห็น •