WATUMISHI SEKTA YA AFYA KUNUFAIKA NA MAPITIO YA MUUNDO WA KADA ZAO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 เม.ย. 2023
  • NAIBU Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amebainisha kuwa, Wizara inakamilisha mapitio ya miundo ya kada za afya ambayo inatarajiwa kukamilika mwezi Mei 2023 na kuwasilishwa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala na Bora kwa ajili ya kupata idhini ili watumishi wa waanze kunufaika kutokana na maboresho hayo.
    Dkt. Mollel amesema hayo leo Aprili 28, 2023 wakati akijibu swali la Mbunge wa viti maalumu Mhe. Dkt. Alice Kaijage katika Mkutano wa kumi na moja kikao cha 15 Jijini Dodoma.

ความคิดเห็น •