Muhtasari: 1-2 Mambo ya Nyakati
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 30 ธ.ค. 2021
- Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha 1-2 Mambo ya Nyakati inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Mambo ya Nyakati inaelezea simulizi yote ya Agano la Kale, ikiangazia tumaini la baadaye la mfalme wa kimasihi na hekalu lililojengwa upya.
#BibleProject #Biblia #MamboYaNyakati
Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
Tai Plus na Eternal Entertainment
Dar es Salaam, Tanzania
Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
BibleProject Portland, Oregon, USA