Muhtasari: Ezra-Nehemia

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2022
  • Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Ezra na Nehemia, inayoelezea muundo wa fasihi ya vitabu hivyo na mtiririko wao wa mawazo. Katika kitabu cha Ezra na cha Nehemia, Waisraeli wengi wanarudi Yerusalemu baada ya kuishi uhamishoni, na wanafanikiwa pamoja na kushindwa katika masuala mengi ya kiroho na ya kimaadili.
    #BibleProject #Biblia #EzraNehemia
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus na Eternal Entertainment
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 3