EXCLUSIVE: RASTA ANAYEISHI MAKABURINI, ASHUHUDIA YA AJABU "WANAKUJA USIKU, WAMEMCHUKUA MKE WANGU"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.พ. 2022

ความคิดเห็น • 369

  • @philipobaltazar907
    @philipobaltazar907 2 ปีที่แล้ว +47

    Daaah nmemuelewa Sana huyu Rasta kama umemuelewa kama Mimi like twende sawa

  • @Kibiriti563
    @Kibiriti563 2 ปีที่แล้ว +12

    Bangi, Ganja, Marijuana ni kitu moja. Salamu toka Kenya. Ningependa kupata namba ya huyu Rastaman ama nijue vile nitamfikia. God bless you Rastaman. This is a touching story.

  • @zaqcctvcamera3245
    @zaqcctvcamera3245 2 ปีที่แล้ว +28

    Daah Mungu nirehemu nilikufuru kwa kusema sina maisha mazuri😥😥😥😥😥😥

  • @kadaskarim5081
    @kadaskarim5081 2 ปีที่แล้ว +29

    Hongera sana babu ipo sku itapita hapo napafaham nikuachie hata kila ya mchele

  • @hasheemomary4507
    @hasheemomary4507 2 ปีที่แล้ว +37

    😓it's so emotional duh kweli HUJAFA HUJAUMBIKA ..!ALLAH ATUJALIE MWISHO MWEMA 🙏

  • @beatricefayansi3436
    @beatricefayansi3436 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante kwa ujumbe nzuri mpaka hapa nimeamini bora uhai mengine ni ziada tu Mwenyezi Mungu awe nawe Rasta ufanikishe Marengo yako Amen

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 ปีที่แล้ว +11

    🇹🇿 Nchi hii ngumu jamqn
    Hata kulipwa wameshindwa mungu akubarik rasta

  • @tomboyjackson8896
    @tomboyjackson8896 2 ปีที่แล้ว +12

    Mungu akupe nguvu na
    kulinde we na familia yako ❤

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 2 ปีที่แล้ว +8

    Dah pole rasta nimebain mambo mawili yanakuvuruga mapenz maisha pole sana

  • @sosomokobiasharamgaya3020
    @sosomokobiasharamgaya3020 2 ปีที่แล้ว +4

    Irie selasie I Jah
    Rasta farai
    Akuongoze na akulinde na akufanikishie hitaji lako na yale unayoyapambania kwaajili ya familia yako na maisha ako kwa ujumla...JAH BLESS KING MAGODA

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 2 ปีที่แล้ว +29

    Amenifurahisha sana hana give up nahajioni km msononekaji anapambana na anahtaj kupmbana nahaaitaj kuachia watoto wake waende niko nje ya nchi Ila naahid ntakuja kumtembelea mungu amtangulie #jah rasta fara

    • @blackpanther4825
      @blackpanther4825 2 ปีที่แล้ว

      Fanya hivyo kaka. Mungu atakulipa. Rasta ni watu wema sana

  • @Slingshots8
    @Slingshots8 2 ปีที่แล้ว +20

    Once bunny wailer said they used to go to the grave site at night to gather carriage to face the obstacles on there journey ahead. Jah bless

  • @allyhassan7522
    @allyhassan7522 2 ปีที่แล้ว +23

    Sisi hatutumii Bangi(Dawa ya Kulevya).Sisi tunatumia GANJA.I and I!😊

  • @jillydezanzibar4435
    @jillydezanzibar4435 2 ปีที่แล้ว +19

    Rasta Goda Unaongea sanaa Yaani,
    Swali Moja Majibu Elfu 1

  • @witinesjoo4188
    @witinesjoo4188 2 ปีที่แล้ว +7

    Mungu ni mwema ckuzote daima atakutia nguvu👏Imani yako itakuponya.

  • @user-dn6ww9mh5m
    @user-dn6ww9mh5m 2 ปีที่แล้ว +29

    Na mwenye kujiepusha na kuacha njia ya mungu atapata maisha magumu, na atafufuliwa kipofu Siku ya Kiyama na atasema mungu kuwaambia hao mlizisahau Aya zetu ukumbusho na Leo tunawasahau

    • @talibmuhsin5221
      @talibmuhsin5221 2 ปีที่แล้ว

      Sahihi kbsa Allah is only one

    • @pillautv1677
      @pillautv1677 ปีที่แล้ว +1

      Hipo idadi lukuki ya Waislamu ni omba omba huku mtaani hivyo acheni kujifanya mnaijua dini au Imani yenu ndo thabiti kama we kakujaria uko nacho ka na umushukuru sio kuwabeza watu kwa Maneno uliyo-notes kwenye kitabu Cha wakoloni:

    • @sylviamapande1224
      @sylviamapande1224 ปีที่แล้ว

      @@pillautv1677 nikupenda bure Yani umeona ukweli na kwa usahihi

  • @chakubanga8053
    @chakubanga8053 2 ปีที่แล้ว +1

    Rasta anaakili sana,kapoza ukali wa neno BANGI kasema GANJA,wahgwan rastafarai never die😀😀😀😀

  • @peacekypa9512
    @peacekypa9512 2 ปีที่แล้ว +10

    God bless this Man

  • @giftstarmwanri9042
    @giftstarmwanri9042 2 ปีที่แล้ว +6

    Mungu amkumbuke amfanyie wepesi katika Hali yake 🙏🙏.

  • @DavidMMKing
    @DavidMMKing 2 ปีที่แล้ว +20

    Huu ni unyanyasaji. Hakuna sheria ya Rais inayoruhusu ati watu wa haki za binadamu wanapewa uwezo wa kukonga mtu. Hawa utakuta walikuwa mamelewa na wanaendesha ghari kwa kiburi maana wanalipwa pesa nyingi. Hakuna mtu aliyejuu ya sheria. Tatizo hao wanasheria walipewa pesa wakaamua kunyamaza. Mahakama ndiyo inauwezo wakuamua kesi na kutoa maelezo sahihi. Rasta alionewa tu. Afu hawa wanasheria wa TZ yaaani ni takataka. Wao wanaangalia tu ni wapi kunalipa pesa afu wanatupa kesi. Mimi binafsi situmiagi mwanasheria yoyote hata huku ughaibuni. Na kesi zote nilizojisimamia mwenyewe nilishinda. Kesi nilizoweka wanasheria nilishindwa. Kwa hiyo hao wanasheria sio watu wakuamini. Hukiamua kupigania haki yako fanya utafiti kuna njia nyingi ya kushinda kesi bila kutumia hawa wanasheria feki. Rasta kaonewa. Afu marasta ninawakubali sana maana hata hapa Jamaica, marasta ndiyo wanaoneka wana upeo wa juu sana katika kuelewa maisha na kupambana na maisha. Dunia ingekuwa na amani sana kama binadamu wote wangekuwa marasta. Jah Rastafari. Mungu ni mwema matatizo yako Rasta yatakwisha. Mungu akubariki sana ndugu yangu🙏🙏🙏🙏

    • @jacquelinepalangyo412
      @jacquelinepalangyo412 ปีที่แล้ว +1

      Umeongea vzr sn Kaka,inauma sn Ila hakuna mwenye haki ambae Mungu alimuacha,ipo cku haki yake ataipata tu.

  • @purryselestineraggty3171
    @purryselestineraggty3171 2 ปีที่แล้ว +26

    Nimemuelewa... Uyu... Lasta... Jomny... Anaongea... Kwa... Uchungu😢

  • @devisshirima6780
    @devisshirima6780 2 ปีที่แล้ว +31

    Rasta never give up !! We are one in God Almighty !! May Jesus hear your cries Rasta !! 🙏🙏

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 2 ปีที่แล้ว +12

    Ni majani tu kama mboga mboga zingine daa pole sana kaka ila mpe mungu maisha na mtie mungu moyoni Kwa mungu yooote yanawezekana

  • @ramxomtum2babu414
    @ramxomtum2babu414 2 ปีที่แล้ว +22

    Allah atuongoze katika njia ilionyooka sote InshaAllah🙏

    • @habibakhalfan1065
      @habibakhalfan1065 2 ปีที่แล้ว +1

      Amini_imani_alo_kuwa_nayo_mpaka_kuishi_makaburin_ingekuwa_ni_ya_ALLAH_angekwenda_peponi

  • @trevoyrn47
    @trevoyrn47 2 ปีที่แล้ว +5

    Rasta man never die Jah bless rasta

  • @frenkerick8529
    @frenkerick8529 2 ปีที่แล้ว +1

    One love 🇨🇬🇨🇬 rasta! Acha maisha yaendelee time will tell!

  • @Blue-vk5ce
    @Blue-vk5ce 2 ปีที่แล้ว +25

    His in this situation lakini bado haja give up anapambana na maisha yake na ya watoto wake, God bless him🙏🙏

  • @DMENDTVmusicMovie1
    @DMENDTVmusicMovie1 2 ปีที่แล้ว +6

    POLE SANA MR. MAGODA MUNGU ATAJALIA HATIMA NJEMA . IMANI ULIYONAYO NI KUBWA DHIDI YA FAMILIA YAKO HASA WATOTO WAKO🙏🙏🙏

  • @marthamushi9390
    @marthamushi9390 2 ปีที่แล้ว +2

    Dah!😓 huruma aiseee dunia ina mengi sana kikubwa ni Imani na kumuomba Mungu kama anavyosema rasta

  • @alfredtemba9727
    @alfredtemba9727 2 ปีที่แล้ว +20

    Blessed rastafarians
    *rasta never loose hope
    *rasta never give up
    Jah blessed your works rasta

  • @princessa3060
    @princessa3060 2 ปีที่แล้ว +1

    Omg,,,never give Rasta man,,one day ur life will never be the same again some day,,keep the faith n God wl left up,,much 💞💞💞 frm Mombasa ukunda ☑️☑️☑️

  • @bornkilla6173
    @bornkilla6173 2 ปีที่แล้ว +13

    nimekuelewa Rasta MUNGU atakuinulia mtu wa kukusaidia anaweza kuwa hata mtoto wako wa kuzaa

  • @minnafute959
    @minnafute959 2 ปีที่แล้ว +6

    Daaaah jaah bless rastafarai 🙏🙏...

  • @Word_DJ.
    @Word_DJ. 2 ปีที่แล้ว +4

    Mungu amenipa akili Mungu amenipa plan siitaji kuomba omba maneno makubwa sana haya💪

  • @luckydubebello1131
    @luckydubebello1131 2 ปีที่แล้ว +3

    May God bless this man 👨 🙏

  • @dannywika
    @dannywika 2 ปีที่แล้ว +3

    if at all ningekuwa tu na uwezo 😢 sorry for this determined father,,
    ❤️from 🇰🇪

  • @hermannboniface3598
    @hermannboniface3598 2 ปีที่แล้ว +4

    Bless! Rasta Inna God zion

  • @mcsimonmzungutv2084
    @mcsimonmzungutv2084 2 ปีที่แล้ว +14

    Hii interview itafanya watoto wa miaka ya 2010 kuja juu wawe marasta

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 2 ปีที่แล้ว +11

    Yeah Rasta me dey wha gwaan allting irie ? Rasta yuko strong sana mentally and spiritually halalamiki anapambana . Give thanks and praise to the most i Jah rastafari !

    • @lucymuthoni8203
      @lucymuthoni8203 2 ปีที่แล้ว

      Only jesus who can give peace

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 2 ปีที่แล้ว

      @@lucymuthoni8203 that’s your own opinion some dem believe on Jah Rastafarah

  • @bensimon7330
    @bensimon7330 2 ปีที่แล้ว +8

    Mungu umufanyie uwepesi

  • @goodluckysteven826
    @goodluckysteven826 2 ปีที่แล้ว +3

    Jah Rastafarian Selassie I know me nah feeling Di Maria Columbia whhaaw gwaanhhnn man

  • @bonfacemark9048
    @bonfacemark9048 2 ปีที่แล้ว +1

    Kisa Cha kutia moyo, licha na kuwa mlemavu hajadiriki kuwa omba omba may jah be with you 🇰🇪🇰🇪

  • @kawezaseleman5794
    @kawezaseleman5794 2 ปีที่แล้ว +7

    Namjua Rasta kitambo alikua anaendelesha guta rastar mgosi

  • @gebramoturi2270
    @gebramoturi2270 2 ปีที่แล้ว +3

    Sellasie I, rasters never die they only faint, 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @tulisamwel41
    @tulisamwel41 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli Mungu atakupa faraja, atakubariki. Kitendo cha kujitegemea kimenifurahisha sana.

  • @kalemelamgabo4224
    @kalemelamgabo4224 2 ปีที่แล้ว +5

    Jah bless

  • @michaeldady1767
    @michaeldady1767 2 ปีที่แล้ว +9

    Ahahaa Rasta anatumia Ganjaaaaaa.. heshima yako mzee

  • @teddyoscarkasubi5927
    @teddyoscarkasubi5927 2 ปีที่แล้ว +16

    Daah ingekua ulaya angelipwa pesa kibao kwa maisha yake, nchi yetu jamani uonevu mtupu

    • @paulinacherement2534
      @paulinacherement2534 2 ปีที่แล้ว +1

      Mh kwa kweli gari ya raisi ndio nafikir ingekuwa ni mstari wa mbele na haki wamemgonga wao...mungu ni mwema.yatakwisha ipo siku.

    • @devothasimbi1055
      @devothasimbi1055 2 ปีที่แล้ว +2

      Sio kweli unachosema ikiwa angeishi ulaya angelipwa pesa kibao.ulaya unalipwa pesa ukiwa na vigezo sio kulipwa pesa tuu.

    • @everlineodera6444
      @everlineodera6444 2 ปีที่แล้ว

      @@devothasimbi1055 kweli na ulaya ukipata ajali hela inalipwa serekali, serekali inakulipa kufuatia bima la afya.Hata ulaya hamna la maana hivyo.bora kwetu ukipambana kisheria wapata haki yako.tatizo sisi wavivu kufuatilia haki zetu.jamani wakenya wenzetu kwa mambo kama haya wana changamka balaa

  • @lifhonlee3427
    @lifhonlee3427 2 ปีที่แล้ว +9

    Ana machuguuu maisha shikamooo

  • @salmangereza5587
    @salmangereza5587 2 ปีที่แล้ว +8

    Ni Rafiki yangu mno yeye na mkewe na watoto wao, Wana upendo Sana, nawapenda sana❤️❤️

  • @minnafute959
    @minnafute959 2 ปีที่แล้ว +4

    This faith is BIG..

  • @righton19
    @righton19 2 ปีที่แล้ว +5

    Rasta never tired

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana rasta magoda pc $ love God is jaa

  • @marianmartin7483
    @marianmartin7483 ปีที่แล้ว

    Rasta, nimekuelewa sana. Mwenyezi MUNGU akutangulie.

  • @jelasnkoma4240
    @jelasnkoma4240 2 ปีที่แล้ว +4

    Namkumbuka huyu Ras kitambo sana alikuwa na watoto wadogo wana Rasta na kibajaj

  • @dannyosolo2752
    @dannyosolo2752 2 ปีที่แล้ว +1

    I have learnt something new here ...big difference between 'GANJA' & 'BHANGI'!!! Otherwise Rasta man we are proud of you !!!

  • @lugelosanga5798
    @lugelosanga5798 2 ปีที่แล้ว +1

    Jar Rasta gari eti Ina Kinga ya rais mungu akusaidie

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 2 ปีที่แล้ว +7

    Amuoe huyo Mama anayemsaidia kupika maana wana Imani sawa

  • @blandinalukole5535
    @blandinalukole5535 2 ปีที่แล้ว +20

    Nimeumia kutoka moyoni atupe namba tumrushie chochote

    • @navokisembo
      @navokisembo 2 ปีที่แล้ว +2

      Kabisaa tupe number tumchangie chochote ni mchacharikaji masikini

    • @meckmecktz3228
      @meckmecktz3228 2 ปีที่แล้ว

      Rasta kasema haitaji msaada wowote

  • @sarahmwakalinga8643
    @sarahmwakalinga8643 2 ปีที่แล้ว +2

    Rasta ni shemeji yangu ila nilikua naomba ayo tv Kama inawezekana mngemtafuta mdogowangu ili kubalance story mjue na upande wa pili ktk ndoa Kuna mengi please

  • @nackingmasangula1409
    @nackingmasangula1409 2 ปีที่แล้ว +4

    Uyu mwamba anampenda sana mke wake

  • @edgarnandonde48
    @edgarnandonde48 2 ปีที่แล้ว +8

    kila nikimsoma nimpate kwenye plan simpati .yaani hiyo plan ilikua sio ya mchezo 😅😅.pole magoda

  • @believeboy2150
    @believeboy2150 2 ปีที่แล้ว +8

    Hayu jamaa nilianzaa kumjua ni kiwa na miaka 19 hapo makaburi ya ufi shekilango,na ni mtu safi mkarini sana huyo ni jirani yetu Wana shunga shunga wa ubungo maziwa,pole sana Rasta magoda

    • @chichasam9032
      @chichasam9032 2 ปีที่แล้ว +1

      Namjuaaa huyuu mwanaeee mzuri sana ilaaa anakulaaaa bangi mnooo

    • @samsonstephano4337
      @samsonstephano4337 2 ปีที่แล้ว

      @@chichasam9032 Mwanae ana umri gani kwa makadilio

    • @samwelimoshi5614
      @samwelimoshi5614 2 ปีที่แล้ว

      @@chichasam9032 wakike au

  • @monucamwambanje3128
    @monucamwambanje3128 2 ปีที่แล้ว +3

    Mm naona tungemchangia baba wawatu sidhani kama kuna mtu anapenda kuishi makaburini

  • @martinmbata7035
    @martinmbata7035 ปีที่แล้ว

    jah blessing rasta man never give up jah rasta

  • @sadikidaudi1223
    @sadikidaudi1223 2 ปีที่แล้ว +6

    Huyu anashida anatakiwa kusaidiwa ila Imaani ndio inamfanya aridhike nahali alionayo bila kuomba msaada ila uhalisia unaonyesha

    • @liam8955
      @liam8955 2 ปีที่แล้ว +4

      Ina fikia kipindi inabidi uridhike ila sisi kama sisi ambao tuna muona hiyo Hali na Ana watoto sijui kwanini hatumsaidii kwa chochote japo ni kidogo. Mungu Atupe Imani

  • @dicksonwanyama1689
    @dicksonwanyama1689 2 ปีที่แล้ว +1

    Jaaaah Rasta falaaah jaah bless Rasta Magoda

  • @daudiakwabi128
    @daudiakwabi128 2 ปีที่แล้ว

    Perfect request, Rasta anajitambuwa sana.

  • @africantehama1246
    @africantehama1246 2 ปีที่แล้ว +1

    Something to learn in Life

  • @humphreyvidonyi253
    @humphreyvidonyi253 2 ปีที่แล้ว +6

    Mikadamba huwaga Yuko vizuri sana kwenye update za mahakamani

  • @venancerichard920
    @venancerichard920 2 ปีที่แล้ว +1

    Jah love brother

  • @mikidadiligogi4311
    @mikidadiligogi4311 2 ปีที่แล้ว +5

    Kilichoniumiza kwamba amegongwa na gari la W H O. Ajalipwa chochote

  • @husseinkalamba8606
    @husseinkalamba8606 2 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo lako ww unaimani ya tofauti mrudie Allah toka uko kwenye Imani potofu matatizo yatapungua

  • @mikeohmz2195
    @mikeohmz2195 2 ปีที่แล้ว +2

    Yah man

  • @djtwinstar254
    @djtwinstar254 2 ปีที่แล้ว +5

    Waaaaa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @jelasnkoma4240
    @jelasnkoma4240 2 ปีที่แล้ว +2

    Dakika 13:20 sisi Rasta hatuvuti Bange ila tunavuta Ganja kwani Bangi ni madawa ya kulevya🙌

  • @alikhamis6326
    @alikhamis6326 2 ปีที่แล้ว +12

    Innallilah wainna ilaih rajiun sina budi kusema Allhamdullah alaa niiymatil Islam ninamshukuru Allah kwa neema ya uislamu Allah akuongoze umjue mungu wa haki ambae ni Allah

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 2 ปีที่แล้ว

      Allah Akufanyie wepesi baba yangu hakuna lisilowekekana kwa mungu kikubwa pumzi tu

    • @sultanaswaleh4708
      @sultanaswaleh4708 2 ปีที่แล้ว

      AMEEEEEEEN !..🙏🙏🙏

  • @edwinelias8554
    @edwinelias8554 2 ปีที่แล้ว +10

    Nimesikia story yake ila bangi etii sio ganja
    Bali bangi madawa ya kulevya ala ganja ndio inaliwa nimecheka kifala😂😂😂

  • @feynation3739
    @feynation3739 2 ปีที่แล้ว +6

    Ungeweka namba yake ya simu 🥺 sio wote wenye uwezo wa kumnunulia bajaji lakini tungetuma hizo elf 2 zingemsaidia na watoto 😔

  • @abdulshambalae6820
    @abdulshambalae6820 ปีที่แล้ว +1

    ndio mjue wanawake hawana msaada katika maisha bora peke yangu

  • @tabithasalimu3617
    @tabithasalimu3617 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akupe umli baba

  • @mwanzaboy1548
    @mwanzaboy1548 2 ปีที่แล้ว +3

    Mze unaakili Sana mngu akusaidie

  • @josephmwafumu7701
    @josephmwafumu7701 2 ปีที่แล้ว +11

    Aristotle says There is one good knowledge and one evil ignorance

  • @saadajohnson3361
    @saadajohnson3361 2 ปีที่แล้ว

    OKAY world, In Tanzania, we have been using CBD all along for many years. GANJA is CBD! Wake up! America just discovered CBD! I am 56, I knew about GANJA but I did not know it will be this valuable!

  • @philiplenardsylvester6063
    @philiplenardsylvester6063 2 ปีที่แล้ว +1

    Rasta pole hao ndio wanawake

  • @ericktanzanite4907
    @ericktanzanite4907 2 ปีที่แล้ว +3

    Usalama huyu 🙌

  • @officialtaslima5409
    @officialtaslima5409 2 ปีที่แล้ว +2

    Kushi Kama kushi💪💪🔥🔥

  • @sharifgojo878
    @sharifgojo878 2 ปีที่แล้ว

    إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ

  • @msabaa3962
    @msabaa3962 2 ปีที่แล้ว

    Never give up

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 2 ปีที่แล้ว +9

    Jmn imani hii kidogo inanishangaza!!! Ila labda niseme hivi, Bwana Yesu Mungu wangu, Mungu wa wote wenye mwili akusaidie. Sote tumwombee!!!.

    • @superherocolin7564
      @superherocolin7564 2 ปีที่แล้ว

      Yesu sio mungu ni mwana Wa mungu hacha kukufuru

    • @mrh2812
      @mrh2812 2 ปีที่แล้ว +2

      @@superherocolin7564 mkianza kubishana kuhusu dini hamtamaliz saiv kila mtu aamini anachoamin

    • @superherocolin7564
      @superherocolin7564 2 ปีที่แล้ว +1

      @@mrh2812 NI KWELI LAKINI KUNA WENGINE HUWA WANAUWELEWA TOFAUTI NA KUPOTEA KUTOKANA NA MANABII WANAOWAAMINI NDIO HUWAAMINISHA HIVYO UKIMULIZA WAPI ILIANDIKWA KUWA YESU NI MUNGU HATOKUJIBU SISI WA KATHORIC HUWA TUNAAMINI YESU NI MWANA WA MUNGU SIO MUNGU

    • @htvtanzania3483
      @htvtanzania3483 2 ปีที่แล้ว +1

      Yesu umungu kautoa wap wewe binadamu wa hovyoo

    • @ibraton4071
      @ibraton4071 2 ปีที่แล้ว

      @@mrh2812 wana kichaa hawa mbona rasta hawamsemi ashakwambia rastafari ndio mungu wake......dini zipo kama million kumi dunian kuanza kubishana ni kichaa

  • @eddymakata2999
    @eddymakata2999 2 ปีที่แล้ว +2

    Anampenda mke wake, na watoto anajielewa kinoma namkubali broo

  • @meckmecktz3228
    @meckmecktz3228 2 ปีที่แล้ว

    Mungu umbariki huyu baba na family yake

  • @magrethjoseph3386
    @magrethjoseph3386 2 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri Sana unaongea point

  • @mwanzaboy1548
    @mwanzaboy1548 2 ปีที่แล้ว +2

    Lasita mngu attendee miujiza ufanikiwe mngu akubrasi maisha yawemazuli

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 2 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji naomba u translate Kwa English Kwani Kuna watu wanaweza kumsaidia wakaguswa na huyu ndugu tatizo wakawa hawaerewi lugha kinacho ongeerewa

  • @rasboncher66
    @rasboncher66 2 ปีที่แล้ว

    JAH JAH BLESS 🙌 🙏

  • @brendapierre878
    @brendapierre878 2 ปีที่แล้ว +2

    Ungepata mwanasheria mzuri angekusimamia na ungelipwa fidia nzuri na hilo shirika.. pamoja na kwamba hilo shirika la umoja wa mataifa linakinga halipaswi kuvunja sheria na kunyanyasa mtu..

  • @happylynguya3464
    @happylynguya3464 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa, kikubwa ni Imani.

  • @dianaaloycemakoi1985
    @dianaaloycemakoi1985 2 ปีที่แล้ว +3

    Mmmh

  • @abdallahngunde3019
    @abdallahngunde3019 2 ปีที่แล้ว

    Inalilah