RASTAFARI TUNAONEKANA KAMA RAIA DARAJA LA PILI, WAZUNGUMZIA TAMKO LA SERIKALI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ก.พ. 2021
  • The Chanzo imefanya mahojiano na Muhemsi Mwakihwelo, mmoja wa wanajamii wa imani ya ‘Rastafari’ pamoja na mwanachama wa Rastafari United Front (R.U.F).
    Ameelezea mengi ikiwemo chimbuko la Imani yao, jinsi jamii inavyowachukulia, mmea wa cannabis sativa.
    Pia ametoa maoni dhidi ya tamko la kamishna wa elimu Dr. Lybwene M. Mtahabwa kuwataka wanafunzi wa imani hiyo kuwa na kibali kinachowaruhusu wanafunzi hao kusoma shuleni wakiwa na rasta asilia.
    Fuatilia mahojiano yote kupitia channel ya The Chanzo pekee.

ความคิดเห็น • 18

  • @LugomboMaKaNTa
    @LugomboMaKaNTa ปีที่แล้ว +1

    Mtunza Misingi Muhemusi Mwakihwelo wa Kihesa ✊🏿🖤

  • @mikhollelnkosanamwanzali2994
    @mikhollelnkosanamwanzali2994 3 ปีที่แล้ว

    I'm gettin em contents, Irie Man

  • @jastinalen8779
    @jastinalen8779 3 ปีที่แล้ว

    Sawa brother nakubali alakati zako mwakihwelo

  • @NakembetwaKitundu-tn7xx
    @NakembetwaKitundu-tn7xx 5 หลายเดือนก่อน

    Aman na upendo rasta

  • @ajunadickson3189
    @ajunadickson3189 2 ปีที่แล้ว

    Nimekuerewa Iman Aisajiliwi

  • @samkitwima7933
    @samkitwima7933 3 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa since day one Mkushi!!

  • @alijuma8009
    @alijuma8009 ปีที่แล้ว

    Nakubali harakati za Rasta

  • @rasmbegu
    @rasmbegu 3 ปีที่แล้ว

    Heshima sana kwako mfalme

  • @didassadik8075
    @didassadik8075 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @rausathsued8852
    @rausathsued8852 3 ปีที่แล้ว

    Dah🙄🙄

  • @jumaramadhani2447
    @jumaramadhani2447 ปีที่แล้ว

    Amani na upendo Rasta

  • @giselaherman6799
    @giselaherman6799 3 ปีที่แล้ว

    Hii ni Elimu

  • @margaridaagostinhoacaciona3656
    @margaridaagostinhoacaciona3656 3 หลายเดือนก่อน

    Bismilahi Rahman raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi yake Amin Amin Amin yaraab Amin alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana kuwa mwislam dini iliyoo nyookaa na isiokuaa na Shaka juu yake alhaamdulilaah uislam ni dini iliyoo nyookaa na isiokuaa na Shaka alhaamdulilaah wewe ni Rasta fari ni mvuta bangi ni watu wasiokua na akili ni watu machizi bangi bangi imewafanya machizi mliolaaanika Kwa mungu na msiowatambua mitume na msioamini mwisho wa Dunia huo ni msibaa mkubwa Kwa warasta waliolaaanika huooo ni msibaa mkubwa inaa lilaahi wainaaa ilaaaahi raaajuuuhn poleni sana

    • @user-kx4wd5vb4j
      @user-kx4wd5vb4j 2 หลายเดือนก่อน

      Una utukufu gani wewe wa kuwalaani wanaadamu wenzako? Wewe ni mtakatifu??waislamu hawako ivyo waislamu ni waumini wenye kuheshimu imani za wengine bila ya kubugudhi mtu nenda kasome suratul fur-kan utajua nini maana ya waumini wenye kumjua mwingi wa rehema.anza hapa waibaduhu rahmani ladhiina yamshuna alal audh hauna waidhaa hatwabahujahiluna kalu salama.

    • @makulanangale7186
      @makulanangale7186 หลายเดือนก่อน

      Pole mtumwa umefungwa na minyororo ya utumwa

  • @TrueZionTv255
    @TrueZionTv255 3 ปีที่แล้ว

    RASTAFARI

  • @ibrahist
    @ibrahist 3 ปีที่แล้ว

    Darasa huru