MWILI WA MTU WAFUKULIWA ARUSHA NDUGU WAKIVUNJA TANGA, UMEKAA KABURINI SIKU TATU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ค. 2024

ความคิดเห็น • 79

  • @kutailass6671
    @kutailass6671 12 วันที่ผ่านมา +21

    Mnaweka mno watu kwenye mabarafu had wanapoteza muonekano wao halisi

  • @ZalkhaRawahi
    @ZalkhaRawahi 12 วันที่ผ่านมา +17

    Arusha wapewe tu bendera na rais wao hii ni nchi kamili kila kukicha matukio

    • @user-qh2bx5em6j
      @user-qh2bx5em6j 12 วันที่ผ่านมา +2

      Acha kabisa huku ni shida jamn

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 12 วันที่ผ่านมา

      Mpaka nimecheka wakati ni Jambo la huzuni, Arusha Arusha

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 12 วันที่ผ่านมา +1

      @@ZalkhaRawahi hii naona iliporwa kutoka kenya sio ya Tz kabisa kwa kuchangamka huko!, 😂😂

  • @halfanimalinda5421
    @halfanimalinda5421 12 วันที่ผ่านมา +8

    Arusha wana dunia yao saivi

  • @machatv3717
    @machatv3717 11 วันที่ผ่านมา +3

    Arusha watu wanafufuka, wanazika maiti sio zao,
    Bangi ya arusha nasikia mbaya sana

  • @Official83640
    @Official83640 12 วันที่ผ่านมา +6

    Nikisema mm mnaona naongea uongo Dar tunatekwa Arusha maajabu ya maiti kila leo😂😂

    • @CatherineHassan-z1p
      @CatherineHassan-z1p 12 วันที่ผ่านมา +2

      Arusha na geita mmmmh kwa matukio yamezidi😮

    • @rosetreffert4179
      @rosetreffert4179 10 วันที่ผ่านมา

      ​@@CatherineHassan-z1pkabisaa 😢

  • @vero57
    @vero57 12 วันที่ผ่านมา +5

    Hiyo nchi ya Arusha ina mambo kweli kweli 😮😮😮

    • @jumapiliissa4835
      @jumapiliissa4835 11 วันที่ผ่านมา

      Nikweli chuga nimbegu ya wazuru wa saudh afrika

  • @LucyNaman
    @LucyNaman 12 วันที่ผ่านมา +2

    Yani arusha iv kweli wanashindwa kuwatambua ndug zao😢

  • @halunimnenwa5224
    @halunimnenwa5224 12 วันที่ผ่านมา +5

    Arusha Kuna matukio sasaivi

  • @user-sc8mp6tc3n
    @user-sc8mp6tc3n 11 วันที่ผ่านมา +2

    Nchi ndani ya nchi naipenda chuga yangu

  • @lilianwaflotina1288
    @lilianwaflotina1288 12 วันที่ผ่านมา +3

    Tunamuomba mwamposa aende huu mji akapige maomba 🙌

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 12 วันที่ผ่านมา +1

      maombi gani nakati wamechukua mwili wa mwingine TATIZO MNAWEKA MAITI MDA MREFU MPAKA ANABADILIKA

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 12 วันที่ผ่านมา

      Umeonaee ​@@ayububakari9942

  • @josephatilunde9329
    @josephatilunde9329 12 วันที่ผ่านมา +2

    Mambo ya Arusha na dunia yao😂😂

  • @amirjuma9395
    @amirjuma9395 12 วันที่ผ่านมา +3

    Kulikoni Arusha 😅😅😅

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 12 วันที่ผ่านมา +2

    Mtuombee tu arusha ni baraa ipo

  • @DotoLemako-np3lp
    @DotoLemako-np3lp 10 วันที่ผ่านมา

    Arusha sijui baridi au vipi, mbona kama haya matukio yanaongezeka kila kukicha, mi ninachojua mortuary wanapewa majina kamili ili wamuandae mtu wao kwa kidhibitisho, mbona kama mnatuchosha, hii inawahusu wote mortuary attendant na familia

  • @Wana_imani_kenya
    @Wana_imani_kenya 12 วันที่ผ่านมา +2

    Na Robert ata

  • @KhalfanDotto
    @KhalfanDotto 7 วันที่ผ่านมา

    Inshalla

  • @vijanafurniture1810
    @vijanafurniture1810 12 วันที่ผ่านมา +2

    Arusha tena

  • @francisletara4316
    @francisletara4316 10 วันที่ผ่านมา

    Kuna sababu ya kuona mwili unapooshwa wawepo wenye marehemu. Kwa nini? Waosheji wanafanya kilankitu pasipo ndg wa karibu ndio maana mambo haya yanstokea

  • @penuelmichael3374
    @penuelmichael3374 12 วันที่ผ่านมา

    Arusha ni nchi nyingine jamani hakuna siku matukio yanapoa kilasiku ni matukio, mungu tuhurumie

  • @user-uy4tw2ug6o
    @user-uy4tw2ug6o 12 วันที่ผ่านมา +2

    Kwann mlipoenda kumchukua amkumuangalia jmn

    • @ibrahimdaudi5823
      @ibrahimdaudi5823 11 วันที่ผ่านมา

      watu hawana upendo na ndugu zao ikifika wakati wa kumuosha maiti wanakimbia wanatoa 20,000 ya kuosha maiti wanamkuta ndani ya jeneza

  • @trifoniambilo2400
    @trifoniambilo2400 12 วันที่ผ่านมา +2

    Na hyo tabia ya kuzk bla kukagua mait muuache polen

    • @olivernyange2349
      @olivernyange2349 11 วันที่ผ่านมา

      Banging mingi na ndo msimu wa baridi😅

  • @fifo262
    @fifo262 11 วันที่ผ่านมา

    Ndo maana uislam unataka ukifariki tuuuu hakuna jipya zaidi ya kuzika , ila hongereni kwa kupambana kuupata mwili wa mpendwa wenu

  • @melinamlawa9235
    @melinamlawa9235 10 วันที่ผ่านมา

    Ebu tupumzisheni Arusha.

  • @rahabukirigiti8514
    @rahabukirigiti8514 12 วันที่ผ่านมา

    Haaa jamani, arusha ni nn mtukio ya kutisha,kila kukicha ,salini sana na kumrudia mungu du

  • @Gloriarespiki
    @Gloriarespiki 12 วันที่ผ่านมา +1

    Arusha iko tz kwel kla day matukio jm n

  • @lelaiddy6856
    @lelaiddy6856 12 วันที่ผ่านมา +1

    Chuga matukio mengi

  • @user-jx4rx6jy6y
    @user-jx4rx6jy6y 12 วันที่ผ่านมา +1

    Arusha jaman mbona ivo duu

  • @SadikiKisubi
    @SadikiKisubi 12 วันที่ผ่านมา +1

    😢😢😢

  • @DimitryMghamba
    @DimitryMghamba 12 วันที่ผ่านมา

    Arusha Wamezidi inabid serikali marautasikia kunamtu kafufuka kwahalihyo yakushindwa kumtambua marehemu inabid waende mochwar kwawakat mchache siokumuacha mtu had sura ibadilike

  • @RonaldBarasa-q7s
    @RonaldBarasa-q7s 12 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤

  • @JacksonAloyce-kq6nh
    @JacksonAloyce-kq6nh 11 วันที่ผ่านมา

    Ila Arusha matukio yanazidi sasa

  • @marthamvanga8028
    @marthamvanga8028 12 วันที่ผ่านมา +1

    Arusha kwani vipi

  • @neemansasu9761
    @neemansasu9761 11 วันที่ผ่านมา

    Arusha mwisho yaani

  • @ismaelgadiye4488
    @ismaelgadiye4488 12 วันที่ผ่านมา +1

    Sasa watakula pilau mara mbili?

  • @kulwamikwanga3112
    @kulwamikwanga3112 12 วันที่ผ่านมา

    Binadam mkianza kuitwa wadudu wakati mungu kaumba binadam wanao onekana na wadudu wasio onekana hapo ndo laana zinaanza Arusha badirikeni

  • @LeylatVlogs
    @LeylatVlogs 10 วันที่ผ่านมา

    Arusha Arusha Arusha nimeiita 3 times

  • @barakakisioki
    @barakakisioki 11 วันที่ผ่านมา

    Arusha imekuwa kisii kenya😂😂😂

  • @anenragnesmunis8490
    @anenragnesmunis8490 12 วันที่ผ่านมา

    Jaman watu walikaa mbali wakat mwili unaoshwa ndio maana

  • @HabibuHoseni-sv8hd
    @HabibuHoseni-sv8hd 12 วันที่ผ่านมา

    Arusha kuna matukioo khaaa😅😢

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa 11 วันที่ผ่านมา

    mbona arumeru mnazika miili ambayo siyo yenu juzi mlizika mtu. ,mkadai amefufuka kumbe mmemzika mtu mwingine,Tatizo mnawaweka mochwari hadi wanabadilika sura

  • @willsonmsuya9261
    @willsonmsuya9261 12 วันที่ผ่านมา

    Jamani

  • @christopherjoseph8330
    @christopherjoseph8330 11 วันที่ผ่านมา

    Wangepotezea tu maan wote watazikwa kwenye udongo.

  • @yahyahamisi2038
    @yahyahamisi2038 12 วันที่ผ่านมา

    Arusha rusha roho aka Aruchuga 😂😂 ni shit shidaaaaaa 🤣🤣

  • @user-sv6zy3hc8o
    @user-sv6zy3hc8o 12 วันที่ผ่านมา +3

    Kwani huyo mait hakukoshwa au mnachukua mwili ambao hamja uona jamani mvona mna mambo ya ajabu

    • @nuruurio8319
      @nuruurio8319 11 วันที่ผ่านมา

      Hilo nalo na mtu wa mwisho kuwa na marehemu anapaswa kwenda siku ya kuchkua mwili maana anaweza kukumbuka hata nguo

  • @fifo262
    @fifo262 11 วันที่ผ่านมา

    Arusha kiboko

  • @beatricemtui3766
    @beatricemtui3766 11 วันที่ผ่านมา

    Wameru sijui wanashida gani

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 12 วันที่ผ่านมา

    Uzembe mkubwa hospital, juzi tu mjombaa kaonekana mzima wakati mmezika mtu, viongozi wa hospital mnazembea sana, kila mwili kila mgonjwa anaingia na jina lake inakuaje mnachanganya majina ya maiti au majina ya mgonjwa uzembe wa hali ya juu hatua kali zichukuliwe

    • @StellaMwasha
      @StellaMwasha 12 วันที่ผ่านมา

      Hiyo point

  • @AshleyMahmoud-vt1vz
    @AshleyMahmoud-vt1vz 11 วันที่ผ่านมา

    Kwann hamkuangalia sura

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 11 วันที่ผ่านมา

    Ulienda kuhakiki wakiwa wametumia vikali ndomana hawakumjua

  • @RichardMbwelwa-xk3tm
    @RichardMbwelwa-xk3tm 12 วันที่ผ่านมา

    Arumeru kuna vituko,

  • @StellaMwasha
    @StellaMwasha 12 วันที่ผ่านมา

    Kwani watu hawaangalii ndugu zaoooo??

  • @christopherjoseph8330
    @christopherjoseph8330 11 วันที่ผ่านมา

    Watu wakati mwingine wanafanana jmn.

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 12 วันที่ผ่านมา

    OmWatu wa Arusha visa na vituko haviishi

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 11 วันที่ผ่านมา

    Ila na waandishi wa arusha wako shap.khaaa!!au mikoa mingine hamna habari?

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 12 วันที่ผ่านมา

    Ni Yale Yale ya Yule kaka yaani haya mambo huku yapo sana lakini utashindwaje kumjua ndugu yako? Bora sasa wametambua mapema au tuanzishe utaratibu Wa kuvalisha wagonjwa bangili zenye majina huko hosptali

  • @witneyjerry2587
    @witneyjerry2587 11 วันที่ผ่านมา

    Arusha shkamooni,ila poleni pia

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 12 วันที่ผ่านมา +4

    Arusha mna nini mbona matukio ya ajabu ajabu kila leo akili zimevurugwa na nini ?!

    • @MashaMbwana
      @MashaMbwana 12 วันที่ผ่านมา

      Majani ya arusha ndio yaliovuruga akili zao😅😅

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 12 วันที่ผ่านมา

      @@MashaMbwana kwa kweli si uongo daaah! Sina la kusema , 😂😂 mi namshauri rais hichi kipande awarudishie wakenya tu manake naona ni yao waliwapora

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 12 วันที่ผ่านมา

    Chuga tupewe maua🎉

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 12 วันที่ผ่านมา

      @@shakilamasoud2983. chukua kwa kweli , 😆

  • @lusajomwakajoka4955
    @lusajomwakajoka4955 12 วันที่ผ่านมา

    Arusha muokoke😅

  • @SadaKigwangala
    @SadaKigwangala 12 วันที่ผ่านมา +1

    Yaan ntihani kila siku

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 12 วันที่ผ่านมา

    Tatizo wakiristo mnapenda kuwema maiti sana monchwali. Amziki haraka ndiyomaana yanatokeahayo mtuak8fa sula inabadilika .zikeni haraka hayatotokea hayo

  • @user-xx8jx6tb7d
    @user-xx8jx6tb7d 12 วันที่ผ่านมา +2

    Mi nafkriaga kua inakuaje mpaka mtu wanachukuliwa nakuzkwa paspokujua ni ndug wa familia au la kwamba uso hauonekan, duu polen

    • @kakaaignas3675
      @kakaaignas3675 12 วันที่ผ่านมา

      😢 nashindwa kujua hlo