Ibada ya waumini wa imani ya Rasta

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.พ. 2018
  • Waumini wa imani ya Rasta hufanya ibada yao kila Jumamosi ambapo baada ya hapo hukusanya sadaka ikiwemo pesa, chakula na mavazi na kisha kuwapelekea watu wenye shida. Mwandishi wetu kutoka Mwanza, Tanzania Dotto Bulendu ametuandalia video fupi baada ya kuwatembelea Marasta wakati wakiendesha ibada yao kwenye bustani ya Lalibela, wilayani Nyamagana. Papo kwa Papo 16.02.2018

ความคิดเห็น • 96

  • @jamaliddiin9357
    @jamaliddiin9357 5 ปีที่แล้ว +5

    allah awaongoze ,njia ya hqq

  • @richardpastor5286
    @richardpastor5286 3 ปีที่แล้ว +1

    Holy piby wapi inapatikana nashida nayo

  • @muuzakahawa6663
    @muuzakahawa6663 5 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana

  • @mtoamakavu6710
    @mtoamakavu6710 6 ปีที่แล้ว +7

    respect rasta

  • @MOJAZAIDI.
    @MOJAZAIDI. 5 ปีที่แล้ว +3

    LOVE THAT'S WHAT WE NEED

  • @valeliusdiockiles4506
    @valeliusdiockiles4506 5 ปีที่แล้ว +1

    nimeipenda

  • @williamalex4792
    @williamalex4792 5 ปีที่แล้ว +10

    Hiyo ndiyo imani halisi

    • @moziidavchonchi3338
      @moziidavchonchi3338 5 ปีที่แล้ว

      HUNA UNACHOKIJUA KUHUSIANA NA RASTAFARIAN USIFUATE MKUMBO HAO NI WAPUUZI TU HAWA RASTA UJIKUTA KUCHUKUA NA KUINYAMBUA BAATHI YA MISTARI YA BIBILIA NDIO UJIULIZE HUYO HAILE SELASIE ALIFANYA NN CHA MAANA?? AMBAPO WAO WANAAMINI KATIKA SAMSONI KUA NDIO NABII WAO

    • @officialkishomonster3831
      @officialkishomonster3831 3 ปีที่แล้ว

      @moziidavchonchi. Huelewi chochote

  • @ladymjema9595
    @ladymjema9595 2 ปีที่แล้ว

    My favorite ♥️

  • @official_gboygeorge4931
    @official_gboygeorge4931 2 ปีที่แล้ว

    Mo bless

  • @martinmtami
    @martinmtami 4 ปีที่แล้ว +1

    Amani na Upendo.
    Rastafari🙏🏿

  • @danymsinga7048
    @danymsinga7048 5 ปีที่แล้ว

    Duh aisee hii nouma

  • @rajabkassim4572
    @rajabkassim4572 5 ปีที่แล้ว

    niaje mzee baba xana2

  • @makariospeter9447
    @makariospeter9447 5 ปีที่แล้ว +2

    YESU KRISTO NDIYE NJIA, KWELI NA UZIMA. kila mtu ni lazima aamini DAMU yake ili asafishwe dhambi zake. bila hivyo no pepo. usichelewe. alikufa akafufuka.Yu hai.

    • @emiliankomba5217
      @emiliankomba5217 5 ปีที่แล้ว +1

      Kwahyo wasingekuja wazungu Africa huyo yesu ungemfahamu VIP,na kama pepo kupitia kwa yesu VIP kuhusu mababu zetu waliokufa kabla ya ujio wa wazungu na dini,inamaana wote wapo motoni!?vip kuhusu huko India, china,Japan,Jamaica, Russia,Ethiopia,Vietnam,Korea kaskazini,,inamaana hao wote wataenda motoni?sababu kule hawana yesu ila wanaimani juu ya uwepo wa Mungu/Miungu!;hii ndio Africa ambayo wazungu walitumia dini na elimu kuwabrainwash watu weusi, wao sasa wanaishi maisha tofauti huku sisi makanisa walotuletea yanakosa had pesa ya kumlisha paroko,hii ndio Africa ambayo elimu ya mkoloni had sasa inaonekana ni ukombozi wa watoto ili waishi maisha mazuri huku idadi ya madarasa ikiwa kubwa na kijana anahitimu chuo bado anakula kwa baba,,hii ndio Africa ambayo wazungu wameifanya kama kijiji cha kutalii na wanakuja watakavyo huku ww hata hutarajii kwenda ulaya na huna ndoto yakwenda,,hii ndio Africa ambayo hata wazungu wenyewe hawafikirii na hawawez kuongozwa na Papa mtakatifu,,hii ndio Africa ambayo wazungu huamini ss ni kizazi cha laana cha yule kijana aliyechungulia nyeti za baba yake na akalaaniwa huku yule aliyemfunika baba yake ni mweupe ambaye ndio wao,,hii ndio Africa ambayo ss tunaamini ukizika kadiri ya imani za carismatiki hupaswi kwenda kujengea kaburi la mpendwa wako wakati huko ulaya makaburi yao hupigwa hadi deki,!jitahid sana usome agano la kale,,na jitahid sana uelewe mistari miwili kwenye biblia ambayo ni,,"WATU WANGU WANAHANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA,,,"wapili ni "MSHIKEN SANA ELIMU NA USIMWACHE AENDE ZAKE" ila hapa hujaambiwa elimu gani,sio hyo elimu ya videsa vya kikoloni bali ni elimu yenye riba na ukombozi kwa maisha yako;asante mchango wangu ndio huo 0744830801

  • @emmanyuelokabefu5699
    @emmanyuelokabefu5699 5 ปีที่แล้ว

    niçe

  • @djumadjumbe6907
    @djumadjumbe6907 5 ปีที่แล้ว

    Rasta fari ❤

  • @sketadre1981
    @sketadre1981 ปีที่แล้ว

    One love

  • @HanceBarinaba
    @HanceBarinaba วันที่ผ่านมา

    Naitaji kujiunga na marasita

  • @kofikwabena5785
    @kofikwabena5785 3 ปีที่แล้ว

    What country is he from?

  • @user-pn9ii9iz8f
    @user-pn9ii9iz8f 5 ปีที่แล้ว +2

    Kulingana na hali halisi hawa ni makafir

    • @massive1765
      @massive1765 5 ปีที่แล้ว +1

      Hata wewr kafir ma inajijua unavyotebda dhambi bwege wewe

  • @daudvedasto9809
    @daudvedasto9809 5 ปีที่แล้ว +1

    Haile Selassie Jah

  • @jumanassoro1552
    @jumanassoro1552 ปีที่แล้ว

    More fire more water

  • @anthonyfaru9908
    @anthonyfaru9908 5 ปีที่แล้ว

    Sio tigo pesa, mara m pesa haaa wahtaji sadaka wapo mtaani bana

  • @kyaro5945
    @kyaro5945 5 ปีที่แล้ว

    HIM SELASIE Jah Rastafarian.

  • @ramadhanimandoa4058
    @ramadhanimandoa4058 5 ปีที่แล้ว +2

    Hakika dini ya kweli mbele ya mwenyezimungu ni uislamu tu.

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 3 ปีที่แล้ว

    Amani iwe juu yao

  • @QtiliaNchimbi-qi4tc
    @QtiliaNchimbi-qi4tc 7 หลายเดือนก่อน

    Nahitaji kujiunga nanyie

  • @abrahmanwajih4224
    @abrahmanwajih4224 5 ปีที่แล้ว

    du! nishidda

  • @irunguwachomba7246
    @irunguwachomba7246 2 ปีที่แล้ว

    Imani ya ukweli ndio hiyo sasa

  • @fredjohntanzania3881
    @fredjohntanzania3881 5 ปีที่แล้ว +3

    HAKUNA WATU WAPUMBAVU KAMA WAISLAMU... HAPA WANAWAAMBIA WENZAO KWAMBA NIMAKAFIRI.. LAKINI WAO WANAFUGA MAJINI NAKUWAOMBEA WATU ALBADILI PUMBAVU

    • @muhammedrashidy2823
      @muhammedrashidy2823 5 ปีที่แล้ว

      Fredy John Waifakara hewala bwana,waislamu wote wapumbavu .

    • @maginajuma3889
      @maginajuma3889 5 ปีที่แล้ว

      Hizo ni laana,uzidi kulaaniwa ndo ningekuwa askari wa motoni ningeuchoma mdomo wako

    • @gloriousn6425
      @gloriousn6425 5 ปีที่แล้ว +1

      Duh, mm Mkristo but this is one of the dumbest comment ever 😏😏😏
      Hivi ni lazima kucomment kwenye mitandao kila mtu ajuwe ufahamu wako ulivo mdogo??
      Watu kama nyinyi ndo mnahaaribu hii SAYARI
      I pity you Fred

  • @iungwadeogratius7893
    @iungwadeogratius7893 5 ปีที่แล้ว +1

    Hawa ndo maana hawana hata kanisa kweli aiseee akil ni nywele wenzao walikuwaga wanatoa vi2 vya asil pesa haikuwepo tuone basi kama vyakula vitajenga hyo kanisa yao

    • @emmanuellukemachage3089
      @emmanuellukemachage3089 5 ปีที่แล้ว

      Educate yourself halafu urudi ku-comment.

    • @anthonyfaru9908
      @anthonyfaru9908 5 ปีที่แล้ว +1

      Iungwa Deogratius peleka sadaka yako kwa bulldoza au mtumie tigo pesa haaaa wahtj sadak wapo mtaani bana huo ndo ukweli

    • @verynicesamwel3312
      @verynicesamwel3312 4 ปีที่แล้ว

      Palipo na Mmoja au wawili Mungu yu katikati yenu we kichwa maji una amin Mungu yuko kwenye Majengo tu ndio maana sadaka zenu zinanunua magari na ma wig ya wake za wachungaji wenu bomboclaaat

  • @zenamtembezi4921
    @zenamtembezi4921 7 หลายเดือนก่อน

    Idum ailele

  • @qudratv9169
    @qudratv9169 5 ปีที่แล้ว

    Sadaka ya bangi pia inaruhusiwa 😄😄😄

  • @ismailbuchwa398
    @ismailbuchwa398 5 ปีที่แล้ว +6

    Wengi waweza kutokuwaelewa na kudhani bangi lakin hawa wajama wanajielewa zaidi unavyo fkiria na hio rastafare ni dini kama dini zingine inamisingi yake na. Katika misingi yake ibada zafanyiwa kwenye mabustani kwaio mtu kabla huja soma kunako wao huwezi ukawaelewa

    • @moziidavchonchi3338
      @moziidavchonchi3338 5 ปีที่แล้ว +1

      NAFAHAMU VIZURI KUHUSIANA NA RASTAFARIAN NI WAPUUZI TU

    • @salimkhamis3638
      @salimkhamis3638 5 ปีที่แล้ว

      Akili zao zipo kama zilivyo hizo nywele zao

    • @user-pn9ii9iz8f
      @user-pn9ii9iz8f 5 ปีที่แล้ว

      Ismail Buchwa na ww miongon mwao bila shaka

  • @andrewmagwila6219
    @andrewmagwila6219 5 ปีที่แล้ว

    Sauti imekata

  • @idrisasalum8013
    @idrisasalum8013 5 ปีที่แล้ว

    Hhhhhhh 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄

  • @testmyphone1305
    @testmyphone1305 5 ปีที่แล้ว

    zaburi imetoka wapi wakati wayahudi waliipoteza

    • @issamohammed5728
      @issamohammed5728 5 ปีที่แล้ว

      Ukiitaka zaburi soma qur-an tu hapo utaipata mana qur-an ndo kila kitu

    • @makisjeremiah288
      @makisjeremiah288 5 ปีที่แล้ว

      @@issamohammed5728 acha kupotoshwa wewe katika historia ya hii dunia hakuna watu wanaotunza kumbukumbu kama wayahudi.Huyo aliyekuambia wayahudi waliipoteza zaburi kamuuliza hiyo Koran iliipata wapi zaburi kwa wayahudi au kwa waarabu? tena muulize aliyeiandika zaburi ni nani?

    • @karisaanderson7246
      @karisaanderson7246 5 ปีที่แล้ว

      @@issamohammed5728 ww waumwa, uislamu umekufanya pumba! hivi wafahamu qur'an imeagiza waislamu kuwauliza wayahudi lolote katika dini wasiloelewa?!

  • @officialkamdudu
    @officialkamdudu 5 ปีที่แล้ว

    wanatumia kitabu gani ktk ibaada zao hawa jamaa ?

  • @testmyphone1305
    @testmyphone1305 5 ปีที่แล้ว

    na bangi haikosekani hapo

  • @saidbanga
    @saidbanga 5 ปีที่แล้ว

    Bangi hizi mmhhhh haya

  • @qc5clickclick558
    @qc5clickclick558 5 ปีที่แล้ว

    Bangi hizi!

  • @fakiswalehe9785
    @fakiswalehe9785 5 ปีที่แล้ว +1

    Nyie nyote msipo badilikA mwaenda motoni

    • @gloxlox4573
      @gloxlox4573 5 ปีที่แล้ว

      Faki Swalehe Hakuna moto wala pepo

    • @phideliswairimu118
      @phideliswairimu118 5 ปีที่แล้ว

      ukwelii hii ni upuzii..moto iko kali sana kwanza

  • @user-qe8xp6ii1u
    @user-qe8xp6ii1u 5 ปีที่แล้ว +1

    Sasa Mbona Wanasoma Biblia zilizoandikwa Na Wazungu na Kutafsiriwa kwa Kiswahili,Hii Imani kwa kweli Haina Mashiko kabisaaa Ni Tunaweza Kusema Ni Moja ya Dhehebu la Ukristo tu

    • @anganilemichael2283
      @anganilemichael2283 5 ปีที่แล้ว

      Sasa wewe unajua kua upo sahihi na dini yako acha kejeli ndugu

    • @user-qe8xp6ii1u
      @user-qe8xp6ii1u 5 ปีที่แล้ว

      @@anganilemichael2283 Sio kejeli ila tunasema tukiwa na ushahid,Kwan wew umewaona wanasoma kitabu gani hapo???Au na wew Mbu mbu kama Wao???

    • @kabhikachambala3392
      @kabhikachambala3392 5 ปีที่แล้ว

      Unatumia matako kufikili. SIO KILA ANAETUMIA BIBLIA NI MKRISTO NA SIO KILA ANAETUMIA QURAN NI NWISILAMU. huna mantiki ktk kujadili vitu

    • @kabhikachambala3392
      @kabhikachambala3392 5 ปีที่แล้ว

      Kuhusu kuandikwa na mzungu sio tatizo kama ingekuwa kweli kwani hata quran imeandikwa na mwarabu. Sijui unatoa wapi fikra kwamba ikiandikwa na mzungu sio halali na ikiandikwa na mwarabu ni halali? .

    • @user-qe8xp6ii1u
      @user-qe8xp6ii1u 5 ปีที่แล้ว

      @@kabhikachambala3392 Biblia Kuandikwa na Mzungu(Kwa Kingereza) hili ni Kosa Kubwa sana Kwani Nyie Mwasema Kuwa Ni maneno ya Yesu,Hasa Ni wap na Wap Na Yesu Hakuwa Mzungu.
      Kuhusu Quraan Kuandikwa na Mwarab ni Sawa Tena Sahihi kabisa Kwani Imeandikwa Kwa Lugha Yake ya Asili na Mtume Mohammad alikuwa ni Mwarabu.
      Halafu Wakristo ni Nani aliyewaroga Hiv Hata Ufahamu hamna Huwez Kulinganisha Maneno ya Mungu na Maneno ya Wanadamu kama Akina Paulo na Wenzie ambaoTunaskia Majina Tu lakin Watu wenyew hawajulikan,hamuwajui baba zao kama Mathayo,Marko,Yohana,Luka.????

  • @issamohammed5728
    @issamohammed5728 5 ปีที่แล้ว +13

    Motoni tu atakae kufa kinyume nauisilamu basi jamii itambue huyo ni motoni tu mana funguo ya pepo ni LAA ILAHA ILLA LLAH

    • @daviddavid-gq8zp
      @daviddavid-gq8zp 5 ปีที่แล้ว

      Issa Mohammed !Siyo kweli!

    • @issamohammed5728
      @issamohammed5728 5 ปีที่แล้ว +1

      @johnson john tena mwenyeo unatetea upumbavu dini yakweli ni moja tu LAA ILAHA ILLA LLAH hizo nyengine zote ni uzushi tu wawatu ndomana ukaona dini zote katika majumba yaibada wanaingia naviatu lkn dini ya uislamu inasema vua viatu hio nisehemu takatifu angalia nabii musa pale alipokua mlima sinai Mungu alimwambiaje Ewe Musa vua viatu vyako kwahakika upo katika sehemu takatifu rasta huo ni uzushi wenu

    • @issamohammed5728
      @issamohammed5728 5 ปีที่แล้ว

      Haiwezekani katika nyumba yaibada kuingia naviatu hicho nikithibitisho tosha kua hizo si nyumba zaibada ya Mungu wakweli alie mmoja yeye hakuzaa wala hakuzaliwa wala hakuna anacho fanana nacho huyo ndo Mungu wakweli hali hanywi halali wala haendi choo huyo ndo Mungu wakweli ukisema yesu Mungu tutakwambia muongo mkubwa yesu nikama mm naww anakula nakunya ukisema yeye ni mtume wa Mungu kwa wana wa Israel tutakwambia umesema kweli

    • @issamohammed5728
      @issamohammed5728 5 ปีที่แล้ว

      @johnson john uislamu unasema ivi dini yakweli kabisa mbele ya Mungu ni uislamu nayoyote atakae fata kinyume na uislamu huyo atakua kaaamua tu kufata kwamatamanio yake mana haitakiwi kulazimishana katika dini lkn mtu kama anataka salama bc nilazima awe muislamu tu mana ndo dini Teule ya Mungu

    • @issamohammed5728
      @issamohammed5728 5 ปีที่แล้ว

      @johnson john kwani kaka kejeli gani nimetumia kwa resta marafiki niko nao nakaa nao wananambia yesu Mungu namm nawaambia mbona yohana 8:40 yesu anasema lkn sasa mnatafuta kuniuwa mm mtu nilie tumwa na Mungu hapo uungu wa yesu uko wapi ukiwauliza swali hilo wanashindwa kujibu wanasema tuachane naishu zadini

  • @luqmanmohamedy3860
    @luqmanmohamedy3860 5 ปีที่แล้ว

    wehu hawajielewi

    • @kadyuwegeyetv5310
      @kadyuwegeyetv5310 5 ปีที่แล้ว

      Kwa kipi Sasa fafanua nijue Kama kweli na wewe Ni mzima

    • @phideliswairimu118
      @phideliswairimu118 5 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣 kuna mapepo behind yakuwapotosha

    • @LUPPER.
      @LUPPER. 5 ปีที่แล้ว

      Ila kumbuka wanakusanya sadaka zao wenyewe na kupeleka kwa wahitaji