DORAH KWA HUZUNI ASIMULIA NDUGU WALIVYOMNYANYAPAA “WALINIONA MKOSI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2021
  • Ni mahojiano na Mwigizaji Dorah aliyepata umaarufu kupitia tamthilia ya Kapuni na baadae kufanya vizuri zaidi kupitia tamthilia ya Jua Kali ambayo Dorah amesema sehemu ya maisha anayoigiza hivi sasa aliwahi kuyaishi akiwa mdogo baada ya Ndugu kumtenga.

ความคิดเห็น • 183

  • @simonringo4701
    @simonringo4701 2 ปีที่แล้ว +24

    Mtangazaji uko vizuri sana. Ukichanganya na kipaji cha Dorah, imefanya hii interview kuwa moja ya interview bora sana. Big up Dorah, big up mtangazaji

  • @temuemanuel4671
    @temuemanuel4671 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu binti ana hekima na kipaji cha hali ya juu. Hongera sana dada yetu Dorah, changamoto ulizopitia zilikuwa za kukuandaa kuja kuwa star kama leo. Usife moyo, kaza mwendo na vipaji vyako vyema na Mungu aendelee kukujalia afya njema na kukuza kipaji chake

  • @jennytugara9470
    @jennytugara9470 2 ปีที่แล้ว +14

    Ndugu zetu waafrika wakikutupa pata hela tu uone watavyopenda looh. Sasa Dora ana ngara kama Nyota ya asubuhi Mungu akupe kila hitaji la moyo wako, utaolewa mwakani akuchagulie Mume🙏🏾

  • @dianadenis7557
    @dianadenis7557 2 ปีที่แล้ว +3

    Be blessed dada Mungu yupo na wewe mapito ndio pia yamekufikisha hope ulipo songa mbele ukimshukuru Mungu wako.

  • @GerardEmanuel
    @GerardEmanuel หลายเดือนก่อน

    Hongera sana doraha na pole kwa yote yalio kukuta na mwenyenzi Mungu akutie nguvu zaidiii❤❤

  • @vincentjacobo4219
    @vincentjacobo4219 2 ปีที่แล้ว +11

    Najifunza kitu kweli maisha nikukazatu, hakunakukata tamaa zaidi Mungu ndomuwe wa yote

  • @wellbrand3415
    @wellbrand3415 2 ปีที่แล้ว +9

    Waooo...
    I love the girl...
    Keep it up...👏👏👏👏👏

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 2 ปีที่แล้ว +2

    Forah mashaallah mungu azidi kukupigania kw kazi ya mikono yako akuongeze kipaji zaidi

  • @jamesvmusic2677
    @jamesvmusic2677 2 ปีที่แล้ว +15

    God bless you Dorah❤️

  • @gloryjesus4308
    @gloryjesus4308 2 ปีที่แล้ว +11

    Haya makucha tooooa

  • @hfhdhfhd7126
    @hfhdhfhd7126 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah, May God sustain you Dorah, We love you and thanks to this s media👏👏👏

  • @agnessntiburella8816
    @agnessntiburella8816 หลายเดือนก่อน

    Kwakweli kila nikiangalia hii interview huwa nalia sana kwakweli naumia mno,hongera sana Dora nakupenda sana

  • @aishajuma7813
    @aishajuma7813 2 ปีที่แล้ว +9

    Mungu ni mwema siku zote

  • @matha4630
    @matha4630 2 ปีที่แล้ว +13

    Nakupenda sana Dora kutoka Kenya keep up

  • @salmatwaha5435
    @salmatwaha5435 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah naamekuwa kanono mashaallaah nampenda dora 🥰🥰🥰

  • @vivianakinyi6414
    @vivianakinyi6414 2 ปีที่แล้ว +7

    You are an excellent actress...much love from kenya

  • @noxlosingida2369
    @noxlosingida2369 2 ปีที่แล้ว +6

    No 1 Msingida mwenzangu na Mnyiramba mwenzangu huwa na kukubali sana mdogo wangu Dorah

  • @user-hw9jk8fw3r
    @user-hw9jk8fw3r 10 หลายเดือนก่อน +1

    Dora uko vizur na mungu azid kukupigania

  • @jamesmwita2995
    @jamesmwita2995 2 ปีที่แล้ว +7

    Hongereni kwa interview nzuri

  • @Emmamusiccmb
    @Emmamusiccmb 2 ปีที่แล้ว +7

    *NDUGU ZANGU KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA MUANGALIE VIDEO YA WIMBO UITWAO JE UTAVUMILIA KWA KUBOFYA PICHA YANGU APO PEMBENI NAAMINI MTAUPENDA 🔥🇹🇿🙏🔥*

    • @ireneapronary2645
      @ireneapronary2645 2 ปีที่แล้ว +2

      Yaan wew kaka kila mirrard akipost kitu lzm ufanye vitu siyoooo khaaaa unaboaaa😡😡

  • @wanyaturutalents
    @wanyaturutalents 2 ปีที่แล้ว +6

    Singida Juu Tunakupenda Pia sisi WANYATURU

  • @LuweviambitionTv
    @LuweviambitionTv 2 ปีที่แล้ว +11

    🤣🤣🤣🤣 kuanzia leo mimi ni mshabiki wako dorah

  • @dorrisnasuboouma8872
    @dorrisnasuboouma8872 2 ปีที่แล้ว

    Woooow congratulations Dora...umenifanya nimegongesha kengele...mob love Dora...from Kenya..... interview Safi Sana ..hongereni

  • @adelinamushi2892
    @adelinamushi2892 2 ปีที่แล้ว +10

    Yaani Dora anaongea kwa kujiamin Mungu akupe hitaji la moyo wako

  • @ashaissa8813
    @ashaissa8813 2 ปีที่แล้ว +5

    God bless you Dora❤️❤️❤️

  • @lydiagamba3183
    @lydiagamba3183 2 ปีที่แล้ว +6

    Mungu ndo kila kitu kwako na siyo binadamu mwenzio

  • @rahmaramadhan9773
    @rahmaramadhan9773 2 ปีที่แล้ว +4

    Nimungu tu kaweka uwe hivyo ili Maisha yaendelee mungu akupiganie akupe hitajila moyo wako

  • @restutamjuni4739
    @restutamjuni4739 2 ปีที่แล้ว +6

    Nampenda Dora jamani

  • @nyikaboychannel7089
    @nyikaboychannel7089 2 ปีที่แล้ว +5

    I appreciate you sister

  • @eddiemsongelanzi5395
    @eddiemsongelanzi5395 2 ปีที่แล้ว +2

    Your a good girl try hard you are a good one keep it up girl

  • @NeemaMeshaki-qm4ew
    @NeemaMeshaki-qm4ew 10 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda sana dorah Nakuombea Mungu akupe maisha marefu unaujasili sana hongera sana

  • @lovenessrobert9815
    @lovenessrobert9815 2 ปีที่แล้ว +5

    Nakupenda dora ww ni mkristo tumefundishwa kusamehe wasamehe hao ndugu

  • @user-ju1en8jd2l
    @user-ju1en8jd2l 2 ปีที่แล้ว +3

    Hata wewe uko sawa Dora kazi ya Mungu haina makosa

  • @nasrajuma7005
    @nasrajuma7005 2 ปีที่แล้ว

    Interview imekaa poa sana... hongera dorah na kila la kheri kwako ❤😍😍

  • @kisalaTV
    @kisalaTV 2 ปีที่แล้ว +3

    Dora hizo kucha hapana. Jamani ariye kubandika usirudi tena khaaa

  • @stafordkashililika9916
    @stafordkashililika9916 2 ปีที่แล้ว +7

    Nakukubali sana mungu akujalie maisha malefu

    • @jacklinejosam3713
      @jacklinejosam3713 ปีที่แล้ว

      Yaani huyu binti jamani Mungu amutetee nakupenda Sana dorah

  • @veronicastephano8974
    @veronicastephano8974 2 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana Dora nakupenda sana .by vero from moro

  • @tabumpate9762
    @tabumpate9762 2 ปีที่แล้ว

    MASHALLAH.M/MUNGU AKUFIKISHE UPATAKAPO WEWE DORA NA KWA UWEZO WAKE INAWEZEKANA

  • @Mimi-wf7mb
    @Mimi-wf7mb 2 ปีที่แล้ว +10

    Dora hizo kucha mbona haziko proportional na wewe?

    • @zulfaissa7814
      @zulfaissa7814 2 ปีที่แล้ว +1

      Mimi umemuuliza swali zuri htamie nilitaka kumshauri siyokilakitu uishi kisanii some times ajiweke Kama mm bora kwabadae lakin ukibandika kamahivo nahisi nikama uchafu pindipo anapokwenda choon inakuwaje atakua hajitawazi

  • @mouwanahamisi8216
    @mouwanahamisi8216 2 ปีที่แล้ว +6

    Karembo jmn kadorah mung akubark

  • @celinaphysoo4919
    @celinaphysoo4919 2 ปีที่แล้ว

    Dah huyu dada ase anajua kujielz vizr nimekupenda Dora uckate tamaa Mungu wetu haangalii jinsi ulivyo akiamua kukuinua anakuinua kwelikweli much 💕 tu yu

  • @bisengobubasha
    @bisengobubasha 2 ปีที่แล้ว +4

    Interview imekaa vizuri sana. Dorah, may all your wishes come true 🙏🙏

  • @gladyscarlos958
    @gladyscarlos958 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakapenda karembo mwaaaaah 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🥰

  • @irenejoseph5925
    @irenejoseph5925 2 ปีที่แล้ว +1

    kanahekima sana Mungu akujalie dorah

  • @minakhamiskhamisi6193
    @minakhamiskhamisi6193 2 ปีที่แล้ว

    Kunenepa nayo jmn nakapend jmn uko vzr kweny kazi yko ❤️❤️❤️❤️❤️😍😍

  • @manaseyona9260
    @manaseyona9260 2 ปีที่แล้ว +3

    Love her

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 2 ปีที่แล้ว +5

    Kadola kazuri nakapenda 😘😘😘🥰

  • @mungatanamedia5157
    @mungatanamedia5157 2 ปีที่แล้ว

    Very good interview 💯💯💯💯❤️❤️

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 2 ปีที่แล้ว +1

    My favourite media AYO TV

  • @ablashaffy2860
    @ablashaffy2860 ปีที่แล้ว

    Wale wasiowakubal washamba wanaonyanyapaa ndugu zetu wenye ulemavu atupie like yake hapa.

  • @ahiakkessy5949
    @ahiakkessy5949 ปีที่แล้ว

    Umepitia mengi lkn umeinuliwa mungu Ni wetu sote Safar ya maisha Ni ndefu Sana

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu dada Ni Kama nishawahi kumwona pale Bassotu Kama sikosei

  • @rafikiwildlife4263
    @rafikiwildlife4263 2 ปีที่แล้ว +1

    safi sana Dorah.

  • @tausihasheem5169
    @tausihasheem5169 ปีที่แล้ว

    Vidox naomba yko unipigiege tu cmu naipenda sana sauti yko❤❤🥰

  • @mosesg.pendael8381
    @mosesg.pendael8381 2 ปีที่แล้ว +3

    Dora hizo kucha banaaaa khaa!

  • @adolphinakaiza3326
    @adolphinakaiza3326 2 ปีที่แล้ว +1

    Love you!

  • @lida457
    @lida457 2 ปีที่แล้ว +3

    Napenda unavyojielezea

  • @carenalphonce5013
    @carenalphonce5013 2 ปีที่แล้ว

    😍😍😍dorah strong woman

  • @abuubilal6586
    @abuubilal6586 2 ปีที่แล้ว +2

    Dora Nakupenda sana

  • @gracegodson3098
    @gracegodson3098 2 ปีที่แล้ว +2

    Kanenepa mashallah

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 2 ปีที่แล้ว

    Yaani Dora unawezaaaaaaa 👏👏👏👏💪💪💯😄😄😄😄😄

  • @chaucassim4123
    @chaucassim4123 2 ปีที่แล้ว

    Jmn. Tunakupenda. Sana forah

  • @hellenpaul9671
    @hellenpaul9671 2 ปีที่แล้ว

    Congrats kwa nice interview

  • @Martin-lv1xw
    @Martin-lv1xw ปีที่แล้ว

    A genius Cute girl🥰

  • @user-by3sc9mi2h
    @user-by3sc9mi2h 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera Kama unajikubali mmwenyew nip na we

  • @zabibumwashitete777
    @zabibumwashitete777 2 ปีที่แล้ว

    Nakupenda doraaaaaa💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗

  • @gabriellyadam9415
    @gabriellyadam9415 2 ปีที่แล้ว +1

    nimeipenda.

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 2 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe ulikuwa Singida
    I wish ninge bahatika kukuta nawe

  • @nurusaidy7552
    @nurusaidy7552 2 ปีที่แล้ว

    Jamani D umekua kibonge kweri mungu akulinde

  • @tausihasheem5169
    @tausihasheem5169 ปีที่แล้ว

    Hpo kwenye kuchambana sasa jmn mecheka wallah 🤣🤣

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 2 ปีที่แล้ว

    Ulikuwa siyo excited? What do you mean about that?.

  • @fellymathias8734
    @fellymathias8734 2 ปีที่แล้ว

    Dorah ' Nakukubali sana Unakofidesi sana 🤣🤣🤣🤣

  • @violethtingo6412
    @violethtingo6412 2 ปีที่แล้ว

    keep it up love

  • @frola5323
    @frola5323 2 ปีที่แล้ว +2

    Mimi ninavyo penda kuigiza jamn😪😪

  • @rosegideon336
    @rosegideon336 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki Dora

  • @shivalonso8277
    @shivalonso8277 2 ปีที่แล้ว

    Mungu nimwema wakat wote leo sna meng ila ningependatu kusema ya kwamba wakat mwema uandaliwa na changamoto

  • @aminamnyaruge8574
    @aminamnyaruge8574 2 ปีที่แล้ว +2

    Dora Sasa amekuwa amejitambua anajibu kwa point tofauti na interview zake za nyuma

  • @nobertfanuel2299
    @nobertfanuel2299 2 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏

  • @saidisuwedi7818
    @saidisuwedi7818 2 ปีที่แล้ว

    Nampenda snaa Dora na sijui ata kwanini najikuta nampenda tu

  • @ashaissa8813
    @ashaissa8813 2 ปีที่แล้ว

    Nakupenda Dorah

  • @armamalonga686
    @armamalonga686 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe guvu

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 2 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana dora kwanza unajiamini sana

  • @edwinedward5352
    @edwinedward5352 2 ปีที่แล้ว

    Dorah mungu🙏🙏

  • @fahyma46
    @fahyma46 2 ปีที่แล้ว +1

    😢😢😢😢😢😢

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 2 ปีที่แล้ว

    Nakupendaga dora

  • @nchiyangutv2157
    @nchiyangutv2157 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa Dora unavojieleza

  • @Tijarakabendera
    @Tijarakabendera 2 ปีที่แล้ว

    Ana sauti nzuri sana👍

  • @msemnelesinjila9635
    @msemnelesinjila9635 2 ปีที่แล้ว

    Makini Sana 💯✍️

  • @alexmbimbi2029
    @alexmbimbi2029 ปีที่แล้ว

    Nice doraa

  • @janemuthoni723
    @janemuthoni723 2 ปีที่แล้ว

    Toka kitambo nilikuwa najua huyu ni mwanaume nilikuja jua juzi tu ni. Mwanamke,kisauti ni cha kiume na sura

  • @timeali710
    @timeali710 ปีที่แล้ว

    Good mamii

  • @violethtingo6412
    @violethtingo6412 2 ปีที่แล้ว +2

    hahahhahhahha love you dorah

  • @unicesaimon9459
    @unicesaimon9459 2 ปีที่แล้ว

    Penda Sana Dora ❤️❤️

  • @kreamagdfsa1697
    @kreamagdfsa1697 2 ปีที่แล้ว

    😄😄😄 Dorah nimependa hapo kwenye kuchamba

  • @helgarmwanga3513
    @helgarmwanga3513 ปีที่แล้ว

    Dory usiwaseme ndugu zako kwa ubaya wao samehe nyie ni ndugu tyuuu sahau

  • @officialbntrasool5223
    @officialbntrasool5223 2 ปีที่แล้ว

    Nyie huy kaka alivyoact😂😂😂

  • @bettyvugutsa7410
    @bettyvugutsa7410 2 ปีที่แล้ว

    Wazazi Tuhimize watoto wetu wakiwa na vipaji mbalimbali

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 ปีที่แล้ว +1

    Mmmh iyo mikuchaaaaaa😂💦😂💦😂💦😥💦😂💦💦😂💦😂💦😥😂💦😂💦😂Loooh ujaapendaza

    • @mammam4701
      @mammam4701 2 ปีที่แล้ว

      Wew 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Njooo maximum TV 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @annakadege8160
      @annakadege8160 2 ปีที่แล้ว

      Mungu akujarie ktk Maisha yako yawe na kheri siku zote.

  • @mariamcrispo8296
    @mariamcrispo8296 2 ปีที่แล้ว

    Ni haki yenu kuchukua tuzo.Ayo Tv

  • @angekamataliw5067
    @angekamataliw5067 10 หลายเดือนก่อน

    Kwakwer Dada unaweza