MIILI ZAIDI YA 200 KUFUKULIWA VINGUNGUTI, MEYA AFUNGUKA "MIILI MINGI IMESOMBWA NA MAJI "

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2021
  • Miili zaidi ya 200 imefukuliwa katika makaburi ya Vingunguti Mkoani Dar es salaam na kuhamishiwa makaburi ya Mwanagate.
    Meya wa Jiji la Dar es salaam, Kumbilamoto, amesema uamuzi wa kuhamisha makaburi unakuja kufuatia Mto kupanuka na kusomba miili.

ความคิดเห็น • 531

  • @neemarenaida6667
    @neemarenaida6667 2 ปีที่แล้ว +99

    Aisee ndugu zangu tumche Mungu ktk maisha yetu ,ona miili ya ndugu zetu tuliozoea kula nao kucheka nao Leo hii miili iko Kama mnavyoiona

  • @batulimohamed6088
    @batulimohamed6088 2 ปีที่แล้ว +256

    Wanaume popote ulimwenguni mungu awalipe mema daaa kz ngumu masikini ila huo ndio uwanaume. 🤲🙏😥

    • @mattywrld822
      @mattywrld822 2 ปีที่แล้ว +3

      asante🙏

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 2 ปีที่แล้ว +14

      kweli asee Allah awalipe na awajalie kheir kubwa wanamoyo sana

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 2 ปีที่แล้ว +9

      yaani hususani wanaume wa tanzania wanamoyo na ushujaa nakujituma si wange ajili wahindi waeze kufukuwa ika wanaume wa africa wanasimama wawo masha allah

    • @samwelimoshi5614
      @samwelimoshi5614 2 ปีที่แล้ว +11

      Na bado mnatuletea zarau asee

    • @sabinaonline6575
      @sabinaonline6575 2 ปีที่แล้ว +2

      @@samwelimoshi5614 😃😊

  • @AshaAsha-ng1ug
    @AshaAsha-ng1ug 2 ปีที่แล้ว +102

    Nawaheshimu nakuwapenda sana wanaume nijasiri wakufanya mambo mengi magumu kuliko sisi wanawake viumbe zaifu,big up oll men for Tanzania

  • @cristerthomasy4978
    @cristerthomasy4978 2 ปีที่แล้ว +43

    Wanaume woote Mungu awape hitaji la mioyo yenu..... Hakika kazi ngumu Sana😭😭😭

  • @nelithamimwani4516
    @nelithamimwani4516 2 ปีที่แล้ว +54

    MUNGU awape nguvu hawa wanaume wanaofanya kazi hii 😭 na pia MUNGU awatie nguvu ndugu wa marehemu maana wanapata maumivu tena ya ndugu zao😭

  • @AshaAsha-ng1ug
    @AshaAsha-ng1ug 2 ปีที่แล้ว +64

    Ndugu zangu wanawake wenzangu kokote mliko Dunian ,,,,,naomba tukumbushane kuhusu swala zima lakuwaheshimu wanaume,,,,wanawajibika na mazito tusiyokuwa na ubavu wakuwajibika nayo,jaman hata kama umeolewa na mw,namme Hana uwezo wa kifendha lakin jaman ndio nguzo hio ya nyumba,pia,kukitokea lolote tatizo ktk nyumba yenu anawanza kuwa chambo nimwanamme ndiye ndie anaejitoa kwa ubavu nakukubal kufakupona,,,💪💪

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j 2 ปีที่แล้ว +3

      Kuna yule dada kakatwa maskio yote nayeye unamwambiaje? Avumilie au aondoke asije katwa koromelo🤣

    • @faridaaloyce7672
      @faridaaloyce7672 2 ปีที่แล้ว +1

      Usiusemee moyo ndugu...

    • @jayelias1654
      @jayelias1654 2 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂Wambie wenzio

    • @kiri5807
      @kiri5807 2 ปีที่แล้ว +3

      Nawanaume wana haki yakuwaheshimu wanawake . Mwanamke ni nguzo ya familia vile vile na bila ya mwanamke mwanamme hafiki popote na hiyo kazi ngumu ipi uloiona wewe kuliko uzazi ? kuna kaburi ya mwanamme alokufa uzazi ?

    • @mariammwendakazungu5783
      @mariammwendakazungu5783 2 ปีที่แล้ว

      @@kiri5807 hapo sasa eti uvumilie hajapata jangili huyo

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 2 ปีที่แล้ว +24

    Mungu awalaze wapendwa wetu peponi amina

  • @ZABNICE
    @ZABNICE 2 ปีที่แล้ว +11

    Kutoka kenya, salute kila mmoja kujitolea, mungu awazidishie

  • @erickmichaelmugele2107
    @erickmichaelmugele2107 2 ปีที่แล้ว +66

    Tuache kiburi,majivuno,dhulma,nk....binadamu ni kama maua tu angalia leo hii wenzetu si kitu,hata mm na wewe kesho itakuwa hivyo,so tuishi kwa upendo na hofu ya Mungu.

    • @elizakefa293
      @elizakefa293 2 ปีที่แล้ว +1

      Amen 🙏

    • @azizaabeid2055
      @azizaabeid2055 2 ปีที่แล้ว +2

      Kabisa Yani hapa ndio tuzid kujifunza zaid kama duniani tunapita

    • @husna34562
      @husna34562 2 ปีที่แล้ว +1

      Kwakweli

    • @user-rd7jt1vi5x
      @user-rd7jt1vi5x 2 ปีที่แล้ว +1

      Amina

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 2 ปีที่แล้ว +1

      Sana yani umeongea pwenti nasi tu naelekea huko kikubwa nikujipinda tywe watu wema ndiyo salama yetu

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 2 ปีที่แล้ว +6

    Mwanadamu aliezaliwa na mwanamke Siku zake zakuishi ni chache mno nikama maua anachanua asubuhi na jioni hunyauka Yesu tupe mwisho wema.

  • @ananiamtewele9272
    @ananiamtewele9272 2 ปีที่แล้ว +15

    Amaaa kwel DUNIANI sio kwetu Eee mwenezi mungu tu nusuru na tujalie mwisho mwema 😭😭

  • @franklinkarani8031
    @franklinkarani8031 2 ปีที่แล้ว +32

    Waah😫am speechless to be alive is just miracles..thankful dear God🙏🙏

    • @Fauzia2090
      @Fauzia2090 2 ปีที่แล้ว +8

      Mmh..kila mtu hufa kwa siku yake. Hamna cha miracle. Nikujiandaa tu, siku ikifika safari unayo.

    • @franklinkarani8031
      @franklinkarani8031 2 ปีที่แล้ว

      @@Fauzia2090 not me wewe

    • @mamushemshami1018
      @mamushemshami1018 2 ปีที่แล้ว +1

      Subhannallah😥😥😥

    • @Fauzia2090
      @Fauzia2090 2 ปีที่แล้ว +1

      @@franklinkarani8031 mimi sawa, nitakufa siku yangu ikifika. Wenye miracles yenu mtabaki mlinde dunia 😀😀😀.

    • @minabuelysee8
      @minabuelysee8 2 ปีที่แล้ว +1

      @@Fauzia2090 umenena kweli ndugu
      Tumuombe Allah atupe mwisho mwema tu

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 2 ปีที่แล้ว +25

    Wanaume waheshimiwe jmn 😭 😭 😭 Mungu awalipe kwa Kaz mnayofanya🙏

  • @giftramadhani9275
    @giftramadhani9275 2 ปีที่แล้ว +5

    Wanaume ni viumbe jasiri sana mungu abariki kila uzao WA kiume🌹🌹

  • @abdulabuu7428
    @abdulabuu7428 2 ปีที่แล้ว +11

    Subhana llah ktk Jambo la kaburin NI kubwa na nigum mno ikiwa ndo una mzazi ndo waona afukuliwa kawa kifurushi lailaha ila llah maumivu makali moyoni,,Allah atupe mwisho mwema

    • @hamiduhamisi2371
      @hamiduhamisi2371 2 ปีที่แล้ว

      inshallah 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @saidsalum9587
      @saidsalum9587 2 ปีที่แล้ว

      Kaak inauma ni kilio kingine kipya

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 2 ปีที่แล้ว +62

    Ni kazi ngumu kwa kweli hao wanaofanya hiyo kazi walipwe hela za kutosha

    • @rustice.shirima
      @rustice.shirima 2 ปีที่แล้ว +3

      Yaani mbona KAZI hatari hiyo wameshindwa kuwapa mavazi mazuri yenye kinga ya Kutosha?

    • @daveme9180
      @daveme9180 2 ปีที่แล้ว

      Hata gloves

    • @happynelson1136
      @happynelson1136 2 ปีที่แล้ว

      @@daveme9180 wale wanaobeba wanazo groves

    • @hemedisalim5522
      @hemedisalim5522 2 ปีที่แล้ว +2

      Kila wakifukua kaburi moja malipo ni elfu hamsini

    • @happynelson1136
      @happynelson1136 2 ปีที่แล้ว +2

      @@hemedisalim5522 hapo ni poa wanapiga pesa maana kazi ni ngumu sana unaweza kupata ndoto za ajabu usiku kwa hiyo kazi

  • @modycadabra8721
    @modycadabra8721 2 ปีที่แล้ว +30

    Allah awape nguvu wanaume wenzangu wote wenye roho ya kiume

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 2 ปีที่แล้ว

      Wewe yako yakike

    • @azizawadh5973
      @azizawadh5973 2 ปีที่แล้ว

      Aameen

    • @azizawadh5973
      @azizawadh5973 2 ปีที่แล้ว

      @@aishaarusha894 kichwa yako ina maji mahali

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 2 ปีที่แล้ว

      @@azizawadh5973 wewe yako ina matope mahali pole

  • @upendowilliam8088
    @upendowilliam8088 2 ปีที่แล้ว +8

    Najisikia vibaya sanaaa but Mungu awatie nguvu waliokuwepo hapo,pamoja na ndugu.

  • @dianaalfredy3790
    @dianaalfredy3790 2 ปีที่แล้ว +22

    Kuanzia leo nitawaheshimu wanaume wote Dunia,hata awe mtoto mdogo

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว +1

      Asante na ubarikiwe sana

    • @abdulrazakhassanor498
      @abdulrazakhassanor498 2 ปีที่แล้ว

      Ameen

    • @tamamu3450
      @tamamu3450 2 ปีที่แล้ว

      Safi kwa kulitambua hlo

    • @madamehatibu9324
      @madamehatibu9324 2 ปีที่แล้ว

      Mimi Nina mtoto wangu hapa ni mdogo ila mwenzio namwonaga kimbilio et😂😂😂😂

  • @aboubaqarally9834
    @aboubaqarally9834 2 ปีที่แล้ว +8

    Hao walikuwa kama sisi😥😥 Tujifunze kuish kwa wema dunia ni starehe ya muda mufup

  • @EK-kp2np
    @EK-kp2np 2 ปีที่แล้ว +20

    Wazo zuri, Kongole kwa Meya wetu na kamati yako ya utendaji

  • @nyamkamawanjara29
    @nyamkamawanjara29 2 ปีที่แล้ว +34

    DUU LEO NDO NIMEJUA WANAUME WANAKAZI NGUMU HAPA DUNIANI,ASEE

    • @wamoroboy8963
      @wamoroboy8963 2 ปีที่แล้ว +1

      Ni Kwel Ndugu Yangu Hapo Yataka Moyo?

    • @salumkarim69
      @salumkarim69 2 ปีที่แล้ว

      wale kwenye anasa na ufisadi tu mkuu

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo 2 ปีที่แล้ว +16

    Inalilah wainailahi rajuun Allah Kareem

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 2 ปีที่แล้ว +4

    Daaaa jamani😭😭kweli duniani tunapita ukiangalia ndg zetu leo hii wamekufa wanafukuliwa na kubebwa kama wanabeba gogo jamani😭😭😭 Mungu atupe mwisho mwema dharau, kiburi majivuno tuviache maana kifo hakina wakati.

  • @stellamsokwa6785
    @stellamsokwa6785 2 ปีที่แล้ว +9

    Thamani ya Mwanadamu ni ndogo,eeh Mungu tukumbuke utavyoludi kwa mara ya pili 🙏

  • @ev.michaelmjema5735
    @ev.michaelmjema5735 2 ปีที่แล้ว +3

    Kazi ngumu Sana, Hongera Meya kwa Upendo na kutimiza majukumu yako, Poleni ndugu jamaa na marafiki kwa kutoneshwa vidonda..Pia tuache dhambi tumrudie Mungu majivuno na Jeuri havisaidii kitu ona ndugu zetu wamebebwa na viroba, Mungu atusaidie atupe hofu yake tuishi kwa kumcha yeye, ili siku ya mwisho atufufue kwenda kuishi maisha ya milele Mbinguni. Amen

  • @roselinasandi6509
    @roselinasandi6509 2 ปีที่แล้ว +33

    Huwa tunasema haki sawa kati ya mwanamk na mwanaume, haya wanawake tungeweza kufanya kazi hii? Mungu awatie nguvu wanaume wa Tanzania ni wanaume wa nguvu

  • @magrethpoulpoul8585
    @magrethpoulpoul8585 2 ปีที่แล้ว +3

    Wanaume ndo maan wanakufa mapem kliko wanawake 😭🙌 .jmni mungu atunusuru na majang mungu ibariki tz ma watu wake

  • @rayanamrsshariff5777
    @rayanamrsshariff5777 2 ปีที่แล้ว +11

    Subhanallah kazi nzito kuona binadam kabaki kama kifurushi

  • @omanatr8729
    @omanatr8729 2 ปีที่แล้ว +6

    Wanaume popote mlipo Allah awawekee wepesi katika maisha yenu

  • @ufugajiwetu7782
    @ufugajiwetu7782 2 ปีที่แล้ว

    Asante Mungu kwa uhai hug, thamani ya uhai Na kifo ni tofauti
    Uliyekua nae jana akiondoka tu basi
    Thamani aipo
    Mungu atukuzwe

  • @onlyonetztv610
    @onlyonetztv610 2 ปีที่แล้ว +10

    Allah maghfirahum warahamh waskalafil jannah.

    • @husna34562
      @husna34562 2 ปีที่แล้ว

      Amiin

    • @saidsalum9587
      @saidsalum9587 2 ปีที่แล้ว

      Allahuma ghfirlaha warahamha wamaskana filjanna.
      Noana kiongizi umeenda kwa wanaume nikaona nkusaidie kwa wa awake 🤣

    • @onlyonetztv610
      @onlyonetztv610 2 ปีที่แล้ว

      @@saidsalum9587 Asante ndgu

  • @jeangodelo5349
    @jeangodelo5349 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki nyote mnaofanya hiyo kazi ya kufukua makaburi, duuuh 😥😥 siyo kazi ndogo huyo

  • @hannansdeliciousfood4261
    @hannansdeliciousfood4261 2 ปีที่แล้ว +2

    Innaalillah wainnaa ilayh raajiun....huu ndio mwisho wetu..Allah awawepesishia safar yao na awatilie nuru ktk nyumba zao za milele nass tupo nyuma yao na atupe husnul khatima Amiin

  • @swahiliinspirations7953
    @swahiliinspirations7953 2 ปีที่แล้ว +2

    Ni Sahihi sana na Mungu awasaidie, Lakini pia Mnakosea Mngevaa Barakoa pia.. Mungu ni Wetu Sote, Tumuombe Atujaalie Mwisho Mwema.

  • @aminahmwatunu7254
    @aminahmwatunu7254 2 ปีที่แล้ว +10

    Innah lilah wainnah illah rajiun.Allah awarehemu wote walotangulia .maajabu hapo lazima wayaone Allah awanusur

    • @jenipherjoseph2730
      @jenipherjoseph2730 ปีที่แล้ว

      Jamni mh wanaume mungu awasaidie mnaona mengi kuliko sisi wana wake mnakazi ngumu muheshimiwe popote mlipo kazi ningu namnamiyo yaujasili kuona hizo mahith mh mungu tusaidie hatujuwi wap tunaenda tukifa mh lakini daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaamhhhhhh

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 2 ปีที่แล้ว +2

    Hapo umefanya jambo la busara sana a nyie mnaofukuwa mungu akulipeni pepo sikuya yahesabu nikazi nzito sanaa hiyoo shukrani

  • @salomemasunzu4871
    @salomemasunzu4871 2 ปีที่แล้ว +4

    😭😭😭😭😭😭 maumivu yamerudi upyaaa Mungu awatiee nguvu wanaume wote mnaohusika na awapatieee mioyo hiyo hiyo

  • @rashydarashy7301
    @rashydarashy7301 2 ปีที่แล้ว +2

    Wanaume Mungu awape umri mnakazi ngumu sana🥺🥺🥺

  • @marcomaduhu3235
    @marcomaduhu3235 2 ปีที่แล้ว +4

    haki sawa iko api hapa, wale wanaodai 50 kwa 50 wako wapi jamani, acheni wanaume waitwe wanaume.

  • @allenmalidadimdollo7049
    @allenmalidadimdollo7049 2 ปีที่แล้ว +2

    Kufa na kuzikana Daaaa
    Duniani sio nyumbani kwetu

  • @mohamedimohamedi8933
    @mohamedimohamedi8933 2 ปีที่แล้ว +1

    Tumuogope Allah ndugu maisha si kitu angalia ndugu zetu wlikuwa kama sisi

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 2 ปีที่แล้ว +12

    Serekali ifanye hima ijenge mawe ili kuzuia maji yasizidi kusambaa la sivyo kutaliwa pote hapo mji utakuwa maji matupu.Hili ni jambo la kufanywa haraka sana Serekali ifanye hima kwa kweli.

    • @user-rd7jt1vi5x
      @user-rd7jt1vi5x 2 ปีที่แล้ว

      Mto huo unazidi kukuwa kila mwaka jamani nyumba nyingi zimeondoka na maji

  • @sultansallah4509
    @sultansallah4509 2 ปีที่แล้ว +9

    Kazi kama hii alafu urudi nyumban umfumanie mkeo na muuza genge

    • @saidichilyenga2847
      @saidichilyenga2847 2 ปีที่แล้ว +1

      Achana na kufumania wao wanalilia haki sawa ila kwenye picha siwaoni wakiwa wanafukua

  • @ameenaameena1224
    @ameenaameena1224 2 ปีที่แล้ว +3

    Wanaume kuanzia Leo nitawaheshimu mpaka kufa kwangu😭😭😭😭

  • @jastinlihawa4654
    @jastinlihawa4654 2 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana mea umejieleza vizur hiyo ndio sifa ya uongozi

  • @johaneskiiza150
    @johaneskiiza150 2 ปีที่แล้ว +2

    Hacha mungu haitwe mungu binadamu thamani yako nipale unapokua hai ukifa kwisha habari yako bas tusisahau kumwabudu maana yeye ndio kila kitu

  • @irenemwakalinga4350
    @irenemwakalinga4350 2 ปีที่แล้ว +8

    Nimesisimka endeleeni kupumzika kwa Amani marehem wote poleni ndugu zangu mliohusika kuwahamisha ndugu zetu kwa kazi ngum

  • @swaggzflavour8034
    @swaggzflavour8034 2 ปีที่แล้ว +1

    Daaah Aisee Ila Hii Dunia Inamambo Sana Mungu Baba Tunusulu 😓😥😢😭😭😭🤲👏🙏

  • @josephjulio6112
    @josephjulio6112 2 ปีที่แล้ว +2

    Dhambi itakayo wapeleka wanawake jehanamu Ni pamoja na kuzalau wanaume

  • @halimajamaniamekuwamndeme9617
    @halimajamaniamekuwamndeme9617 2 ปีที่แล้ว

    Jamani mwaka gani, poleni wafiwa wotee,pia wanaume wotee milifanya hiyo kazi mwenyezi mungu awape wepesi katika maisha yenu, kila mnachokifanya kiwe cha kheri

  • @sheriibrahim6753
    @sheriibrahim6753 2 ปีที่แล้ว +6

    Huu mtihan. Bora uzike tuu kwenye kjj chako sio mjini

  • @aidaharison7575
    @aidaharison7575 2 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana bakari kwa kazi nzuri kule mtwara tulikuzoea kwa jina la beka

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 2 ปีที่แล้ว

    Dah.! Pongez kwa haw wanaume sio kazi rahis, marehm Mungu awalz mahl pem pepon

  • @herbertmdoe8561
    @herbertmdoe8561 2 ปีที่แล้ว

    Barakoa jamani mgewapa hawa majedari, poleni sana ndugu zetu inahitaji moyo mkuuu

  • @fatimahants1526
    @fatimahants1526 2 ปีที่แล้ว

    Subahnallah, allah awape kila lenye khery daiman

  • @priscacharlescharles9014
    @priscacharlescharles9014 2 ปีที่แล้ว +5

    😭😭😭😭😭😭😭Mungu awalipe kheri wanaume😭😭😭😭😭

  • @mariammuscat4300
    @mariammuscat4300 2 ปีที่แล้ว

    Binadamu sisi tukishakufa ndobasi aaalllah atupe mwishomwema yarab subhannalllah

  • @fanjafanja4022
    @fanjafanja4022 2 ปีที่แล้ว +18

    Kuna watu wana roho kumu jaman inna lilalhi wainahilahi raajiuwn

  • @azizawadh5973
    @azizawadh5973 2 ปีที่แล้ว

    Kazi ngumu inshaallah mtaimaliza salama marehemu wetu wawekwe mahali salama sote njia ni moja.

  • @rosemaryjoseph2346
    @rosemaryjoseph2346 2 ปีที่แล้ว +15

    Wanaosemaga hamsini kwa hamsini mbona hapo siwaoni mwanaume ni mwanaume tuuu

  • @naimamunishi1241
    @naimamunishi1241 2 ปีที่แล้ว +2

    Wallah binadam tunaringia hii pumzi ila hatuna thamani mbele ya mwenyez mungu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭eh mungu wangu nijaalie mwisho wangu uwe mwema yarabbii..😭

    • @LailaLaila-kg2qd
      @LailaLaila-kg2qd 10 หลายเดือนก่อน

      Amiin amiiina Inshaallah

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 2 ปีที่แล้ว +14

    Ila wanaume Mungu cjui aliwapa moyo gani Aiseeeeee,!!!!

    • @azizimandia6128
      @azizimandia6128 2 ปีที่แล้ว +1

      Neema mambi

    • @azizimandia6128
      @azizimandia6128 2 ปีที่แล้ว +1

      Upo wapi

    • @ilynpayne7491
      @ilynpayne7491 2 ปีที่แล้ว +1

      Ndio kazi hiyo lazima ifanyike

    • @abdallahsuleimani7416
      @abdallahsuleimani7416 2 ปีที่แล้ว +2

      Halafu mnatudharau mwanaume gani!! Mwanaume suruali mnaona kazi hiyo

    • @giftramadhani9275
      @giftramadhani9275 2 ปีที่แล้ว

      @@abdallahsuleimani7416 nawew ufyate mdomo huenda ata huwez kufanya kama hao

  • @gradnessshitindishitindi4881
    @gradnessshitindishitindi4881 2 ปีที่แล้ว +4

    Namuona shemej etu kumbi la moto

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 2 ปีที่แล้ว +3

    dah poleni sana, kwa kweli mtihani

  • @AshaAsha-ng1ug
    @AshaAsha-ng1ug 2 ปีที่แล้ว

    Kwakwel hata kama wamepewa pesa,hapana jaman huu ni ujasir wa Hal ya juu sana,,Tena hauna mfano,,mungu atawalipa heri na aman Dunian na ahera wote waliosaidia kaz hio inshaalah🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲☝️

  • @abdulbora812
    @abdulbora812 2 ปีที่แล้ว +1

    I love it thats my work

  • @abdulchome9942
    @abdulchome9942 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awalaze wapendwa wetu mahala pema pepon amina 🙏🙏

  • @verombwambo3703
    @verombwambo3703 2 ปีที่แล้ว +6

    Kazi ngumu iyo jmn mungu awayie nguvu

  • @bexy.
    @bexy. 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu awape nguvu ndugu zangu wote mnao fanya hii kazi sio rahisi ila mmejitoa Sana hii kazi Ni ngumu Ni zaidi ya malipo ya duniani amen so sad😭😭😭😭😭

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu atupe kheri wanaume

  • @matatomlik1846
    @matatomlik1846 2 ปีที่แล้ว +4

    Innalilah wainna ilayihi rajiun subhanna llah 😭😭😭

  • @gayanimwansasu
    @gayanimwansasu 2 ปีที่แล้ว

    Nimelia kiasi mpka kichwa kina uma 😭😭😭 Mungu naomba tusamee pale tunakosea Tz plz Mungu anahitaji kusema nasi

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 ปีที่แล้ว

    Wanaume wa napitia magumu sna
    Tusipowavumilia jaman lzm. Tulaaniwe😭😭😭lkn wakikosa kidogo tunawasalit jaman tu muogope Allah wanawake tu heshimu waume zetu, kaka zetu zbaba , wajomba
    Kufukua mait si jambo Dogo
    Yaraby barik waume wote

  • @mosesmzakwe7774
    @mosesmzakwe7774 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Meya ndiyo anapaswa kuwa MBUNGE JIMBO LA ILALA NA SIYO ZUNGU.
    HONGERENI SANA wanaume wenzangu kwa Kazi hiyo ngumu .
    Hakikisheni mnashinda ili wanaume Tuendelee kuwa JUU.

  • @theresiamwandara7990
    @theresiamwandara7990 2 ปีที่แล้ว +20

    Da! Wenye marehemu wao nahisi maumivu yamerudi upya

  • @sakinaamani1486
    @sakinaamani1486 2 ปีที่แล้ว +7

    Subhana Allah

    • @brunomahela930
      @brunomahela930 2 ปีที่แล้ว

      MUNGU AWAFANYIE WEPESI INSHAALLAH 🙏🙏😥😥

  • @Official83640
    @Official83640 2 ปีที่แล้ว

    Mmh mie nisingeweza kuangalia hapo waliokuwepo wana moyo roho yng ndogo ningekuwa nalia hd kiza kinaingia kwakweli Mungu awape mioyo mnaofanya hiyo kazi Subhannah 😭😭

  • @madamehatibu9324
    @madamehatibu9324 2 ปีที่แล้ว

    Hongereni na poleni hiyo kazi ngumu na inatisha uuuwiii Jamani muwalipe vizur ili pia wakatibiwe maana

  • @dainesskagoma.8590
    @dainesskagoma.8590 2 ปีที่แล้ว

    Mhhh kazi ngumu Sana, kweli tumche Mungu Sana jaman dahh

  • @singidaone5628
    @singidaone5628 2 ปีที่แล้ว +11

    Duh ukifa unakua kenge tu kumbe ukipata bahati ya kula bata kula kabisa maana kesho yako huijui

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 2 ปีที่แล้ว +2

      Mmm pata hiyo chamtoto kimbembe siku dunia itakapo lipokua kutiwa kwenye giza nene baba hamjui mwana hapo waliyo kufa mifupa yao inabwebwa pole pole siku ya mwisho si mbio hizo si yowe hizo si giza hilo sikimbuka hicho NDUGU YANGU KULA BATA POLE POLE USISAHAU SENT YA KESHO KUFA SIO MWISHO KWANZA KWA IMANI YANGU HAPO ROHO HAIPO MIFUPA TUPU

    • @cutemamy9602
      @cutemamy9602 2 ปีที่แล้ว +2

      Sio kula Bata My dear Ni huo Muda wa kula Bata utafute Uso wa Mungu, Omba Rehema ,utubu..Jenga mahusiano yako we na Mungu wako ndio mema yatakujia yakula Bata

    • @selemanihussein7873
      @selemanihussein7873 2 ปีที่แล้ว +1

      Acha kutumia pesa vibaya kwa kisingizio cha kifo, kifo kipo tu tuliza roho ishi kawaida tu kifo nikawaida kwa binadam ndo mungu kashapanga no way.

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 2 ปีที่แล้ว

      @@selemanihussein7873 🙏🙏

  • @reginaphilimon782
    @reginaphilimon782 2 ปีที่แล้ว +1

    Daaah kaz ngum san hyo ntapokea unakachonip ukikosa ntakuelewa na kukuombea pia

  • @mohamnedsalum2150
    @mohamnedsalum2150 2 ปีที่แล้ว +5

    Kazi ngumu sana

  • @hamisisilimu1245
    @hamisisilimu1245 2 ปีที่แล้ว

    Nimependa sana
    Hongeren viongoz

  • @maidasaid9449
    @maidasaid9449 2 ปีที่แล้ว +1

    Subhanallah...dah mauti hebu angalieni binadamu tulivyo dhaifu

  • @prispeter3914
    @prispeter3914 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni ngumu Sanaa , Mungu awape nguvu

  • @jovinejaphet1675
    @jovinejaphet1675 2 ปีที่แล้ว

    Mubarikiwe Sana tena Sana kwa kuliona hilo

  • @omarikinyory5785
    @omarikinyory5785 2 ปีที่แล้ว

    Innalilahi wahina rilahi rajun allah ampe kauli thabit alie TANGULIA ncc 2lio back Allah atujarie mwisho mwema 😭 😭 😭 😭 😭 😭 😭 😭 😭 😭 😭 😭

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 ปีที่แล้ว +1

    Jifunze quran kusoma na kuandika gusa picha yangu

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 2 หลายเดือนก่อน

    Eti Watu Nawakubali Sana Wanaume Lakini Nyinyi Wanawake Utasikia Eti Kisa Mapenzi Mwanamke Utasikia Akisema Wanaume Wote Mmbwa Cha Ajabu Yeye Baba Yake Ni Mwanaume Pia Lakini Utasikia Wanaume Wote Mmbwa Kisa Mapenzi Wanaume Sisi Ndio Wapiganaji Hata Tukichanganyika Vitani Jinsia Zote

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 2 ปีที่แล้ว

    Subhanna Allah, huo si msiba upya jamani 😭😭

  • @khadijanjama8721
    @khadijanjama8721 2 ปีที่แล้ว +4

    Inna lillahi wainna ilayhi raajiun

  • @Broken_Beats__23
    @Broken_Beats__23 2 ปีที่แล้ว +1

    Unaezajua ni movie dah
    Aiseh!

  • @hazabussinesofficial6008
    @hazabussinesofficial6008 2 ปีที่แล้ว

    Mie nashukulu kwa mahamuzi mazuri nawapongeza walio jadiri swala ili

  • @idreamfoto
    @idreamfoto 29 วันที่ผ่านมา

    Salute to Vidume Wote Duniani

  • @mwigaramadhani3687
    @mwigaramadhani3687 2 ปีที่แล้ว +1

    Re funeral hiyo inakua yaani pale unakua umesha sahau majonzi Mara pah! Maiti ina fukuriwa upya tena so painful 🥲🥲🥲🥲🥲

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 2 ปีที่แล้ว +2

    Polen kaka zng kwa kazi ngum😭😭😭😭😭

  • @tumainimwampashi5365
    @tumainimwampashi5365 2 ปีที่แล้ว

    Kweri sisi binadamu ni maua tu tusijidai mana tunasinyaaa ....poleni kwa kazi ngumu........

  • @saidimgawe6548
    @saidimgawe6548 2 ปีที่แล้ว +2

    👏🙏

  • @user-me3ee4fu8w
    @user-me3ee4fu8w 2 ปีที่แล้ว

    Hongera kwa wanaume hao w anao chimba hayo makaburi