MAAJABU YA RAS SIMBA, BINGWA WA KIINGEREZA, AFUNGUKA SIRI ZA MARASTA, BANGI, KUMSOMESHA MAJALIWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 พ.ย. 2022

ความคิดเห็น • 304

  • @davidndunguwanjohi8238
    @davidndunguwanjohi8238 ปีที่แล้ว +7

    Safi sana mzee shujaa majaliwa akisoma vizuri itakua sawa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪✍

  • @mashabikiwaharmonize507
    @mashabikiwaharmonize507 ปีที่แล้ว +57

    Waoo nimesoma kwa Ras simba magomeni mapipa mwaka 2014 saiv naimba nyimbo za kiingereza fasaha Asante Sana Mr Ras simba

  • @nasoropori6892
    @nasoropori6892 ปีที่แล้ว +16

    uyu jamaa yupo vizuri sana anajiamini mwenyezi mungu amjalie sio kila rasi lazima avute bangi 💪💪💪💪

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 ปีที่แล้ว +14

    Nakubalii brother Simbaaa 🦁🎉

  • @chidiboy8000
    @chidiboy8000 ปีที่แล้ว +11

    Broo umetisha xana one day yes apo kambini kitambo natamani Sana kuja kupata Koz sema mda mchache Sana na hiz harakat zetu ,ila cjakata tamaa nitakuja kikubwa dua na uhai tu🙏🙏

  • @aniphashadrack4815
    @aniphashadrack4815 ปีที่แล้ว +6

    Jaman nipo Mara wilaya ya Tarime nimefurah sana kumuona Ras Simba mkuu wa kingereza Yan nime kumbuka had 2019 pale majumba 6

  • @barakamshiu7146
    @barakamshiu7146 ปีที่แล้ว +10

    this guy is competent than all my english teachers in high school

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 ปีที่แล้ว +5

    Thanx millard 4 this interview

  • @gurenipetro2658
    @gurenipetro2658 ปีที่แล้ว +7

    Nimependa confidence ya rasi ✌️✌️✌️✌️✌️

  • @neema_mollel
    @neema_mollel ปีที่แล้ว +9

    Your voice 👌👌

  • @hassansaid9925
    @hassansaid9925 ปีที่แล้ว +6

    Nawakubali sana marasta

  • @changanataliforlife3760
    @changanataliforlife3760 ปีที่แล้ว +7

    Km unamkumbuka teacher HABASI. MARK. HABIBU. MOI magomeni mapipa sea boys gonga like

    • @mwanakhatib5825
      @mwanakhatib5825 ปีที่แล้ว

      Hili jitu maywere hayo je likifa lazikwaje

    • @manwoka4078
      @manwoka4078 ปีที่แล้ว

      @@mwanakhatib5825 swali la kipumbavu sana . Kwani nywele zimeumbwa na nani ?

  • @julianakitenge6767
    @julianakitenge6767 ปีที่แล้ว +14

    Mwlm wangu huyo nimesoma kwake mwaka 2011 magomen hataki utani kwenye kusoma akikuuliza swali ukajichanganya weeeeeeee

  • @ashantyjojo5298
    @ashantyjojo5298 ปีที่แล้ว +6

    teach simba mwalim wanfu nimesoma sanaa airport kituo posta kwakwe

  • @njembeyehaonga5837
    @njembeyehaonga5837 ปีที่แล้ว +8

    Namani na nimependa sijawahi kumsikia kwa intaviw hii ya ayo imenivutia Sana ila mazingira ya kupata pesa hali ya uchumi mungu nisaidie Nami nijifunze kingeleza hata kianzio tu kidokidogo Nia ni kujua kingeleza

    • @hono1232
      @hono1232 ปีที่แล้ว

      Nipigie ntakusaidia kuanzia February 2023 mungu akijalia

  • @amisitoti6907
    @amisitoti6907 ปีที่แล้ว +9

    Umetishana sana kaka

  • @elieniyonzima1074
    @elieniyonzima1074 ปีที่แล้ว +11

    Nimefurahishwa sana na iyi interview

    • @elieniyonzima1074
      @elieniyonzima1074 ปีที่แล้ว +1

      Ningekuwa niko Tanzania ningekuja kusoma English kwa RAS, love him from 🇧🇮🇧🇮

  • @amanishiughaaa6345
    @amanishiughaaa6345 ปีที่แล้ว +5

    Nakubali sana miradi

  • @sananefrank6560
    @sananefrank6560 ปีที่แล้ว +12

    Degree hitambuliki why?? Sisi tunashida mahali
    Ngugi wa Thiongo, et al wanadegree moja lakini ni maproff na wanafundish vyuo vikuu tunawanyma watoto/ Na kizazi chetu ujuzi muhimu sana ambao kunabadhi ya watu wanao
    Mfumo mbovu

    • @Mbumbuko
      @Mbumbuko ปีที่แล้ว

      Nimesoma magomeni mapipa Kwa rasi Simba alhamdulilah nipo vzr

  • @MichaelMwakibolwa
    @MichaelMwakibolwa ปีที่แล้ว +8

    Ras Simba!

  • @jumannerajabu8259
    @jumannerajabu8259 ปีที่แล้ว +7

    safi sana simba

  • @ikosawatv
    @ikosawatv ปีที่แล้ว +5

    Ana vibe kama la Mandonga ingependeza amfundishe mandogo mtukazi yani 🤣🤣Ras simba na Mtukazi..

  • @starbusinesslikondo1833
    @starbusinesslikondo1833 ปีที่แล้ว +3

    Naomba number ya Ras Simba

  • @shakren427
    @shakren427 ปีที่แล้ว +6

    nimependa sana jamani.

  • @mtegemeemungusiomwanadamu6618
    @mtegemeemungusiomwanadamu6618 ปีที่แล้ว +7

    Nitakuja kusoma, niko mwanza nitatafuta kituo chako

  • @romanusgama2825
    @romanusgama2825 ปีที่แล้ว +12

    Nahitaji kujifunza online. Kuna njia yoyote ya kufanya?

    • @belindalowasa2819
      @belindalowasa2819 ปีที่แล้ว

      Ndio nenda Instagram kwa jina hilohilo utapata maelekezo na namna ya kulipia.

  • @jojigeorige1056
    @jojigeorige1056 ปีที่แล้ว +2

    Hapo sasa nimeelewa, hizi centers zilikua nyingi mno, kiasi unajiuliza aliwezaje kujigawa ?

  • @allykawanga6896
    @allykawanga6896 ปีที่แล้ว +6

    Makin San brother Ras simb

  • @lovenesreuben6179
    @lovenesreuben6179 ปีที่แล้ว +8

    Nilkuwa cjui English language but now mung mwema🤞 hongera Ras

  • @testarguy8609
    @testarguy8609 ปีที่แล้ว +4

    Trouble deh deh 🔥

  • @angelatarimo1969
    @angelatarimo1969 ปีที่แล้ว +2

    Good

  • @hamadyhashimu9784
    @hamadyhashimu9784 ปีที่แล้ว +4

    asante kaka uko poa sana one love

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 ปีที่แล้ว +8

    I think tanzanian artist should support him by joining his English classes

    • @barakamshiu7146
      @barakamshiu7146 ปีที่แล้ว

      including diamond

    • @davidwalalason7630
      @davidwalalason7630 ปีที่แล้ว

      @@barakamshiu7146 period

    • @barakamshiu7146
      @barakamshiu7146 ปีที่แล้ว

      @@davidwalalason7630 what?? including david also...

    • @fj8317
      @fj8317 ปีที่แล้ว

      @@barakamshiu7146 kwani diamond hajui kiingereza bro anajua mistake zinatokea sababu sio lugha mama na mwalimu anaye bado anazidi imarika

  • @user-xx1yw7jw2p
    @user-xx1yw7jw2p ปีที่แล้ว +3

    Kwa huku mbali unafundisha from oman

  • @ismailmtembwe380
    @ismailmtembwe380 ปีที่แล้ว +6

    Safi sana mzee Rs simba

  • @henryndosi2002
    @henryndosi2002 ปีที่แล้ว +9

    Man of GOD

  • @mathayomwashambwa1238
    @mathayomwashambwa1238 ปีที่แล้ว +11

    Great teacher, i got it from him

    • @abdulkadirmwalimu9070
      @abdulkadirmwalimu9070 ปีที่แล้ว +1

      Jamaa anafundisha kwa ada ya shilingi ngap kwa mwezi natak nijue nikajifunze

  • @happiwille7380
    @happiwille7380 ปีที่แล้ว +3

    Nikitaka kujifunza bila kufika darasani inawezekana?

  • @yasiniddi7354
    @yasiniddi7354 ปีที่แล้ว +5

    Jamani nami natamani sana kujifunza kingeleza ila maisha magumu sana naomba mungu anisaidie nipate helahata laki mbili

    • @SADEE._
      @SADEE._ ปีที่แล้ว +2

      Jifunze tu mwenyewe taratibu taratibu online me mwenyewe ndo najifunza

    • @aloycesamba998
      @aloycesamba998 ปีที่แล้ว

      @@SADEE._ anatoa mafunzo online!

    • @bainolatino3412
      @bainolatino3412 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@SADEE._app gani dada

  • @hollojuma9538
    @hollojuma9538 ปีที่แล้ว +2

    Naomba namba ya simu yako nipo mkoani shinyanga wilaya yakahama natamani nijue

  • @robinabomola8030
    @robinabomola8030 ปีที่แล้ว +10

    Yeah ndo leo namjua nilisoma pale morogoro masika walimu walikua poa sana ila malaya 🤣🤣🤣🤣😂😂😂 kikubwa nimejifunza thanks

    • @Mc_Chabala
      @Mc_Chabala ปีที่แล้ว

      Walikufanya nn

    • @fanuelsulle8144
      @fanuelsulle8144 ปีที่แล้ว

      Robina
      Wamekumega kiaina cyo?😁

    • @robinabomola8030
      @robinabomola8030 ปีที่แล้ว

      @@fanuelsulle8144 dah kwann lkn hapana ila walikua watongozaji sana ,.... 😁😁😁

  • @shafiimwehemba4549
    @shafiimwehemba4549 ปีที่แล้ว +2

    Kaka mimi nipo Tabora nina hamu saana kusoma kwako nifanyeje?

  • @simonuriyo7968
    @simonuriyo7968 ปีที่แล้ว +9

    Ras tukubali Mchango wako, lakini kitu kimoja sikubsliani na hiyo point, baada ya Mungu ni Rais si kweli wako Watumishi wa Mungu Manabii, Mitume nk S Uriyo

    • @sammotv6920
      @sammotv6920 ปีที่แล้ว +4

      Na ww pia tukurekebishe hakuna manabii sasa hiv manabii wote hawapo saiv nabii wa mwisho alikua ni muhamad( s a w)

    • @emmanuelshayo4703
      @emmanuelshayo4703 ปีที่แล้ว +2

      @@sammotv6920 hayo ni ya kwako! Usilazimishe kila mtu afuate yako! Heshimu imani za watu

    • @gadiosmangana4644
      @gadiosmangana4644 ปีที่แล้ว +4

      Mbona wewe hueshimu ya rasta aliyo sema😃

    • @saulimadale9080
      @saulimadale9080 ปีที่แล้ว +1

      Hiyo ni kibiblia kabisa hajakosea maana hata mamlaka ya juu huiweka Mungu mwenyewe

    • @abdalamnuta4981
      @abdalamnuta4981 ปีที่แล้ว +1

      baada ya mungu ni mzazi halafu ndio mitume

  • @ziyandamhlana8776
    @ziyandamhlana8776 ปีที่แล้ว +4

    Rastar big up

  • @kingcopper_tz
    @kingcopper_tz ปีที่แล้ว +9

    Rasi simba: sitoi siri ya wateja
    Baada ya dakka 1
    Rasi simba: dogo janja nilimfundisha mimi, nilimpa hela badae akarudi tena bla bla 😀😀😀
    Its jokes guys

    • @rockygappi1018
      @rockygappi1018 ปีที่แล้ว +4

      Usimuhukumu..ameulizwa ishu ya Dogo moja kwa moja hakupaswa kuikwepa kwa taratibu za mahojiano kwa hapo yupo sahihi hajatoa siri bali amejibu hoja

    • @priscachale5646
      @priscachale5646 ปีที่แล้ว +2

      Nyie ndo mnaokurupuka... Je! Uliifuatilia mahijiano vizuri au ilimladi na wewe umeweka maandishi yako?

    • @allykimario9498
      @allykimario9498 หลายเดือนก่อน

      dogo janja mwenyewe alitoaagaa siri 😂😂😂😂 so haikuwaga siri tenaaa ndo maana ukisikiliza swali vizuri limekuwa direct kashindwa kulikwepa

  • @meshackmwalongo1753
    @meshackmwalongo1753 ปีที่แล้ว +6

    Ada beigani nataka niipate hiyo luga.

  • @rassimbaenglish2071
    @rassimbaenglish2071 ปีที่แล้ว +10

    N + S + T RASTA.

  • @mamafetty8778
    @mamafetty8778 ปีที่แล้ว +3

    tumekuelewa sana mkuu

  • @lightog6953
    @lightog6953 ปีที่แล้ว +3

    Vip unaweza kumfundisha mtu aliye mbali?

  • @AlfredAloyce-wh5nq
    @AlfredAloyce-wh5nq 4 หลายเดือนก่อน

    Ndakutafuta rasi mimi nataka kwenda ulaya nakupata brother

  • @addullyajaba5939
    @addullyajaba5939 ปีที่แล้ว +1

    Mm kanichangany xehemu moja tu " slave triangular trade" ndio nin?

  • @victoriamwiyanda9149
    @victoriamwiyanda9149 ปีที่แล้ว +1

    Ada sh ngapi

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 ปีที่แล้ว +7

    Kuna watu wengi Sana wanatumia Jina lake alaf wanamchafulia kwa kutapel watu

  • @msabahaproduction2595
    @msabahaproduction2595 ปีที่แล้ว +3

    Mimi mwalimu wangu sir dile tuu

  • @hamissemohammed9442
    @hamissemohammed9442 ปีที่แล้ว +6

    💯💯

  • @harunamroboto2635
    @harunamroboto2635 ปีที่แล้ว +2

    Mwamba saana

  • @godfreymlau4471
    @godfreymlau4471 ปีที่แล้ว

    Safii

  • @lenicksonderickson6530
    @lenicksonderickson6530 ปีที่แล้ว +2

    Mim nataka kujifunza nafanya utaratibu gan

  • @kamalajoseph7861
    @kamalajoseph7861 ปีที่แล้ว

    Duu nilikuwa skujui hongera

  • @essaumakariusmbunda370
    @essaumakariusmbunda370 ปีที่แล้ว +2

    Yes Raster

  • @williammsendo499
    @williammsendo499 ปีที่แล้ว

    Bado lugha yake iko chini sana na uwezo mdogo kuna watu wanajuwa zaidi yake alafu wapo shamba tu

  • @poluvocalcoach
    @poluvocalcoach ปีที่แล้ว

    Og sanaaaaaaaa

  • @fatimakabuei179
    @fatimakabuei179 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi nahitaji nionane na rasi Simba je nitampataje

  • @papykatoziking2395
    @papykatoziking2395 ปีที่แล้ว +8

    Kazi kubwa Sana Rastafari

  • @selemaneamisse6447
    @selemaneamisse6447 ปีที่แล้ว +2

    Unamfundisha mtu aliye nchi jilani, na ada bei gani

  • @DamasAlexander
    @DamasAlexander ปีที่แล้ว +1

    kuna mwanangu mmemwajiri now mwez wa tatu mnampa nauli na msosi tu.. fanyen kumlipa

  • @abdalamnuta4981
    @abdalamnuta4981 ปีที่แล้ว +2

    kitabu chako Ras bado kipo?nakiitaji maana nilipoteza

  • @emmymghamba4725
    @emmymghamba4725 ปีที่แล้ว

    Ras Simba ningeenda ukuje huku mkosa WA Kilimanjaro wilaya flani hivi ikohyoshida Sana huku

  • @loner_wolf
    @loner_wolf ปีที่แล้ว +2

    Patwaa hujui kaka maana sababu ya kuongea patwaa cio kuwa rasta kama ulivyosema inahusiana na ukanda tu.

    • @Memphisblue22822
      @Memphisblue22822 ปีที่แล้ว +1

      Watu tulio soma linguistic tuna jionea maajabu tu hapa...

  • @NeemaKipande-hr9rz
    @NeemaKipande-hr9rz 9 หลายเดือนก่อน

    Jamani naitaji kujifunza kiingereza napataje mawasiliano na mwal mm nipo canada

  • @marthaswai4305
    @marthaswai4305 ปีที่แล้ว +1

    Nataka kusoma online itawezekana mpendwa yaan ufungue darasa la online

  • @irenenkya8490
    @irenenkya8490 ปีที่แล้ว +8

    2004 nlisoma kwake airport still namkumbuka Ras kuku😁😁

    • @yasinomary2147
      @yasinomary2147 ปีที่แล้ว

      Daaah kweli unawajua vizur Sana hawa jamaaa, walikuwa wa3 Ras Simba ras kuku na yule mwingine

    • @lazaroleonard3630
      @lazaroleonard3630 ปีที่แล้ว

      Ahaaaaa Ras kuku airport kalibu na posta 💪💪💪

    • @ambermodotz408
      @ambermodotz408 ปีที่แล้ว

      Ras kuku asaivi ni mchoraji

    • @yasinomary2147
      @yasinomary2147 ปีที่แล้ว

      @@ambermodotz408 alaaa kumbe,kuku amebaki nakazi hiyo-hata Ras Simba miaka ile pia alikuwa mchoraji, pamoja na Ras Alex,Ras Alex pia alikuwa na genge Pale mbele Yao.kipindi Toyota Corolla new model zinatoka Nakumbuka hawa maras waliletewa mpyaaaa toka kwa ndugu zao huko Duniani 😊😊

    • @ambermodotz408
      @ambermodotz408 ปีที่แล้ว

      Kabaki ras makombe tall mnyama

  • @khamisimlanzi
    @khamisimlanzi ปีที่แล้ว

    Nililicho mkubali lasi hana ulimbukeni wakuongea kiingereza maana wangekua wengine hapo ungeskia but but pamoja ni coz coz 2

  • @gasparlubaga5866
    @gasparlubaga5866 ปีที่แล้ว +2

    Aisee wamsaidie aweze kuongea kiingereza

  • @sammy.simba18
    @sammy.simba18 ปีที่แล้ว +4

    Mzee umetisha huna baya🙌🏽🔥

  • @danielmwainyekule1792
    @danielmwainyekule1792 ปีที่แล้ว +2

    Nipe namba zake

  • @johnnytravo
    @johnnytravo ปีที่แล้ว +1

    Litambue hili th-cam.com/video/iYjijfV-YRw/w-d-xo.html

  • @mosesjohnswilla9926
    @mosesjohnswilla9926 ปีที่แล้ว +1

    Eti Majaliwa Mwokozi

  • @yasinomary2147
    @yasinomary2147 ปีที่แล้ว +1

    Muulize Ras kuku yupo?

  • @priscanjuu7294
    @priscanjuu7294 ปีที่แล้ว

    Kaka ada shingapi au si vyema kutamka hadharan?

  • @zarymabuku-vl2my
    @zarymabuku-vl2my ปีที่แล้ว

    Na mm jamani natamani sana nijue kuongea kingereza maana ulimi wangu mzito sana naomba msaada

  • @abuuissa1642
    @abuuissa1642 ปีที่แล้ว +1

    Kuanzia 14:17

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS ปีที่แล้ว +4

    Chuo hicho cha marekani cha international Law ambacho hakitambuliki NAOMBA JINA NI GOOGLE NIONE.tushachoka UONGO NCHI HII

    • @joycembawala1948
      @joycembawala1948 ปีที่แล้ว +1

      Huyu hafundish anawapa watu izo kanuni zake,watu ndo wanaenda kuzitumia kwa jina lake,me nilienda magomen mapipa ofisini kwake kabisa ata sikufundishwaga na yeye na watu wengine

    • @zawadjose5440
      @zawadjose5440 ปีที่แล้ว +1

      Kweli huyu jamaaa kama vile kweli tapeli mwambie ataje chuo hicho

    • @tukukajr2721
      @tukukajr2721 ปีที่แล้ว +1

      @@joycembawala1948 ila ni kweli hyo miezi 3 unakuwa umeshajua ukiwa serious?

    • @joycembawala1948
      @joycembawala1948 ปีที่แล้ว +1

      @@tukukajr2721 ni kweli ukiwa serious na wanachofundisha unajua mie nlikuwa cjui kitu ila sikumalizaga kusoma nliishia 52, nilipata pata nahisi nngemaliza nngeelewa,kitin mwisho 70

  • @japhetjohnson3691
    @japhetjohnson3691 ปีที่แล้ว

    😂😂mamae hizo kingereza 3 ndio umeniacha hoi😂we ni mtu mbad sana ras

  • @shaneshane4175
    @shaneshane4175 ปีที่แล้ว +4

    Kuna walimu walikujaga kutuchukua wale wajanja kutuelekeza mfundishe hivi hivi wanawapa na vitabumnapewa tena mnaenda fundisha watu wakubwa nanyie mjasoma tukasema kunakuwaga na maswali tuache2 tutakuja fungwa🤣😂🤣

  • @ustadhtongwe7219
    @ustadhtongwe7219 ปีที่แล้ว

    Tatzo sasa hv wengi wanamlipa kutumia jina lake halafu ukienda hamna kitu .

  • @kasongosaid2577
    @kasongosaid2577 ปีที่แล้ว

    Mbona sasa ada ajatuambia ni kiasi gani kwa hyo miezi mitatu

  • @benjathekingofficialshows
    @benjathekingofficialshows ปีที่แล้ว

    Bangi bwana

  • @nchumaTz
    @nchumaTz 9 หลายเดือนก่อน

    Rasta men ni watulivu sana

  • @kauzenigeoffrey4841
    @kauzenigeoffrey4841 ปีที่แล้ว

    Namkaribisha nyabing hiyo ruf sio kitu bado hawaja simama

  • @kadelemaone2025
    @kadelemaone2025 ปีที่แล้ว

    No maraaa waaa 😀😀😀

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 ปีที่แล้ว

    Nahitaji

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS ปีที่แล้ว +4

    Je yeye ndo Anafundisha?au ye kaja na idea tu ??

    • @joycembawala1948
      @joycembawala1948 ปีที่แล้ว

      Hafundish yeye anawalimu anawapa hizo njia au kanuni zake za kufundisha,hao walimu ndo wanafundisha watu ila hafundish

  • @tumainisemu9427
    @tumainisemu9427 ปีที่แล้ว

    Nakuja Rasi simba

  • @dionisiadaro
    @dionisiadaro ปีที่แล้ว +2

    Ras simba tunaomba msaada arusha

    • @mollelamina2744
      @mollelamina2744 ปีที่แล้ว

      Arusha yupo makao mapya karibu na Davio Hotel, Mtoto alisoma Kingereza hapo baadala ya pre- form one na anafanya vizuri shuleni

    • @Tanzania..cashauro
      @Tanzania..cashauro ปีที่แล้ว

      Jamani mm namtoto wangu mwakani from 1naitaji

  • @stanleymhozi7590
    @stanleymhozi7590 ปีที่แล้ว +1

    Ninakipenda ila bs tu

  • @janethmbonea5876
    @janethmbonea5876 ปีที่แล้ว

    Naomba namba yake

  • @rahmamosa2320
    @rahmamosa2320 ปีที่แล้ว +1

    Mashallaha

  • @dianamshana
    @dianamshana ปีที่แล้ว

    Kwa nin mnapenda bendera ya watu nyie hamna uzalendo hiyo nguo ulio vaa

  • @chazzyevaristechazzyevaris5070
    @chazzyevaristechazzyevaris5070 3 หลายเดือนก่อน

    Tupe madin big nakubar sn