SIKU CHACHE BAADA YA AJALI DARAJA LA JPM, WAFANYAKAZI WATISHIA MGOMO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • Feb 15, 2022 baadhi ya Wafanyakazi katika Daraja la JPM linalojengwa kati ya Kigongo na Busisi wametishia mgomo wakishinikiza kulipwa stahiki zao na Kampuni ya Kichina (CCECC) inayofanya Ujenzi wa Daraja hilo.

ความคิดเห็น • 325

  • @hbdina
    @hbdina 2 ปีที่แล้ว +32

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿Hawa Wachina na Wahindi muwaangalie sana ni hawalipi vizuri. Huu ndio mwanzo wa kugeuzwa Watumwa kwenye nchi yetu yanarudi tena 😭😭😭

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว +1

      KWANI DARAJA LIKO CHINA

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว

      @@salimmalaka256 Unaweza ukatawaliwa ata katika nchi yako mbona waingereza na warabu waliwatawala na sasa je itashindikana vipi kama hamtakuwa imara

    • @hbdina
      @hbdina 2 ปีที่แล้ว +4

      @@salimmalaka256 ufahamu mdogo ndio tatizo lako

    • @mamaraiyany9367
      @mamaraiyany9367 2 ปีที่แล้ว

      @@Mpakauseme kwa kweli

  • @jeffkonki8279
    @jeffkonki8279 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtanikumbuka kwa mema wala sio kwa mabaya kwasababu nimeyatoa maisha yangu kwaajili ya watanzania ni sauti ya mtetezi mmoja aliekulia familia ya kimasikini na kupata cheo nakuamua kuwatetea masikini wenzake HAKIKA UWEZI KUJUA UMUHIMU WA MTU KAMA YUPO

  • @josephrutta6834
    @josephrutta6834 2 ปีที่แล้ว +20

    Samia anasubiri nini kutoa huyo RC???? Nchi hii inahitaji watu SERIOUS wanaofikiria Watanzania. Wachina ni Mabingwa wa KUHONGA wanafahamika. Inahitajika watu wenye msimamo ku-deal nao.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      @@berthatz ULITAKA AWE KWAKO AKUSAIDIE KUPIKA.

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว

      @@berthatz 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @clementgabriel1708
    @clementgabriel1708 2 ปีที่แล้ว +5

    Tutakukumbuka daima milele ipo siku mimi na ww tutaonana tena rais wetu JPM

  • @dicksontimoth4297
    @dicksontimoth4297 2 ปีที่แล้ว +11

    Pumzika kwa Amani Magufuli 😭😭😥😥😥

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      NA WEWE KUFA UPUMZKE KWA AMANI

    • @dicksontimoth4297
      @dicksontimoth4297 2 ปีที่แล้ว +2

      @@salimmalaka256 kila nafsi itaonja mauti usijitoe ufahamu usifikiri waliokufa ndio walipenda maana kuna watu walikuwa wanawategemea hivyo usimwombee mwenzako kifo haujui ni wangapi wanafurahia uwepo wake

    • @sabirawalji2817
      @sabirawalji2817 2 ปีที่แล้ว

      @@salimmalaka256 very bad reply pls mind your language

  • @kyakagoro6584
    @kyakagoro6584 2 ปีที่แล้ว +1

    Duh poleni sana Kumbe Muarabu anaafadhali sana kwenye Bwa la Kujenga Umeme

  • @allymakachumbaa9562
    @allymakachumbaa9562 2 ปีที่แล้ว +3

    Daah nchi yenye kila kitu,lakini nchi hiyo ina uongozi mbovu sana mtu aliye jaribu ameshapotezwa Mungu tusaidie.

  • @josephinewangwe9064
    @josephinewangwe9064 2 ปีที่แล้ว +14

    Mbona naona kama huo ni utumwa? Tanzania haiwezi kuwalinda watu wake kwenye nchi yao? Kisheria hauwezi ukampiga mfanyakazi wako kazini tena kuzingatia hao wafanyakazi ni watu wazima wenye miji yao unakuja kupigwa na mpumbavu mchina 🙄 kama serikali haiwezi kulinda watu wake huo ni ujinga mkubwa. Jueni yakwamba mnaweza kuwashitaki vile vile umoja wa mataifa maana wana violent human rights mnawashitaki na kuwa sue vibaya mno na kulipwa pesa nyingi tu ebu watanzania hamukeni bwana

    • @samsonmagesa3959
      @samsonmagesa3959 2 ปีที่แล้ว

      Makampuni ya Ulinzi huko ndiko kuna shida zaidi na serikali IPO tu

    • @jeffkonki8279
      @jeffkonki8279 2 ปีที่แล้ว +1

      Yani kwenye nyumba mama akiwa Malaya watoto wake hamuwezi mkaeshimika hata siku moja

  • @piusnagawantu8475
    @piusnagawantu8475 2 ปีที่แล้ว +10

    Baba haya yanatokea Tanzania tu nchi isiyojali watu wake. Wachaina wanajua mapungufu ya serikali yetu. Hatuna mawaziri makini wakufuatilia mikataba. HAIBU.

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 2 ปีที่แล้ว +7

    Waongozi hawa wa sasa tangu makufuli apotee hawana mpango wowote kuma tu

  • @kharashbabar7393
    @kharashbabar7393 2 ปีที่แล้ว

    Poleni sana ndugu zangu...hayupo...yule...aliyua nyie ndio wathamani ktk hii nchi...jpm...wanapewa kipaumbele wageni kuliko...wazawa...najeshi letu halilindi wananch namalizao....ila tupige moyo konde mungu yunasi...tuzidi kumuomba ili kuzidi kumueka karibu nainshaallah atatulinda katk shida zetu

  • @happykajeli5453
    @happykajeli5453 2 ปีที่แล้ว +7

    Huyo mama yenu anazurula tu Kuna siku alipita naibu waziri lkn shida iko pale pale RIP JPM kunguru wanataka kuua miladi ulioiacha kisingizio watanzania ni wavivu wakati hawalipwi

    • @shubebunyesi542
      @shubebunyesi542 2 ปีที่แล้ว

      Umesikia vizuri lkn hawajai kulipwa tangu waanze kazi manake na uyo jamaa yako alikuwepo sema wakati huu ndio wamepata mwanya wakusema coz ata ukisema ukweli utekwi kama mwanzo vyombo vya habari haviogopi kulipoti nakuleta kwa wananchi ndio sababu lkn matatizo yalikuwepo

  • @paschalm9849
    @paschalm9849 2 ปีที่แล้ว +21

    Wafanyakazi wa serikali hawana weledi kabisa. Wanafanya kazi kwa simu tu bila kuja kuhakikisha. Very stupid. Hii nchi hii

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 2 ปีที่แล้ว

    Mungu atusaidie Sana.watanzania ni waungwana Sana.viongozi hawafuatilii kabisa kwa ukaribu.viongozi Mungu anawaona.wachina ,wahindi wanyanyasaji..hata wafanyakazi serikalini ,utakufa hujalipwa haki yako.

  • @jmusic9627
    @jmusic9627 2 ปีที่แล้ว +1

    Polen sana wanajeuri kisa magufuri kafariki mama hawez kuja hapo wanakuja VIONGOZ wenye njaa kari wakipewa Hela wanakata Kona hii ndo Tanzania yetu KAZ BADO TUNAYO

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      BASI HIYO KAZI IFANYE WEWE KAMA IPO.

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 2 ปีที่แล้ว +5

    Haya matatizo yanaletwa na Serikali, hawafuatilii haya mambo Kwa watendaji wetu, kwanza hata sijui kama huu mradi unaendelea...!

  • @peterkatumaini9508
    @peterkatumaini9508 2 ปีที่แล้ว +6

    Hili swala la wachina kupiga watanzania mahali pa kazi ime kuwa Kama mwendelezo selikali hili Lili angalie mahali. Pa kazi si eneo la kupigana ama kupiga Wana zalau hawa watu selikali yetu ili angalie kwa macho mawoli

  • @tariqmaduga8051
    @tariqmaduga8051 2 ปีที่แล้ว +1

    Tokea mzee kafarik miradi mingi inaenda ndivyo sivyo...kila kiongozi analiangalia tumbo lake..#viongozihatuna

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      DOMO KUBWA NA UVIVU UMEWAZIDI

  • @jimmymbella997
    @jimmymbella997 2 ปีที่แล้ว +1

    Inauma sana na inakera sana, kuona watu ndan ya nchi yao alafu wanateseka daah

  • @sdeshnjwetr6707
    @sdeshnjwetr6707 2 ปีที่แล้ว

    VIVA TANZANIA 🇹🇿♥️💪💚💪 VIVA AFRIKAN PEOPLE 💪💚💪

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 2 ปีที่แล้ว

    Poleni Tanganyika Mutafika

  • @mohammedyally7104
    @mohammedyally7104 2 ปีที่แล้ว

    Kuna kampuni kama ya dott services hii kampuni kazi zake nyingi ilizofanya hapa Tanzania kiukweli ni asilimia chache sana Itakuwa mbaya lkn iko vizuri kiutendaji kuna miradi mingi tu ipo lkn haipewi wanapewa wachina ambao hawana ubora hembu iangalieni hii kiukweli inafanya kazi Nzuri Nzuri sana

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      KAZI GANI YA KUKOKA MIKATE AU YAKUJENGA MADARAJA YA KIMATAIFA.

  • @agustinorichadi1253
    @agustinorichadi1253 2 ปีที่แล้ว +2

    Tuna mkumbuka Magufuli 😥😢😥😢😥

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      FANYA KAZI USILETE MANENO YA KIMAMA KWANI UNALIPWA MSHAHARA WA KUMKUMBUKA????

  • @marksenior8901
    @marksenior8901 2 ปีที่แล้ว +3

    Kweli mchina sio mtu na hana tofauti na wale watu wanaoitwa chawa. Kweli mtanzania anatandikwa mabuti na asipoelewa anaongeleshwa kichina hivi hi so ndo colonization..

  • @godfreyjaphet525
    @godfreyjaphet525 2 ปีที่แล้ว +1

    Alisema akifa tutamkumbuka, tutajua hatujui,

  • @ntungifrancisco3323
    @ntungifrancisco3323 2 ปีที่แล้ว +1

    R I p jpm

  • @mwigakatumpula6852
    @mwigakatumpula6852 2 ปีที่แล้ว +2

    Lazima kazi iwe ngumu maana ma middleman ndio wanao tesa watanzania wenzao na sio hao wachina yaani wachina hawana shida ila wale wanao kua nao kama wakalimani ndio wana wagandamiza wenzao🙆😀😃🙌🏃

  • @sululungasa3849
    @sululungasa3849 2 ปีที่แล้ว

    polenii wandis

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 2 ปีที่แล้ว +13

    Hivi Tanzania imekuwa nchi ya wachina au,ndo tayari mnada umeshapita tayari wapi JPM,shida imerudi🤔🤔🤔🙆🙆🙆😭😭😭😭😭

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      UVIVU UMEWAZIDI MAGU NDIO ALOWALETA

    • @salehaliy7198
      @salehaliy7198 2 ปีที่แล้ว

      Wawekezaji hao wasibugudhiwe

  • @leonsakia6127
    @leonsakia6127 2 ปีที่แล้ว

    Huyo Mzee is very smart. RIP to Abbas

  • @zaujiajuma8260
    @zaujiajuma8260 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwann watanzania tunateswa na wageni jamani viongozi mmesinzia au nn shida zindukeni

  • @ruttaking6906
    @ruttaking6906 2 ปีที่แล้ว +5

    R.I.P JPM

  • @neemaruben5427
    @neemaruben5427 2 ปีที่แล้ว +1

    Aisee serikali amkeni bana mna feli wapi aiseeee😭😭😭😭

  • @IBENGM
    @IBENGM 2 ปีที่แล้ว +24

    Uongozi wa serikali hii sahv ni zero kabsa! ...hakuna ufatiliaji au uwajibikaji wa namna yoyote ile mambo yanaenda enda tu...huku kiongozi wa nchi yeye ni kusafiri tu kila kukicha! hizi nchi zetu za Africa tunamatatizo makubwa,tutafika tumechoka sana!

    • @thabitiykitwana1271
      @thabitiykitwana1271 2 ปีที่แล้ว +3

      Yani roho inaniuma sana mgeni ananguvu kuliko mzawa. Nimetemba nchi za inje. mzawa Analindwa na kusikilizwa na serikali yake. Nikisikia ivyo roho inaniuma sana.

    • @tariqmaduga8051
      @tariqmaduga8051 2 ปีที่แล้ว +3

      Viongozi hatuna kazi kuzurula tu nchi za watu yan zero brain

    • @welcometoeat165
      @welcometoeat165 2 ปีที่แล้ว +3

      Wenzake wako makwao wametulia tuliii wanaweka mipango Sawa katk nch zao! YEYE SASAAAAAAAAAA MMMMH!

    • @rukayyawendo1268
      @rukayyawendo1268 2 ปีที่แล้ว

      @@thabitiykitwana1271 kabisa dada

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      @@thabitiykitwana1271 KUFA MVIVU WEWE

  • @zubeirsalum128
    @zubeirsalum128 2 ปีที่แล้ว +1

    Wanayoyafanya wanchina ndani ya nchi hii ya tanzania. kwa mfano ingekua wanayafanya watanzania ndani ya nchi ya china ingekua wanauliwa kila siku

  • @cleverboy3812
    @cleverboy3812 2 ปีที่แล้ว

    Habari haijabalance kwa sababu hayo ni maoni ya upande mmoja.. Binafsi siwezi kusema nani mbaya na nani mzuri..

  • @petersloponomollel5050
    @petersloponomollel5050 2 ปีที่แล้ว +1

    Watu wanaumia AF ndio utaratibu ifwatwe,Uongozi hewa Watanzania wanakosa haki yaoo!! Hii uongozi ovyo Sana

  • @joelmulla2249
    @joelmulla2249 2 ปีที่แล้ว +2

    Haiwezekani pakawa na malalamiko mengi hivi kwenye huu mradi pasina ya kuwa na ushenzi wa baadhi ya majitu mashenzi mabadhirifu yanayosimamia huu mradi. Kama wawakilishi wa hao wafanyakaz wa kitanzania wanatimiza majukumu yao kulingana na mikataba ya mradi na taratibu za kazi kusingetokea haya malalamiko na hata Vifo.. na hao wachina wanapata jeuri kwa vile Kuna watanzania hapo wako mifukoni mwa wachina. Mambo hayo ya kipuuzi so ya kufumbia macho.. Yani nchi yetu, miradi yetu, pesa yetu halafu mwajiriwa wetu ndo anavimbia watanzania. Najua watanzania Wana dhiki na matatizo yao pia lakini sio kushindwa kufanya kazi na kulalamika..yumkin Kuna shida kwa viongozi Fulani hapo. Hebu wajibikeni Basi, na kuwa wazalendo.
    #HeshimaTanzania,🙏

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 2 ปีที่แล้ว +6

    Tatizo sio RC ni Consulting Engineer na msimamizi wa kazi. Hao wote pamoja na hiyo kampuni wanahitaji kuchukuliwa hatua. Kama hatutawasikiliza watanzania ndugu zetu basi tuna shida. Mwajili ambaye ndiye wizara anahitajika kutoma maamuzi. Ni sisi wenyewe tunasalitiana mbona Kenya hii haitokei? Huyu mzee anaongea ukweli, mkuu wa mkoa ni engineer by profession alitakiwa ayajue haya na kuyafuatilia kwa undani.

    • @sadickkalinga3182
      @sadickkalinga3182 2 ปีที่แล้ว +1

      Mkuu hapana tatizo nchi yetu haithamini raia wake hasa katika haki za mfanyakazi

    • @yadidiahblack2731
      @yadidiahblack2731 2 ปีที่แล้ว +2

      @@sadickkalinga3182 big point

  • @imanho_tza9895
    @imanho_tza9895 2 ปีที่แล้ว

    Inatia hasira Sana isee

  • @cydemanchester2368
    @cydemanchester2368 2 ปีที่แล้ว +2

    Acheni kazi ili muone kazi kupata kazi!

  • @sk-wj9or
    @sk-wj9or 2 ปีที่แล้ว

    Hakika haya maendeleo tunayataka kwa manyanyaso na kuza ubinaadam wetu.
    Mungu tulinde.
    Hivi hawa wachina wanyanyasa sana na inashangaza serekali haitujali na hata kutudhamini.
    Inasikitisha sana

  • @sfggf468
    @sfggf468 2 ปีที่แล้ว +1

    WACHINA WATOKE TU TANZANIA HIVI SERIKALI HAIONI, MPAKA KWENYE MIGODI YAO NAKO NI MATESO TU KWA WATANZANIA.

  • @bensonbenezeth
    @bensonbenezeth 2 ปีที่แล้ว +1

    Serikali hakikisha mnakagua compliance ya contractor kabla hamjampa kazi, afu wa China muwaangalie wanazingua sana, yupo tayari akufanyishe kazi asikulipe wajanja kweli.

  • @blessedonlinetv
    @blessedonlinetv 2 ปีที่แล้ว

    Lazima hawa watu wasimilizwe jamani, wachina wanaroho mbaya sana

  • @deohaule8161
    @deohaule8161 2 ปีที่แล้ว +10

    Hii project imelalamikiwa na wafanyakazi mara kwa mara, pasipo ufumbuzi. serikali imefumbia macho. Kwa masilahi binafsi ya watu binafsi. Wananchi wanakua watumwa kwenye nchi Yao wenye. Wachina wanawaona wa TZ si binadamu kama wao ndio maana wanafanya hivyo kwa kuwadhulumu haki zao. Kuna hatari hilo daraja kujengwa chini ya viwango kutokana wafanyakazi hawana motisha. R.I.P JPM

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      NA WEWE KUFA UREST IN PEAS.

    • @khalfachannel1340
      @khalfachannel1340 2 ปีที่แล้ว

      Ushasema kuna maslahi ya watu we unahisi wakilipwa pesa stahili hao wapigaji watapata wapi pesa

    • @mandelamandela3150
      @mandelamandela3150 2 ปีที่แล้ว

      @@salimmalaka256 Kweli kabila lenu akiri hamna nyie.

    • @deohaule8161
      @deohaule8161 2 ปีที่แล้ว

      @@khalfachannel1340 katika nchi yoyote ile, wapigaji huwa wana kazi moja tu katika nchi, kuaribu uchumi wa nchi husika na kuteneza Corrupted economy ambao ni uchumi sio stahimiliki (unsustainable economy) kwa maendeleo ya nchi, ndio maana awamu ya tano ili wapinga hao watu.

    • @khalfachannel1340
      @khalfachannel1340 2 ปีที่แล้ว

      @@deohaule8161 na wapigaji si wengine zaidi ya viongozi wetu wenyew kwa lugha nyingine tunajiibia sisi wenyew

  • @mustaphareua2370
    @mustaphareua2370 2 ปีที่แล้ว +1

    Oyooo

  • @leonardjamesleons4038
    @leonardjamesleons4038 2 ปีที่แล้ว +1

    Mkuu wa mkoa nae yupo tu daaah 😭😭😭😭

  • @victorluhala8531
    @victorluhala8531 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii ndo shida ya watu kuwa na hujuzi lakini wanasumbuka lakini serekali hipo wapi na watu wa OSHA hii ndo kazi nyenu kwamaana Kuna madudu mengi sana

    • @obedjoseph5588
      @obedjoseph5588 2 ปีที่แล้ว

      Kaka OSHA wenyew wanapenda Rushwa sana aseee nawafaham vizuri hao jamaa

  • @mohammedyally7104
    @mohammedyally7104 2 ปีที่แล้ว

    Kampuni za kichina tumezichoka zibadilishwe kampuni moja inapewa miradi zaidi ya mitatu mpk mitano kuna kampuni nyingi tu zinazoweza kufanyakazi tena zenye ubora wa hali ya juu lkn hawa wachina hakuna kitu tuziangalie kiukweli sio zitakazo wasaidia watanzania wajikwamue kiuchumi.Leo kampuni ya kichina inachukua mradi mfano bilioni 70 asilimia 30 au 40 ndio itakayotumiwa kwa kazi na wao wafanyakazi wao wakichina na ununuzi wote wa vifaa na kilakitu iliyobaki ni faida inayoenda kwao ndio maana wanataka miradi hapa tena kwa bei nafuu lkn si kwa kazi Nzuri Hapana ndani ya miaka miwili huo mradi ni mashimo matupu viaraka vitupu hawa si wenzetu wala hawatusaidii wamekuja kuchuma Africa na watendelea kuchuma kama hatujawastukia

  • @yeriasnakiba425
    @yeriasnakiba425 2 ปีที่แล้ว

    Makufufi angelikuwa ehhhh.. tanzania ehhh..wapi kabisa...

  • @ludobudege1662
    @ludobudege1662 2 ปีที่แล้ว

    Poleni sana magufuli rudi baba yetu hata kimiujiza tu nchi inaelekea pabaya sasa tumechoka na stress

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      UNAUITA MIFUPA IRUDI SAWA LEO JIONI MIFUPA ITARUDI

  • @twinaweloyceissack6076
    @twinaweloyceissack6076 2 ปีที่แล้ว +1

    Kuna kijana alikufa kazini kwa kutojali wafanyakazi, huyo mchina hadi leo hajawahi kulipa fidia hadi leo ( toka 17/05/2018)

  • @josephmartin292
    @josephmartin292 2 ปีที่แล้ว

    Subirini arudi mama mtalipwa haki zenu mama kaenda kukopa

  • @geremiahanthony2153
    @geremiahanthony2153 2 ปีที่แล้ว

    Tamico amna msaada wowote

  • @hisanmwakijungu10
    @hisanmwakijungu10 2 ปีที่แล้ว

    Hapo kuna tatizo serikali ilitazame kwa umakini,,,, tuondoe siasa kwenye maisha ya watu

  • @kaizeribrahimu4074
    @kaizeribrahimu4074 2 ปีที่แล้ว

    Utumwa ndani ya nchi yetu

  • @happykajeli5453
    @happykajeli5453 2 ปีที่แล้ว +3

    Serikali yetu mnakwama wapi nchi za wenzetu mgeni hampigi mwenyeji waache zarau wakiwa piga tena mafundi muungane muwatandike hao wachina washike adabu maana hatuna serikali wapigwe na wao huku nilipo mm mgeni hakuna kuvuja sheria

  • @petermponzi411
    @petermponzi411 2 ปีที่แล้ว

    Tunamwitaji JPM arudi . Atuna Raisi Tanzania

  • @elianicolaus6206
    @elianicolaus6206 2 ปีที่แล้ว

    Hiyo Ccecc Ina miaka buku hapa bongo so chanzo cha hayo matatizo ni kwamba wa kusaidia hay matatizo ndo wanaponea humonna wengine wana hisa na hayo makampuni

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 2 ปีที่แล้ว +5

    RIP magufuli

    • @reubenkissinga5802
      @reubenkissinga5802 2 ปีที่แล้ว

      Ni dhambi na kufuru kwa mwenye pumzi/uhai kuweka tumaini kwa asie na pumzi/marehemu,,,,alishafanya yake kwa nafasi yake Mungu aliyomjalia wakati wa uhai wake Inatosha ukishukuru kwa hilo,,nawe inabidi ujitahidi ufanye yale yote Mungu atakayo kujalia kipindi hiki upo hai,,,Acha kulilialilia Marehemu!!!###PambanaBinti###

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 2 ปีที่แล้ว

      @@reubenkissinga5802 RIP JPM wakati yeye ndo kawaweka. FANYENI kazi wacheni maneno! Mchina halipi vizuri. Ni mshenzi kupita maelezo!

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      @@reubenkissinga5802 NDO HAWO WANAO ABUDU MIZIMU.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      @@TamuzaKale KWA NINI WQMEKUBALI KUAJIRIWA????

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      SALOME NA WEWE KUFA U RIP

  • @shebbythespyro5393
    @shebbythespyro5393 2 ปีที่แล้ว

    Mama samia hizi kazi mp3 Paul makonda awapeleke mbio na vitushio tunahitaji kama hvyo ndio nchi inaenda na kuendelea we need someone strong

  • @leonardjamesleons4038
    @leonardjamesleons4038 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli serikali imewatelekeza Daaah🤔🤔

  • @mathiasmichael1778
    @mathiasmichael1778 2 ปีที่แล้ว

    Enyi viongizi wa kuu wa taifa Hili haya Mambo mnayasikia au mmetia pamba masikioni mwenu na kukubali wananchi wenu kuendelea kuteswa na hawa makaburu??

  • @tunzamngwaletunzamngwale1884
    @tunzamngwaletunzamngwale1884 2 ปีที่แล้ว +2

    Pumzika kwa amani magufuli haya hayakuepo

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      NA WEWE KUFA UPUMZIKE KWA AMANI UVIVU 2

  • @marymfugwa847
    @marymfugwa847 2 ปีที่แล้ว

    Yapigeni hayo machina kwanini tupigwe sisi wakati tupo nyumbani?

  • @khadijanjama8721
    @khadijanjama8721 2 ปีที่แล้ว

    Inna lillahi wainna ilayhi raajiun

  • @edinawilliam2943
    @edinawilliam2943 2 ปีที่แล้ว

    Waonevu kweli kabisa

  • @guzomc255
    @guzomc255 2 ปีที่แล้ว

    Kila mradi lawama izo zipo ila mradi huu umekua na malalamiko mara nyingi bila kupatiwa ufumbuzi watu wanaumia kweli kweli.

  • @rashidsamwel8167
    @rashidsamwel8167 2 ปีที่แล้ว

    Kwann.hawajalipwa

  • @sememakolo9360
    @sememakolo9360 2 ปีที่แล้ว

    Timelud enzi za kina kikwete

  • @amdunshomali3971
    @amdunshomali3971 2 ปีที่แล้ว

    Wachina washajifanya hapa ni kwao aisee

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 2 ปีที่แล้ว

    Wachina bwana noma

  • @carolinenjiro41
    @carolinenjiro41 2 ปีที่แล้ว

    Wachina siooooooo

  • @TamuzaKale
    @TamuzaKale 2 ปีที่แล้ว +2

    Mchina katumwa hela. Ni washenzi kupita maelezo. Hawana utu wala ubinadamu. Hataki kuongeza workforce ndiyo maana kawang'ang'ania haohao halafu malipo DUNI!

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      WAVIVU FANYENI KAZI

    • @itsjustelly4948
      @itsjustelly4948 2 ปีที่แล้ว

      @salim malaka stop talking nonsense b!tch watu wanaongea vitu vya msingi unaandika comment pumba 🚮🚮🚮

    • @sabirawalji2817
      @sabirawalji2817 2 ปีที่แล้ว

      @@itsjustelly4948 true this salim is illiterate let him go on commenting as he is using bad language that shows his character

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 2 ปีที่แล้ว

      @@salimmalaka256 Mwambie mamako aje afanye basi. Haiwezekani tuwalipe pesa halafu watusimange. Ni washenzi! Kuna miaka miwili mbele ya kumaliza daraja. Watu wanatakiwa kuwa salama na si vilema!

  • @fintanmkesha1077
    @fintanmkesha1077 2 ปีที่แล้ว

    Kwan pols kwa nn wasiwalinde hapo yaan michina inauz aise

  • @jamesponeca8912
    @jamesponeca8912 2 ปีที่แล้ว

    Magufuli Hoyee,ndie alikuwa mtetezi wa wanyonge,wengine hawa wabajari matumbo yao tu

  • @stevenlulangasy3554
    @stevenlulangasy3554 2 ปีที่แล้ว +2

    Mambo haya yalishaanza kuisha lakini sasaivi yameanza kurejea tena mbona kipindi cha magu haukuepo ujinga kama huu?, Hii yote inasababishwa na rushwa yani watanzania tunauzwa kwa wakandarasi kama mahindi kwenye magunia, yani ni kitu ambacho hakiingii akirini kabisa waziri anakuja hakutani na wafanyakazi moja kwa moja analenga ofisini kwa mkandarasi akitoka hapo anaingia kwenye gari anaondoka yani hapo anakuwa ameeshapewa chake tayari, harafu kwanini kila kazi zenye masilahi kwa wa tz wapewe wachina tuu wananini hawa kunguru?.

  • @jennytugara9470
    @jennytugara9470 2 ปีที่แล้ว

    Wachina wanalipaga fidia kweli tena ukizingatia wanatuona kama Watumwa nguruwe wa mwituni alafu Wizara ya kazi inawapa kiburi. Ni waongo matapeli wa kimataifa. Wanapenda hela kuliko utu.

  • @leverimlaki5667
    @leverimlaki5667 2 ปีที่แล้ว +1

    Wachina ni wahuni sana. Siyo watu wa kuendekeza. Ni wanyonyaji na hawana utu. Serikali iangalie hili kwa makini sana.

  • @otmarmkali8883
    @otmarmkali8883 2 ปีที่แล้ว

    Serikali imewatelekeza. Badae daraja likiwa ovyo watalaumu

  • @sophiahasani8915
    @sophiahasani8915 2 ปีที่แล้ว

    Hawa watu weupe wananyanyasa sana wafanyakazi wakiwa kwenye nchi zao ndio kabisa wananyanyasa sana

  • @bahatichombo7209
    @bahatichombo7209 2 ปีที่แล้ว

    Poleni inasikitisha

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      WAVIVU HAWATAKI KAZI. WAVVIVU

  • @davidsebastian661
    @davidsebastian661 2 ปีที่แล้ว

    Mambo ya Job Ndugai akisema amelopoka ndo hayo sas

  • @alfredibrahim9251
    @alfredibrahim9251 2 ปีที่แล้ว

    Serikali haiwawezi wachina wao wanasubiri mishahara iingie wakate kodi

  • @soudabdulrahman9359
    @soudabdulrahman9359 2 ปีที่แล้ว +2

    Nyinyi maboya washamba mtapigwa sana anaanzaje kupiga mtu shenzi taipu unapigwaje kwenu na mgeni eti mchina au ndo njàa?

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      WAONGO HAWO UVIVU HAWATAKI KAZI

  • @florameza1028
    @florameza1028 2 ปีที่แล้ว

    Enz8 za JPM haya mambo hayakuwepo

  • @genelnchera5607
    @genelnchera5607 2 ปีที่แล้ว

    Viongozi wa nchi mungu anawaona

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      WACHA MALALAMIKO UVIVU UMEWAZIDI

  • @jomba6514
    @jomba6514 2 ปีที่แล้ว

    Inasikitisha sana

  • @mayanikwetu7401
    @mayanikwetu7401 2 ปีที่แล้ว

    Dahh wachina wanapiga watu

  • @emanuelmgote4511
    @emanuelmgote4511 2 ปีที่แล้ว

    Yeye yuko ubeligiji huku wafanyakazi wananyanyasika ,

  • @michaelmatemu3490
    @michaelmatemu3490 2 ปีที่แล้ว

    Alafu likishakamilika wataenda na magari yao na matarumbeta kulizindua huku wakipongezana wao kwa waoo daaah😭😭😭 ni kwa nn et

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 2 ปีที่แล้ว

    Warekebishe vip kwani hao wachina kazi huchukua Kwa hela ndogo Sana hawana hela ,mtawaonea Tu ukifanya kazi Kwa mchina ni kwamba umeshaishiwa huna mwelekeo,,Bora ubaki mtaani Tu ukipata ukikosa powa tu

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 2 ปีที่แล้ว

    Mhhh hakuna watu wanao dhulum kam hao wahindi na wa china na warabu jmn wanasumbua hao watu achen tu tuulizeni tunaoishi huku jmn malipo mtihan na pesa ipo hawa watu ngozi nyeupe acheni tu
    Allah atujaalie huruma kwa kila mtu hakika kiama tutakosa la kijibu haswaaa

  • @edmundmanene7448
    @edmundmanene7448 2 ปีที่แล้ว

    Sela zao zama za mauj wasizilete kwetu,hawa ningekuwa mm kiongoz nimara moja wanaludi kwao.

  • @kasakealex5444
    @kasakealex5444 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani hawa wachina wao ni nani ktk serikali yetu ya Tanzania mama yetu tunaomba utusaidie sana ktk miradi ya kichina ukweli tunanyanyasika sana the sama company hata huku mradi wa SGR BUKWIMBA mambo ya hovyo tu ukiongea kidogo unafukuzwa kwann tuteseke nchini kwetu

    • @fadhilarashidi5184
      @fadhilarashidi5184 2 ปีที่แล้ว

      Wateswa na watanzania wezao adui wa mwaafrika ni mwaafrika mwezake

  • @sebabway9670
    @sebabway9670 2 ปีที่แล้ว

    Kkubwa mtujengee daraja letu mapema😪

  • @dicksonlaurean1614
    @dicksonlaurean1614 2 ปีที่แล้ว

    Kwanini wachina wasifundishwe kiswahili kwanza, maana kiswahili ndo lugha yetu sisi kichina sio lazima

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 2 ปีที่แล้ว

    Hii nchi vp??? Mbn mambo ya kushangaza???

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 2 ปีที่แล้ว +1

    Hapitii kungalia kwenye makaz
    Anauliza wakubwa hafatilii mwenyewe kuliza wafanyakaz wa chin
    Samia chukuwa ama weka sheria
    Kwa wagen kuwafanya watumwa watanzania wenzio

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      PESA WANAOLIPWA WAFANYE KAZI WAVIVU NYINYI