"UKIMUIBIA HUYU MZEE UNAZIKWA, MAZIWA YA NYOKA" KIKONGWE ZANZIBAR ASIMULIA MAKUBWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 257

  • @vincentcharles4385
    @vincentcharles4385 2 ปีที่แล้ว +164

    Mzee umri huo anapiga kazi,vijana umri mdogo mara teja,shoga,kibaka,jambazi,free mason,Mungu azidi kukubariki mzee wangu.

    • @samiaalriyami3488
      @samiaalriyami3488 2 ปีที่แล้ว +4

      Amiin yarrab

    • @nadyasalim7956
      @nadyasalim7956 2 ปีที่แล้ว +8

      hawataki kazi vijana kazi kuomba na huo uongo wanaumbe wa siku hizi waongo na kukaa chini ya wanawake

    • @Awatee
      @Awatee 2 ปีที่แล้ว +2

      Amiin yaraby

    • @Awatee
      @Awatee 2 ปีที่แล้ว +3

      @@nadyasalim7956 kweli kabisa

    • @vampire9464
      @vampire9464 2 ปีที่แล้ว +2

      Kweli kabisa kazi yao kubwa ukuwadi kutaka hela haraka pumbaaaff

  • @Sidik-d7e
    @Sidik-d7e ปีที่แล้ว +2

    ASSLAMALAKUM MZEE FROM ZANZIBAR I AM LIVING IN 🇬🇧 UK LONDON BUT I AM ORIGINAL FROM KENYA 🇰🇪 MOMBASA MY LET PARENTS THEY FROM ZANZIBAR SO I AM PROUD OF PEOPLE OF ZANZIBAR ALLAH BLESSED THEM AMEEN AMEEN AMEEN REMEMBER ME IN UR DUA UR BROTHER SIDIK FROM 🇬🇧 LONDON ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @shamzone388
    @shamzone388 2 ปีที่แล้ว +24

    Asante babu nakuangalia ktk muscat oman
    Kweli maneno uliyosema kama kuna mganga kwa nini hajifanyii dawa akapat pesa ndio hayo hayo ninayowaambia wenzangu....
    Kiswahili full babu

  • @ashajumbe9039
    @ashajumbe9039 2 ปีที่แล้ว +21

    Mashallah huyu mzee namjuwa sana
    Nimejiskia vizuri Leo kuona anahoniwa na ayo TV

  • @asumaathuman6094
    @asumaathuman6094 2 ปีที่แล้ว +3

    Nataman angekuwa mzee wangu nimtunze aache kazi atulie....umr umekwenda apumzike 🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @amemasudi5735
    @amemasudi5735 2 ปีที่แล้ว +45

    Hawa ndio wazee wenye hekma sio wapumbavu kukaa vibarazani kunywa kahawa kusubiria Pensheni tujitume Kama babu yetu Mashaa Allah

    • @fuadsaadbiladiboy1785
      @fuadsaadbiladiboy1785 2 ปีที่แล้ว +2

      Kweli kwa ndo wazee,muhimu kua nao,mbali na biashara,Ana ijua history vzuri sana

    • @angeljoseph922
      @angeljoseph922 2 ปีที่แล้ว

      Umesahau na kutongoza vibinti vidogo yaan hawana heshima kabisaa

  • @samiaalriyami3488
    @samiaalriyami3488 2 ปีที่แล้ว +26

    Alhamdulillah masha Allah tabarrak Allah m.mungu awahifadh Ampe umri mrefu wenye afya na kheir mzee wetu

  • @mudrickabdallah7251
    @mudrickabdallah7251 2 ปีที่แล้ว +22

    Aaahh kumbe tunacheza sana.. Sisi tour guider wa Zanzibar twende tukavune historia ya Zanzibar kwa huyu mzee. Mungu akueke mzee wetu akupe afya njema

  • @rahmasalim1989
    @rahmasalim1989 2 ปีที่แล้ว +3

    Mwenyeez Mungu akuzididhie umri mrefu na afya njema mzee nimekupenda sana, hongera kwa kujituma.

  • @rayanaabdallah6580
    @rayanaabdallah6580 2 ปีที่แล้ว +5

    Maa Shaa Allah, tuna history lakini hatufwatilii kama kwa nchi za wenzetu.
    Nnakupenda mzee kwa ajili ya Allah, Mungu akupe umri mrefu In Shaa Allah.

  • @waktiahmad2503
    @waktiahmad2503 2 ปีที่แล้ว +1

    😘❤️ duuuh Babu kumbe unaongea hivi nikipita chechei Babu sauti ya chini

  • @madhuru2554
    @madhuru2554 2 ปีที่แล้ว +22

    Babu wetu Mashaallah Mungu akupe afya na Umri mrefu Inshaaallah.

    • @samiaalriyami3488
      @samiaalriyami3488 2 ปีที่แล้ว +1

      Amiin yarrab

    • @nadyasalim7956
      @nadyasalim7956 2 ปีที่แล้ว

      Amiin

    • @malikshafii8431
      @malikshafii8431 2 ปีที่แล้ว

      Umri mrefu upi tena apo alipo pumzi hazipat unamuombea umri mrefu ateseke #allah akampumzishe kwa aman

    • @madhuru2554
      @madhuru2554 2 ปีที่แล้ว

      @@malikshafii8431 kwanza ni Afya sio umri!
      Baadaye ndio umri
      Nafkiri umeelewa .

    • @ramadhanjuma610
      @ramadhanjuma610 2 ปีที่แล้ว

      Amina

  • @giddyyunky7025
    @giddyyunky7025 2 ปีที่แล้ว +20

    Godbess you mashalah we are proud of you in zanzibar 🤗🤗🤗💥

  • @filmflm5389
    @filmflm5389 2 ปีที่แล้ว +17

    WALLAH WABILLAH IYUMZEE NAMJUA NA NIMKARIM SANA NANIMNUENYEKEV SANA MFANYA IBADA NA KUNAMUDA NAPITA BARAZANI KWAKE NATAMANI ANIITE ANITUME POPOTEPALE ILI NIRDHIKE

    • @fatmamansour676
      @fatmamansour676 2 ปีที่แล้ว +2

      Niltumzur mwanawe tunakaa jirani kweli anasema anaibiwa sana sahv

  • @hellertv1477
    @hellertv1477 2 ปีที่แล้ว +8

    Kwa wale wanaoenda forodhani kupiga makachu huwez kufika bila kumpita huyu mzee pale maeneo ya skuli ya kiponda.
    Tujuane wapiga makachu hapa

  • @actwazalendo1131
    @actwazalendo1131 2 ปีที่แล้ว +1

    Moja katika kumbukumbu nzuri Asanteni sana ayo tv

  • @feisalmwinyi2429
    @feisalmwinyi2429 2 ปีที่แล้ว +1

    Ma shaa allah.. babuu yetu fahari ya mjii wetu allah atuekee mzee wetu huyu na wengine wotee In shaa allah

  • @suleimansuleiman1127
    @suleimansuleiman1127 2 ปีที่แล้ว +5

    Nakumbuk asubuh moja nlipat nafasi ya kuagizwa chakula na huyu mzee wakat nikiwa mwanafunzi wa shule ya kiponda jirani tu nyumb yke # Alhamdulillah Allah amjaze katik mema yke na ampe firdaus kama zawadi yake ya milele 🙏

  • @faridaabdallah2213
    @faridaabdallah2213 2 ปีที่แล้ว +11

    sasa babu hapo anaona kweli? love you baby msalimie bibi, miaka mingi kwako babu,🙏🙏🤲

  • @aminahussein1224
    @aminahussein1224 2 ปีที่แล้ว +5

    Kwa kweli.. huyu mzee ana hekima na busara sana, Inshallah M/Mungu atazidi kumbarik na.kumfanyia wepesi wa kila jambo ampe afya njema na umri mrefu Ameen I... 🙏🧡

  • @msquare283
    @msquare283 2 ปีที่แล้ว +22

    Its my uncle mze mohammad..😘🥰proud of him
    Mariam sulaiman albrashdi here

    • @menalikechildren8836
      @menalikechildren8836 2 ปีที่แล้ว +1

      una uhakika ?

    • @msquare283
      @msquare283 2 ปีที่แล้ว +3

      @@menalikechildren8836 yup 100%how i wouldnt know my own uncle😰🤣

    • @menalikechildren8836
      @menalikechildren8836 2 ปีที่แล้ว +2

      hahah na mm ni uncle yangu bc mm na ww ndugu

    • @msquare283
      @msquare283 2 ปีที่แล้ว +3

      @@menalikechildren8836 ndugu wa islam maybe not real

    • @menalikechildren8836
      @menalikechildren8836 2 ปีที่แล้ว +2

      not jas in case of Islam but he's my real uncle

  • @macharosandra9467
    @macharosandra9467 2 ปีที่แล้ว +29

    Niliwahi kusikia bongo zozo ananunua pesa za zamani.. Ayo Msaidieni Mzee

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 2 ปีที่แล้ว +24

    Vijana tuchape kazi…babu ni kioo tosha kwetu! Tumtegemee Allah tuache mganga na ramli

  • @adamsoud4862
    @adamsoud4862 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha allah mzee Mohd mungu akuweke huyu mzee alikuwa rafiki mkubwa wa marehemu baba angu wallahy ana historia na mambo mazuri tu na akili yake timamu tu

  • @OmerSuley-gl7go
    @OmerSuley-gl7go 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mzee namjua sana

  • @luganostewart8320
    @luganostewart8320 2 ปีที่แล้ว +35

    Millard Ayo mmetisha sana kwakweli, Huyu mzee namfahamu vzr sana amekuwa ni mtu ambaye hana shida ni mkarimu pia kwa namna moja ama nyingne tumezoeana na anapenda sana story, Ninapata nafasi ya kuonana nae karibia mara tano au sita kwa wiki sababu makazi yake yapo njiani

    • @najashjejeje6216
      @najashjejeje6216 2 ปีที่แล้ว +4

      Mzee wetu story anazipenda kweli Allah ampe afya

    • @munawwarabeid8634
      @munawwarabeid8634 2 ปีที่แล้ว +2

      Yeah kabsa

    • @salimselemani4861
      @salimselemani4861 2 ปีที่แล้ว +1

      Assalamu alaikum naweza vipi kupata kuongea nae huyu mzee nitashukuru sana kama utanijibu

    • @luganostewart8320
      @luganostewart8320 2 ปีที่แล้ว +1

      @@salimselemani4861 Hapo labda nifanye utaratibu wa kuonana nae then nimuulize endapo kutakuwa na possibility hyo... Lakini pia kama itafaa zaidi ungenipatia mawasiliano yako

    • @motasimali9053
      @motasimali9053 2 ปีที่แล้ว

      @@salimselemani4861 njoo nikupeleke

  • @abdulbora812
    @abdulbora812 2 ปีที่แล้ว +18

    Hapo ni kweli mungu ndie mganga wetu dunia hii mpaka ahera

  • @valentinetesha8536
    @valentinetesha8536 2 ปีที่แล้ว +53

    huyu mzee ana akili sana hiyo biashara angepata advertisement angejulikana kwa wazungu wana nunua sana hizo ela za zamani

    • @jacintaitumo5571
      @jacintaitumo5571 2 ปีที่แล้ว +2

      Ni kweli kabisaa. Angekuwa ngambo hizi atapapata mamillioni kadhaa.

    • @fatmamansour676
      @fatmamansour676 2 ปีที่แล้ว

      A nakaa mji mkongwe

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 2 ปีที่แล้ว

      bongo zozo naye ananunua

  • @fuadsaadbiladiboy1785
    @fuadsaadbiladiboy1785 2 ปีที่แล้ว +10

    Kwa fikra zangu na maadishi ya hapa,nli Dhani pengine mzee ni mshirikina,lakini kumbe mzee ana pambana,na kutafuta rizki ya Halal,Inshallah mungu amkutanishe na,Rais Mama Samia 🤲

  • @RumaitharSalum
    @RumaitharSalum 7 หลายเดือนก่อน

    Inalillahwainailayhirajiun we will miss mzee Muhammed Allah akupe kauli thabit na akulaze mahala pema peponi babu yangu 😭💔

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah, hongera sana Babu kwa kufanya kazi.

  • @shikaocharles8991
    @shikaocharles8991 2 ปีที่แล้ว +20

    Eti Tusharudi Tena Mwana Kwerekwe ila Watu Weusi Sio Waoga Kabisaaa 😂😂😂😂😂

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 2 ปีที่แล้ว +20

    Allah akupe umri mzee wetu ameen 🥰🇴🇲🇴🇲🇴🇲🌹

  • @nguvuyafikramedia1202
    @nguvuyafikramedia1202 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha alla industrious Sana huyu mzee Allah atukubari

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 2 ปีที่แล้ว +6

    Mzee anaonekana alikuwa tajiri sanaaa enzi Hizo..

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 2 ปีที่แล้ว

    😂😂🤣🤣🤣 Babu Riyami asante waganga ni waongo wangejifanyia wao kwanza wakawa matajiri. Tulipita karibu tukakusalimiya...Mashaalla kumbe maarufu.

  • @maisarasid8670
    @maisarasid8670 2 ปีที่แล้ว +4

    Na vijana waache kumuibia mzee wetu

  • @jafarinahonyo7349
    @jafarinahonyo7349 2 ปีที่แล้ว +7

    Daah watyu weusii tumepinda hatarii mzee kaandika na badala yake kaibiwa daah

  • @munawwarabeid8634
    @munawwarabeid8634 2 ปีที่แล้ว +2

    Amezidi kuzeeka sasa na mpk leo mwnyew anaendelea na biashara yke

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 2 ปีที่แล้ว +20

    Huyu mzee Mohammed nilimuona zamani sana,nafurahi kumuona tena

    • @samiaalriyami3488
      @samiaalriyami3488 2 ปีที่แล้ว +4

      in shaa Allah m.mungu akujulie uonane nae tena kwa furaha

    • @fahadfahmy
      @fahadfahmy 2 ปีที่แล้ว +2

      @@samiaalriyami3488 Amin, hawa ndio wazee wetu wa Kiponda

    • @fatmamansour676
      @fatmamansour676 2 ปีที่แล้ว +3

      Zamani maekiti anakuepo sana anampiga story sahv hawezi tena kutembea ndo yupo tu hapo

    • @fahadfahmy
      @fahadfahmy 2 ปีที่แล้ว +1

      @@fatmamansour676 Ndio wameshakua wazee

  • @adnanidarous3117
    @adnanidarous3117 2 ปีที่แล้ว +9

    Much love mzee wngu

  • @kawtharalbarwani1337
    @kawtharalbarwani1337 2 ปีที่แล้ว

    Nimempenda sana babu 😍😍❤

  • @jacksonamos2008
    @jacksonamos2008 2 ปีที่แล้ว +3

    Safi Sana Mzee wetu nakumbuka nilisha wahi ongea naye hapo kwenye biashara yake .

  • @edgarnandonde48
    @edgarnandonde48 2 ปีที่แล้ว +12

    tusharudi mwanakwerekwe tuwekee tena 😅😅😅😅😅😅😅😅duuh aisee mutu nyeusi noma sana

  • @alialibablly7010
    @alialibablly7010 2 ปีที่แล้ว +1

    Salam zimfikie mama awasali znz kwa mzee mohd stone town kiponda znz

  • @tingbatuuka7278
    @tingbatuuka7278 2 ปีที่แล้ว +1

    Tusha rudi toka mwana Kwerekwe 🤣🤣🤣🤣🤣wahuni sio watu wazuri

  • @goalnews7394
    @goalnews7394 2 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha...mzee wangu uyo huwa ananipa stry nyingi sanaa...nimepata faida nying sana kutok kwake

  • @frankdanford8245
    @frankdanford8245 2 ปีที่แล้ว +13

    😂😂😂😂😂 mzee nimempenda sana eti niliwatisha watu na wakaniibia na ujumbe juu akapewa tumesharudi mwanakwerekwe.

  • @Specialonejr
    @Specialonejr 2 ปีที่แล้ว +11

    😂😂😂😂Tusharud mwanakwerekwe eka tena

  • @fadhroshlove1511
    @fadhroshlove1511 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah akupe umrimrefu inshaAllah

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 2 ปีที่แล้ว +7

    Hahahaaaa jirani yangu vijana wamemzowea sana

  • @chidyboytz48
    @chidyboytz48 2 ปีที่แล้ว +1

    maziwa ya nyokaa 🐍 duh 🙄🙆‍♂️😂😂😂😂😂😂

  • @aminaamina3972
    @aminaamina3972 2 ปีที่แล้ว +12

    Amin inshallah

  • @upendomassawe7477
    @upendomassawe7477 2 ปีที่แล้ว +1

    😆😆😆😆😆eti tusharud mwana kwerekwe wezi bhana

  • @dorahwillson1807
    @dorahwillson1807 2 ปีที่แล้ว +5

    Aisee Mungu atujalie umri mlefu

  • @maisarasid8670
    @maisarasid8670 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu amueke mzee huyu na ampe umri mrefu kwa biashara yake ya kaiza na ampe wateja wenye kukunua kwa bei ya juu manaks sio rahisi kupata pesa hizo

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 2 ปีที่แล้ว

    Mandhari ya hiyo sehemu ameitengeneza ni nzuri sana.

  • @idarousphotography6727
    @idarousphotography6727 2 ปีที่แล้ว +6

    Mzee huyuu TOKEA nasoma yupo mpk sasa na huyooo ata ugongi unamkuta mlango njia y KUELEKEA msikiti wa malindi njia ya kipondaa

    • @samiaalriyami3488
      @samiaalriyami3488 2 ปีที่แล้ว +2

      mzee hana tabu kabisa ila wanamuibia sanaa sana lakin yeye anamshukuru mungu anasema hata kama wamenibia m.mungu ataniletea zaid ya ile

    • @saidabdala4980
      @saidabdala4980 2 ปีที่แล้ว

      @@samiaalriyami3488
      Samiya uko wapi

  • @rahelnchagwa7959
    @rahelnchagwa7959 2 ปีที่แล้ว +10

    Jaman wasimuibie jaman

  • @hassankisuke5356
    @hassankisuke5356 2 ปีที่แล้ว

    Aunganishwe na Bongo Zozo,huwa anazitafuta Sana fedha za zamani

  • @nooroman2535
    @nooroman2535 2 ปีที่แล้ว +6

    Inshaallah

  • @aliaboud9202
    @aliaboud9202 2 ปีที่แล้ว +6

    Apo ndo utaelewa kama halbadiri ni uganga au dua

  • @haniiniramzan9989
    @haniiniramzan9989 2 ปีที่แล้ว

    Mashallh Babu

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 ปีที่แล้ว +3

    Awesome 👌🏽💜

  • @Crazy.Rapper
    @Crazy.Rapper 2 ปีที่แล้ว +2

    🔥🙏🙏🙏 Nime jifunza kiti kutoka kwa babu..

  • @الرعدالصغير-ت1ش
    @الرعدالصغير-ت1ش 2 ปีที่แล้ว

    Nilimuonaga💓💓💓

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 ปีที่แล้ว +1

    Watu hawamuogopi Mungu waje kuogopa maandishi 😣

  • @linahsemindu4261
    @linahsemindu4261 2 ปีที่แล้ว +4

    Et tusharud mwanakwerekwe weka Tena tuibe 🤣🤣🤣🤣🤣 watu wamevurugwa

  • @sameermilo4907
    @sameermilo4907 2 ปีที่แล้ว +1

    Home sweet home kiponda zanzibar

  • @salmabrown1250
    @salmabrown1250 2 ปีที่แล้ว +1

    anapatikana wapi?

  • @lumumbasankara6388
    @lumumbasankara6388 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah huyu mzee ni mcheshi anaongea vzr

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 7 หลายเดือนก่อน

    Ndiyo sababu vijana wengi wanakuwa vichaa kwa kupenda kuiba je huyu mzee akimuibia akiomba kwa Mungu kila aliyeniibia Mungu mpe kichaa je wewe uliyemuibia utapona hacheni wizi pumbavu nyinyi

  • @aminaothman2136
    @aminaothman2136 2 ปีที่แล้ว +11

    Babu kachangamka mashallah

    • @samiaalriyami3488
      @samiaalriyami3488 2 ปีที่แล้ว +1

      sana masha Allah tabarrak Allah ungekaa nae kwa muda dakika 5 kama ulikuwa na stress zingeondoka

    • @nadyasalim7956
      @nadyasalim7956 2 ปีที่แล้ว

      mashallah sio vijana wa siku hizi

  • @zenadadi1768
    @zenadadi1768 2 ปีที่แล้ว +4

    Naomba namba za uyo babu

  • @ahmedsalumomar5002
    @ahmedsalumomar5002 2 ปีที่แล้ว +5

    My best friend

  • @tanzaniaoman6423
    @tanzaniaoman6423 2 ปีที่แล้ว +6

    Babu mjanja umeandika na wameiba😂

  • @saidsalim2561
    @saidsalim2561 2 ปีที่แล้ว +1

    Mzee mohd Allah akulipe kila la kheri

  • @raiye5621
    @raiye5621 2 ปีที่แล้ว +6

    Huyu babu kafumba macho ndio mna anaibiwa maskin wee 😃 😀 😄

  • @instavstiktokvideos4641
    @instavstiktokvideos4641 2 ปีที่แล้ว

    Tumesharud mwanakwerekwe weka tena😁😁😁😁 nimeipenda hii

  • @juliankamugisha9886
    @juliankamugisha9886 2 ปีที่แล้ว +9

    Mzee kanivunja mbavu, eti siku alipoandika kesho yake wakamibia na kjmwandikia kikaratasi tumerudi kutoka makaburini.😂😂🤣

    • @rahmaabdulla4949
      @rahmaabdulla4949 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂 hatari jamani watu wamepinda , tena wazima hao vijana wanashindwa kufanya kazi wanakuja kumuibia babu wawatu maskini 😔😔

    • @samiaalriyami3488
      @samiaalriyami3488 2 ปีที่แล้ว

      hahahha

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah Allah

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 2 ปีที่แล้ว +5

    Nikajua haoni kumbe anaona!

  • @perismwangi1921
    @perismwangi1921 2 ปีที่แล้ว

    Mzee comedian huyu😂😂😂

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli hufungilawa ktk kitovu kurudisha

  • @ahmadseif7241
    @ahmadseif7241 2 ปีที่แล้ว +7

    Hahahahahaha, eti nsharud mwana kwerekwe!!

  • @perismwangi1921
    @perismwangi1921 2 ปีที่แล้ว

    Usha fahamu

  • @pinkladylady707
    @pinkladylady707 7 หลายเดือนก่อน

    Innalillahi wa inna ilayhi raijun amjalie kauli thabit 🥺

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 3 หลายเดือนก่อน

    Mie ninaxo NOTE ZA KUMI NA ZA TANO ZA K8ZAMANI KWA ANAYEMYEZITAKA KUNUNUA.

  • @herculesthepower1544
    @herculesthepower1544 2 ปีที่แล้ว +1

    Juzi tuu nilipita hapo kwenda kunywa chai lukman karibu kabisa kwa huyu mzee. Kwa uzoefu wake akajua cc ni wageni lkn kidesturi yetu ukimwona mtu amekuzidi umri unamwamkia kumpa heshima yake. Ndipo akatuuliza nyiye ni wageni hapa? Nasi tukamjibu naam akatuchangamkia nasi tukafurahi nikatamani kununua kitu lkn sikuona cha kunivutia. Kwa kuwa ni mzee na bado anajitegemea kuliko kuomba omba nikamwachia hela mkononi ngapi siri yangu. Akaniombea dua Alhamdullilah.

  • @devisshirima6780
    @devisshirima6780 2 ปีที่แล้ว +6

    Hiyo ndio maana halisi ya MKWARA 😆😆

  • @FatmaothmanFatmaothman-ch5oi
    @FatmaothmanFatmaothman-ch5oi ปีที่แล้ว

    Hata hiyo hela yenye tundu ninzur kwa maradhi ya nyongo

  • @aliyulukiza8857
    @aliyulukiza8857 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mzee yuko makini sana

  • @johnsadik5060
    @johnsadik5060 2 ปีที่แล้ว +1

    wahuni sio watu et tusharudi mwana kwereke weka tena

  • @DjohnSkills
    @DjohnSkills 2 ปีที่แล้ว +1

    @bongozozo aje kununua Pesa apa

  • @petriciajohn1245
    @petriciajohn1245 2 ปีที่แล้ว

    Namuona hapa mji mkongwe dukani kwake

  • @ablashaffy2860
    @ablashaffy2860 2 ปีที่แล้ว +4

    Hahah...huyu mzee yupo nyuma ya ofisi yetu na kila nkienda kazini ndio njia yangu. Nikimsalmia huwa mzito kujibu kumbe anaongeaa

    • @fatmass6125
      @fatmass6125 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂Eti kumbe anaongea

    • @queenlinda255
      @queenlinda255 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣 ni uzee tu msamehee

    • @gracymkumba700
      @gracymkumba700 2 ปีที่แล้ว +3

      itakuwa unamsalimia huku unatembea ndugu jaribu kusimama alafu unamsalimia si unajua umri umeenda

    • @neemazee1864
      @neemazee1864 2 ปีที่แล้ว +1

      Rabda akuskii si unajua age nayo imeenda, na hata macho sizani km anaona mbl Msamehe tu mzee wako

    • @ablashaffy2860
      @ablashaffy2860 2 ปีที่แล้ว

      @@gracymkumba700 hahahahah....poaa

  • @zenadadi1768
    @zenadadi1768 2 ปีที่แล้ว +5

    My Nina shida namba zake nitazipataj

  • @missjesy2205
    @missjesy2205 2 ปีที่แล้ว

    The guy was very handsome those dayz

  • @michaelthobias9967
    @michaelthobias9967 2 ปีที่แล้ว +6

    Huyu mzee White Sana

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว +2

      Mwarabu huyo

  • @samiaalriyami3488
    @samiaalriyami3488 2 ปีที่แล้ว +2

    Millard ayo@ muunganishe na Mama samia ombi lake