PART 2:RAIS WA MATEJA ALIYEKIMBIA KIFO AKICHOMWA NA MOTO "MWASHAJI MOTO ALIKUWA MAPEPE, NIKO HOI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2022

ความคิดเห็น • 252

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 2 ปีที่แล้ว +34

    maashaallah maashaallah unajua kabisa aya za Allah inshaallah mungu atakufanyia wepesi

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 2 ปีที่แล้ว +8

    Aisee pole kaka kwakweli Mungu anatulinda

  • @hawaamohammed6687
    @hawaamohammed6687 2 ปีที่แล้ว +21

    MashaAllah MashaAllah Allah akuongoze njia njema naupate tooba kabla ya Umauti

  • @sirksirk4821
    @sirksirk4821 2 ปีที่แล้ว +4

    Mwenyezi Mungu Mtukufu mwingibwa Rehma akuoneshe njia njema ww na kizazi chako na wengine wote waliokuwa na nia ya kuingia na waliopo kwenye mambo mabaya awaondoe Inshallah.

  • @khadijacali8142
    @khadijacali8142 2 ปีที่แล้ว +6

    Inshaallah mwenyezi mungu atakufanyia wepesi mazito akuondoleeni mepesi akumiminieni atakupa rizik halali zielemee mikononi mwako

  • @mzeewakibegi5105
    @mzeewakibegi5105 2 ปีที่แล้ว +8

    Huyu mtangazaji jau sana akili anazidiwa na teja😂😂😂😂Oya mirrad mpe kazi huyu teja

  • @ignaspius
    @ignaspius 2 ปีที่แล้ว +10

    Dahhhh mungu mkubwa aisee ilikuwa kupoteaa mtuu aisee wananzengoo...wanagongaa🔥🔥🔥🔥

  • @ahmadamigeyo3929
    @ahmadamigeyo3929 2 ปีที่แล้ว +15

    Ova ova, ALLAH atulinde wote!

  • @aishaidd3283
    @aishaidd3283 ปีที่แล้ว +5

    😪😪😪nilijiisi machozi ila mwenyezi mungu amsahe amruzukie shufaa insha'Allah

  • @albertpike6208
    @albertpike6208 2 ปีที่แล้ว +5

    Huyu jamaa hatari sana na elimu Yarabi Mungu amtoe kwenye shimo la giza INSHAALLAH

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 2 ปีที่แล้ว +38

    Mashekh wamshikilie huyu Mungu anaweza kumuonekania. Ni kijana mwerevu tu...sad

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 2 ปีที่แล้ว +1

      Wapiga unga wana maneno matamu utafkiri kisha kuwa Mufti lkn wee😂

    • @aisharamadhani1948
      @aisharamadhani1948 ปีที่แล้ว

      @@hilalalhabsi2047 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kumbe unawajuaee we mtizame kwenye interview ya 1 kavaa taiti ndani na taiti ni ya kike

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 ปีที่แล้ว

      @@aisharamadhani1948 🤣, nishakaa nao haswa. Wapo walonihusu. Ogopa wakikutongoza utatoa tu pesa, halafu watiifu kama wao hakuna. Pwesa tu uone dharuba yao, utajiuliza nguo uliovaa ndani walii vua vipi wakaiiba, 🤣

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw ปีที่แล้ว

      ​@@hilalalhabsi2047 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 2 ปีที่แล้ว +13

    Masha Allah tabaraka Rahman Mwenye Enzi Mungu akuhidi wewe pamoja na sisi na jamii Islam ALLAHUMMA AMEEN YAARAB JAMIAN

  • @zuwenasaleh9613
    @zuwenasaleh9613 2 ปีที่แล้ว +18

    Mtangazaji kwenye Quran kuna aya co rakaa..... rakaa ni kwenye sala.... Allahuyaalam

    • @fahadfahmy
      @fahadfahmy 2 ปีที่แล้ว +1

      watu wengi hawajui Dini yao

    • @djcommxero9139
      @djcommxero9139 2 ปีที่แล้ว

      Sio dini yake maaana hata kama dini hajui vitu kama ivyo muhimu atakuwa anafahamu tu

  • @mayungamohamed4601
    @mayungamohamed4601 2 ปีที่แล้ว +17

    Kaka ni mkweli hukwepeshi maneno mungu akucmamie daima na akupe kauli thabt duniani mpaka akhera amin

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 2 ปีที่แล้ว +15

    Mungu akuongoze wewe na sisi wengine allah atuongoze sote

  • @sadabkari5532
    @sadabkari5532 2 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah Allah atufikishe salama inshaallh uachane nayo

  • @sophiakassim6784
    @sophiakassim6784 2 ปีที่แล้ว +15

    Mtangazaji unazinguaaaaa umeganda tu kumuwekea mike huulizi maswali me nlitegema utauliza wakati anapigwa izo pesa na simu bado ulikua nazo lakn we umekaa tu mpaka ye mwenyewe ndo anatafsiri maana ya pauni ni elf 20,000 daaah kweli waandishi ma professional ni wachache sana Tanzania

    • @kevoooochagga392
      @kevoooochagga392 2 ปีที่แล้ว

      Kafanye wewe

    • @burhanimahmoud8985
      @burhanimahmoud8985 2 ปีที่แล้ว

      Ni ngumu kuwaza yaliyokichwani mwa mtu,yapo mengi ya kumuuliza sio lazima ya kwako.

    • @zachaamaster5378
      @zachaamaster5378 ปีที่แล้ว

      #hao ndio watangazaji mavii

    • @khadjamhozya
      @khadjamhozya ปีที่แล้ว

      Miradi ndo mtangazaji mwenye kipaji pekee

  • @makunja1985
    @makunja1985 2 ปีที่แล้ว +5

    Kaka millard ayo muwezeshe huyo mfungulie madrasa

  • @ramosfally2318
    @ramosfally2318 2 ปีที่แล้ว +10

    inshallah allah akupe wepesi.

  • @zuwenasaleh9613
    @zuwenasaleh9613 2 ปีที่แล้ว +8

    Allah akuongoze

  • @Myright888
    @Myright888 2 ปีที่แล้ว +6

    Mungu akulinde kaka,
    Yaani nimecheka sana eti akakurupukia kwenye defender 😃😃😃😃

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 2 ปีที่แล้ว +6

    Allahu akbar
    Kk fanya toba
    Simamisha ibada ushukuru aliyekuumba amekuokoa ktk mtihani mzito

  • @godfreyleka5839
    @godfreyleka5839 2 ปีที่แล้ว +9

    Msimulizi mzuri, akili kubwa,. Bro kibe yupo vizuri

  • @michaelsiweya4969
    @michaelsiweya4969 2 ปีที่แล้ว +9

    Kufa hukufa... ILa kitimbo cha kunenepa mtu ulipata.... Acheni hizo tabia za ukwapuaji

    • @kassimmohammad3279
      @kassimmohammad3279 2 ปีที่แล้ว +2

      Do not say that bro 😒 muombee kwa mungu aepukane na hii ishu then kumbuka km si wewe bas kizaz chako kinapita njia aliyepita

  • @halimajamaniamekuwamndeme9617
    @halimajamaniamekuwamndeme9617 2 ปีที่แล้ว +5

    Ila huyu Kijana ni mkweli, ila nimecheka sana

  • @mariamali1887
    @mariamali1887 2 ปีที่แล้ว +10

    MashaAllah mashaAllah Allah barik. Dua ya mama jamani musajabu tuwaombee sana dua nzuri watoto wetu. Allah atakupa mwisho mwema .

  • @AbuBakar-fu9ov
    @AbuBakar-fu9ov 2 ปีที่แล้ว +8

    Allah muweza na muokoz wa kila palipo shindkana

  • @vicentmlumba591
    @vicentmlumba591 2 ปีที่แล้ว +10

    Ety shonaaaa ivoivo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌

  • @linahsemindu4261
    @linahsemindu4261 2 ปีที่แล้ว +6

    Kushonwa bila ganz umekoma🤣🤣

  • @reemareemo2698
    @reemareemo2698 2 ปีที่แล้ว +6

    Nauki rudia wakikushika ume kwisha ubadiruke kama niwakubadirika maana nynyi sio rafiki kabisa

  • @abdallahantony9524
    @abdallahantony9524 2 ปีที่แล้ว +8

    Leo nimecheka sanaaa hahahahhaa ovaova

  • @itsmadelemo5378
    @itsmadelemo5378 2 ปีที่แล้ว +7

    Nikaona kwel huyu mzee sio mtu mzur 😂😂😂😂😂😂🙌🖐️👆👆

  • @geoffreykayombo6524
    @geoffreykayombo6524 2 ปีที่แล้ว +9

    Uchungu wa kuibiwa anaujua muibiwaji😂😂😂

  • @martinsamatajr7972
    @martinsamatajr7972 2 ปีที่แล้ว +8

    mtaalamu kibe master kibelela mzee wa triangle ilikua ukikuta dirisha limekatwa triangle ni yy

    • @yusuphwm
      @yusuphwm 2 ปีที่แล้ว

      😆😆😂

  • @sleyumomar3637
    @sleyumomar3637 2 ปีที่แล้ว +7

    Kibe boy mwana

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 ปีที่แล้ว +2

    Masha'allah mungu akutoe ktk hizo pombe... Akuna mkamilifu isipokua Allah...pekee ..

  • @aishaidd3283
    @aishaidd3283 ปีที่แล้ว +1

    Allah ukuruzukie shufaa naisi visha wishi ndiyo vilivyo mfanya aingie kwenye ilo dimbwi mwenyezi mungu atakuokoa insha'Allah

  • @halimasul6018
    @halimasul6018 2 ปีที่แล้ว +7

    Masknii polee snaah usirudie tenaah

  • @aliabdallah8908
    @aliabdallah8908 2 ปีที่แล้ว +3

    Dah mwamba yupo vzr sana allah kakulinda

  • @mamazuu5224
    @mamazuu5224 2 ปีที่แล้ว +5

    Allah akuxamehe hakuna dgamb isio xameheka

  • @remigiusrespicius1856
    @remigiusrespicius1856 2 ปีที่แล้ว +6

    Pole Sana aisee..
    Maskini eti hakupigwa hata ganzi wakati anashonwa

  • @rennybrown-rt8sp
    @rennybrown-rt8sp ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah Allah akujaalie nimefurahishw na wee kwa kur Ann uliyoisoma imenivutia mashaallah Allah akujaze kherii

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Allah akufanyie wepesi inshallah kwakila hitaji lako aameen yarabbi

  • @abubakarharuna6712
    @abubakarharuna6712 2 ปีที่แล้ว +12

    Kweli bongo Raha kuna Rais wamateja🤣

  • @kibeginiblue7188
    @kibeginiblue7188 2 ปีที่แล้ว +8

    Wapili huyu anaongopa kondakta

  • @jaffary3357
    @jaffary3357 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu Mwanetu Sana wa kitaa pale Magomeni Kagera njia panda maeneo ya popo bawa

  • @rosemaryismaily001
    @rosemaryismaily001 2 ปีที่แล้ว +8

    Hahahaha et wanaroho mbay kushonwa bila ganz😂😂😂

  • @Myright888
    @Myright888 2 ปีที่แล้ว +4

    Hahaha eti mamaa nakufaaa, "KUFAA" 😃😃😃😃 washonaji hao sasa 😀😀

    • @MegaAlexison
      @MegaAlexison 2 ปีที่แล้ว

      Washonaji hawana huruma eti hapa unaima mama yako eti unakufa kufa

    • @simoncharles6475
      @simoncharles6475 2 ปีที่แล้ว

      eti shona lijizi hili

  • @mecksondeoneclassic8635
    @mecksondeoneclassic8635 2 ปีที่แล้ว +5

    Daaa hatari mbaya hilo janga hapo bro Kibe fanya kuokoka umjue Mungu tena ukashuhudie matendo makuu ya Mungu utawafany na wengine waokoke

  • @mariamkanyungu3150
    @mariamkanyungu3150 ปีที่แล้ว +1

    Jaman ally kibelelo mtoto wa mama yangu mdogo khadija

  • @omarylukindo5306
    @omarylukindo5306 2 ปีที่แล้ว +5

    Et over over kwa mbaaali,akaona usalama 😂😂wakt akiiba anawakimbia,ila siku hiyo aliona msaada huu hapa

  • @hanifaamani3363
    @hanifaamani3363 2 ปีที่แล้ว +4

    ALLAH AKUNGOZE

  • @jillydezanzibar4435
    @jillydezanzibar4435 2 ปีที่แล้ว +4

    Mpelelezi akupe hela tu ili akuchkue maelezo! Atakuwa hajitambui

  • @nimrodsigulu6249
    @nimrodsigulu6249 2 ปีที่แล้ว +4

    Haya magazeti yetu haya kwa kuripoti wasichojua ..🤣

  • @topzenjymusic384
    @topzenjymusic384 2 ปีที่แล้ว +4

    Magomeni iyooooooooo so powa

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 2 ปีที่แล้ว +2

    Majiz mnazingua sana

  • @rashidahmed8071
    @rashidahmed8071 2 ปีที่แล้ว +2

    Qur an ndio ilio kuokoa na kifo isome sana

  • @michaelabraham8466
    @michaelabraham8466 2 ปีที่แล้ว +5

    Mm nina wasawasi Sana Atarudia hiyo kazi yake maana hata hapo alipo Amesizi

    • @azizayahyah1597
      @azizayahyah1597 2 ปีที่แล้ว

      Kbsaaa

    • @heritier5119
      @heritier5119 2 ปีที่แล้ว

      Mwizi hawezi Acha wizi sababu hana nafsi, nafsi yake imechukuliwa na shetani

    • @hemedmtunguja9788
      @hemedmtunguja9788 ปีที่แล้ว

      Huyu bado anakula unga ila inaonyesha anayachukia hayo maisha ya madawa

  • @nyandajr
    @nyandajr 2 ปีที่แล้ว +2

    Kibe master 🔥🔥🔥🔥

  • @floramlowe7078
    @floramlowe7078 2 ปีที่แล้ว +6

    Jamani Kuna watu wanamoyo.

  • @kajorogang
    @kajorogang ปีที่แล้ว +1

    Watoa comment wote mnahurumia mwizi daah nahs hamjawahi kuibiwa

  • @aisharamadan3620
    @aisharamadan3620 2 ปีที่แล้ว +5

    Masha Allah mungu akupe mwisho mwema

  • @ShabanNgwaya
    @ShabanNgwaya ปีที่แล้ว +1

    Daaah inasikitisha sana

  • @fadhilirajabu2816
    @fadhilirajabu2816 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah akujalie kheri kaka

  • @user-fd8ce8ct2m
    @user-fd8ce8ct2m 10 หลายเดือนก่อน

    Tena mashaallah lakini mungu ndiye anaejuwa siri yake

  • @Issa_negro
    @Issa_negro ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah

  • @yessecharles3155
    @yessecharles3155 2 ปีที่แล้ว +2

    King KIBE

  • @marhaally4444
    @marhaally4444 2 ปีที่แล้ว +2

    Masha'Allah alye'k

  • @ommy_sborn
    @ommy_sborn 2 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah

  • @pastorbaharia598
    @pastorbaharia598 2 ปีที่แล้ว +2

    Okoka ndiyo salama yako,Mkubari Yesu anabadirisha.

    • @azizayahyah1597
      @azizayahyah1597 2 ปีที่แล้ว +1

      Hahaha

    • @salammohammedy9316
      @salammohammedy9316 2 ปีที่แล้ว

      Uyu m uislam ataokokaj wakat allah anamjua awez mtu km uy allah kareem tup uamrish mwema ishaalah

    • @zainabmaulid9637
      @zainabmaulid9637 ปีที่แล้ว +1

      Uyo yesu mwambie akubadilishe we huyu jamaa muislamu mungu yupo pamoja nae%

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @salmamiranzi9075
    @salmamiranzi9075 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nimemsikiliza kwa makini ila nilichoona mm ni taiti ya kike au wenzangu amjaona

  • @Goch46
    @Goch46 ปีที่แล้ว

    Ukipatana na huyu kona mbaya
    Simu inapotea
    Pesa inapepea
    Roho yako mkononi

  • @user-tk1em2qd4g
    @user-tk1em2qd4g 9 หลายเดือนก่อน

    Mbaba haikuwa petrol labda mafta taa petrol usogeze pemben

  • @mashmwed4955
    @mashmwed4955 ปีที่แล้ว +1

    Mash Allah

  • @irenemacha5661
    @irenemacha5661 2 ปีที่แล้ว +4

    Kibe..unastor

  • @bigmzazee2961
    @bigmzazee2961 ปีที่แล้ว +1

    Kibelela triangle 🔺

  • @zubedarichard2311
    @zubedarichard2311 ปีที่แล้ว +2

    Ata Mm nilikuwa nikijiuza na Kila nlipo ambiwa sikuskia ila nilipata matatzo Mpk Nikamrudia mola Wangu 😭🙏

    • @chrispinurio1020
      @chrispinurio1020 ปีที่แล้ว +1

      Pole sn yote mapito

    • @abdullahahmedi9586
      @abdullahahmedi9586 ปีที่แล้ว

      Dah pole sana bect,bora umebadilika mwenyez akusimamie maisha yako

  • @abdumussa2047
    @abdumussa2047 ปีที่แล้ว

    Masereption, mngu akubadilishe shehe amen

  • @rahimukakozi4841
    @rahimukakozi4841 2 ปีที่แล้ว +3

    Allah awe nawe

  • @fatimahirakoze7311
    @fatimahirakoze7311 ปีที่แล้ว

    Mungu akuongoze

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 2 ปีที่แล้ว +5

    Bila kunusurika kifo huyu angeendelea kuwaibia watu pia angeendelea na madawa

  • @lovenessmjaka9754
    @lovenessmjaka9754 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah nimejikut nalia

  • @tingbatuuka7278
    @tingbatuuka7278 2 ปีที่แล้ว +7

    Huyu unga kaacha ila sijapenda anaswali huku kalewa bwi

    • @ibraton4071
      @ibraton4071 2 ปีที่แล้ว +4

      anatoa alosto kwanza wampongeze maana unga ameaxha mwenyewe na ameweza kubalanze bila pombe haez angeshindwa

    • @welcometoeat165
      @welcometoeat165 2 ปีที่แล้ว +1

      @@ibraton4071 kabsa yani

    • @adammtitu2206
      @adammtitu2206 2 ปีที่แล้ว +1

      Hajalewa uyo

    • @godfreyleka5839
      @godfreyleka5839 2 ปีที่แล้ว +4

      Hata usipopenda kwani we Nani?, Kikubwa kamkiri Muumba inatosha we penda familia yako

    • @hanifaalmasi5194
      @hanifaalmasi5194 2 ปีที่แล้ว

      Muombee dua so wasema hivyo muumba ndio anajua kikubwa tuombe mwisho mwema

  • @Kevjoseful
    @Kevjoseful ปีที่แล้ว

    Kwenye maponaji sio kwenye unga...😅😅

  • @kbclassicbeat
    @kbclassicbeat 2 ปีที่แล้ว +6

    Limekufa kweli😅😂😂😂

  • @user-lz3yl4yb5v
    @user-lz3yl4yb5v 5 หลายเดือนก่อน

    Anafurahisha nacheka tu hapa

  • @fazeelshomary2704
    @fazeelshomary2704 2 ปีที่แล้ว +2

    Kiberelo 😁😁😁

  • @nancolower_8032
    @nancolower_8032 2 ปีที่แล้ว +1

    Hicho ulichovaa ndani ni nn broo 😂😂😂

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 ปีที่แล้ว

    Okoka mpe Yesu Kristo Maisha Yako

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki Sanaa.

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu jamaaaaaa endapo angedema nılsema YESU ......
    nıkanusurıka bas wenzetu wangeshamchukua makanısan na kumfanya Ushuhuda yesu anaponya n.k
    Allah ukımuomba anakunusuru kabsaaa kabsaaa
    İbrahim alinusurka na moto !

  • @mnyune
    @mnyune 2 หลายเดือนก่อน

    2024

  • @ezekielloylepayon5042
    @ezekielloylepayon5042 2 ปีที่แล้ว +5

    Kweli chamoto ulikipata umeshatubu dhambi zako

  • @reemareemo2698
    @reemareemo2698 2 ปีที่แล้ว +1

    Chamsingi aachane namarafiki zake wasimtembelee wana mshawiswi

  • @chrisbrezzy59
    @chrisbrezzy59 2 ปีที่แล้ว +1

    Kaka atakuwa ameacha wizi ila mengine sidhani

  • @YousofShaamal-bt3br
    @YousofShaamal-bt3br ปีที่แล้ว

    Vip utatubu au utaendelea

  • @halimajamaniamekuwamndeme9617
    @halimajamaniamekuwamndeme9617 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani na anajua kuruan vizur sana

  • @feisalmwinyi2429
    @feisalmwinyi2429 2 ปีที่แล้ว

    Hahahaha apo alipo yupo vzr bwiiila bwagsii kiainaa.. allah amsaidie kwa iman juu ya iman yke

  • @faithjonathan3845
    @faithjonathan3845 2 ปีที่แล้ว

    Yaani anasimulia hadi nacheka..eti huyu mzee sio mtu mzuri🤣🤣🤣

  • @hamisishabani8864
    @hamisishabani8864 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah Akbar