Kila jambo lina kusudi lake . Mungu anakusudi lake katika hili. Na sikila lenye mfano wa maumivu ni adhabu kuma maumivu mengine Mungu huyaleta ili kupitia hayo upate mlango wa neema yake. Pole sana mtumishi wa Mungu. Ubarikiwe sana.
Wow what kind of man are you mumewangu angelikuwa ivi ningeshukuru anasaidia mkewe kufuwa mm hata nikiwa na shindano mkononi napika na nafanya kazi zangu inauma😊
Ishi maisha upendayo ras majirani wambea wambea sana hasa hapa , Tanzania ukiibiwa usiku watu wanajifanya hawajui lkn ingiza mwanamke usiku asubuhi majirani wambea wote wayasema tumemuona mwanamke kaingia hii ndio Tanzania yetu
Kwani hiyo Imani tofauti tunamzungumzia ibirisi au wote tunamzungumzia Mungu huyohuyo mmoja? Wewe utakuwa na mapepo hata Azana hupigwa alfajiri ya KIARABU wakristu tunajua NI Mungu huyohuyo haitukeli wewe unakerwa na maombi kaombewe Pepo atoke@@edsonnelson4464
Huyu ni mtumishi ukimsikiliza kwa makini na ukamtazama kwa makini utauona unyenyekevu wa utumishi ndani yake. Watu wa bibilia hatumshangai yeye kuwa na rasta maana hata Samsoni alikua na rasta
Pole Sana kakayngu binadam wanapenda kuhukum mtu na Kila mtu anaiman yake na jamii yetu wanapenda ujichanganye Kwa Kila kitu wengne hawako hivyo endelea kk na maisha Yako ila ktk misiba shiriki na ya binadam waachie wenyewe.
Kweli kabisa 😢ndugu manake watu wanajua tu kuhukumu mtu hawajui undani wa mtu ukoje ,hakuna mtu anaependa kuzika mwanae ama 😢ama baba ama mama 😢inauma kwakweli nakila kifo kina sababu zake 😢si kwa wa isilam ama wa kristo 😢
Mtu wa Mungu utamsikia kwa kuongea kwakwe sio watu wote wanaweza kukupenda ktk jamii, Ikiwa Mungu amekuita usiache kumtumikia yeye alie kuita ndie atakupa watu huduma ya kiungu ina changamoto zake hongera kwa Mahojiano mazuri.
ila mtumishi yuko faster kafiwa jana halafu jana iyo iyo kamaliza kila kitu leo mtu akipita nikama hakujatokea kitu vile Yani yeye asha sahau teali AYO ndio kama kamkumbuka machungu
Huko hospitality mbona kuna mochwali NI ya nini Ile cha kujua kifo hakizuiliki iwapo mungu kaamua atakufa popote Hata mbele ya daktali atakufa mungu aliamua @@user-cv7vm1mx9d
Mtoto hakuwa mgonjwa😢 kwa hiyo umemuowa?? Kuna stofahamu hapa , mama wa mtoto yuko wapi. Alafu nikimuangalia huyu jamaa anaonekana mgonjwa . Amemtowa mtoto kafara . Achunguzwe huyu vizuri. Na ifuatiliwe
Mtumishi mnyenyekevu, anahekima na uelewa mkubwa sana
Mungu anamtunza mtumishi wake...
Utumishi wa kumtumikia Mungu unatakiwa kuwa hivi
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Yani yupovizuri kweli adiraha anajuakujielezea❤
Mimi naomba namba zake za simu inayopokea pesa mtangazaji tafadhali sana.
UBARIKIWE SANA kwakweli kwa kuguswa Hilo kwa huyu . Nami ntaiangalia namba ukipewa
Kila jambo lina kusudi lake . Mungu anakusudi lake katika hili. Na sikila lenye mfano wa maumivu ni adhabu kuma maumivu mengine Mungu huyaleta ili kupitia hayo upate mlango wa neema yake.
Pole sana mtumishi wa Mungu. Ubarikiwe sana.
Wow what kind of man are you mumewangu angelikuwa ivi ningeshukuru anasaidia mkewe kufuwa mm hata nikiwa na shindano mkononi napika na nafanya kazi zangu inauma😊
Wewe ni mimi kabisa
Pole sana!
Tupo wengi
hee pole😊
😂😂😂😂😂😂😂 hatar
Pole sana mtumishi kwa likuwa na mtoto ni mapito ni mtihani mtumaini MUNGU
Subuhhallaah 😢Allah atunusuru Na matukio mabaya 🤲
Mume bora ndio huyu anajua majukumu yake mkewe akijifungua sio wale bora mume ila majiran nae wana yao baba wa watu mstaarabu ❤❤❤
Ila huyu mtumishi siyo siri nimempenda sana,kauli zake na hekima zake pia,Mungu amtunze ❤️❤️
Mubaba anajieleza vizuri safi kabisa nimempenda sana
Mtumishi Yuko Vzr Anajibu Vile Alivo Ulizwa
Jmn muacheni aishi maisha yake tatizo watanzania wamezoea umbea na unafki
Kweri kabisa wa bongo Ni wanafiki naebes Tena Wana ushamba sana
Kweri kabsa watanzania Ni wanafiki wambea pia ni washambia
Kweli ni wanafki sana bwana na umbeya ndio kazi kubwa Tanzania
Mtumishi uko vzr naimani hata uduma Yako Iko vzr sana.Pole sana kwakuondokewa namtt
Pole Sana mtumishi mungu akutie nguvu
Pole sana mungu akutanguliy
Pole sana kwakufiwa pia pole na jaribu Hilo binadam tunamengi
Very Humbled man
Pole mtumishi
Mtumishi yupo vizuri. Naomba Mungu anijalie niwezekumpa sadaka siku moja. Iwekwe number yake.
Naomba nsaidie no zake please
Ubarikiwe
Very humbled men❤
Poleni sana
Mtu amefiwa na mwanaye badala ya kumfariji na kumtia moyo wanaendeleza malumbano.
Yani nimtihani
Waandishi bana?
Mtumishi unajibu vema,hongera sana,wewe ni mtumishi kweli,usijali wanachoongea walimwengu.
Pole Baba 😢
Una hekima sana mtumishi umejibu vizuri sana
Ishi maisha upendayo ras majirani wambea wambea sana hasa hapa , Tanzania ukiibiwa usiku watu wanajifanya hawajui lkn ingiza mwanamke usiku asubuhi majirani wambea wote wayasema tumemuona mwanamke kaingia hii ndio Tanzania yetu
Hahika hivi huwa 7bu ni nin haswa
Bwana yesu akutie nguvu wachawi hawataki maombi
Siyo wote wanapenda hayo maombi watu tuna Imani tofauti. Usipende sana kuhukumu
Umenena vyema
Kwani hiyo Imani tofauti tunamzungumzia ibirisi au wote tunamzungumzia Mungu huyohuyo mmoja? Wewe utakuwa na mapepo hata Azana hupigwa alfajiri ya KIARABU wakristu tunajua NI Mungu huyohuyo haitukeli wewe unakerwa na maombi kaombewe Pepo atoke@@edsonnelson4464
Hatareeeee
Inalillahi wainailahi rajuun..mtihani Tz Arusha kuna babapia kazika mwanae na huyopia. Aya heri
Mambo ya Walawi 21:5 Haifai. Wala wasifanye kipara juu ya vichwa vyao, wala wasinyoe ncha za ndevu zao, wala wasifanye kipara.
Huyu ni mtumishi ukimsikiliza kwa makini na ukamtazama kwa makini utauona unyenyekevu wa utumishi ndani yake. Watu wa bibilia hatumshangai yeye kuwa na rasta maana hata Samsoni alikua na rasta
Maradhi ya kawaida ni ya namna gani?
Ayo Tv they are going beyond and very professional AAAA+
Ni mnadhiri wa Mungu, kama Samson, Kwa hivo kuwa na raster sio issue kua haezi kua mtumishi wa Mungu
Samson hakuwa mchungaji
@@paschalpaul3862 alikua Mnadhi ri.. wa mungu na alikua na Rasta kama zingekua hazifai mungu angemwamuru atoe
Wanadamu wanapenda sana kuhukumu
Mke wake yuko wapi
Tunaitaji namba ya mtumishi
Punguza maneno ya mwanzo, ww mtangazaji vp
Pole Sana kakayngu binadam wanapenda kuhukum mtu na Kila mtu anaiman yake na jamii yetu wanapenda ujichanganye Kwa Kila kitu wengne hawako hivyo endelea kk na maisha Yako ila ktk misiba shiriki na ya binadam waachie wenyewe.
Wabongo siziku zote wanakuwaga wanafiki sana kushabikia vitu ambavyo hawavijui kiundani na kumsema mtu vibaya, tubadilike,
Kweli kabisa 😢ndugu manake watu wanajua tu kuhukumu mtu hawajui undani wa mtu ukoje ,hakuna mtu anaependa kuzika mwanae ama 😢ama baba ama mama 😢inauma kwakweli nakila kifo kina sababu zake 😢si kwa wa isilam ama wa kristo 😢
ATA MIMI NAWEZA KUWAMINI MCHUNGAJI UMEMTOA KAFALA MTOTO UDUMA ZAKO ZIFANIKIWE ZA U.PASTOR AYA POLE 😢😢😢
Mtu wa Mungu utamsikia kwa kuongea kwakwe sio watu wote wanaweza kukupenda ktk jamii, Ikiwa Mungu amekuita usiache kumtumikia yeye alie kuita ndie atakupa watu huduma ya kiungu ina changamoto zake hongera kwa Mahojiano mazuri.
Duu Kazi ipo.Sasa hata kama kamzika mwenyewe shida ipo wapi?Mbona watu wana mambo ya ajabu hivi lini tutajitambuwa sisi ?
ila mtumishi yuko faster kafiwa jana halafu jana iyo iyo kamaliza kila kitu leo mtu akipita nikama hakujatokea kitu vile Yani yeye asha sahau teali AYO ndio kama kamkumbuka machungu
sidhani kama ameshasahau, huenda anaumia sana ila hawezi sasa kuendelea kukaa tu na kuhuzunika wakute analia muda wote maisha lazima yaendelee
Watu bwana Moto wao hakuna hata mmoja alejitolea kumchangia ata panadol ila mnataka kumpangia mtu
Allah y'allm
Lakini anajieleza vizuri kwakweli ilatu zip lasta asinge suka
Kila mtu na aishi kwa imani yake.
Cjaona kosa lake
Apo zamani walikuwa manabii hawakunyowa kama wakina Noah na wengineo
Watanzania ni washamba sana wambea wanafiki
Point
Kwa hiyo mfiwa hana ndugu namaanisha mama wa mtt hata ndugu zake hawakuhudhuria msibani maana kweupe km hakuna msiba
Sasa hivi usipotoka kwenye misiba ya wenzio na ww watu wanakususa aache hiyo tabia
Majirani jamani!! Wamtambue ili nini,acheni basi.
Uyu niwale wenye imani kama soloamu ukiumwa huendi hospital msmuhukumu
Sio dunia kuwazoea watu wa aina moja, Biblia inasemaje kuhusu mwanaume kuwa na nywele ndefu?ni aibu na wala maandiko hayaagizi hivyo,nyoa nywele
Muandishi unarudiarudia sana maswali. Interview inaboa
Mwandishi muache mtu amalize kueleza kabla haujauliza swali jingine ,,Sasa mtu hajamaliza kujibu tayari umeuliza jingine mamae
Kweli ni mipengo ya mungu pole
Wachawi hawataki maombi.
MTUMISHI WA kanisa Gani ??? Makaniasa ya ajabu yanachipua Kama uyoga.mmmh!!
We kanisa lako limethibitishwa na nani mpaka uyaite ya wenzio ya ajabu, mbona mnapenda sana kujihesabia haki nyie watu!!??
Huyo atakua na kitu hii sio kawaida.
Alafu anafua yeye mweyewe kheee hii mutakuja kujua ukweli
Kufua nguo za mkewe ni shida?acha ujinga wewe hujitambui nyinnyi ndio majirani wambea sana mtaani
wewe vero jamani ina maana mumeo akikusaidia kufua ana kitu? Mungu atusamehe wanadamu tukisaidiwa maneno tusiposaidiwa hali kadhalika
Ni gaidi huyu na watoto wakiumwa hawapeleki hospital
Huko hospitality mbona kuna mochwali NI ya nini Ile cha kujua kifo hakizuiliki iwapo mungu kaamua atakufa popote Hata mbele ya daktali atakufa mungu aliamua @@user-cv7vm1mx9d
Mungu tuhurumie 😢
Kwa kufiwa...
Rasta amemtoa mwanae kafara afanikiwe marengo yake
Naww mtowewako ufanikiwepia kimaisha
Wanafiki wengi
Mtumishi na mi rasta kichwNi
Mwamba anajibu kama SAM RASTA 😂😂
Rasta man wote wako hivyo, wanajibu kwa utulivu sana
Jamani muacheni baba wa watu Dunia imekuaje jamani
Mtoto hakuwa mgonjwa😢 kwa hiyo umemuowa?? Kuna stofahamu hapa , mama wa mtoto yuko wapi. Alafu nikimuangalia huyu jamaa anaonekana mgonjwa . Amemtowa mtoto kafara . Achunguzwe huyu vizuri. Na ifuatiliwe
Samiraabdimahamed4449 basi unaonaje uende wewe ukamchunguze MTU anamachungu ya kufiwa halafu unasema ujinga wako
Ww ni mgonjwa😂
Kwa kuangalia tu TH-cam umeshatoa hukumu
@@samwelnaal7952 mijitu mengine hovyo kweli 😢😢😢
Kuhukumu wengine ni dhambi
Urudi shule sasa dada samira ukasome ujue kuandika vizuri kaone kwanza
😂😂😂😂😂😂😂😂
Ila huyu mtumishi siyo siri nimempenda sana,kauli zake na hekima zake pia,Mungu amtunze ❤️❤️
Kweli umekosea huenda umemuua huyu mtoto wafukue huyo mtoto wachunguze mwili kama wamembana pumzi
Hapana jamani
Si vzr kutoa comment mbaya na ya kichongezi wakat huna uhakika
😢
Jamani daa hakuna mtu anapenda kufiwa
Ila binadamu bwana sijui mpoje loh
Waanze kukuchunguza wewe huna utimama wa akili