Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@@SANJA0693 kwaaliongeahapo kuhusu Ajenti nikweri mm nilikuanae pale ajentiwetu mmoja ilatu. Nasikiaaliolewa huku na babu kwakujitzmba sijuikimemkuta nini kurudi tz. Naalikua anauza mikirim huku
Jaman wew mukifanikiwa shinda zenu ndo munaasema kusema uongo acha kuchafua mjin ya watu kama umeshindwa kaz baki kwenu si hata tanzania kuna kaz fanya huko huko wee mama
Cha ajabu anatamba anasema anataka kwend had kwa dida kuanika ubaya wa ubarozin eti watz walokuw Oman anaend kutusemea tunayopitia huku...TUMEKUTUMA????😂😂😂😂 mnaotoroka kwa maboss zenu ndio mnaotesekq sabb ya kwend kukaa magheto na kufny umalaya mbon tunaotulia kweny mikataba hatuna hizo mambo😂😂😂😂shame on you😂😂😂😂😂😂
Una hasira na huyu kwani alikubebea mume uko au 😂😂😂😂? Acha kila mtu ajisemeee nafsi yake, kwani akijigamba ww kinakukeraa nn kwa mfano? Naww nenda kwa Didah ukatoa ushuhuda wa uzuri wa warabuuuu mpenz tuache chuki za ovyooo apo unajikuta mzawaaaa wa Oman
Pumbavuzake ana lolote mnafikitu amemaliza mkataba kwa jashola Meno eti nikitakakuogeza mkataba ukiona mwazo mambosio manzuri ludi kwenu sio kukimbilia ubarozi wakupe nini au mimba 😂😂😂 ukatabikenayo
Sorry sorry my iron lady am still here in oman because of you you are the one who you were encouraged me when was in difficulties times in oman be blessed my sweetheart
Kwenye maisha kunachangamoto, wewe nimwanamke mpambanaji, usikate tamaa kwamaneno yawatu , mungu ndio kirakitu, mungu atafanya wepesi utarudi kwa mumeo
Nchi za watu ukienda hakikisha unafata kilichokupeleka, ikitokea mmepishana tu na kilichokupeleka, mateso ndo huanza, hivyo tamaa wakati mwengine si ya kufuata Na wengi wanatoka kwenye maboss walio na mikataba nao kwa kufuata au kusikiliza maneno ya walioko nje kuwa huku kunamshahara mkubwa
Pole sana zanini.undg wangu..lkn sikihiz block hazina nguvu...kaaa mwez tu kama unahitaji kurud rud ru mama hakuna kipingamiz...na waliataka kukomoaaaaa sana
Jaman acheni maneno makali kwa mwezenu kila mtu ana matatizo yake kama halija kukuta ww bas sema alhamdulilah so kwa kumsakata mwezenu kwa uzushi na kumtukana mujielewe bwana mbona munapenda unafiki yie kama huwezi comment tulia tu punguzen jaman unafiki na yy binadamu anaogea yalio mkuta ulikuwepo unapo muogelea kuweni na adabu haiuzwi
Daa pol san mtian kwakwel yan oman uwe na moy wa subrat nauvumilivu mm nip uk ila najitaid kua mvumiliv kwannay pitia namuomb mung kil mda anafanyie wepes nitimiz maleng yang nirud tz nikiwa salam
Mwaka huo kwel hat me nilipita South maan boss alinikatia ticket 🎟 2 alitengeneza visa ya matembezi nilipofika Airport wakanigomea ticket zote zilienda na maji nikapita uko😂😂
Kama kweli hamna kheri hata kidogo mpaka mchanga wa kaburi. Omani mmefungiwa viza kwa mambo yenu ya uongo na kutukana wenzenu. Balozi pia wamemichoka wanaofanya kazi Vizuri wamejenga kwao sio nyinyi wambea mnayosema uongo. Bibi usidanganyike wenzako kivipi upate ajeti mpya bila kupelekwa police. Nakama kweli ulipata tabu vipi unataka kurudi. Viza brock
Wewe Dada Acha uwongo utafanya tufungiwe Kwenda Omani tunalisha family Natunajenga Kama ulikutana Namshashi Mbaya niwewe Ebu Tuache Tufanye Kaz Mashaara Milioni Kwa Mwenyewe Tz Tutaipata wapi Kidhaba Mkubwa wewe
malaya tena fisadi mkubwa huyu kama alikuja kufanya umalaya hayo yaliomkuta ni madaogo mnafiki mkubwa domo lomekishuka kwa unafik na limi limekupolomoka kwa uongo mbwa wewe acha kuongelea mambo yasiokuepo unatafuta kk vua chupi utembee uchi utakua maarufu nyoozako uso umekupaukaaa kwa uwongo
Magufuli alikataaa baada ya video kusambaa wtt wanateswa ughaibuni kote sio Oman tu, Kwahiyo lazima upitie south Africa nasio yeye tu watu wengi walipitiswa uko
@@dorcaskidoti249 sio kweli bwN mm naoge nikiwa middle east tuache kudanganyana bwana labda kama mnapitaga njia za panya 2019 nlikuw bongo ma nikapota hapo Airport na 2020 niakrudi na nikapita na 2022 nilikaja tena 2024 iddi nimekula tz nanapita hap hapo mbona sijawah zuiliwa nyy tatzo lenu mnadangaywa na kuoitishwa bila kujua mnakuja wapi huku
Nyooooooo 120 mpka 150 kwa lipi ulikuwa nalo? We umenunuliwa mnawahoji hao mnaowapa pesa....we unaenda obalozi wakati ulipita njia za panya? Msiwachafulie wenzenu..we Rudi uendelee na maisha yetu tz
@@HabibaHussein-vb1ir ujui kitu tulia wanao jua na wana uwezo wa walumbano wamenyama usijifanye unamjua kumbe ujui chochote tenaa ujui kitu tulia kama una nyolewaa kipala
Sio wabeba 2 niwote zanziba wana vijimambo wakifika ila mee nashukuru mungu nilitumia akili yakumshaweshi nimepata kazi ynye pesa kubwa inabidi tuondoke kwda mascat kwli akakubali nikamwabia inabi tundke tafaut akadagaya mam yeke mgojo akakatiwa tkt akaondoka kutk salalah kwda masecat kaedakw rafikiza nikashukur mana kwaza alikuwakiburi kwng akiwa na maboos mashaallah mara wakajuwa kuwa hakupadageg wanirudia mm kaedawapi huy nikawabi znz kwn alikata tikt ya dar nikwawabia jui wakafugia kisha alieda kwaajit naka rudishwa znz na unafiki ukaishia hapo nikashukru mung kaz inasuga
Kaka sisi wenyewe .wafanyakazi ndio wakorofi..wewe umekuja kufanya kazi za ndani ..unafika huku unaharibu ndoa za watu .yani mijitu kama hiii wapo wengi oman ..yakiwakuta .wanasema .ohoo.bosi kanipiga.bosi kanimwagia maji ya moto..uwongo tu .muache umalaya wenu .huko huko tz
Mimi mama Angu Alifariki mwaka uouo nanilirudi kumzika Ilikua mwezi wa 4 mwe ziwa 6 nikwarudi nanipepita hapo hapo tatizo lenu nyinyi mliokua wengi Munapenda Kuja kwa njia za panya nazima muzuiliwe
@@prettynayally2177 uyu simanyaji Kwakazi ukimuonatu unapata jibu macho yapo juuyautosi Amijichuna mpaka anatisha Ana taka Ashindane rangi na wala u watu dizaini kama hii lazima wapate tabu sana maana Awajaja na jambo Moja sisi wafnyakazi wachuku ndo tunajua
Mungo ww wa zanzibari walikuwa wana kuja kama kawaida wa zanzibari hawana shida kabisa na wa pemba hawana tatizo nn wabara ndiyo muliyo fungiwa unaona ni muongo hakuna mushahara 150 muongo umbwa hyuuu 😢😢😢😢
Huyu anaonekana anamdomo na mjuwaji ndomana umeshindw na wamekushindwa .hata kama nimme atashindwa hapo pagumu .mbele yakulaumu mabos labda mjichunguze na nyiye tatizo lenu .
Ndo mana mna buluzwa kwa kuogopa kuongea mtaonekana mna midomo na wajuaji una buluzwa leo adi kwa mungu uba buluziwa kwenye moto kwa ajili ya nizamu ya uoga
Sio kwamba palifungwa Kuna vitu ulitakiwa ukamilishe kama mfanyakaz, Tanzania mpaka leo kama hauna vilivyokamilika uwezi kupita kwaiyo magumashi ya eirpot kwa dar miaka yote yapo
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
mtafteni na agent hawa waongo sana madem 😂😂
Global tafadhali muwe mnatuletea watu wenye shida na uhitaji kweli na si huyu dada, tafadhali muwe mnachuja watu KABLA hamjawaleta hewani.
Kwahayo aloelezea ni kweri mm nilikuwepo ila muendelexo ndiyo nausubili na mm nipohuku huku na pambana Ajenti wetu mmoja @@SANJA0693
Haswa huyo mdada jaman hapan Oman hakun asomfham kwa ukorof na kuwachamba watu😂😂😂😂😂😂
@@SANJA0693 kwaaliongeahapo kuhusu Ajenti nikweri mm nilikuanae pale ajentiwetu mmoja ilatu. Nasikiaaliolewa huku na babu kwakujitzmba sijuikimemkuta nini kurudi tz. Naalikua anauza mikirim huku
Pole mama Allah akuhifadhi.
Dada Mkubwa umebarikiwa, umeshafika home Allahamdulilah
Poroja sis tunapig kaz tunainhiz kila mwez😂😂😂
Jaman wew mukifanikiwa shinda zenu ndo munaasema kusema uongo acha kuchafua mjin ya watu kama umeshindwa kaz baki kwenu si hata tanzania kuna kaz fanya huko huko wee mama
Pole Sana dadangu hata mm Niko uwarabuni NI kweli anacho sima sister
AKA BACHUCHU MOMBASA 001
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Pole tupo pamoja zanini ❤❤❤
Udugu adi interview 😊atar sna nimekumis ludi oman bn❤🎉
😂😂😂😂😂 🎉🎉🎉🎉 Simjui illa nimempendaaaaa
😂😂😂😂😂😂
Kama na wew umesikia anasiku 3 tu toka atoke Omwan gonga like apa tuendelee na kipnd 😂😂😂
Umenishindaaa tabiyaa
Mdomo hyuu ww ulikuwa unajiuza tunalujuwa ss wa Tanzania wenzako😢😢😢
Aweeeeeh mzaramo wangu pole mpambanaji mwenzetu tupo Pamoja!
ngoja nilicheke kwanza hili limalaya la mbagala 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Pole sana sana saaana mdogo wangu
Dah pole sana zanin
wee sematu upwiruuu ulikuzidi acha kutuharibia wenzako 🤐
😂😂😂😂acha nicheke tu
Mm nilikuja mwaka huo nampaka leo nipo 😅😅oman oyeeeeeee
Na mm yaan cjarud hata bongo
Na mimi mwaka huohuo nimebadilisha boss lkn home sijarudi
@@zainabchumu8559 mm sasa sijabadiliaha hata nyumba navyoogopa nimetulia hapa
@@zainabchumu8559wajina nenda kasalimie
Oyeeee
Mkija kufanya kaz fanyen kazi achen tamaa yakiwashinda mnalaumu pole
Cha ajabu anatamba anasema anataka kwend had kwa dida kuanika ubaya wa ubarozin eti watz walokuw Oman anaend kutusemea tunayopitia huku...TUMEKUTUMA????😂😂😂😂 mnaotoroka kwa maboss zenu ndio mnaotesekq sabb ya kwend kukaa magheto na kufny umalaya mbon tunaotulia kweny mikataba hatuna hizo mambo😂😂😂😂shame on you😂😂😂😂😂😂
Una hasira na huyu kwani alikubebea mume uko au 😂😂😂😂? Acha kila mtu ajisemeee nafsi yake, kwani akijigamba ww kinakukeraa nn kwa mfano? Naww nenda kwa Didah ukatoa ushuhuda wa uzuri wa warabuuuu mpenz tuache chuki za ovyooo apo unajikuta mzawaaaa wa Oman
@@dorcaskidoti249Kwanza ungelinyamaza tu maaan hyo unaesema hpa ana ndoa na muarabu. Aseme ukweli wke lakn si apange uwongo
Pumbavuzake ana lolote mnafikitu amemaliza mkataba kwa jashola Meno eti nikitakakuogeza mkataba ukiona mwazo mambosio manzuri ludi kwenu sio kukimbilia ubarozi wakupe nini au mimba 😂😂😂 ukatabikenayo
@@morjanoman5181 angalia part,3
@@RitbayRitbay poa
Sorry sorry my iron lady am still here in oman because of you you are the one who you were encouraged me when was in difficulties times in oman be blessed my sweetheart
Then the are people who bring hatred to the truth.
Kinachoshangaza mkija Omani mnateswa sasa mnakuja kufata nini haaaa bakieni makwenu msichafue miji ya watu
Yaani kwakweli hata aibu hatuja
Sikilizenikwanza mjue anaitajinini msimlaumutu. Kwani. Wabaya si wote na waxuri siwote Dunianzima.
😊😊😊😊😊 ata mtume kasema today ukatafute ww kama mwarabu usingejuwa kiswahili imeisha iyo
Wabaya kote wapo kuna wabaya na wazuri ninamiaka uku lakini kwa mwarabu mswahili sitaki
@@HanifaOman-oo4plyanajiropokea tu
Pole zanin nakupenda dada
Kwenye maisha kunachangamoto, wewe nimwanamke mpambanaji, usikate tamaa kwamaneno yawatu , mungu ndio kirakitu, mungu atafanya wepesi utarudi kwa mumeo
Pole zanini far kumbe umesharud bongo pole sana
Wew sindoulokuwa ukijishauwa ulipochukuliwa mzig ukajirikod inahashukw ww usituharibie jiongelee pek yak sis tupo tunasak rial ww tafut umaaruf 😂
Hamna fadhila wala shukran kazi zenu hizo kuchafua nchi za watu
Sasa wanawafadhili nini wkt mnanyanyasika
Pole sana udugu wangu
Nchi za watu ukienda hakikisha unafata kilichokupeleka, ikitokea mmepishana tu na kilichokupeleka, mateso ndo huanza, hivyo tamaa wakati mwengine si ya kufuata
Na wengi wanatoka kwenye maboss walio na mikataba nao kwa kufuata au kusikiliza maneno ya walioko nje kuwa huku kunamshahara mkubwa
Sasa visa ukatiwe na mwingine na uwende kwingine😮😮
Inawezekana
Huyo ana matatizo mengi sana na muongo.
Pole sana Dada angu ❤️
Poli dadangu mitehania tumiumbiwa ss binadamu mungu Yuko na ww
Ukimsikiliza tu unajua shida ipo wapi, naona hata reporter amekuwa confused. Story haina mwanzo wala mwisho
Huyu dada ukimsikiliza ni pumba tu na ni mswahili mno
kazi ambao siiwezi ni.kutoroka kwa Boss
Hayajakukuta kaakimya
C ndo nyie wazeee wa kubuluzwaa kama mizoga
@@HanifaOman-oo4pl😅😅kabisa
@@faumarley5707😅jamn sasa tuki toroka.. Passport je mi nawaza had na umwa 😢😢
@@faumarley5707BASI YUPO KWAO SASA HATABURUZWA TENA
😂😂😂😂😂sema mapenzi yamekushinda usipige zogo na pia umependeza shukuru
Punguza chuki ufanikiwe ukizembea unaenda kufa na umaskini wako 🥴
@@faumarley5707😅umeniwahi vijitu vingine vinaropokwa kwa kuwa havijapatwa na matatizo
Ungeliskia matus aliyonayo huyu mwanamke na hpo anapolia ndio utamjua alivo
@@RitbayRitbay af atukani uyo anahofu kubwa ya mungu sio kama wwe mnafki mnafki
@@faumarley5707 hofu ya mungu na zle voice zinazosambaa ni nan kwanza ww ndio hyo mwenyewe watu wameshakujua
Pole dada ndo maisha
Pole sana zanini.undg wangu..lkn sikihiz block hazina nguvu...kaaa mwez tu kama unahitaji kurud rud ru mama hakuna kipingamiz...na waliataka kukomoaaaaa sana
Anarudi kufata nini wakati kunamateso
La l
We mama mwogo hunayibu unatafuta Kiki 😮😮😮
Oman amani tu huyo dada miongo sana
Cjui nicheke ana vip kifup kimekuramba 😂😂😂😂
Dyadyaaah mbaya weuweeeeeee 😂😂😂😂😂😂😂
@@Nash-o8qwho are you my wang😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Roho zaifuu ndomana utoki na usipo badiriaka umaskini unaenda kukutesa adi uzeeeni kwako
Wanaocoment ujinga hawamjui vizur huyu mdada
Zanini maashaallah nakukumbuka kipenzi tulikua wote kwa joha. Kumbe umerudi Bongo. ❤❤
Joha wako wawili bi joha au joha
Mm wangu bijokha mabella
@@SalmaUmmuhussain ndiyo huyohuyo
@@husnathabiti4114 bijoha
Bibi jokha si mpendi yule Bibi ana roho mbaaya ana zulma kubwa sana malipo ni hapa hapa dunian
Zanin km zanin😂😂😂ushindwi kitu
Jaman acheni maneno makali kwa mwezenu kila mtu ana matatizo yake kama halija kukuta ww bas sema alhamdulilah so kwa kumsakata mwezenu kwa uzushi na kumtukana mujielewe bwana mbona munapenda unafiki yie kama huwezi comment tulia tu punguzen jaman unafiki na yy binadamu anaogea yalio mkuta ulikuwepo unapo muogelea kuweni na adabu haiuzwi
Mzunguko mrefuuuuu point no😮 sijaelewa chochote yaan....
Apo uwezi kuelewa mpaka uwe na A mbili
😂😂😂😂 sijaelewa anataka nn
@@faumarley5707😂😂😂😂😂😂
@@auntmakochela4202 utaelewa tu sibado upo
@@faumarley5707hayajamfika ataelewa nn😅
Daa pol san mtian kwakwel yan oman uwe na moy wa subrat nauvumilivu mm nip uk ila najitaid kua mvumiliv kwannay pitia namuomb mung kil mda anafanyie wepes nitimiz maleng yang nirud tz nikiwa salam
Oman hamuna mateso huyo anataka 2 sifa mitandaoni iliajulikane mushenzi sana nakomwe lake kama la mangekimambi
Ushafika home aza upya maisha popote ndugu yng ukiona mpk umeshindwa kwenda tena omani kwa huyo mumeo jua kabisa sio ridhiki yako
Mjengoni ndo ulikuwa ukijiuza Mungu akushinde Kwa kusema uongo mtupu
Huyo muongo namjuwa vizuri sana na Ana haribu ndowa za watu na mchawi mkubwa
Kwanza upemba si kabila pumbavu huyu
Kwel kabisa me nimeon sehem hap kwenye vissa 😂😂😂 me sio mgen hap ndo nimeona muong na unga wake aliojimwqgia uso kma tope😂😂😂
😂😂😂😂😂 kublockiwa wanaejua njooo hapa eti kujivua 😂😂😂 kublockiw uwezi ingia oman na uwezi kufanya kaz hap oman😂😂
Please please please
Mdomo ndounaponz kichw 😂😂😂😂😂😂😂
Pole San my
Nimekupenda.dada.zanni
Naomba kujua dada umepitia agent wangapi 😢
Wadada wasiotulia kwa mabosi zao ndio wanaoteseka wanataka pesa nyingi za nje na ndio zinazowaponza wanajikura wamefiiika poleni sana
We usimalize maneno hakuna mtu anataka kuhangaika funika kombe mwanaharam apite omba mungu ivoivo apo ulipo uishi kwa amani ndio lakuomba
Mwaka huo kwel hat me nilipita South maan boss alinikatia ticket 🎟 2 alitengeneza visa ya matembezi nilipofika Airport wakanigomea ticket zote zilienda na maji nikapita uko😂😂
Watu uku tunaishi na mshaara tunalipwa riare 90. Na maisha yanasonga
Hayo majungu si mnayapeleka wenyewe waTz ndo kwa maana nchi nyingi watu wanaogopa midomo mirefu na roho mbaya ila kazi hampendi wavivu sana na wahuni
Pole ndugu yangu kwa mitiani
Kama kweli hamna kheri hata kidogo mpaka mchanga wa kaburi. Omani mmefungiwa viza kwa mambo yenu ya uongo na kutukana wenzenu. Balozi pia wamemichoka wanaofanya kazi Vizuri wamejenga kwao sio nyinyi wambea mnayosema uongo. Bibi usidanganyike wenzako kivipi upate ajeti mpya bila kupelekwa police. Nakama kweli ulipata tabu vipi unataka kurudi. Viza brock
Wewe Dada Acha uwongo utafanya tufungiwe Kwenda Omani tunalisha family Natunajenga Kama ulikutana Namshashi Mbaya niwewe Ebu Tuache Tufanye Kaz Mashaara Milioni Kwa Mwenyewe Tz Tutaipata wapi Kidhaba Mkubwa wewe
malaya tena fisadi mkubwa huyu kama alikuja kufanya umalaya hayo yaliomkuta ni madaogo mnafiki mkubwa domo lomekishuka kwa unafik na limi limekupolomoka kwa uongo mbwa wewe acha kuongelea mambo yasiokuepo unatafuta kk vua chupi utembee uchi utakua maarufu nyoozako uso umekupaukaaa kwa uwongo
Kwanza kusema kulifugwa kuja nchi zan kiarabu muogo 😂😂😂😂mbakuja njia za panya
Magufuli alikataaa baada ya video kusambaa wtt wanateswa ughaibuni kote sio Oman tu, Kwahiyo lazima upitie south Africa nasio yeye tu watu wengi walipitiswa uko
@@dorcaskidoti249 sio kweli bwN mm naoge nikiwa middle east tuache kudanganyana bwana labda kama mnapitaga njia za panya 2019 nlikuw bongo ma nikapota hapo Airport na 2020 niakrudi na nikapita na 2022 nilikaja tena 2024 iddi nimekula tz nanapita hap hapo mbona sijawah zuiliwa nyy tatzo lenu mnadangaywa na kuoitishwa bila kujua mnakuja wapi huku
Hawa wanarogana wakifika nje ya Africa ndio wanarushiana mikosi kisha wanasema kuna mateso ughaibuni
Huyu bibi jisura lake tu linaosha la uongo na la kichawi unazuwa tu kwani alikwita aende kule nani mjinga tu
Mkwe wangu wee MZARAMO HALIS MUKE YA MUSHASHI❤❤
Mshashi yupi?????? Watu mnapend kukuza mambo
@@usher_bambi94wwe ndo kama ujui ulizaaa uambiwee
@@usher_bambi94mwanasheria sijapenda 😅😅😅😅😅😅
Nyooooooo 120 mpka 150 kwa lipi ulikuwa nalo? We umenunuliwa mnawahoji hao mnaowapa pesa....we unaenda obalozi wakati ulipita njia za panya? Msiwachafulie wenzenu..we Rudi uendelee na maisha yetu tz
Umewenza.sana.udugu
Hawo madada kila mtu huku wanamuita mpemba Omani wengiwetu kutoka bara na kisukuma tunakijua
Uongo mtupu subhanallah halafu mwataka kuja jamani msiharibie wenzenu
Aongope ili apate afaida gani kwa vile wwe muongo unazani kila mtu na weza kuongopaa,uo ndo ukweli tulia subili party 2 ili uelewe vizur
Kweli asituharibiye kabisa
Unaujua uongo wake km haumjui nyamaza sie tunaejua tunaelewa nn kimetokea
@@HabibaHussein-vb1ir ujui kitu tulia wanao jua na wana uwezo wa walumbano wamenyama usijifanye unamjua kumbe ujui chochote tenaa ujui kitu tulia kama una nyolewaa kipala
@@faumarley5707siku yakimkuta atajua huyu dada anamaanisha nn
2019 tulikuwa wote South Africa
Kimekucha huku jaman Team Strong mukuje mukuje Mama kakaribishwa mjengo mpya watorokaji mtajiju🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tupoo
Sio wabeba 2 niwote zanziba wana vijimambo wakifika ila mee nashukuru mungu nilitumia akili yakumshaweshi nimepata kazi ynye pesa kubwa inabidi tuondoke kwda mascat kwli akakubali nikamwabia inabi tundke tafaut akadagaya mam yeke mgojo akakatiwa tkt akaondoka kutk salalah kwda masecat kaedakw rafikiza nikashukur mana kwaza alikuwakiburi kwng akiwa na maboos mashaallah mara wakajuwa kuwa hakupadageg wanirudia mm kaedawapi huy nikawabi znz kwn alikata tikt ya dar nikwawabia jui wakafugia kisha alieda kwaajit naka rudishwa znz na unafiki ukaishia hapo nikashukru mung kaz inasuga
Kaka sisi wenyewe .wafanyakazi ndio wakorofi..wewe umekuja kufanya kazi za ndani ..unafika huku unaharibu ndoa za watu .yani mijitu kama hiii wapo wengi oman ..yakiwakuta .wanasema .ohoo.bosi kanipiga.bosi kanimwagia maji ya moto..uwongo tu .muache umalaya wenu .huko huko tz
Unasema saanna
WALA hayaeleweki
Jamaniii 🤣🙌
Daah weee nakukubari imeisha hiyoooooo
Pole sana udugu wng
Pole dada wote tupo oman anaesema nimuongo allah atamlaani hayo nimagumu nikweli yatatokea
Watu wanasema uongo kwa kuwa hayajawakuata naona
Ww ungelimjua vzr ungelinyamza maaan ana matus na hyu kaolewa huku oman
Mimi ni mtanzania ila watu wako tofaut hivyo asizungumzie wingi awake umoja katika historia yake
Sadakta
Mie nashaur tufungiwe na serikal tusije Oman bas!! Walokuwepo ndo washakuwepo wakimaliza mida yao warud tz,
MAKUBWA SIBULIOLEWA WW UKASEMA PICHA ZAKO ZISISAMBAZWE 😂😂😂😂
Kajisambaza😢
Acha presha andika taratibuu tukuelewe af tukujibu
@@faumarley5707SAWA KUWADI 😂😂😂
Hamkulazimishwa kuja oman msichafue nchi ya watu
Acha kujitoa ufaham ukishawahi kuona wao wanaokuja kwetu wanafanyiwa vitu vibaya tulia huko kama huwez kuwa namaneno yahekima
Mkisha pewa majina ya walabu Bax nanyie mnajikuta walabu koko kiasi kwamba mpo tayari kusimama kama machawa pare wanapo halibu mbwa nyie
Mimi mama Angu Alifariki mwaka uouo nanilirudi kumzika Ilikua mwezi wa 4 mwe ziwa 6 nikwarudi nanipepita hapo hapo tatizo lenu nyinyi mliokua wengi Munapenda Kuja kwa njia za panya nazima muzuiliwe
Nd hat mm nashanga
@@prettynayally2177 uyu simanyaji Kwakazi ukimuonatu unapata jibu macho yapo juuyautosi Amijichuna mpaka anatisha Ana taka Ashindane rangi na wala u watu dizaini kama hii lazima wapate tabu sana maana Awajaja na jambo Moja sisi wafnyakazi wachuku ndo tunajua
Yani kama kuna warabu wapole watulivu ni wa Omani .. hi hadithi anapiga hakika haijipangi kwakweli huyu balaaa tuu
Mungo ww wa zanzibari walikuwa wana kuja kama kawaida wa zanzibari hawana shida kabisa na wa pemba hawana tatizo nn wabara ndiyo muliyo fungiwa unaona ni muongo hakuna mushahara 150 muongo umbwa hyuuu 😢😢😢😢
Allah kareem
Muongo uyo alikuja kudanga sisi tupo nnamiaka 6 Sasa m muongo Omani safiii
Ss jamani unaujuzi wote huo si ungetulia kwenu
Huyu anaonekana anamdomo na mjuwaji ndomana umeshindw na wamekushindwa .hata kama nimme atashindwa hapo pagumu .mbele yakulaumu mabos labda mjichunguze na nyiye tatizo lenu .
😂😂😂
Jeur sio kidgaesana ty tunamjua huyu 😂😂
Ndo mana mna buluzwa kwa kuogopa kuongea mtaonekana mna midomo na wajuaji una buluzwa leo adi kwa mungu uba buluziwa kwenye moto kwa ajili ya nizamu ya uoga
@@Muslim-gs6rnimeeekuumaa eeh poleee ndo ukubwa uo itapoa
@@faumarley5707 mie iniume nini sasa umeelewa lakini
Muwongo huyo anaongea uwongo katoroka kwa boss wake tunamjuwa kila kitu wakishafika nchi za kiarabu
utulivu kwenye kazi kwako ilikuwa ziro plus usitake kutia watu hofu
Naomba huyu kaka aliye fanya hii interview aje kututembelea Oman,, na atakuwa mgeni wangu siku 5 , tkt na hoteli
Tangu lini mnapewa 120 huku mnanzGa rial 80
We mkataba mpya 120 kwa Mtz msikariri maisha
Sio kwamba palifungwa Kuna vitu ulitakiwa ukamilishe kama mfanyakaz, Tanzania mpaka leo kama hauna vilivyokamilika uwezi kupita kwaiyo magumashi ya eirpot kwa dar miaka yote yapo
mtihani
Chakwaza ulimaliza mkataba WA kwaza ukaitaji kulinyuu mkata mwingine mkashindana malipo kwanini usiludi tz ubalozi wakusaidie nn sasa
Uyu dada namjua nimekaaa nae mjengon