NILIJIFANYA MZIMBABWE ILI NIZAMIE ULAYA | NILIDHANIWA UGAIDI | WAZUNGU WAKO VIZURI KWENYE MAPENZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 เม.ย. 2024
  • Norbert ameeleza Safari yake ya maisha kutoka Tanzania mpaka Sweden
    Namna alivyoamua kuzamia na kujilipua ukimbizi..
    Changamoto alizokutana nazo, alijificha miaka miwili anakimbiaapolisi.
    Mahusiano yalivyompa Chance ya kuishi Sweden na changamoto za mahusiano
    Changamoto za kulea familia na kujitafuta Ulaya
    Thank you Norbert for allowing this to be online
    www.oda.international

ความคิดเห็น • 85

  • @user-xn8jh1yw1h
    @user-xn8jh1yw1h 2 หลายเดือนก่อน +8

    Novati ulikuwa na bahati ya mtende! Mwenzako alikuwa na mapenzi ya kweli.

  • @MadinaMalk-yd6kp
    @MadinaMalk-yd6kp 2 หลายเดือนก่อน +7

    Nice interview da shena na kaka Robert ❤️❤️❤️💐

  • @celestinekimaro8996
    @celestinekimaro8996 2 หลายเดือนก่อน +5

    Hizi experiences ukizikusanya zinatosha kutengeneza kitabu kizuri kwa vijana wetu

  • @user-xn8jh1yw1h
    @user-xn8jh1yw1h 2 หลายเดือนก่อน +4

    Novati ni bora sana uliweza kupambania maisha ya ndoto zako!

  • @theresiamilanzi5907
    @theresiamilanzi5907 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kaka yangu bora maisha nimapambano sana❤

  • @mohammadumarzavallah9719
    @mohammadumarzavallah9719 2 หลายเดือนก่อน +6

    Good experience brother

  • @jade75798
    @jade75798 2 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani pateni passport za nje then jinsi tutajenga Nchi yetu ya Tanzania .anayepata tu passport ya nje anione kupitia shena

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 2 หลายเดือนก่อน +5

    Hii interview 🔥🔥🔥,God bless you guys

  • @hassankhamis344
    @hassankhamis344 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kawewe umeongeyaa ukweli lakinii alokuwa hajakaa ulayaahuwa hayajuwii

  • @praxedaandrewkato7472
    @praxedaandrewkato7472 2 หลายเดือนก่อน +4

    When you come to Europe, and you Luke to have boyfriend or girlfriend both of you get baby is easy to have a stay. But watu ingine wakitaka enjoy only diyo wengine warudishwa home.

  • @devothasimbi6495
    @devothasimbi6495 2 หลายเดือนก่อน +9

    Point ya kurudi nyumbani uzeeni nimeipenda naogopa sana kuzeekea ulaya

    • @evakabete2944
      @evakabete2944 2 หลายเดือนก่อน

      Mimi pia naogopa sana kuzeekea ulaya .

  • @user-iz9ci4rs3d
    @user-iz9ci4rs3d 2 หลายเดือนก่อน +7

    Bro Mungu akubarki sana 😂😂😂😂😂

  • @SHABANIDILUNGA
    @SHABANIDILUNGA 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nimependa joins unovoogea kiswahil.vzuri wangekua fulani hp pangekua yes no

  • @Joliegal834
    @Joliegal834 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hii inteview nzuri sana

  • @omarimahela7690
    @omarimahela7690 2 หลายเดือนก่อน +2

    Best interview

  • @atutweve4160
    @atutweve4160 2 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mi sio mzimbwabwe mie Mrundi 😂😂

    • @helinahenry2363
      @helinahenry2363 2 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂😂Mimi siyo mrundi ni Mtanzania🤣🤣🤣🤣 yaani ningekuww Lawyer wake ningezimia

  • @adamummy4363
    @adamummy4363 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nimesikiliza muda mrefu lakini nimemuona huyu jamaa ni mimi kabisa mie mzungu mwanzo mwisho kwa hili nimekuelewa mno 😂😂😂

  • @ericknkyalu3791
    @ericknkyalu3791 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mchanaki, it is good to see you. Karibu Finland

  • @neemaseiler1122
    @neemaseiler1122 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ht mimi akitoka mzungu ataingia mzungu❤

  • @atislady3400
    @atislady3400 2 หลายเดือนก่อน +4

    Sema kaka lizuri ili

  • @hassankhamis344
    @hassankhamis344 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sauti ya kaka iko na mikwaruzo sana shena

  • @sekikigosi8265
    @sekikigosi8265 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera kaka Robert.

  • @user-wy9sv6rn3b
    @user-wy9sv6rn3b 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mbona bado mdogo tu jipange uende shule.

  • @PauloNdinganya-mm5tk
    @PauloNdinganya-mm5tk 2 หลายเดือนก่อน

    Hapo sawa

  • @evampuya-mp9vf
    @evampuya-mp9vf 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tunakuskia vzr

  • @gilliardgodfriend5745
    @gilliardgodfriend5745 2 หลายเดือนก่อน +2

    JAMAA KAELEZA POA SANA HASWA KUHUSU
    GHARAMA
    WATOTO
    KAZI
    LUGHA
    NA PIA KUFANYA KAZI KWA BIDII, NA SWALA LA KUISHI ULAYA MDA MREFU NI KUVURUGA NDOTO SANA ZA NYUMBANI YAAANI UKIAMUA KUISHI ULAYA MDA MREFU USIRUDI NYUMBANI KIZBE😂 UTAAABIKA SANA😊

  • @SipeKato
    @SipeKato 2 หลายเดือนก่อน

    Hapo sawa sawa

  • @allyjambia2091
    @allyjambia2091 2 หลายเดือนก่อน +2

    Stan bwana etii hili lishenzii 😅😅😅

  • @axmedcumar6196
    @axmedcumar6196 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani is a hustle maisha ya Ugaibuni especially kwa Sisi ambao tumeishi muda mrefu huku mbele
    Bro umeongea madini ambayo mtu wa nyumbani hawezi kukuelewa

  • @user-rr1ri7nw7q
    @user-rr1ri7nw7q 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera umepambana

  • @SipeKato
    @SipeKato 2 หลายเดือนก่อน

    Lekebsha spikaa atuskii vizuri Sheena stori Hy mkaka

  • @AshaKassim-tu7gz
    @AshaKassim-tu7gz 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwanaume anaongea vzr..ingekua mwanamke hapo mh mashauz kibao

  • @videralfred8889
    @videralfred8889 2 หลายเดือนก่อน

    Wamama wote❤ 🎉

  • @user-ys3oy1li2d
    @user-ys3oy1li2d 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @praxedaandrewkato7472
    @praxedaandrewkato7472 2 หลายเดือนก่อน +2

    I hope ajamaliza all Trapia fish 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @modricnoma3686
    @modricnoma3686 2 หลายเดือนก่อน

    Aaaah Bro bhana miyeyusho kweli yani dah! huko mwisho umemalizia kwa hisia 😂😂😂😂😂😂

  • @praxedaandrewkato7472
    @praxedaandrewkato7472 2 หลายเดือนก่อน +1

    Brother, you are too funny. Jirani wetu sverie 😂😂😂😂

  • @shamzone388
    @shamzone388 2 หลายเดือนก่อน +3

    Shena eid mubarak

  • @debbiethomas9825
    @debbiethomas9825 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi narudi nyumbani,.... Tena mapemaaaa.....

  • @jocelyneedward
    @jocelyneedward 2 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂😂😂Haki Mzee wako alikuwa mtata

  • @amoskagika8884
    @amoskagika8884 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hii interview tamu sanaaa😂😂😂

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mtani wangu kumbe 😂

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 2 หลายเดือนก่อน +2

    Bado mimi sikubaliani na kauli ya wanaosema kuzeekea ulaya ni mateso. Ninawajua wazee wengi sana Africa wanateseka hata huo ugali wao hawauoni. Mtu anaweza kutesekea popote. Cha muhimu nikujipanga tu. Tafiti zikifanywa za wazee wanaoteseka Africa ni wengi sana sana. Na wako kwenye mji wao.

    • @ashaidei5680
      @ashaidei5680 2 หลายเดือนก่อน +3

      Yes kuna ukweli, mimi ninachoona, ukiwa mzee magonjwa yanakuwa mengi sasa kwa Africa kupata check up za bure mara kwa mara ni mtihani lakini ulaya wazee likija suala la matibabu automatic wanapata huduma, ila sasa ulaya kuna upweke ukizeeka si ndio itazidi mahesabu ni magumu ngoja tuone.

  • @mariambakari8065
    @mariambakari8065 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka kajua kugunguka ukweli mtupu

  • @praxedaandrewkato7472
    @praxedaandrewkato7472 2 หลายเดือนก่อน +1

    Inkaza sana

  • @praxedaandrewkato7472
    @praxedaandrewkato7472 2 หลายเดือนก่อน +2

    Akula kod 😂😂😂😂

  • @doreenmakori7056
    @doreenmakori7056 2 หลายเดือนก่อน

    Awww my brother mchanake

  • @helinahenry2363
    @helinahenry2363 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 nimecheka hapo kwenye kupangisha nyumba ya Mzee

  • @helinahenry2363
    @helinahenry2363 2 หลายเดือนก่อน

    Mtani wangu, kaka angu aliyatimba🤣🤣🤣

  • @mohdnasser3620
    @mohdnasser3620 2 หลายเดือนก่อน +1

    Samahani sauti sio Zuri

  • @fridanyoni2867
    @fridanyoni2867 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sauti inakwaluzika

  • @hassankhamis344
    @hassankhamis344 2 หลายเดือนก่อน

    Zipuuziee simu kaka mambo yatakuwa hayaendi hap tupo ulaya kaka

  • @saadasuleiman1427
    @saadasuleiman1427 2 หลายเดือนก่อน

    Eid mubraj

  • @curtzgiey2400
    @curtzgiey2400 2 หลายเดือนก่อน

    First comment mua❤❤❤

  • @samuelmwakasungula178
    @samuelmwakasungula178 2 หลายเดือนก่อน

    Duu ulaya kutamu, ngoje Nije na mimi ijapo kilometa zimesoma

  • @JaniferMichael
    @JaniferMichael 2 หลายเดือนก่อน

    Tunasiki sasa

  • @user-jg1gb9oe8j
    @user-jg1gb9oe8j 2 หลายเดือนก่อน +1

    Niko turky hatuskii

  • @PauloNdinganya-mm5tk
    @PauloNdinganya-mm5tk 2 หลายเดือนก่อน

    Ina kwama kwama

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi kwanini winter tunapata depressed?

  • @abuufawzan4289
    @abuufawzan4289 2 หลายเดือนก่อน

    @Yaani hapa umepata wakuinterviw ni chapu kwa haraka 🤭

  • @mwanaidibakari3657
    @mwanaidibakari3657 2 หลายเดือนก่อน

    Shenna sauti ya kaka yetu inakwaruza

  • @user-pj3eb2bo4o
    @user-pj3eb2bo4o 2 หลายเดือนก่อน

    Stanley😂😂

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂

  • @user-ys3oy1li2d
    @user-ys3oy1li2d 2 หลายเดือนก่อน

    Dada please nitafutie na mm mzungu

    • @nurumwangoka5924
      @nurumwangoka5924 2 หลายเดือนก่อน +4

      Akutafutie vipi kwani hamumsikiii kila siku anawaelekeza namna ya. Kupata wazungu

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  2 หลายเดือนก่อน +2

      Thanks dear
      Manake hilo swali linachosha jamani

    • @shamzone388
      @shamzone388 2 หลายเดือนก่อน

      Bora mswahili mwenzio uishi kwa raha kuliko kupata mzungu akakutesa na kukuuwa

    • @neemaseiler1122
      @neemaseiler1122 2 หลายเดือนก่อน

      Ingia darasani kwa shena ujifunze kupata huyo mzungu,au jiunge na website kafungua

    • @evakabete2944
      @evakabete2944 2 หลายเดือนก่อน

      Mimi nitafutie mtanzania mwenzangu huko na mimi nikutafutie mzungu huku UK 🇬🇧

  • @haikaelkiwia9705
    @haikaelkiwia9705 2 หลายเดือนก่อน

    Bado mnaishi pamoja kama make ?

  • @bintibaibe1958
    @bintibaibe1958 2 หลายเดือนก่อน

    Ila wanaume wa Tanzania wanapenda mterezo sana

  • @kosherasengasu5093
    @kosherasengasu5093 2 หลายเดือนก่อน

    Musoma kubwa kwenu wapi?😂