WAITALIANO NI KAMA WAZARAMO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 พ.ค. 2023
  • Pendo anakwambia wewe kama unahitaji kuishi Ulaya basi simamia ndoto yako kwani inawezekana kabisa.
    Utamaduni wa waitaliano na changamoto za kua mrs Mzungu Bongo.
    Thank you Pendo for allowing this to be online.
    www.Oda.international

ความคิดเห็น • 69

  • @elieshishamy9622
    @elieshishamy9622 7 วันที่ผ่านมา +1

    Shena leo pendo kaongea vizur sana ,me sipendi kuishi ulaya mana kupelekeshwa staki😅 labda waje bongo na uyo rich me simtaki nataka mtu mwenye utu 😅 😂😂

  • @adolfinaandrea5234
    @adolfinaandrea5234 ปีที่แล้ว +10

    Inatengemea Mme wako anatokea mkoa upi,Wataliano wako tofauti sana,wazuri na wabeya sana pia wapo wazee ni wazuri wanapenda waafrika wengine wanatusema tuko nyani.Nipo Italia nawashauri muwe makini kupata mtaliano Wa uhakika,wanachija wake sana akiwa na hasira anaua wote.Dada salini sana kutafuta mchumba ili kuepuka mateso.

    • @pendoclement6672
      @pendoclement6672 ปีที่แล้ว +3

      Hii dunia kila sehem kuna watu wazur na wabaya ( uamuz wa mtu mwenyewe) huku Tanzania sasa hiv ukianza kuhesabu nani kachinja mkewe utaishia kusema watanzania wabaya tena wanachinjana wenyewe, kuna nchi ina. Kuna nchi ina crime scenes zinahusiana na mahusiano kama America? Je utasema ni wabaya wote ? Tusiwatetee ila tusiwaogepeshe watu wakat sisi tunaowaambia hawa watu wabaya tupo huku hatuondoki 😅....

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  ปีที่แล้ว

      Kama hutojali, naomba siku moja nifanye interview na wewe.. +4367764790884

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  ปีที่แล้ว

      Well said Pendo

    • @regulashine8854
      @regulashine8854 11 หลายเดือนก่อน +1

      Daah ndiyo nasikia mbona Mimì nipo Italia miaka zaidi ya miaka 16 na nimeolewa Italy hayo mambo sijaona. Mauwaji yapo ni kidogo siyo km Tz sheria inabana sana ukimpiga mwanamke unafungwa

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 9 หลายเดือนก่อน

      Makubwa 😊

  • @ruuhbakary
    @ruuhbakary ปีที่แล้ว +8

    Dada pend nimempend bure tu amesem ukweli ajatukatisha tamaa km mwengin wanasom ulaya akuna uzur wwt yy amesem ukwl wt Mungu akupe maisha marf ww na family yk ❤️

  • @burundishallsmile1day109
    @burundishallsmile1day109 หลายเดือนก่อน +1

    Very Smart guest you have🙂👍🏽

  • @MauwaKyakimwa
    @MauwaKyakimwa หลายเดือนก่อน

    Jambo Dada mimi ni mkongo penda siku moja tu zugumzee, ila swahili lenu ngumu

  • @user-iz9ci4rs3d
    @user-iz9ci4rs3d 9 หลายเดือนก่อน

    Kwel kabisa yaan ❤❤❤

  • @JosephineMwendwa-my7qc
    @JosephineMwendwa-my7qc 8 หลายเดือนก่อน

    Shena unafanya kazi nzuri Sana congrats

  • @Witnessvlog
    @Witnessvlog ปีที่แล้ว +2

    Dada yangu umewezaa pendo ❤❤❤. Good to see you here

  • @yesuanikumbukejanuary8363
    @yesuanikumbukejanuary8363 ปีที่แล้ว +2

    Kwakweli ulaya ni kuzuri hongereeni tuna ona nyuso zenu zina pendeza saana.

  • @TamashaKokusiima-re7is
    @TamashaKokusiima-re7is ปีที่แล้ว +3

    Hongera dada zangu

  • @deuskusaga8156
    @deuskusaga8156 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana endelea kutupa habari 👏👏👏

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky ปีที่แล้ว +2

    Good information Thank you Pendo

  • @user-iz9ci4rs3d
    @user-iz9ci4rs3d 9 หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda hii 😂😂😂😂😂

  • @joasitz9559
    @joasitz9559 11 หลายเดือนก่อน +1

    Your doing a wonderful job na huyo dada yupo very openly 😘

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 ปีที่แล้ว +3

    Be bless sll

  • @edwardouma1630
    @edwardouma1630 ปีที่แล้ว +1

    Am so glad for conversation but i hope I will learn more experience about to get married online am a Tanzanian but am working in Nairobi Kenya am jewelry artisan

  • @istvantoth3682
    @istvantoth3682 5 หลายเดือนก่อน +1

  • @user-vm5yf8cs2r
    @user-vm5yf8cs2r หลายเดือนก่อน

    WA ITALIAN WENYE UPENDO HALI YA JUU

  • @elizabethjohn7177
    @elizabethjohn7177 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana tunaedea kujifuza

  • @taturamadhan5940
    @taturamadhan5940 9 หลายเดือนก่อน

    Wataliano hapana

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nimempenda huyu. Somo zuri.,hana makuu. Thats me.

  • @johnkiganga6014
    @johnkiganga6014 ปีที่แล้ว +1

    Uko sawa

  • @pendo8082
    @pendo8082 ปีที่แล้ว +3

    Story nzur sana

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 7 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤😂😂

  • @kanikiommy5167
    @kanikiommy5167 11 หลายเดือนก่อน

    Wazaramo watoto wamjini og awaigi

  • @aminakawawa5800
    @aminakawawa5800 ปีที่แล้ว +5

    Story za wataliano sipendi kusikia kabisa hao wanageuza nyuma sorry kama nimekosea kesi nyingi ni hizo 🤲🤲🤲🤲🇹🇿🇦🇹

    • @pendoclement6672
      @pendoclement6672 ปีที่แล้ว +3

      Pole amina nahisi umekutana na upande mmoja wa watu wachache ,hakuna jamii ina watu clean peke yake labda malaika wa mbinguni, Italy iko na watu zaid ya 40' s millions.hizi ni person habits sio country character,kama tukisema hivyo basi kila mtu atakuja na nchi yake ya kwanza hapa.ila Pole kwa experience history mbaya ila 🇮🇹 kuna watu bora sana 😊

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  ปีที่แล้ว +4

      Pole kwa changamoto Amina, Ila hizo ni tabia za watu binafsi hata nyumbani Tanzania kuna watu wa hivyo.. je utasema wanaume wa Tanzania wanapenda kwenda kinyume?

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  ปีที่แล้ว +2

      Well said kabisa

    • @aminakawawa5800
      @aminakawawa5800 ปีที่แล้ว +2

      @@OfficialDatingAssistance hizo kesi nasikia sana kwa rafiki zangu hao ni mila yao 🤲🤲🤲

    • @aminakawawa5800
      @aminakawawa5800 ปีที่แล้ว

      @@pendoclement6672 sijawahi kutana nazo ni rafiki zangu wanaongea simjui umenielewa lv

  • @hassankhamis344
    @hassankhamis344 3 หลายเดือนก่อน

    Hiyo nikweli washa zoweya kudanganywa hawa watu

  • @thegoldenqueentz970
    @thegoldenqueentz970 10 หลายเดือนก่อน

    😂

  • @mohammadumarzavallah9719
    @mohammadumarzavallah9719 5 หลายเดือนก่อน

    Lol

  • @johnkiganga6014
    @johnkiganga6014 ปีที่แล้ว +2

    Find me a white, girl,name nmechoka na black

  • @ruthcharles2074
    @ruthcharles2074 ปีที่แล้ว +1

    Wanapataje mm nimejarbu apps kibao hazina mkwel how can l get the one for me .Ni app gani hio ina watu honestly

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  ปีที่แล้ว +1

      Apps zote zinawatu serious na watu wasioeleweka
      Kikubwa ni kujua mbinu za kufanya mtandaoni

    • @BerthaKihanga-qd5hy
      @BerthaKihanga-qd5hy ปีที่แล้ว +2

      Sitaki umbea, Shennah ni mrembo sana,na tunashukuru kwa madini jaman.

    • @user-vr7ou4xe2q
      @user-vr7ou4xe2q 2 หลายเดือนก่อน

      Naomba kuukiza ata wanaume wanawekutumia izo ap​@@OfficialDatingAssistance

  • @TamashaKokusiima-re7is
    @TamashaKokusiima-re7is ปีที่แล้ว +1

    Dada naomba namba yako ya wasp kuna kitu nataka unishauri