HAKUNA NDOA ISIYOKUA NA CHANGAMOTO | WATU WAKIFIKA NG’AMBO WANAKATAA KISWAHILI |NYUMBA ZA IBADA USA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ส.ค. 2023
  • ‪@jkizondoswahilibites434‬ ametupa darasa kubwa sana Leo kuhusu utamaduni wetu waswahili, tamaduni za watu wengine na maisha ya Marekani.
    Uislam ambavyo unaheshimiwa nchini Marekani, malezi ya watoto na changamoto zake na jinsi yeye anavyokabiliana nazo.
    Ametupatia darasa la ndoa kwa kiasi lakini ni maneno mazuri ya kutia akilini ambapo mwenye akili atayaelewa kwa kina.
    Please subscribe to her TH-cam channel kujifunza Mapishi na mengi zaidi ‪@jkizondoswahilibites434‬
    Thank you Jimila Kizondo for allowing this to be online.
    www.Oda.international

ความคิดเห็น • 137

  • @fatmaissa5685
    @fatmaissa5685 10 หลายเดือนก่อน +9

    Jamila mdogo wangu nakupënda wewe ni zaidi ya mwalimu na mwanamke mswahili unayejitambua jazakha allah kheir

  • @ankaah1230
    @ankaah1230 11 หลายเดือนก่อน +7

    Jamani hadi raha kumsikiliza uyu dada, nimempenda ni mpambanaji sana.

  • @mangadullah3422
    @mangadullah3422 11 หลายเดือนก่อน +4

    That's Our Sis...
    Wamombasa Tujuane 👋🏾👋🏾👋🏾

    • @skorahmgala8736
      @skorahmgala8736 11 หลายเดือนก่อน

      Asante sana dada zangu kwa somo zuri na mungu awabariki sana na mwenye kuelewa ameelewa

  • @paulinewangila-cs6ys
    @paulinewangila-cs6ys 11 หลายเดือนก่อน +4

    Woow nafurahia kuona mmoja wetu akituwakilisha vizuri Mombasa ❤🇰🇪🇰🇪

    • @paulinewangila-cs6ys
      @paulinewangila-cs6ys 11 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa kutukumbusha kama Wakenya,ila haya yote yanatokana na utafutaji,huwezi enda nchi za wazungu uongee Kiswahili na hawakifahamu,tafadhali tukiwa nchini mwetu tunaongea Kiswhili❤

  • @asiaminja3556
    @asiaminja3556 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nampenda huyu dada mrembo mwenyewe na ana akili namfuatilia kwa kurasa zake na jinsi anavyowafundisha Kiswahili watoto wake mpaka raha❤❤❤❤

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 5 หลายเดือนก่อน +2

    Namuomba Allah ajaalie mama jamila niwe mkwe wako nimuoe bint yako

  • @wahidashabaz814
    @wahidashabaz814 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda jamila na mimi napenda unavyojidai na tamaduni yako ipo siku nami nitaanza kuonyesha tamaduni yangu ya kitanzania nikiwa haapa oman

  • @husseinjongo7588
    @husseinjongo7588 27 วันที่ผ่านมา

    Kumbe ilikuepo hii asee🔥
    I love my sister jamillah

  • @user-wm5lg8xg1c
    @user-wm5lg8xg1c 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ampenda Jamila anavyoishi na familia yke...huwanacheka sana anapo Fanya utani na familia yke. Na mapishi yke..nafuatilia sana ❤❤

  • @halimahbwelele694
    @halimahbwelele694 11 หลายเดือนก่อน +6

    Nimekupenda sana dd , MashaAllah mungu akuzidishie

    • @jkizondoswahilibites434
      @jkizondoswahilibites434 11 หลายเดือนก่อน +2

      Nakupenda pia kwa ajili ya Allah ❤❤ Ameen

    • @husna34562
      @husna34562 10 หลายเดือนก่อน

      Amiin

  • @glorymasy7687
    @glorymasy7687 11 หลายเดือนก่อน +3

    Nimekunda bure dada tunaendelea kupata madini
    Ubarikiwe 🙏

  • @rizikichamosi7551
    @rizikichamosi7551 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah dadangu wewe ni mama bora kwa watoto allah akuogoze inshallah nahasiliyako Alhamdulillah

  • @marijanimohamed8875
    @marijanimohamed8875 10 หลายเดือนก่อน +2

    moja kati ya interview bomba sana African kabisa chawa wa wazungu nyie ndio kiboko yao big up

  • @user-zp4dc7jc3d
    @user-zp4dc7jc3d 8 หลายเดือนก่อน +1

    Dada shena hongera sana kwa hiki kipindi chako huyo dada anafundisha sana watu wajue maisha mazuru yakuwaje ili uwe nayo , wewe mtu!. Dada Asante sana hapa Kila aliekuwa na sikio asikie na kufunguka😊

  • @rahimaally6044
    @rahimaally6044 11 หลายเดือนก่อน +5

    Masha Allah nimejifunza kitu leo🥰🥰🌹🌹😘thank you jamila. Allah akuhifadhi. 🌹Allah akulipe kwa faida nilioipata kupitia wewe🌹🌹

    • @sophiakassim6784
      @sophiakassim6784 10 หลายเดือนก่อน +1

      Hakika tumejifunza wengi

  • @user-mw5xs2wx8n
    @user-mw5xs2wx8n หลายเดือนก่อน +1

    Wengi wakifika nchi km hizi hubadili maadili lkn ww na mimi na wengine bado twajistir ingawa ni changamoto twaonekana washamba ila tupambane dunia na akhera

  • @NattiePeter
    @NattiePeter หลายเดือนก่อน

    Nzuri sana asante dada jamila ❤

  • @ashafaulkner
    @ashafaulkner หลายเดือนก่อน

    Umenifurahisha kwa suala la hao hawataki kusema wao Africans

  • @azizafue
    @azizafue 9 หลายเดือนก่อน +1

    Masha Allah tabarakaallah Allah awazidishie kwa kila kheir Kwa juhudi zenu mumetupa mafunzo mazuri na maneno kuntu nawapenda bure ❤❤❤

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 5 หลายเดือนก่อน +1

    I wish insha Allah namm nitaenda USA na napenda sana nikaishi Atlanta Georgia au Minnesota miniepolis

  • @loycemukali2195
    @loycemukali2195 11 หลายเดือนก่อน +5

    Dada umenifurahisha sana na umenipa sababu ya kupambana maana na mm napenda kupika sana na ninatafuta fursa Ili niitumie vizuri

  • @javajava3461
    @javajava3461 11 หลายเดือนก่อน +4

    Vizuri dadangu hongera kwa sanaa

  • @user-vm5yf8cs2r
    @user-vm5yf8cs2r 3 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah tabara Rahman
    Umesema neno mzuri SAANA Iyo Ni funzo Kwa jamii
    Wewe una SoMo mawaidha tosha

  • @user-mw5xs2wx8n
    @user-mw5xs2wx8n หลายเดือนก่อน +1

    Dashena leo pua mbona km unataka tuletea odo hivi😂😂au macho yangu tu jmn

  • @kadhyanassor5046
    @kadhyanassor5046 2 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah sister Jamila umetupa sote sote hata waarabu hujatuacha umetupasha....😂😂😂

  • @khadijaali9042
    @khadijaali9042 10 หลายเดือนก่อน +2

    Jamila kizondo air line😂😂inshaallah mola akujalie

    • @husna34562
      @husna34562 10 หลายเดือนก่อน

      Amiin

  • @asharamadhani3462
    @asharamadhani3462 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana dada Jamila kuwa kutusaidia watu tunaokaa nje umejibu maswali mengi sana ❤❤❤❤

  • @mariamtumwebaze389
    @mariamtumwebaze389 10 หลายเดือนก่อน +1

    Manshallah jazakalahu khail ❤❤❤❤

  • @JaniferMichael
    @JaniferMichael 8 หลายเดือนก่อน

    Shukran sana

  • @habibbeiyye
    @habibbeiyye 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂nimefurahi.....mpaka....nacheka wakati wote....Mashallah Dada Jamila...........Allah akuongoze.....akupe maisha...marefu.............

  • @sophiarwehumbiza209
    @sophiarwehumbiza209 10 หลายเดือนก่อน

    Asante Dada Jamila Blessed

  • @MartinaMsimbe-qk8ug
    @MartinaMsimbe-qk8ug หลายเดือนก่อน

    Nampenda huyu Dada❤❤❤❤❤ ananifurahisha Sana, anachekesha😂😂😂😂

  • @user-rs3pp8fi1o
    @user-rs3pp8fi1o 11 หลายเดือนก่อน +1

    Uko vizuri sana dada Jamila. MUNGU akubariki!❤

  • @shalibrutsch-vlog
    @shalibrutsch-vlog 11 หลายเดือนก่อน

    Mpishi mwenzangu. Asante sana kwa hii video Nimejifunza kitu.

  • @ireneimbuhira7759
    @ireneimbuhira7759 8 หลายเดือนก่อน +1

    Love her so much ❤ 💕 💗

  • @asharamadhani3462
    @asharamadhani3462 11 หลายเดือนก่อน +2

    Asante kwa funzo la ndoa dada❤❤❤❤❤

  • @luchekayoohy
    @luchekayoohy 11 หลายเดือนก่อน +1

    Good job dadaetu Shena ubarikiwe sana

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 11 หลายเดือนก่อน +3

    'alhamdulillah'
    umeongea kweli yako,allah akuongoze wewe
    na familia yako.
    ameen

  • @elizabethguga7396
    @elizabethguga7396 10 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda sana jamila mdogo wangu nakupenda sana vituko vyako vyanikocha🎉

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 7 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah da Jamila umeongea vizur Sanaaa Allah akulipe kher InshaAllah nakufuatilia sana na ninakupenda sana kutokana na jins unavyoish ktk missing ya din pamoja na familiar yako Allah awalinde Amin yarrab 🤲 ❤❤❤❤

  • @fatmakombo9793
    @fatmakombo9793 6 หลายเดือนก่อน

    Dada nimekupenda buree umetujibia maswali vizur❤❤❤

  • @Jeff_Tz
    @Jeff_Tz 11 หลายเดือนก่อน +2

    Da Jamila Kizondo ana kiswahili kizuri sanaa sanaa

    • @chumchum1526
      @chumchum1526 7 หลายเดือนก่อน

      Kiswahili cha mombasa

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le 10 หลายเดือนก่อน

    Dah dada jamila umenifumbua macho vitu vingi sana, nmekuelewa sana sana mungu akubariki leo dunian na akhera🙏

  • @trizereve3386
    @trizereve3386 10 หลายเดือนก่อน

    Jamila umenifunza vitu vingi hapa shukran Nakupenda dadangu

  • @Adam.k202
    @Adam.k202 7 หลายเดือนก่อน

    Safi dada

  • @joyceKingu
    @joyceKingu 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi ni msomi pia. Nina degree mbili. Napenda kupika . Anna nianze napi kutumiz kipaji change. Inspiring story.

  • @firdaushamid8200
    @firdaushamid8200 10 หลายเดือนก่อน

    Mashallah Mungu akuhifadhi

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaalah hachoshi kumzikiliza

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 10 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @sophiakassim6784
    @sophiakassim6784 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wallah huyu dada napenda sana hasa nilianza kumfuatilia kwenye ile clip yake yeye na mumewe ya Vitombuaaa vitombuaaa heeey mahamriii mahamrii anajitahidi sana kuendeleza utamaduni wake na kujivunia kiswahili

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 8 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi mungu akutangulie

  • @rizikichamosi7551
    @rizikichamosi7551 11 หลายเดือนก่อน

    Kweli dada uko sawa kabisa wewe dadangu yani masha allah tabarakaallah

  • @rehemadaudi4390
    @rehemadaudi4390 7 หลายเดือนก่อน

    Dada mzuri Safi Sana

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 10 หลายเดือนก่อน

    Shukran sna dada Jamila nimekupenda bureee nimejifunza vitu hapa

  • @user-to6dh2un9i
    @user-to6dh2un9i 8 หลายเดือนก่อน

    Jomani Nakupenda Ww Dada... I wish I wish Tuonane

  • @aromaofzanzibar
    @aromaofzanzibar 11 หลายเดือนก่อน +1

    Jamila leo umenikosha kwa ukweli wa watu wanaokataa kwao hasa wale wa Arabuni ♥️

    • @jkizondoswahilibites434
      @jkizondoswahilibites434 11 หลายเดือนก่อน +1

      Aaah da Mkubwa ni hasara hizi za ndugu zetu kujikataa watokako, wanajidhalilisha mno aisee! Shukran kwa comment dadangu ❤️

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar 11 หลายเดือนก่อน +1

      @@jkizondoswahilibites434 interview nzuri mashallah nimejifunza mengi tu..Take care

    • @khadijamohamedy4492
      @khadijamohamedy4492 11 หลายเดือนก่อน

      @@jkizondoswahilibites434 nakupenda

    • @wahidashabaz814
      @wahidashabaz814 8 หลายเดือนก่อน

      Nakupenda dada kwa mapishi mashallah

  • @user-iz9ci4rs3d
    @user-iz9ci4rs3d 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nafurahi sana na hiz Elimu ❤

  • @annamallya8756
    @annamallya8756 หลายเดือนก่อน

    ❤️❤️❤️❤️

  • @jacklinemrina456
    @jacklinemrina456 11 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @mariamtumwebaze389
    @mariamtumwebaze389 10 หลายเดือนก่อน

    Shukulan Sana darling ❤❤❤❤

  • @user-to6dh2un9i
    @user-to6dh2un9i 8 หลายเดือนก่อน

    Dada Jamila

  • @hassankhamis344
    @hassankhamis344 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli kabisaa dadaa

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 11 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @salehemganga1081
    @salehemganga1081 11 หลายเดือนก่อน

    Very informative interview. Ahsante.

  • @user-wy6tv5uq5c
    @user-wy6tv5uq5c 7 หลายเดือนก่อน

    We love u jamila

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 11 หลายเดือนก่อน

    Kishingo-shingo 👍👍

  • @ShabahMob-rx5zc
    @ShabahMob-rx5zc 10 หลายเดือนก่อน

    Dada salami alakumu 😊

  • @jennifermmanyema6693
    @jennifermmanyema6693 10 หลายเดือนก่อน

    Jmn nimekupend dada jamila

  • @zahramohammed2337
    @zahramohammed2337 11 หลายเดือนก่อน +3

    Hapo kweny kujipendekeza na lugha za watu nilikutana na mtazania mwezangu zubalaa nakwambia ni kiarabu tu ndio anaongea adi nikamwambia mimi ni mswaili ivyo tuongee tu kiswahili kama uwezi kwaher 😂😂 wapo kama malimbukeni yaani

    • @helinahenry2363
      @helinahenry2363 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 aaiih

    • @helinahenry2363
      @helinahenry2363 11 หลายเดือนก่อน

      Mwingne ukiwa mgeni anaongea na waarabu wanakutetaa uwiih, imenikuta hyo😂😂

  • @mahtygullam6399
    @mahtygullam6399 11 หลายเดือนก่อน

    Tumejifunza mengi leo..❤❤

  • @halimahbwelele694
    @halimahbwelele694 11 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂uswahili tumeuacha uwanja wa ndege

  • @jumaiddy-jm5wo
    @jumaiddy-jm5wo 8 หลายเดือนก่อน

    Jamila kanifurahisha sana. Mimi mwenyewe nipo huku miaka 25. Yaani kasema ukweli tu.

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo 11 หลายเดือนก่อน

    Mashallah nakupenda sana dd jamila Allah akupe Kila laher ❤❤❤❤

  • @AgnesinSweden
    @AgnesinSweden 11 หลายเดือนก่อน +3

    Wow darasa zurii Mashaallah ❤❤

  • @abedkarume9088
    @abedkarume9088 11 หลายเดือนก่อน

    Hahaha 😄😄😄😄 hapo Kwa kulia

  • @rizikichamosi7551
    @rizikichamosi7551 11 หลายเดือนก่อน +1

    Shukurani dadangu wewe yani kama mimi na mume wangu

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 11 หลายเดือนก่อน +3

    Tena Wakenya wamezidi kujifanya popote walipo wanajua Kithungu kuliko kiswahili au kilugha chao. Utumwa uliwakamata wakakamatika

    • @annamussa185
      @annamussa185 11 หลายเดือนก่อน +2

      Wananikera sana Basi tu

    • @jkizondoswahilibites434
      @jkizondoswahilibites434 11 หลายเดือนก่อน +3

      Sio wakenya tu ni wengi hata watanzania niko nao hapa hawataki Kiswahili

    • @ukhutfatumah1154
      @ukhutfatumah1154 10 หลายเดือนก่อน +1

      Wananichoshaga Mie mnooo Hawa jiran zetu aise

    • @fahimamahdi2509
      @fahimamahdi2509 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@jkizondoswahilibites434⁹i

  • @verynicemoshi9959
    @verynicemoshi9959 10 หลายเดือนก่อน +1

    Shena mdgo wangu tunaomba Fili back ya Yule dada ambae aliomba msaada akamuone Mzungu wake Alie kuwa mgongwa

  • @eunicemwalsumo2166
    @eunicemwalsumo2166 6 หลายเดือนก่อน

    Mume wa Jamila ni mislamu au mkristo

  • @rizikichamosi7551
    @rizikichamosi7551 11 หลายเดือนก่อน

    Hahaha nakusikiliza nafurahi yani hacha tuu

  • @jkizondoswahilibites434
    @jkizondoswahilibites434 11 หลายเดือนก่อน +2

    Shukran sana ❤❤❤ dadangu

    • @halimamfaume1925
      @halimamfaume1925 11 หลายเดือนก่อน +1

      Aunty Jamila tunakupenda❤❤❤ mimi ni rafiki yake Fatma Swaleh yule mtoto wa dadako

    • @jkizondoswahilibites434
      @jkizondoswahilibites434 11 หลายเดือนก่อน

      @@halimamfaume1925 nakupenda pia!! Sasa wewe pia ni mwanangu basi ❤️

    • @fatoomaaziz2549
      @fatoomaaziz2549 11 หลายเดือนก่อน

      Mashallah dada nakupenda sana allah azid kukuhfadhi umenipa darasa kubwa sana

  • @sweet16honey75
    @sweet16honey75 11 หลายเดือนก่อน

    Dada wa kwetu huyo kasoma Na mdogo wangu

  • @glorymasy7687
    @glorymasy7687 11 หลายเดือนก่อน

    Ha ha haaaa hatar et nimeukung'uta air port

  • @mamaharry15
    @mamaharry15 4 หลายเดือนก่อน

    Wapashe

  • @shifaaal-baity4503
    @shifaaal-baity4503 8 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa hata mimi sitaji siri za nyumba yangu kabisa

  • @ireneimbuhira7759
    @ireneimbuhira7759 8 หลายเดือนก่อน

    Hapo kwa Jamila airline nime cheka 😂😂😂😂

  • @jacklinemrina456
    @jacklinemrina456 11 หลายเดือนก่อน

    Hey wanachanganya hahahhaha

  • @wrdahss672
    @wrdahss672 3 หลายเดือนก่อน

    uku Saudia piya nihivyo yani mutu hataki kuzugumuza kiswahili

  • @fatmaalbeity9097
    @fatmaalbeity9097 10 หลายเดือนก่อน

    Tusitupe asili zetu za kimila na kidini popote tulipo umekuwa kiigizo chema dadangu Allah akuhifadhi wewe na family yako

  • @RadegundaChambi-ec7yw
    @RadegundaChambi-ec7yw 8 หลายเดือนก่อน

    Dada una akili sana hawa watu weupe ni masikini Wa kutupwa sema ukweli wote wasfrica wakina mtu yuko nje wanafaidi wenyewe wanalala na njaa mm Niko Italy maisha ni magumu kuliko Africa

  • @mjumbewaaganoduniani
    @mjumbewaaganoduniani 10 หลายเดือนก่อน

    Ndoa ya Mjumbe wa agano pekee haina changanoto, toka nimeoa sijaona changanoto. Ni mpya Kila siku. Nialike nifundishe,

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 10 หลายเดือนก่อน

    Yaaan nimejisikia raha mwanzo mwisho 😅😅😅

  • @khadijaabdulaziz8297
    @khadijaabdulaziz8297 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asslama Alaykum vipi hali ukhti shana vaa mtandio

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 8 หลายเดือนก่อน

    Yani umenikosha

  • @fauziaahmed9747
    @fauziaahmed9747 11 หลายเดือนก่อน

    Jamila maneno sadata watuwengine wanaogopa kusema nawatoto nawanaharibu kwa gemu dio malezi yao mtoto wa nahifadhi gamu kushinda dini zao makosa ya wazee

    • @Judy-dy4zt
      @Judy-dy4zt 8 หลายเดือนก่อน

      Ni kwer

  • @user-ir5ec5jn3w
    @user-ir5ec5jn3w 6 หลายเดือนก่อน

    Dada Shena unamuona mwenzio Anavaa Hijab na anajivunia na yuko Marekani?
    Na anajivunia tamadani zake wee unashindwa nini?

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  6 หลายเดือนก่อน +1

      Kutokuvaa Hijab hakumaanishi sijivunii nilivyo.. Stop judging, stop comparing na kujifanya unanijua sana, kwani hivi pia sio katika mambo yanayompendeza Allah.

    • @user-ir5ec5jn3w
      @user-ir5ec5jn3w 6 หลายเดือนก่อน +1

      @@OfficialDatingAssistance Hiv unajua kama kuvaa Hijab it's a Command from Allah NOT a choice? (Quran 33:59)
      Na Hiv unajua umebeba jukumu la kumuonyesha Uislam kwa vitendo huyo alosilimu akakuowa?
      Na hiv itakuaje mfano ukifa kama leo NA ukiwacha videos kichwa waz kama ulivyo Duniani?
      Be proud of your Religion wacha kujitoa fahamu
      #May_Allah_guide_us_all

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 11 หลายเดือนก่อน

    But why live inanipita why

    • @ruuhbakary
      @ruuhbakary 11 หลายเดือนก่อน +1

      ht mm pia imenipita roho imeniuma sn yn nilikiw biz vby mno i miss you dayana

    • @glorymasy7687
      @glorymasy7687 11 หลายเดือนก่อน +1

      Mi pia mweeee

    • @dayana5513story
      @dayana5513story 11 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@ruuhbakarymiss too love 🥰

  • @miriamahmadi1356
    @miriamahmadi1356 8 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @sabrinnasser1370
    @sabrinnasser1370 10 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @marijanimohamed8875
    @marijanimohamed8875 10 หลายเดือนก่อน

    tena hawa wazungu weusi ndio hatari sana wana sema usilete tabia za kiswahili