TULIKUTANA ONLINE | DEPRESSION BAADA YA UZAZI NILIKAA HOSPITALINI MIEZI 3

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 พ.ค. 2024
  • Winifrida ameeleza Safari ya maisha yake kutokea Tanzania mpaka Canada
    Namna alivyokutana na mume wake kupitia Online
    Maisha ya Canada na changamoto zake, Ndoa haikua nyepesi kabisa lakini waliweza kuvuka.
    Ametoa darasa kwa vijana la kujichunga na sio kulala na mtu haraka haraka
    Thank you Winifrida for allowing this to be online
    www.oda.international

ความคิดเห็น • 130

  • @annamariajackson4842
    @annamariajackson4842 2 หลายเดือนก่อน +8

    Ubarikiwe sana ndugu yangu. Uko m wazi na mkweli. Shena barikiwa sana kwa kazi yako nzuri

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 หลายเดือนก่อน +3

    Winfrida Hongera wewe ni mrembo na una sauti nzuri sana.

  • @user-cg1qf8xi7v
    @user-cg1qf8xi7v 2 หลายเดือนก่อน +5

    Hongera sana kwa kipindi kizuri

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hadi raha mwenyezi mungu awatangulie katika ndoa yenu

  • @devothasimbi6495
    @devothasimbi6495 2 หลายเดือนก่อน +6

    Nimependa mahojiano yenu kazi yako ni nzuri Shena Mungu akuzidishie zaidi.

  • @regulashine8854
    @regulashine8854 2 หลายเดือนก่อน +6

    Hongera sana dada kwa nimekupenda hasa kumkatalia Mara ya kwanza kumkatalia mzigo👏🏻hukujirahisisha

  • @kasembomasele5918
    @kasembomasele5918 หลายเดือนก่อน +4

    Tuna like kipenzi

  • @estermgata9617
    @estermgata9617 2 หลายเดือนก่อน +3

    Winifred I AM so proud of you! Nimependa sana misimamo yako. Maana hawa wanaogawaga vitu ovyo ovyo huwa sipendi

  • @BurtonSon
    @BurtonSon 2 หลายเดือนก่อน +7

    Dada mkweli kabisa ni wachache can say such a wonderful story like her,nimefuarhi sana kusikia story yake.

  • @zainabsibuma-omary7061
    @zainabsibuma-omary7061 2 หลายเดือนก่อน +4

    Beautiful story, beautiful lady Winnie. Mvumilivu sana, pole kwa postpartum depression na kupambana na marafiki wa kuvunja moyo. Mwenyezi mungu awasimamie ktk ndoa yenu.

  • @aromaofzanzibar
    @aromaofzanzibar 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera dada Winnie na nimempenda sana ana msimamo hasa na pole kwa depression Mungu akufanyie wepesi na akusimamie kwenye maisha…dada Wa kizanzibari nipo na urojo na mishakaki pia😂

  • @user-hr8rn1om8e
    @user-hr8rn1om8e 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hongera sana dada. Nmekupenda sana sana wewe ni muwazi na si mchoyo wa ushauri. Ubarikiwe sana.❤

  • @sekelajacob1628
    @sekelajacob1628 หลายเดือนก่อน +3

    Good story Mungu awatunze na familia yako

  • @user-tl9mx6sw4o
    @user-tl9mx6sw4o 2 หลายเดือนก่อน +6

    Nikweli nivizuri kujawana. Ulipata mwanaume mzuri... Nikweli watu wengi wanasema Canada ni watu wanzuri sana. Wanaupendo sana.

  • @gracekaboigora189
    @gracekaboigora189 15 วันที่ผ่านมา +1

    Tena kaza buti, atabadilika, na umuombe Mungu akubariki

  • @user-tr9jj3rd9g
    @user-tr9jj3rd9g หลายเดือนก่อน +3

    Uyo dada mzuri sana kweli

  • @kasembomasele5918
    @kasembomasele5918 หลายเดือนก่อน +3

    Nzuri sanaaaa

  • @user-cq3pj6yr3k
    @user-cq3pj6yr3k หลายเดือนก่อน +3

    Hongera sana

  • @annamussa185
    @annamussa185 2 หลายเดือนก่อน +9

    Canada is my favorite country ❤❤❤❤❤

  • @annamussa185
    @annamussa185 2 หลายเดือนก่อน +5

    Msukuma mwenzangu ❤

  • @user-cg1qf8xi7v
    @user-cg1qf8xi7v 2 หลายเดือนก่อน +3

    Sitori nzuri sana dada yangu

  • @cleopatrahenry7541
    @cleopatrahenry7541 2 หลายเดือนก่อน +3

    Winne uko vizuri sana na hongera

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 2 หลายเดือนก่อน +3

    Amina mungu yu mwema barikiwa sana

  • @hermanhhaaly9685
    @hermanhhaaly9685 7 วันที่ผ่านมา

    Ahsante sana,nimejifunza habari ya kunyoa O

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 2 หลายเดือนก่อน +5

    Asanteni sana kwa story tamu.

  • @tumainichanya3268
    @tumainichanya3268 2 หลายเดือนก่อน +5

    Nashukuru sana Kuna kitu nimejifunza na nilipolisikia neno nimebarikiwa

  • @mariambakari8065
    @mariambakari8065 หลายเดือนก่อน +4

    Nimepanda dada anavoongea taratibu nakuelezea vzr hakika tunajifunza zaidi

  • @liljammacha7806
    @liljammacha7806 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hongera sana sana ❤

  • @evakabete2944
    @evakabete2944 2 หลายเดือนก่อน +4

    Ongela sana dada shena kwa kuleta watu wenye story zenye mafundisho mazuri sana

  • @user-tr9jj3rd9g
    @user-tr9jj3rd9g หลายเดือนก่อน +3

    ❤asante sana

  • @Byme6434
    @Byme6434 2 หลายเดือนก่อน +4

    Nimempenda sana Winny ❤

  • @FaithJones-nq9tz
    @FaithJones-nq9tz 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ooh jamani!!! Hongera sana,ila minimependa hukuurahisisha mwili wako kwaharaka,ndomaana naye alikuamini,aliona hili sio danga

  • @MadinaMalk-yd6kp
    @MadinaMalk-yd6kp 2 หลายเดือนก่อน +5

    Nice interview da shena na da winifrida🥰🌹💐❤️

  • @user-uy3jx2fe6u
    @user-uy3jx2fe6u 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera sana Winnie na pole kwa matatizo

  • @joymusalia9083
    @joymusalia9083 2 หลายเดือนก่อน +3

    Thanks for being open

  • @fatmakombo9793
    @fatmakombo9793 หลายเดือนก่อน +2

    Umeongea kweli dada watu wana maendeleo sana nyumbani

  • @fatmaalbeity9097
    @fatmaalbeity9097 2 หลายเดือนก่อน +6

    Unajua mambo ya ku date niya kudanganyana tu mtu anakua haoneshi his/her true colours ukisha owana ndio ukweli wa mambo huanza kuonekana coz tayari uko kwenye ndoa uta act mpakalini haiwezi lazima uwishi vile ulivyo kwa hivyo huyu dada kapata mtu mzuri sana mungu awadumishe nimkarimu na hana ubinafsi kushare kila kitu na mwenzako ni kitu kikubwa sana kwa hivyo kimaoni yangu mambo ya kudate kwa muda mrefu sipendelei ukisha juana na mtu bora tu muhalalishe penzi lenu mutasomana tabia ndani ya ndoa inakuwa hakuna cha kudanganyana

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 2 หลายเดือนก่อน +3

    Interview was 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nipenda sana

  • @user-ef2gv8ny7l
    @user-ef2gv8ny7l 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu akubariki sana Shena, pia asante kwa interview nzuri

  • @user-th8bo9lu8n
    @user-th8bo9lu8n 2 หลายเดือนก่อน +4

    We kiboko dada duh unafurahisha et Ana O😂😂nikaongeza chumnvi Anataka kunioa😅😅

  • @restitutakisamo7607
    @restitutakisamo7607 24 วันที่ผ่านมา +1

    Mambo mazuri hayo

  • @Sisterjemi1
    @Sisterjemi1 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hahaha ni kweli mtiu anaetoka nje ana harafu tofauti hata rangi pia japo akiwa mweusi unakuwa watofauti

  • @aishaabdul9287
    @aishaabdul9287 2 หลายเดือนก่อน +4

    Story tamu jamani nimeipenda

  • @justinatemba
    @justinatemba 18 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe ni mrembo sana

  • @suzanajonhnyodwa1561
    @suzanajonhnyodwa1561 2 หลายเดือนก่อน +3

    Very bombastic

  • @yusrasalum
    @yusrasalum หลายเดือนก่อน +1

  • @solomondanny-1507
    @solomondanny-1507 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nimekupenda dada una hofu ya MUNGU.

  • @annatemu4488
    @annatemu4488 2 หลายเดือนก่อน +5

    Ila Winnie😂😂😂 ,eti nikamnusa,kumbe Ulaya kuna kiharufu chakeee

  • @annamussa185
    @annamussa185 2 หลายเดือนก่อน +4

    Me nimempenda wine yuko open ❤

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hatari Winnie 😂😂😂😂 harufu ya Ulaya 😅😅😅 Shena hiyo ni kweliii 🤣🤣🤣🤣

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kabisa😂😂

  • @annamallya8756
    @annamallya8756 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤

  • @user-mr8vl9cy8i
    @user-mr8vl9cy8i 2 หลายเดือนก่อน +3

    Dada winnie ni wise sana. Asante kwa opnness yako

  • @user-bq1qt1bi1d
    @user-bq1qt1bi1d 25 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera sana vipi unajishughulisha na nini jamani.

  • @milkaboaz1244
    @milkaboaz1244 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wao nimependa story yako dada natamani mzungu ila one day yes

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 2 หลายเดือนก่อน +2

    Congratulations 🎊 👏 💐

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nicheck ni kweli hii movie

  • @sophiarwehumbiza209
    @sophiarwehumbiza209 2 หลายเดือนก่อน +5

    Winni anakastory amazing muda wote nilikuwa natabasamu mpaka story imeisha😅😁😂😅❤❤❤❤❤

  • @blessedaggie9159
    @blessedaggie9159 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ooh, home girl...

  • @magrethpeter6049
    @magrethpeter6049 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera besti

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 18 วันที่ผ่านมา +1

    Ni kweli mi ni Bemba , origin from Zambia
    Kiukweli tunajipenda umeongea ukweli 😂

  • @AmnaAmna1-xs3rx
    @AmnaAmna1-xs3rx หลายเดือนก่อน +1

    Mashaar Dada Uko poa Sana ❤❤❤❤

  • @dianahussein8934
    @dianahussein8934 หลายเดือนก่อน +1

    Tuna like mpenzi

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 2 หลายเดือนก่อน +3

    Umeisha jifunza mengi

  • @zaydelabay9776
    @zaydelabay9776 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mi kabla sijaangalia na LIKE

  • @gracekaboigora189
    @gracekaboigora189 15 วันที่ผ่านมา +1

    Hacha urafi

  • @mwaigombeinvestmentcoltd3748
    @mwaigombeinvestmentcoltd3748 2 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂kwahiyo ulikuwa unakula chakula chote peke akoo we noma

  • @joycelaizer4600
    @joycelaizer4600 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wow

  • @estermgata9617
    @estermgata9617 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hello Wilfred tutafutane basi. Mimic ni jirani yako. Ila tu kama hutajali.

  • @user-ir5ec5jn3w
    @user-ir5ec5jn3w 18 วันที่ผ่านมา +1

    Da Shena kuna Mtanzania alievuka boda la Mexico yupo Marekani mtafute Ana story ya kusisimua sana please mtafute

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 18 วันที่ผ่านมา +1

    Waafroka tuache hisi akili za amechelewa
    43 mbona ndo safi kabisa😂

  • @miriamraphael3756
    @miriamraphael3756 2 หลายเดือนก่อน +3

    Msukuma mwenzagu wabeja sana

  • @user-bx3fh1ze6i
    @user-bx3fh1ze6i 2 หลายเดือนก่อน +3

    harufu ya ulaya😂😂

  • @Oliva_Meela
    @Oliva_Meela 2 หลายเดือนก่อน +2

    Omba interview na Mariam trela wa Poland

  • @bettystanslaus356
    @bettystanslaus356 2 หลายเดือนก่อน +3

    One day nije hata canada kutembea tuu

  • @MaimonaRajebo
    @MaimonaRajebo หลายเดือนก่อน +1

    Nimependa sana ukweli nimejifunza mengi ombi km unaweza kunipa fursa nimependa kufika Canada kutafuta maisha

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 หลายเดือนก่อน

    Winnie is pretty

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉🎉

  • @HabibuKitau
    @HabibuKitau 2 หลายเดือนก่อน +3

    41:55 Story nzuri !!

  • @CiscaRecaps2015
    @CiscaRecaps2015 2 หลายเดือนก่อน +7

    muda wa kukutana na watu mtaani haupo,yan kama ulikosa mpenzi kutokea chuo,saiv ni bora dating app tu.

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  2 หลายเดือนก่อน +1

      Well said 📌📌📌

    • @LinahRwambali
      @LinahRwambali หลายเดือนก่อน

      Bahati ya mwenzio usiilalie mpango wazi" kuna waliopigwa matukio ya ajab wengine hadi kuuwawa..Bora kama unaenda uende ukijua utajilindaje na vitu kama hivyo

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 18 วันที่ผ่านมา

      Uko sahihi kabisa

  • @justinatemba
    @justinatemba 18 วันที่ผ่านมา +1

    Natamani kumuona shemeji naye kama ni mzuri kama wewe

  • @flaziaisack4038
    @flaziaisack4038 2 หลายเดือนก่อน +3

    O ya kisharobaro😅

  • @BurtonSon
    @BurtonSon 2 หลายเดือนก่อน +7

    tujifunze kuwa wakweli kupitia dada winnie na kuwa wavumilivu siku zote maana kuna njia sahihi ipo mbele

  • @user-tr9jj3rd9g
    @user-tr9jj3rd9g หลายเดือนก่อน +3

    Nampenda uyu anajiamini kweli

  • @JosephineNdanu-xs9ii
    @JosephineNdanu-xs9ii 24 วันที่ผ่านมา +1

    Iki kipindi kimejua kunipa furahaa

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 18 วันที่ผ่านมา +1

    Nimegundua wengi tulioamua kugeukia upande mwingine tumepigwa sn matukio😂
    Inawezekana mpango wa Mungu ulikuwa mtu uoleww nje ya nchi yako ila unakuwa unang'sng'ania tu ,inabidi tupigwe matukio kwanza akili Ikae sawa😂

  • @miriamraphael3756
    @miriamraphael3756 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hi shena nakungoja kwa hamu tupate elimu

  • @ibraoman2745
    @ibraoman2745 2 หลายเดือนก่อน +6

    Mimi nitafikaje huko jamn yaan natamn san san kufika Canada

    • @Formula_Tz
      @Formula_Tz 2 หลายเดือนก่อน

      Kaka ndoto moja mimi pia nataman san siku moj na mimi nifike huk

    • @jescanicodemus
      @jescanicodemus 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@Formula_Tzhata mm jmn napapenda sana

    • @Formula_Tz
      @Formula_Tz 2 หลายเดือนก่อน

      @@jescanicodemus nikupambania ndoto tu itimie

    • @user-th8bo9lu8n
      @user-th8bo9lu8n 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂Yaan Nmefurahi mnavyo hamasishan

    • @Formula_Tz
      @Formula_Tz 2 หลายเดือนก่อน

      @@user-th8bo9lu8n 😂😂🙌🙌

  • @esterkivaria8986
    @esterkivaria8986 หลายเดือนก่อน

    Hata nakumbuka mama angu mdogo alikuwa akitoka Nairobi alikuwa ananukia vizuri😂
    Hata ukienda kijijini Kuna harufu ya kijijini

  • @masekebabere3282
    @masekebabere3282 2 หลายเดือนก่อน +4

    TUPO PAMOJA SHENA

  • @debbiethomas9825
    @debbiethomas9825 2 หลายเดือนก่อน +1

    Me mwanaume nimkute tuu amenyoa O Au vile wanavochongaga nywele za uso me NDUKI NENE... 🤦‍♀️🤦‍♀️

  • @hejmabohejhej9
    @hejmabohejhej9 2 หลายเดือนก่อน +5

    Lakini huyu dada ameongea ukweli ukitoka ulaya unakiharufu flani ivi

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  2 หลายเดือนก่อน

      Kumbe 😁

    • @marykennedymarwa1641
      @marykennedymarwa1641 2 หลายเดือนก่อน

      Washamba nyie hakuna chochote , wananuka deodorant tu kuzuia kikwapa Cha kutooga Kwa sababu ya baridi . I'm 25 years in Europe.

    • @user-is7ot7bq9x
      @user-is7ot7bq9x หลายเดือนก่อน

      Kiharufu gn jmn mbona wananukia vizuri tu

    • @mwanonomohamed4688
      @mwanonomohamed4688 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅acha makasiriko ​@@marykennedymarwa1641

  • @marykennedymarwa1641
    @marykennedymarwa1641 2 หลายเดือนก่อน +1

    Waafrika mkitoka afrika , mko na tabia tofauti , sisi wa ulaya tuna share kila kitu na hatuli sana kama nyie .😅😅😅😅

  • @ibraoman2745
    @ibraoman2745 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nini Maan ya kazin

  • @kasembomasele5918
    @kasembomasele5918 หลายเดือนก่อน +2

    Tuna like kipenzi

  • @user-go8nq7gi5k
    @user-go8nq7gi5k หลายเดือนก่อน +2

    Msukuma mwenzangu ❤

  • @flaziaisack4038
    @flaziaisack4038 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hee jamani kuna wa ulaya wana harufu zao na hamsemi😂😂