Muhtasari: Ezekieli 1-33

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 มี.ค. 2022
  • Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Ezekieli 1-33, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Akiwa mmojawapo wa Waisraeli waliokuwa uhamishoni nchini Babeli, Ezekieli anaonyesha Israeli ilistahili hukumu hiyo, na pia kwamba haki ya Mungu inatoa tumaini la baadaye.
    #BibleProject #Biblia #Ezekieli
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 5

  • @makungushadrack64
    @makungushadrack64 2 ปีที่แล้ว

    Naomba Utuelezee kitabu cha Joel ! Asante kwa huduma hii

  • @epiqueaveceric4063
    @epiqueaveceric4063 ปีที่แล้ว

    We use this amazing ressource for our school in Kenya!

    • @Watchtower77
      @Watchtower77 11 หลายเดือนก่อน +1

      Do you use the Swahili version? I was the lead Swahili translator for this resource.

    • @erictendon2231
      @erictendon2231 11 หลายเดือนก่อน

      @@Watchtower77 yessssssssssss!!! I am the director and main teacher for a school of leadership in Kenya / Amukura and we use the Swahili version all the time! You have done a marvelous job and every week we are blessed to grow in the knowledge of the Word. We have been doing a one-year tour of the main books of the Old Testament and are now doing the same with the New Testament!!! ;--) Blessings

    • @Watchtower77
      @Watchtower77 11 หลายเดือนก่อน +1

      @@erictendon2231 Wow, amazing, at times I wonder whether my translations are actually being used to expand the Kingdom. This is very encouraging, may God bless your ministry! Thanks for the compliment 👍