Muhtasari: Ufunuo 1-11

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2021
  • Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Ufunuo 1-11, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika Ufunuo, maono ya Yohana yanafunua kuwa Yesu ameshinda uovu kwa kifo chake na kufufuka kwake, na siku moja atarudi kama mfalme wa kweli wa ulimwengu.
    #BibleProject #Biblia #Ufunuo
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus na Eternal Entertainment
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น •