Muhtasari: Yeremia

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Yeremia, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Yeremia anatangaza kwamba Mungu atahukumu dhambi za Israeli kwa kuwahamishia katika nchi ya Babeli. Na kisha, anaishi katika utimilifu unaoogofya wa tabiri zake.
    #BibleProject #Biblia #Yeremia
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 4

  • @naftaribanka9692
    @naftaribanka9692 ปีที่แล้ว

    Amina 🙏🙏🙏

  • @makungushadrack64
    @makungushadrack64 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni Sana! Kazi Nzuri Sana,na Uinjilishaji bora! Hii huduma inanivutia Sana!

    • @michaeljacobo269
      @michaeljacobo269 9 หลายเดือนก่อน

      Hongera sana kwa mchanganuo huu...hakuna kitabu cha Yeremia ulichokiandaa ili nikinunue..??

  • @makungushadrack64
    @makungushadrack64 2 ปีที่แล้ว

    Naomba Simulizi Ya Kitabu cha Nabii Joel.Asante