Muhtasari: Habakuki

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 มิ.ย. 2022
  • Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Habakuki, inayoelezea muundo wa fasihi wa kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Habakuki anapata shida kuelewa wema wa Mungu katikati ya uovu na udhalimu unaondelea ulimwenguni.
    #BibleProject #Biblia #Habakuki
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 4

  • @barakashayo2416
    @barakashayo2416 ปีที่แล้ว

  • @tabycatytabitha
    @tabycatytabitha ปีที่แล้ว

    Asante kwa hili

  • @muddyso1953
    @muddyso1953 10 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi Mungu atujalie na kutuongoa ili tuweze kuusimamisha Ufalme wake ulioko ndani yetu na wakati ni sasa

  • @barakashayo2416
    @barakashayo2416 ปีที่แล้ว

    Barikiwa saana kwa ufafanuzi mzuri MUNGU aendelee kutumia