Muhtasari: Yona

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 พ.ค. 2022
  • Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Yona, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Kitabu cha Yona ni simulizi kuhusu nabii mwasi anayemdharau Mungu wake kwa kuwapenda maadui zake.
    #BibleProject #Biblia #Yona
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 3