Muhtasari: Ezekieli 34-48

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 มี.ค. 2022
  • Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Ezekieli 34-48, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Akiwa mmojawapo wa Waisraeli waliokuwa uhamishoni nchini Babeli, Ezekieli anaonyesha Israeli ilistahili hukumu hiyo, na pia kwamba haki ya Mungu inatoa tumaini la baadaye.
    #BibleProject #Biblia #Ezekieli
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น •